MAULID KITENGE PRESHA YAPANDA GHAFLA STUDIO KISA....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 143

  • @msafirimatingo6065
    @msafirimatingo6065 16 днів тому +9

    Hii redio naipenda sana

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp 16 днів тому +7

    Mungu wangu endelea kuvifungua vinwa vyao

  • @MpokigwaMwakalinga
    @MpokigwaMwakalinga 14 днів тому +2

    Hamisha Wana mzanzibaa.ujue gaza

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 16 днів тому +7

    Kurujuani inafanya kazi, na bado!! Akamatwe na akaonyeshe hayo mapori na alichokifanya huko na yeye amehusika.

  • @user-um5uw9yo5q
    @user-um5uw9yo5q 16 днів тому +8

    Ccm ni shida kunankatibu wa ccm mkoanfulani anasema Hakuna maendeleo bila ccm kutaka hii inchi inaongozwaje jamani

  • @bonifacegasper9508
    @bonifacegasper9508 16 днів тому +5

    Dam zinawalilia Bado watasema mengi yatakaa wazi,mbona mpaka sasa hajaojiwa napolice mpakasasa Kama selikali haiusiki.

  • @user-sy5lx7el4z
    @user-sy5lx7el4z 16 днів тому +6

    Wasafi tushawachoka mnajitahidi kuwatetea serikali lakini wapi?

    • @Magehemaj
      @Magehemaj 15 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ChekaKivia
      @ChekaKivia 14 днів тому

      Wanaogopa kwani unadhani hapo hawajui kwamba alichoongea huyo ni Cha kweli wanajua sana ila wanaogopa

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 13 днів тому +1

      Hawa wasafi wapuuzi sana

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 2 дні тому

      Wapo sahihi , kufanya hivyo . Mambo yanawabana.

  • @RajiEmadaki
    @RajiEmadaki 16 днів тому +8

    Mlango umefunguka kaingia bila kuona nyuma😂

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 16 днів тому +2

    Jamani mbona mnatufanyia hivi jamani😂😂😂😂😂😂

  • @BerniceAtieno-n4m
    @BerniceAtieno-n4m 16 днів тому +9

    Damu za watu zinawalilia

  • @wanejohnmsukwa6590
    @wanejohnmsukwa6590 16 днів тому +14

    Shetani akiwa ndani ya mtu kuna wakati anataka ajulikane mnahitaji elimu ya Mungu kupambanua hayo shetani amaesha ropoka kupitia mwili wake na sasa hapo alipo anashangaa imekuwaje karopoa hayo...Hivyo ukifanya uovu kwa siri ogopa ipo siku itajulikana tu .Kwa kusema mwenyewe au kwa kufichuliwa na watu.

  • @alexandermanase8956
    @alexandermanase8956 16 днів тому +10

    Tunapoona akina tundu lissu wanalalamika sana , Sasa tunazidi kuwaelewa daaaahhh siasa bhana

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 16 днів тому +4

      Watu wengi sana wameshatolewa kafara ndugu acha tu😭😭

    • @newtonnyembe8228
      @newtonnyembe8228 16 днів тому +2

      Mmeshatolewa kwenye issue ya Bint wa yombo.

    • @GabrielSky64
      @GabrielSky64 16 днів тому

      Nikweri kabisa ila hata hili ni kubwa pia Tena saana​@@newtonnyembe8228

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 16 днів тому +9

    Wakati wa mungu ni wakati sahihi,waofu wameanza kuumbuliwa..raundi hii mtasema yote mnayo yafanya kwenye mapori

  • @eliakanyika4921
    @eliakanyika4921 16 днів тому +1

    Wasafi mpo moto sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 16 днів тому +2

    Mbona mnajizima data amkumbuki yule Kada wa CCM alisema si ndio tunawapotezaga watu. Hivi vitu kitambo vipo wazi.

  • @josephkamatha407
    @josephkamatha407 16 днів тому +4

    Lakini mmesema hata polisi aliniambia mbowe hatasihinda Ina maana ni serikali ilihusika

  • @hamadindago
    @hamadindago 16 днів тому +10

    Ngoja ninywe chai kwanza

  • @JohnMagudi
    @JohnMagudi 13 днів тому +1

    siku za uflme zikipimwa ufalme huanguka wenyewe na hutekwa kirahisi sana,hawa ccm wasipomuogopa Mungu,wamepimwa kwenye mzani nao wamepungua ,hawa watu wenu wanasema kweli hii ndio siri yenu ,acha muwalize upya watu waliopotelewa na nd zao

  • @suleimankhamis2771
    @suleimankhamis2771 20 годин тому

    Kutupa taka ovyo maporini nayeye alihusikaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @peemsafi6068
    @peemsafi6068 16 днів тому

    Mungu watetee watanzania❤

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 16 днів тому +2

    Wee zembwela Fala sana unaongea tumbo sana, kwanini unageuza maneno?

  • @deusdeditishengoma4335
    @deusdeditishengoma4335 11 днів тому

    Wananchi wataibwaga CCM kuanzia serikali za mitaa mpk uchaguzi mkuu mwakani.

  • @amanimrindoko7387
    @amanimrindoko7387 16 днів тому +3

    Huyu jamaa ni jasiri na sio katika watu waoga, mkimchokonoa sana atajibu maswali yenu.
    Kwanza ameshapoteza kila kitu,
    hana tena kitu cha kupoteza.

  • @LabanMauma
    @LabanMauma 16 днів тому +1

    Mwenyezi Mungu aliye HAI amejidhihirisha wazi kwa kumleta huyu DC wa Longido kusema hayo tena mbele ya kikao cha Madiwani wa chama tawala. Watanzania mnataka ushuhuda gani zaidi? AIBU kubwa!

  • @emmanuelmasatu
    @emmanuelmasatu 6 днів тому

    Kamakweli Serikali haihusiki kwanini huyu Dc wa Longido hajafikishwa kwenye vyombo vya dola wala hajahojiwa wala hajakamatwa.!? CCM wanajua.

  • @abelmghana2843
    @abelmghana2843 16 днів тому

    mungu Asante sana damu ya mtu hapotei mungu anataa majibu Amina

  • @deusdeditishengoma4335
    @deusdeditishengoma4335 11 днів тому

    CCM mwaka huu mnalo, lazima wananchi tuwabwage, kwa kuuwa watu!

  • @clauschaula2050
    @clauschaula2050 16 днів тому +1

    Kila anyoshae mkono kumdhuru binadamu mwenzake hulawania yeye na uzao wake.Sasa wanaofanya hivyo waendelee tu kwani majibu ya Mungu hayana haraka kama chumvi kwenye mboga.

  • @YusufuMagembe
    @YusufuMagembe 16 днів тому +1

    Zambi huwa haidumu lazima iwaludie tu Mungu atatenda

  • @alexandermanase8956
    @alexandermanase8956 16 днів тому +1

    Mussa kipanya bhana😂😂😂😂😂, eti amjaze ujasiri😅😅,, mpeni namba jaman

  • @Souza_G_94
    @Souza_G_94 14 днів тому

    Justice will be found hata kama ni late..

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 16 днів тому +2

    Nyoka akishaonekana maisha yake ni mafupi

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 13 днів тому

    Jelad yuko wapi

  • @SilvesterApolo
    @SilvesterApolo 16 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂 ila hii redio kitenge nomaa😅😅😅

  • @EstherHaule-pl9cl
    @EstherHaule-pl9cl 12 днів тому

    Mimi ningepewa kiti cha hakimu,hakika ninawaambia hukumu yangu ningekuwa naitoa ndani ya masaa 6 tu,kwasababu hauhitaji ushahidi umekamilika.

  • @solomonsaitabau4461
    @solomonsaitabau4461 16 днів тому +3

    mlevi anasemaga ukweli tu.
    tusisingizie pombe

  • @AishaOman-k6f
    @AishaOman-k6f 4 дні тому

    Zembwela.nawenzie.mnafurahisha

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 16 днів тому +2

    Nashauri huyu isiishietu kwenye kutumbuliwa achunguzwe aseme yote anayo mengi huyo yatatokea mengi

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 16 днів тому

      Nani sasa wakumchunguza? 😢maana wahusika ni haohao?😢

    • @ImaniBalankwaya
      @ImaniBalankwaya 16 днів тому

      asa atamkamata nani hapo wakati wenye nacho ndo wahusika itaishia kupotezwa tyu bas

  • @EdgarLema-g6f
    @EdgarLema-g6f 16 днів тому

    Bila kupingwa inarudi😮 zembwela unashangaa nn tumeshamaliza kaziCHAMA CHA MAJAMBAZI(CCM)

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 14 днів тому

    Nashangaa taasisi za haki za binadamu bado hawajampeleka mahakamani mpaka sasa hivi jamaa huyu

  • @peterakim9756
    @peterakim9756 14 днів тому

    Wanatuo Kwenye reli baada ya katibu wa ccm kukataa kutokea Kwenye mdahalo wa vyama vya siasa bila sababu

  • @omarmkumba3547
    @omarmkumba3547 15 днів тому

    Aaaaaah,kitenge we noma

  • @ThomasmerinyoMollel
    @ThomasmerinyoMollel 13 днів тому

    Nilikua siwapendi sasa nawapenda redio yenu taaaluma inafanya kazi yake sawiya

  • @Zenny89
    @Zenny89 16 днів тому

    Serikalii itamuuwa kabla ukweli wote kutoka!!!

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t 16 днів тому

    Huyo Moja kwa moja ni muuuaji Msi mteteeee kabisa ndo muuaji wa wapinzani

  • @peterkanja4765
    @peterkanja4765 16 днів тому

    Tafadhali msilazishe awajibu mnaweza fariki mapema kabla ya muda wenu. Mtaambiwa hata raisi wenu aliyepo ni wao walimuweka bunge lote limewekwa na selikali na hivyo haliwezi simamia serikali ni michezo ya kuigiza tu. Father kitima alisema hivyo hivyo juu ya wizi wa uchaguzi.Mbungo bishop Gwajima ulipatikana huku mawakala wa upinzani wakiwa wamechoshwa wewe uko happy tu na unajiita bishop huna chochote rohoni na waumini wako wanasema wewe ndio Rais wa baadae na kwamba umefunuliwa. Nape pia alisema mchezo unaofanyika sisi tunawàngalia tu siku tukichoka hata makabiri yatawakataa.

  • @nestoryvenance4258
    @nestoryvenance4258 16 днів тому +1

    Musizime swala la sakata la kutekwa watu .

  • @saidmabanga388
    @saidmabanga388 16 днів тому +2

    😂😂😂😂😂kitenge msenge sanaaa ujuee

  • @stevenkimaro65
    @stevenkimaro65 12 днів тому

    Unakuwa uwo utaniwenu mtaamua uyo mzee napresha😂😂😂

  • @OscarMbedule-mw8bz
    @OscarMbedule-mw8bz 16 днів тому

    inchi simameni jameni pls

  • @samsonpaschal5044
    @samsonpaschal5044 15 днів тому

    Dah, ama kweli, mumemkalia kooni haswa ipasavyo... Kongere kwenu watangazaji...

  • @JoffreyEmmanuel
    @JoffreyEmmanuel 16 днів тому +1

    Kwani.yeye.alikua.nani 7:10

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 15 днів тому

    DAMU YA BINAADAM HAIPOTEI ALLAH ATAWAUMBUA WOTE WANAO TENDA ZAMBI YA KUMUUWA BINAADAM MWENZIO KWA KULINDA VYEO VYA WATU MMESAHAU KAMA KUNA MUNGU NA KUMUABUDU SHETWENI

  • @IddyHassan-x7i
    @IddyHassan-x7i 11 днів тому

    Damu ya mtu asiyekuwaa na hatiyaa itakumalizaa tu kivyovyote tu

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 14 днів тому

    Sehemu nyingine walifanyia kwenye shule za chekechea

  • @MpokigwaMwakalinga
    @MpokigwaMwakalinga 14 днів тому

    Natakakuunda kabila.naliita sambaramasai.ngorongoro laana ya wenyeji .

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 16 днів тому

    Wakiambiwa wanateka watu wanakataa leo mambo yanadhihirika kuwa kweli wanaoshukiwa ni baadhi ya viongozi

  • @eliurumamalisa4700
    @eliurumamalisa4700 14 днів тому

    Uyo DC kasema ukweli wa serikali Yao ya ccm

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp 16 днів тому

    Lakini angekuwa chadema lina mhusu itelegensia

  • @VicentTarra
    @VicentTarra 16 днів тому

    Mnachambua kwa kutuchekesha jmn mbarikiwe

  • @bensonscott3491
    @bensonscott3491 16 днів тому +1

    😂😂😂 kwenye mapori ndio tatizoooooo

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي 16 днів тому +1

      😂😂😂😂eti atueleze huko maporini huko kuna nini

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 16 днів тому

      ​@@رقيهالخصيبيUWENDA ndo wanakowauwa watu😢😢

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 14 днів тому

    Na nani alimtuma? Na ilikuwa Serekali ya nani kipindi hicho alichodai 2020?

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 15 днів тому

    Ndiomana walio zurumu uchaguzi ure walikufa gafla

  • @shikuhata
    @shikuhata 14 днів тому

    Sasa kama serikali imefanya mambo mazuri meengi kwann isiwe sababu ya watu kupita bila kupingwa?
    Acheni uchochezi🤐🤐🤐🤐

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in 14 днів тому

    Sass si mumwite huyo DC hapo wasafi kwenye interview mumuulize yote hayo

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 20 годин тому

    hebu mcheze na ile video kijana wa CCM akiwambia polisi “sisi tunawapoteza huku halafu ninyi msiwatafute”
    Alaaa halafu unataka tusema siyo nyie mnahusika na mauwaji????
    Tunaendelea kuzidisha sala majibu mtayaona karibuni sana

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 16 днів тому

    Ili serikali isihusishwe na kauli ya huyo bwana apelekwe mahakamani akatoe ushahidi kama serikali ndio ilimtuma

  • @sambigaDigital
    @sambigaDigital 12 днів тому

    Kamwe! Serikali ya chama cha Mapinduzi, haimtupi mtu anaewafanyia kazi kubwa eyt kwa kosa la kusema hadharani kuwa anafanya kazi kubwa. , unadhani akiondolewa ..je, ukubwa wa kazi utafanywa na nani? Who is ready to loose ?

  • @saluuhans
    @saluuhans 16 днів тому +1

    Vipara 😂

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 13 днів тому

    Nyinyi mbona mnampiga yeye anasema serkali nyinyi manasema ni wewe mnatuchanganya

  • @ashakomba8034
    @ashakomba8034 19 годин тому

    Damu zawatu lazima ziofanye kitu

  • @isaackemanuel3712
    @isaackemanuel3712 15 днів тому

    Soon tutasikia Zembwela na Kitenge wameenda porini

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 16 днів тому

    Awa jamaa wanajua kukabia juuu😂😂😂

  • @gtgmediaproduction764
    @gtgmediaproduction764 16 днів тому

    Mbona mnaanza kuitetea serikali Wakati amesha sema kuwa kazi ya kushinda madiwani wenye biti na wabunge nk kuwa serikali imesaidia kupita bila kupingwa mnataka Nini Sasa msigeuze ajenda amesema ukweli kwani uongo?

  • @PowerTZKifaru
    @PowerTZKifaru 16 днів тому

    akaaaaa

  • @KOLASCLASSICDESIGNS
    @KOLASCLASSICDESIGNS 15 днів тому

    Damu za watu zinaongea huwezi kumwaga damu ikakuacha salama. washaanza kua vichaa taratibu

  • @MpokigwaMwakalinga
    @MpokigwaMwakalinga 14 днів тому

    Hamjui nini

  • @msafirimatingo6065
    @msafirimatingo6065 16 днів тому

    Mm nahisi watakuwa wamehama inchi kama Tulia alivosema

  • @sharifasharif3978
    @sharifasharif3978 16 днів тому

    Wacha tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chin😢😢

  • @allyntunda963
    @allyntunda963 16 днів тому

    Ipo siku

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 16 днів тому

    Hiyo ndo ccccccm inayo fanya mambo ya kishenzi myaka yote,nyie msishangae hayo mambo kwa ma ccccm kawaida

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 16 днів тому

    😂😂😂 amekula usembe 😂😂😂

  • @christophermatupila7165
    @christophermatupila7165 15 днів тому

    ata hawa watu wanaopotea ni haohao wanahusika ndiomana ata bungeni hawataki yajadiliwe

  • @Shags.1972
    @Shags.1972 16 днів тому

    Mbona mnaishangaa hii kauli wakati ni kawaida Kwa chama tawala kufoji uchaguzi HUYO ni mkweli kasema kweli ila ukweli hauhitajiki kusikika

  • @Alute-son2003
    @Alute-son2003 16 днів тому +1

    Aburuzwe mahakamani

  • @OctavianMbunda
    @OctavianMbunda 14 днів тому

    Mnaongea sana hadi mnapoteza radha

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 14 днів тому

    Lakini watu vijana wetu wamepotezwa na amesema mwenyewe amehusika kwa baadhi ya wilaya fulani kwenye maporini .duu jamaa hawa bana

  • @gadafimasoud310
    @gadafimasoud310 16 днів тому +1

    Kitenge,zembwela na mussa mungu anawaona😂😂

  • @KassimuAbdallah-g9h
    @KassimuAbdallah-g9h 15 днів тому

    Kitenge ni mmbea!

  • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
    @AlphaxardMRusweka-jr1wi 15 днів тому

    Huo ndo ukweli,kitokacho mtu ndicho kimjaacho moyoni.

  • @eliakanyika4921
    @eliakanyika4921 16 днів тому

    Damu mnazo zimwaga hizo jamani uwiiiii

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 16 днів тому

    Serikali ndio watekaji kwa mujibu wa huyu bwana

  • @marwasaid8283
    @marwasaid8283 16 днів тому

    Amweleze nani

  • @denishaule6314
    @denishaule6314 16 днів тому

    Tuosoma tumeelewa lengo la hii habari…wasafi wazee wa fumbo

  • @harounali9057
    @harounali9057 16 днів тому

    Zembwela colour code yako ina onekana 2025 kama sio jimbo la Kigoma mjini basi jimbo la Malindi znz.

  • @Alute-son2003
    @Alute-son2003 16 днів тому +1

    Kufukuza tuu ukuu wa wilaya kukamata aaaaaaaaah

  • @athumanijuma8404
    @athumanijuma8404 15 днів тому

    Huyu zembwela fala sana

  • @nestoryvenance4258
    @nestoryvenance4258 16 днів тому

    Hata akisema ukweli wewe na mom tuta jua hayo ni mambo ya vyombo vya kisheria

  • @danielgeorge7404
    @danielgeorge7404 16 днів тому

    Duuuh kwahyo kumbe ili ule kitengo inatakiwa upitie porin mjalewa mnaanza kuropoka cku mtaongea zaid

  • @AnordKirizestom
    @AnordKirizestom 16 днів тому

    Na nyie jiandae kufungiwa