USO KWA USO SHEIK WARID NA MCHUNGAJI MWAMPOSA,WATU WABAKI MIDOMO WAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @RaiaTambwe
    @RaiaTambwe 4 дні тому

    Mwenyez Mungu akujalie umri mrefu wenye manufaa leo na kesho akhera Sheikh wangu Walid nakupenda sana kwaajili ya Allah.

  • @MaryKalunde
    @MaryKalunde 8 днів тому +1

    Nimekuelewa, Mwenyezi Mungu akujaarie mwisho mwema

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 7 днів тому +1

    NAKUPENDA SANA MWAMPOSA UBARIKIWE SANA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mariofranciscomadaee
    @mariofranciscomadaee 9 днів тому +1

    Amém senhores🇲🇿

  • @meowzna
    @meowzna 6 днів тому +1

    Ameen🤲

  • @MaryKalunde
    @MaryKalunde 8 днів тому +1

    Ameen

  • @khalifaallyibnadam9983
    @khalifaallyibnadam9983 8 днів тому +3

    mwandishi acha kuharibu majina ya watu, huyu SHEIKH WALID , na sio WARID

  • @binseif2216
    @binseif2216 9 днів тому +1

    Maneno mazito sheikh walid😢

  • @RadjabuNiyonkuru-bf9bq
    @RadjabuNiyonkuru-bf9bq 8 днів тому +2

    Maneno ya dhahabu kabisa Allah akbar

  • @shabanikapwani6231
    @shabanikapwani6231 7 днів тому +1

    Warid ina maana ingine kabisa,Kiarabu hakitaki makosa ya herufi Kwa kua hubadili maana halisi.

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me 8 днів тому

    Hakuna kitu KENGERE tafadhali sema KENGELE

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 4 дні тому

    Mtu alikaa na abuu lahabi na wengine wengi na wte hao walikuwa walimtukna mtume Tena ikafkia htua mpka akaambiwa abadilishe kilma Cha rasulullah na akakubali kubdlisha umesahau au unajifnya kujitia fhmu

  • @YusufuKombojuma
    @YusufuKombojuma 8 днів тому +4

    Leo nimeamini hawatakuwa radhi makafiri mpaka tufate Mila zao Leo hii sheikh makubwa kama huyu anatoka katika mafundisho ya mtume wetu anashiriki katika jambo la kumkera Allah unakaa na kuomba Dua na watu ambao wanamuasi Allah kwa zahiri

    • @amaniurio577
      @amaniurio577 8 днів тому

      Daktari asipokuwa karibu na mgonjwa kumpa dawa atafarik makosa yatakuwa ya mgonjwa au ya daktari?

    • @msambalamjukuu3866
      @msambalamjukuu3866 8 днів тому

      kwel din zimekuja kutugombanisha sasa ww unamwambia binadam mwenzio ivo pole sana

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 8 днів тому

      ​@@msambalamjukuu3866Dini sahihi ni moja tu na hatuwezi kukaa mbali nao kwa sababu tunapashwa kuwaeleza ukweli juu ya Uislamu kuwa ndiyo dini inayostahili kufuatwa dini ambayo alikuja nayo mtume Adamu baba wa wanadamu wote na Mohammed alipewa kitabu cha sheria lakini Uislamu aliukuta makaline mengi.

    • @lilyabel2320
      @lilyabel2320 8 днів тому +1

      Wewe unaroho mbaya unaweza kuuza, roho yako ni ya kishetani. Sheikh kafanya lipi Baya mwache awadaidie watu. Wewe Ndio kafiri mkubwa

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 8 днів тому +1

      @@lilyabel2320 Inawezekana akawa ni mjinga katika elimu yake ;Sheikh wa Mkoa amesoma elimu ya dini anayo na alichokifanya ni hekima na busara hakuna shida kwa uelewa wangu na elimu ndogo niliyonayo.