RADDI KWA SHE LIDA ANAEPINGA ADHABU ZA KABURI || Muhammad Bachu.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 120

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q Місяць тому +7

    Bachu wetu Allaah akuhifadh unapambana sana kuweka mambo wazi ,jina lako ni muhammad unalitendea haqi ALHAMDULILLAH

    • @salehrashid-fx9rq
      @salehrashid-fx9rq Місяць тому

      Ameen yaa rabbi

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud Місяць тому

      Ameen,,,

    • @adammaulid2356
      @adammaulid2356 Місяць тому

      اللهم امين يارب العالمين

    • @NassirKheri
      @NassirKheri Місяць тому

      😂😂 nimecheka sana ivyo alivyouliza ilo swali

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud Місяць тому

      @@NassirKheri LIDA angelikuwa ni mnyama ningelikua nimesha mnunua na kumchinja na nyama nikatupwa,,, mana ingelikuwa ni mnyama asiyeliwa

  • @mubariekabrahams2650
    @mubariekabrahams2650 Місяць тому +1

    Alhamdulillah namshukuru Allah kwa somo zuri. Sheikh Muhammad Allah akuzidishie uzima na umri wallahi.
    Hapa hakki mpaka ismame na bidaa itaondoka biidhini Llah.
    Sisi tunasimama na wewe mpaka hakki isimame na kwa Allah hio ni ahadi.
    Kwahio sisi tunanufaika sana na elimu tunayoipata kupitia wewe. Na msimamo ni AL QURAAN na SUNNAT Rasulu Allah.
    Muhammad (SAW).

  • @SheikhAbulHussein
    @SheikhAbulHussein Місяць тому +3

    Shida yakutosoma badaris hyo JAMA Mohammed nassor bachu vizuri sana

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 Місяць тому +1

    MAASHAA ALLAH jazakallakum kheir sheikh kwakutuelimisha

  • @dhidhasalim267
    @dhidhasalim267 Місяць тому +1

    Kusoma muhimu.Jazakallahu kheir kwa tanbihi hii.Kuna hatari kubwa Sana ya watu kama hawa kupotosha ummah kwa kauli kama hizi.Ni vizuri kuwakosoa na kukemea kauli kama hizi.

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt Місяць тому +2

    Jazzakallah shekh muhammad bachu Allah akuhifadh.
    Huyu jamaa sio shekhe, ni jahil lazma asaidiwe afahamu pengine ataelewa arege kwenye imani ya sawa.

  • @AlhamduNuwh
    @AlhamduNuwh Місяць тому

    Huyo bwana kadhihirisha ujinga wake
    Allah akuhifadhi shekh wetu tunafaidika

  • @footballmagichighlights
    @footballmagichighlights Місяць тому +1

    Lengo zuri Masha'Allah kubainisha mambo, Lakini tumia Lugha nzuri basi, Baadhi hawakupendi kutokana na Lugha zako si lugha salama za mafundisho, Mwenyezi Mungu akuzidishie ulipopungua Insha'Allah

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 Місяць тому

    MashaAllah ❤❤❤

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 Місяць тому +2

    Sheikh bachu Allah akubarik

  • @MtumwaHamis
    @MtumwaHamis Місяць тому

    Masha alwah shehewetu

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 Місяць тому

    أسأل الله أن يرفع درجتك❤❤❤🥰🥰✨️✨️

  • @seifsaid9905
    @seifsaid9905 Місяць тому

    Shkh Allah Hyu usingemjibu Kwa hiii stair ukwer umempa umarufuuu tu wew ungefnya kufundiasha hta Kwa hutuba ya ijumaa Allah Hilo taira linefurah San kujibiwa na wew ndio. Kitu alikuwa anatafuta Ili awezee kujiona maarufu hapa tz na nchi za njeew

  • @abuujamsheed2345
    @abuujamsheed2345 Місяць тому

    Tatizo wengi wanataka kueka uwezo wao wa kufikiri katika mambo ambayo Allah ameyafanya yawe wazi Allah atuongoze na huyu bwana aongozwe

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud Місяць тому

    Maashallah,,, Jazaakallahu khaira....❤❤❤

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan Місяць тому +1

    Jazaakallaahu kheir shekh,kwa akili ya haraka huyu inaonekana anavuta hata bhangi kwa kauli zake za kilevi hizo,tunamuomba Allah amjaalie uongofu

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 Місяць тому

    Maashaa Allah Jazaka Llahul khayr 😊

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Місяць тому +1

    Nahii ni tija ya kukaa na watu wa bidaa, matokea yake ni kukuambukiza magonjwa mabaya kama haya na mpaka unafika kuyatangaza!
    Subhaana Allaah

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm Місяць тому

    Huyu ndugu yetu napo fanya utafati basi ajaribu kufuatilia kielim kuliko kufikiri kwa kichwa chake tu mwisho unaweza kufikiri kisha ukapinga KUFUFULIWA kwa hoja kama hizo zilizo kuonesha hakuna azabu za kaburi ALLAH ATUONGOZE

  • @SheikhAbulHussein
    @SheikhAbulHussein Місяць тому +11

    Hilo SI ustadh ni mlevi kwani halioni sheikh Mohammed nassor bachu usichoke rekebisha

    • @athumanikhamisi3377
      @athumanikhamisi3377 Місяць тому +1

      Ushamshuhudia akinywa huo ulevi?😮,usimtuhumu mtu usiemjua japo Kwa udhaifu wa ujinga wake.

    • @Abutwaibah001
      @Abutwaibah001 Місяць тому +1

      Sura lake utajua wazi halija soma

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Місяць тому

      ​@@athumanikhamisi3377Ulevi Si wa Kunywa Pombe tu (Ulevi ni Kuvurugikiwa Akili) Bali zipo sababu nyingi.
      Kwa Dhana yake, Maelezo yake na lmaan yake anaonekena hayuko sawa KiAkili/amechanganyikiwa (Mlevi).
      Kama anadhani, anasema na Kuamini hivyo (eti hakuna Adhabu ya Kaburini) Kwavile tu baadhi ya Watu hufa Maji (Baharini, Msituni, Huteketea Kwa Kuuunguwa Motoi nk) Maiti zao hazipatikani na hazizikwi Kaburini/Ardhini
      Je, kwani Nini Maana/Tafsiri ya Kaburi (Kazi ya Kaburi)?!
      Kaburi ni Sehemu atakayowekwa/atakayohifadhiwa Maiti Hadi Siku ya Ufufuo/Siku ya Kiyama.
      Bahari, Misitu, Wanyama nk (Viumbe) wote wa/vyote vya Duniani, viwe Hai au Maiti huishi Juu ya Mgongo wa Ardhi/Ndani ya Tumbo la Ardhi Hadi Siku ya Ufufuo/Siku ya Kiyama.
      Je, anao Uwezo wa Kujuwa, Kuona na Kusikia Adhabu anayopewa Maiti/Mfu hata alomshuhudia alozikwa Kaburini (hakuliwa na Simba, hakuzama Baharini, hakuliwa na Nyoka nk)?.
      Kaburi la Mja/Mtu (Kiumbe) ni Popote atakayohifadhiwa/atakakapokaa Milele Maiti/Mfu Kwa Kusubiri Ufufuo/Kufufuliwa-Kiyama.
      Haiingi Alilini Kwa Mtu/eti Mhadhiri wa Kiislamu Kudhani, Kusema na Kuamini hivyo🙌
      Kama anadhani, anasema na anaamini hivyo lnamaana huenda Hata lmaan yake ktk Uislamu ni ya Mashaka (miongoni mwa Nguzo 6 za lmaan ni Kuamini Kufufuliwa). Je, haamini Kuna Kufufuliwa Waja/Watu- Viumbe?!🤫🙆
      .
      Kama anaamini Kuna Kufufuliwa je, Wafu wake/watu-Maiti wake/Maiti wetu walozikwa Makaburini Watafufuliwa Vipi ilhali Wameishi/Wanaishi (tutaishi)Makaburini Kwa Miaka Mingi na Miili yetu/Mfupa yetu inaoza/itsoza na Kuwa Udongo/Mchanga.
      Usimtetee Mtu (Mjinga/anaye Kufuru)🙌 Kosa analofanya/alilofanya (Kufuru/Kuwashawishi Watu Wakufuru) ni Kosa Kubwa mno Kuliko Kosa la Kutuhumiwa Mlevi.

    • @SheikhAbulHussein
      @SheikhAbulHussein Місяць тому

      @athumanikhamisi3377 asnte nimksea nsmhni

    • @athumanikhamisi3377
      @athumanikhamisi3377 Місяць тому +1

      @@SheikhAbulHussein allah atuswaamehe sot e,mkamilifu ni yeye pekee.

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 Місяць тому

    Shukran mwalimu wangu ❤❤

  • @MohamedKilindumbo
    @MohamedKilindumbo Місяць тому

    Jazakallahu khayra

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 Місяць тому

    Hhhhhhh ata na mimi nimecheka eti vitisho vya masheikh

  • @user-yassir695
    @user-yassir695 Місяць тому

    Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh

  • @NassirKheri
    @NassirKheri Місяць тому

    😂😂😂 huyu hajasom ata kidg bc ata hadithi za mtu nying tu hazijui,subahanallah dah jamn tusomeni

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 Місяць тому

    Hata uwezo wa Allah haujui kabisaa.

  • @SheikhAbulHussein
    @SheikhAbulHussein Місяць тому +2

    Hilo lapanda kwa mimbar lahutubu tu ila halimo hilo halinia Imani na halijasoma

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 Місяць тому

    Waalaykum salam warahmatullah
    wabarakatuh

  • @ShamsudeenOmary
    @ShamsudeenOmary Місяць тому +1

    Jazakallahu khyran... Shaykh jitahidi kujibu messages whatsapp

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi Місяць тому +3

    Sheikh bachu huyu jamaa kwnz alivyokalia tu unajua km sio mtu wa dini na pia huyu jamaa amekalia kua ni m2 anaetafuta kiki ktk mitandao ila dhamira yake allah anaijua lkn ww ppte utapoona kosa na uwezo allah amekupa bc rekebisha kaka amin kw allah fungu lako lipo InshaAllah

    • @MbwanaHusein
      @MbwanaHusein Місяць тому

      Kweli dugu uyo nimjinga sana mm nakutanaye sana yupo zanzibar

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota Місяць тому

    Uyu jamaa ajielew kabisa lkn pia mbn sheikh muhamad ajajib vzr swal la jamaa adhab ya kabur ....lakn ajibiwa ataazibiwa barzakh kwa ataadhibiwa karibun au barzakh

  • @abutafawa
    @abutafawa Місяць тому

    نسأل الله السلامة والعافية..

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 Місяць тому +1

    Wahadhiri tafadhalini mkae ktk nafasi zenu za kuhubiri bibilia msilete utapeli ktk dini,juzi hapa mmetuletea sharifu feki.

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 Місяць тому +1

    Wahadhir mukae kitako musome kusoma kwaajili ya midahalotu huwo niuchache wa elimu kusoma bibiliyatu haitoshi wengi wenu hamna elmu hata Quran munasoma makosa tele ukweli usemwe

  • @jumaothman4411
    @jumaothman4411 Місяць тому

    Lkn watu wengi wenye uwelewa mdogo wa dini huuliza ili suali

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 Місяць тому

    Huyo si katika MazingeMazinge hawako kama yeye.Umekosea.

  • @ntakirutimanavicent-lj2tn
    @ntakirutimanavicent-lj2tn Місяць тому

    😂😂😂😂😂 Huu nae ni Sheikh eti??

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 Місяць тому

    Huyu bwana kauliza suali muhimu sana lakini waislamu wengi tushalishwa na masheikh tokea tukiwa wadogo kua kuna adhabu ya kaburi ukweli ni kwamba mtu anapokufa hua hana hisia tena anakua kama mtu alielala tu na kwa hiyo hata kaburini hakuna adhabu,Allah ni muadilifu hawezi waadhibu watu kabla ya siku ya kiama,watu watahukumiwa kwa mujibu wa makosa yao siku ya kiama ndio waingizwe motoni, swahihil bukhari sio hoja, hoja ni Qur ani kitabu cha Allah kisichokua na shaka ndani yake, aya ulioisoma haioneshi adhabu ya kaburi,

    • @masudihemedi5488
      @masudihemedi5488 Місяць тому +1

      kaa chini ndugu yangu usome acha maneno yako ya ujinga hayo

  • @abeidsamsung
    @abeidsamsung Місяць тому

    Mm kila mda nilikua nachek bachu kasema nn mpaka nikahis uenda ukawa mgonjwa !!!

  • @AwadhTariq
    @AwadhTariq Місяць тому

    Alhmdllh sheikh Mohamad nimekuelewa lkn nina swal kwenye suala la picha na masanamu. Je picha za kuchora kwa mkono je ni vp hapo??

  • @faridbashuu
    @faridbashuu Місяць тому

    Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
    Katika Video Hio Hata anachekeshaa 😂😂 Kumbe ni kukaa na kufikiria kwake 🤣🤣 Hii ni ukosefu wa usingizi...

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr Місяць тому

    Hili jamaa nawasiwasi sio muisilamu baadae atahoji uwepo wa mungu hajamuona wala hakuna aliemuona

  • @AhmedMohamed-mw3ev
    @AhmedMohamed-mw3ev Місяць тому

    Huyu katumwa tuu na makafiri wenzake kama umemsikiliza vizuri sana utajuwa huyu x muslim yasikilizeni maneno yake ya mwanzo alipo anza kuongea muhamad Allah azidi kukupa nguvu za kutuweka sawa

  • @aooshosho4255
    @aooshosho4255 Місяць тому +1

    Kikweli huyo ndugu elimu yake ni chache maana kusema masheikh wanatutishatisha Tu...sijui ni Jambo gani sheikh yeyote atalizungumzia kaa chimbuko lake si maneno ya Allah kisha MTUME wake...so moja Kwa moja kuwa na Shaka Kwa mafundisho ya masheikh Sawa na kuwa na Shaka Kwa mtume... labda Jambo Hilo halikuthubutu Kwa kuongewa na Allah ama mtume wake.

  • @makameally1962
    @makameally1962 Місяць тому

    Huyo sio shekh nashisi ni mkristo

  • @ShaibmbaroukHemed-mi5rf
    @ShaibmbaroukHemed-mi5rf Місяць тому

    Unajua shk muhammad huyu hafahamu llote nasimsomi wala sio msikilizaji nimtu anasema apendavo tu kama anaambiwa nimsomi anatoa muhadhara bc vizuri kwanza apelekwe akapimwe nafikiria hayuko sawa kama anawatolea watu mihadhara nahali ndiohiyo bora akafanyiwe vipimo pengine zimepungua kidogo

  • @Muswlih
    @Muswlih Місяць тому

    Tumekumis mda mrefu kk

  • @makameally1962
    @makameally1962 Місяць тому

    Shekh hawezi akatamka maneno kama hayo

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 Місяць тому

    Tumeiacha Qur ani tumeshikamana na vitabu vya watu vya hadithi kisha tunamsingizia mtume Kasema hii ni khatari sana.

  • @eidallyeidally5093
    @eidallyeidally5093 Місяць тому

    inaonyesha jamaa hakai atahiyatu au anasoma zile dua kisha hazifahamu tafsiri yake

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 Місяць тому

    Njia nzuri ya kumpa mtu elimu juuu ya maisha ya barzai ni kumuambia ni maisha ya kiroho, roho yake ndio itaadhibiwa sio mwili, mfano mzuri ni kamtu alalapo huota ndoto sasa kuna ndoto nzuri na ndoto mbaya,
    Kwann mtu huota ndoto, mtu akilala roho yake inatoka kwenda ktk ulimwengu wa roho(barzai) huko ukutana na roho za waovu wezake na kuanza kupata adhabu, akishtuka anaanza kusema ni meota ndoto mbaya,
    Na hivyo hivyo kwa mtu mwema yeye huota ndoto nzuri,

    • @YunusMakame-l6n
      @YunusMakame-l6n Місяць тому

      Adhabu ya kaburi inathibiti kwa roho na mwili Ndugu yangu

    • @imranjuma1197
      @imranjuma1197 Місяць тому

      @@YunusMakame-l6n mwili unaoza man
      Fikiria tena
      Swali ulisha uta ndoto mbaya?

  • @Abutwalhamwanyuki
    @Abutwalhamwanyuki Місяць тому

    Sio kila mtu ajibiwe hapo mmemkuza jambo lake.

  • @MwanaidAmri-y6x
    @MwanaidAmri-y6x Місяць тому

    Anachekesha kwel😅😅😅😅 ety anatutshaa

  • @hajimasoud7210
    @hajimasoud7210 Місяць тому

    Sheikh bachu vipi kuhusu diwani aliamua kuacha aendelee kupotosha watu

  • @BizimanaYahya-t9d
    @BizimanaYahya-t9d Місяць тому

    Mbona umesimamisha darsa ya lugha

  • @jumaothman4411
    @jumaothman4411 Місяць тому

    Yani pumba ili linaitwaje shekh
    Kwa kwetu tunasema pumba tupu

  • @engineerjuma9876
    @engineerjuma9876 Місяць тому

    HUYO LINDA NI PUNGUANI WA AKILI MWEHU SI LAZIMA UVUE NGUO AU ULE MAVI KWA JALALA MAELEZO YAKO TU YATAJULISHA UPOGO WAKO WA AKILI

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 Місяць тому

    Haamini hata ghaibu,hadith na hata haamini utume.Hajasoma na mimi naona si kweli kuwa huyo ni sheikh.

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h Місяць тому

    Huyu hajasoma dini hasa somo la Aqida (itiqadi)

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Місяць тому

    Apa sasa umeongea ukweli yule jamaa ni mlevi tu?

  • @JumaBakari-ii5uz
    @JumaBakari-ii5uz Місяць тому

    Sheikh muhammaddi allah akulipe kheri tatizo kubwa huyu hakuelewa maana ya kaburi tu.والقبر :هو منزلة بين الدنيا واﻵخرة ،ولذالك يسمى بالبرزخ،ﻷن البرزخ: هو الحاجز بين شيئين ، قال تعالى(مرج البحرين يلتقيان)بينهما برزخ ﻻ يبغيان )سورة الرحمن .

  • @hajiameir3832
    @hajiameir3832 Місяць тому

    Daaa huyu jaama yenyewe hawamo

  • @ntakirutimanavicent-lj2tn
    @ntakirutimanavicent-lj2tn Місяць тому

    Kinacho pata adhabu Sio mwili mwili unaoza fasta

  • @AlHabibuJuma
    @AlHabibuJuma Місяць тому +1

    Ilo jamaa nihuni tu linaenda kula bar nakuna pigwa miziki nawanawake waajabu

  • @MwalimAhmed
    @MwalimAhmed Місяць тому

    Sio Mhadhiri uyo jamaa tu.

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm Місяць тому +1

    Shk mbona sijaona baya katika kuliza kwake lakini ulivyo anza shk wangu nilizani mulizaji amekejeli na kutukana kumbe yeye amehoji kwa sababu ya shaka yake na kutokujua kwasababu ya kukosa elim....kwa unyenyekevu shk wangu nakuomba unapotoa faida usitoe kauli za kuwadogesha wasijua

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 Місяць тому

      Shida ni kuwa amehoji jbo ambalo ni nguzo ya iman
      Ni sawa na mtu kuuliza kuwa haoni umuhimu wa swala

    • @HarithAlyhamadi
      @HarithAlyhamadi Місяць тому

      Hasa wew Kam kakusudya kuuliza kwanin asitafute mashekhe privet akauliza maana ivyo alivyo uliza nikama haamin iv nakuna kauli asa kasma kuwa tunatishana hasa wew unajuwa niwatu wangap ashawapotosha kuptya mfano wake km kakusudya kuuliza ili apate faida mashekhe wamejaa kila kona angeuliza nasoo kwenye mitandao km iv kwasababu wanaangaliya weng nakila moja na faham yake hapo anaweza kuwapoteza wengi kuptya ilo

    • @HarithAlyhamadi
      @HarithAlyhamadi Місяць тому

      Halafu kwan uyo bachu kamjbu vbya au au nawew ndowale wale sikajbu kistaarabu t

    • @KubwaKuliko-dk4bm
      @KubwaKuliko-dk4bm Місяць тому

      @@HarithAlyhamadi tumepata elim tumejifunza mengi kajibu vizuri sana...maoni yangu mm yapo mwanzo alio anza nao shk

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Місяць тому

      Kwani kuyatilia mashaka maneno ya Allah ikiwa muislamu so kejeri? Hiyo inamana huyo Ana wasi wasi na uwezo wa ALLAH subuhana huwa taala shekh. Kusema kufisha tisha watu ni kejeli tosha

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 Місяць тому

    Ndo uislamu upo hapo?

  • @AbdillahBakar-qx9sr
    @AbdillahBakar-qx9sr Місяць тому

    Huyu kwan sheh au mpika dawa kama yusuf diwan mana tujue

  • @abuujamsheed2345
    @abuujamsheed2345 Місяць тому

    Maandalizi tu Hana pia ndo maana anaogopa

  • @alifoum6236
    @alifoum6236 Місяць тому

    Kwani huyo ni muislam ?

  • @spartachize122
    @spartachize122 Місяць тому

    Haha ati amekaa akafikiria, mwisho akaamua kwamba anahisi adhabu ya kaburi ni vitisho vya mashekhe tu😂😂😂

    • @saidfhamad
      @saidfhamad Місяць тому

      😂😂😂 Sijui kama anaamini kufufuliwa baada ya kuwa mchanga 😂😂

    • @spartachize122
      @spartachize122 Місяць тому

      @saidfhamad haha sidhan kama anaamini hyu 🤣🤣

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Місяць тому

    Yan mtu et Kwa akil yake anajitia kuwaza mambo ya elimu, elimu ya dini hahtaji uwezo wako wa kuwaza bali ni kusoma.

  • @AhmedMohamed-mw3ev
    @AhmedMohamed-mw3ev Місяць тому

    Muhammad huyu jama x muslim tupe elimu tuu lakini jama x muslim

  • @BizimanaYahya-t9d
    @BizimanaYahya-t9d Місяць тому

    Sheikh twataka darsa ya lugha

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e Місяць тому

    Unakuta huyo mzushii ndo anahesabiwa shekh.katika safu za watu watwarika,, yani ni watu ovyo ovyo tuuh, wengine wanahalalisha mziki,,, ndiomana wema waliotangulia walijitenga kukaa na wazushi mwisho ndo unapata talbisi kama hizo, ndo mashekh zao watwarika hawoo kina mazinge quruani yenyewe hawajui kuisoma na wakisoma wanaisoma kimakosa,,, wengi wao hudonoa donoa tafsili za kiswahili,,,, ufananisha na biblia,,, ana mashaka na uwezo wa Allah😂😂😂 daa kabla ya hivyo siilibidi ajiulize kwani mbona ametoka kwenye maji dhalili na hakuwepo kabla hajawepo alikuwa wapi mpk akaja kuwepo

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Місяць тому

    Huyu sio shekhe ni mjinga alie ghurika na ujinga wake tu

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 Місяць тому +1

    Kwanza kaomba apewe elimu✍️
    Kwann itumike lugha mbaya juu yake kama mjinga jahili… yeye kaomba darasa la kielimu haina haya ya kejeli,
    Alafu nyie wafuasi wa Bachu tumieni akili juuu ya comment zenu, sio kil kitu mnakitolea hukumu,
    Nb;acheni jazba

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud Місяць тому +1

      Ipo hivi,,, kama alikusudia kuuliza kwa nn aje kuuliza tiktok (mitandaoni),,, masheikh mitaani wapo,,, masheikh namba zao zipo,,, huyo kakusudia kutoa challenge,,, so yeye ni jahil juu ya hili.

    • @imranjuma1197
      @imranjuma1197 Місяць тому

      @ dunia kijiji?

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud Місяць тому

      @@imranjuma1197 Unamaanisha nini?

    • @imranjuma1197
      @imranjuma1197 Місяць тому

      @ katumia teknolojia kuuliza swali,
      Pia kajibu kupitia teknolojia iyo iyo😂

  • @IddyHasani-n2t
    @IddyHasani-n2t Місяць тому

    Swadkata

  • @RayaAli-y9j
    @RayaAli-y9j Місяць тому

    Huyo ni selfish kama nyinyi

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 Місяць тому +1

    Jahili kufari ilo jamaa

  • @slymsameer5415
    @slymsameer5415 Місяць тому

    Umekosea huyu sio muislam tena usimfananishe na akinamazinge pls huyu hajui chochote maana adhabu ya kaburi si mashekhe wanaozungumza ni mwenyezimungu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Місяць тому +1

      Si mashekh zenu wakitwarika hawoo ndo mnawatetea kazi ipo siku ya kiama

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp Місяць тому

    Akili usii0e nafasi juu ya mambo yaghaibu ysliyokuja katika kuran na sunna ukiipa nafasi akili yako utakuwa huamini ghaibu hivyo utakosa kuamini nguzo kubwa ya iimaan na mwisho utakua kafiri

  • @MbwanaHusein
    @MbwanaHusein Місяць тому

    Shekhe uyo nijinga kupitiliza alafu nimuogo sana atasala hana uyo muunitu kama wauni wengine

  • @SaidiBakari-kl1gu
    @SaidiBakari-kl1gu Місяць тому

    BAADHI YA WATU HATA WENYE ELIMU NDOGO YA DINI WANAFIKIRI ADHABU YA KABURI ( MAISHA YA BARZAKHI) NI YA MWILI(KIWILIWILI) KWA HIYO NI JUKUMU LA MASHEKHE KUELEZEA( KUFAFANUA) KATIKA MAWAIDHA MBALIMBALI KWAMBA MAISHA YA kABURINI(BARZAKHI) NI MAISHA YA KIROHO( SPIRITUAL LIFE) TATIZO HILO NI KUBWA SIYO HUYO TU

  • @RayaAli-y9j
    @RayaAli-y9j Місяць тому

    Ni saliafi

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 Місяць тому

    Hata uwezo wa Allah haujui kabisaa.