Safari ni ndefu saana so mungu ajalie afikie malengo yake na pia babu tale support kubwa saana inaitajika kwa huyo dogo kimaisha na kimuziki pia bless 🙌
Home training 🤔🤔🤔...kuna kitu kwake but you guys better start na kumrekebisha tabia.. he's young I'm sure hajaweza kuelewa bado as the time goes atajifunza..."he was suppose to stand up while greeting Babu Tale....nimefurahi kusikia atapelekwa shule I'm sure Tale wants to take a very careful steps with him..Mungu awatangulie na awabariki..God is good
Sema wasafi wamezingua kweny hii interview ya Dogo haikukaa vzr inaonekana hamkumuandaa na mkawa mnamuuliza maswali magumu sana soo akawa anashindwa hata namna ya kujibu
Daa mungu akitaka kukuinua haangalii umri kweli Huna bud kusema asante mungu dogo mungu azid kuwa nawe nimefrai mpaka machoz yananitoka daa babu tale mungu akuzidishie kila jema kwamoyo wakuwainua wanyonge❤
Dunia imebadilika sana kitu ambacho kinatakiwa kwenye maisha ya founder tz ni kuendeleza kipaji chake kwa njia ya professionalism kwa sababu mungu aligawa vipawa kwa watu wake. Na hii wazungu wana tumia sana kuliko waafrika sasa hapo kuna umuhimu gani wa kumpeleka secondary wakati nowadays kipaji ni taaluma pia.
Nyie wote wasenge mnaosapoti ukuma huo nyie mnadhani kama mlifeli nyie ndo kila mtu afeli kam nyie acheni ukuma eti kipaji acheni dogo aende Shule mbwaaa nyie
Babu tale mungu akubariki kwa kumsaidia huyi mtoto kwanza kumpa eliminate hata apate kujua vizuri kuingia kwenye mziki tu hatu ukizilumiwa mahesabu yako hujui
Angepelekwa shule inayohusiana na music ingekuwa poa sana maana music ni kipaji inatakiwa kiendelezwe. Biology,geography, history etc haitamsaidia sana katikati kipaji chake
Watanzania sijui kiswahili sana lakini the ideology, african socialism or communism is really doing great. People are helping one another most so other kids like their kids. You're better than Kenya.

Kabisa
👍Never shake someone's hand while standing
Kusimama ama kuketi ni chaguo lake si lazima
@@razzienmusasia2531 sijui umelelewa vipi ila ukiwa mdogo mkubwa wako akikupa mkono tena akiwa amesimama unatakiwa usimame... period
Alipaswa asimame
Babu Tare mungu akubaliki sana kwa yote kwa mtoto huyo na akimaliza masomo ndio awe mwanamziki bora.❤❤❤
Oya vipi?mie naishi huku Canada ebu nataka uniambie kuhusu babu Tale,mbona anaheshimika sana nchini TZ ni mtu Gani?
Sawa
babu tale ni meneja wa mzk mkubwa hapa tz,na n meneja wa wcf nzima na mengine meng ningeelezea sema mda🎤
@@sebatz-c1r ahsante san hili jibu nilikuwa nimelisubiri san
@@methodnkundumukiza6367 sawa babu tale anaheshimika sana na wasanii
Daaa watu wanatofautiana Sana moyo Kama Babu tale Mungu kampa moyo xana uyu broe daaaa
Sema wasafi wamezingua kweny hii interview ya Dogo haikukaa vzr inaonekana hamkumuandaa na mkawa mnamuuliza maswali magumu sana soo akawa anashindwa hata namna ya kujibu
Mungu. Akutangulie. Mwanangu
Founder Tz 💪
Wow sawa 👏👏👏🙏🙏🙏
Kweli ata mm nilitarajia kuona hicho kitu Asimame then amsalimie Mh tale kweli anahitaji maadali
Founder Tz big up
Daa mungu akitaka kukuinua haangalii umri kweli Huna bud kusema asante mungu dogo mungu azid kuwa nawe nimefrai mpaka machoz yananitoka daa babu tale mungu akuzidishie kila jema kwamoyo wakuwainua wanyonge❤
Mashallah
Mungu ambariki dogo
Mashaallah wow ❤❤💞💞🤗
Elimu kwanza ❤❤❤
Dogo ameweza tz
Eduction is the best of all then talent next
King 👑 👑 found TZ
❤❤❤😊😊Wow🎉🎉
Wow mdogo uko sawa keep going
Iyo imeenda
Dunia imebadilika sana kitu ambacho kinatakiwa kwenye maisha ya founder tz ni kuendeleza kipaji chake kwa njia ya professionalism kwa sababu mungu aligawa vipawa kwa watu wake. Na hii wazungu wana tumia sana kuliko waafrika sasa hapo kuna umuhimu gani wa kumpeleka secondary wakati nowadays kipaji ni taaluma pia.
🙌🙌🙌 yaan kiufupi watampoteza dgo mwenyew ukimuon kashitka alivyoambiwa kusom
Ndo shida ya bongo wanakupeleka nje na kipaji Wangempeleka hata course ya kingereza
Nyie wote wasenge mnaosapoti ukuma huo nyie mnadhani kama mlifeli nyie ndo kila mtu afeli kam nyie acheni ukuma eti kipaji acheni dogo aende Shule mbwaaa nyie
Many’s thanks 🙏🏽 babu Tale this new generation to come new hot hot vib
Nakupenda Sana mdogowangu pambana kikubwa nikupambana na sio kukata tamaa kifupi unaweza pambana sana
I love the education empowerment part so that he can know how to sign his contracts and stand up for himself 👍👍
Dg anawez msaidien
Big up baby Tale, elimu ndiyo kila kitu
Oya vipi?mie naishi huku Canada ebu nataka uniambie kuhusu babu Tale,mbona anaheshimika sana nchini TZ ni mtu Gani?
Babu tale mungu akubariki kwa kumsaidia huyi mtoto kwanza kumpa eliminate hata apate kujua vizuri kuingia kwenye mziki tu hatu ukizilumiwa mahesabu yako hujui
Oya vipi?mie naishi huku Canada ebu nataka uniambie kuhusu babu Tale,mbona anaheshimika sana nchini TZ ni mtu Gani?
founder dg anaweza
Angepelekwa shule inayohusiana na music ingekuwa poa sana maana music ni kipaji inatakiwa kiendelezwe. Biology,geography, history etc haitamsaidia sana katikati kipaji chake
Masomo ya music iko bei
Mwenye zimungu afungue milango dogo ukienda shule fata kusoma mungu akusimamie babutare uishi miaka Mia uwasaidie na wengine
Oya vipi?mie naishi huku Canada ebu nataka uniambie kuhusu babu Tale,mbona anaheshimika sana nchini TZ ni mtu Gani?
❤🎉❤🎉❤
Babu Tale kweli mluguru yaani full libamba 😂😂😂😂😂
Watanzania sijui kiswahili sana lakini the ideology, african socialism or communism is really doing great. People are helping one another most so other kids like their kids. You're better than Kenya.
Dogo namuombea kwa mungu ajalie
Elimu Kila kitu big up Babu tale
Kabisa
Naitadji sapoti hâta mimi ni mwana mziki nafanya style rap
Dogo namuombea kwa mungu ajalie🎉❤❤❤ 3:43
Mu. Saidie2 sio leo 2
Hii haijakaa sawa,,Hawa waSafi wanaroho mbaya
Fanya ww mwenye roho zuri
Ulitaka wafanye nn we Kuma
Hongera sana dogo
Dodo ndoto yake ni music mwamoeleka schools khaa sawa hila sizani kama opo schools atafanya vzr.
Usiweke akili zako kwenye akili ya mtu kama ulifeli ww sio kila mtu atafeli
Voice brand asante babu tale tale
Big up tu sn keep it up congratulations gg job ❤❤
Founder Tz
Kila laheri kwake
apelekwe kwenye elimu ya mziki na sio hizo what is biology?
🎉
Na Mimi Nina kipaji natafuta sapot yenu
Nipo Kenya huyo dogo mkali sana napenda sana ngoma zake
Dogo you're talented
Maskini hadi raha 😂
Jaman uyu dog tumsapot anakipaj npeni like zang
Oya vipi?mie naishi huku Canada ebu nataka uniambie kuhusu babu Tale,mbona anaheshimika sana nchini TZ ni mtu Gani?
Dogo anajua sema anapelekwa shule kwanza ila bongo acha 2
Hujui umuhimu wa elimu kaa kimya kale maandazi ya Amida Ulale 😢😢😢
Sasa utaki apelekwe shule😂😂 sikuizi hata kazi za ndani zinaotaji wasomi
@@Mr.Queentz you replayed on me on to @chazypantony7133?
@@abiaslimadyanse1842pengine mwenzenu amekusudia kusifia ila kashindwa jinsi ya kuelezea tu😅
Foundertz
dgo unajuwa
#tale mtu na Nusu ajengewe Sanamu kila mkoa
Hapo pa elimu Babutale🫡🇰🇪
wamupe nafasi tu kwaza
Babu tale umeuwa sana dogo uyo nikama madini
Dogo namkubali sana
Nisapot najua kuimba nisapot
Nisapot namimi
Poa niambie bs naitaji kufanya kazi
Lespluspopulaires
Dog
Huyo dogo ni mkongo au mtanzania anajua sana dog
🎉