Founder TZ - Mfano (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 31 тра 2024
- Music video by Founder TZ performing (Mfano),The song is about Zabibu, a young girl who was raised well and she is one of the young girl who society love to see as her behavior is very fondly, The music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Folex.
Stream/Download - ziiki.media/Mfano-FounderTZ
Listen to Founder TZ on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/foundertz/song/...
Apple Music: / founder-tz
Spotify:open.spotify.com/artist/4LiVq...
Connect with Founder TZ on Social Media:
Instagram: / iamfounder_tz
+For More Information Booking Founder TZ Management:
Contact for Interview or Business:+255 717 192 251
©2024 Ziiki Media All rights reserved.
#FounderTZ #Mfano #Zabibu
Kwanza dogo namkubali, tumezoea nyimbo Kali lazima ziongelee mapenz ila dogo nyimbo zake ni maisha mengine, kama umemwelewa kama Mimi nipe likes hapa
Ata hapo taari anasifu dem😂
Umeuelewa huu wimbo mzee hapo anasifia tabia za mtoto mzuri au mtoto mwenye heshima ndo maana anasema tuige mfano @@MejumaaNikaull
@@MejumaaNikaull,,😂😂😂
1:27
0:00 0:00
Kutoka +254 hadi Tz nipeni hata likes mbili tuu jamani ❤❤
❤nipenda hiyo song ya hoyo dog❤❤❤
Super talent hapa. Wow
Zimetosha sasa au tuendelee kulike?
@@AliphonceMartina endeleeni tu akuna noma
@@AliphonceMartina bado haijatosha 😂😂
Mimi ni mtanzania naomba likes kutoka Kwa wakenya na waking wakongoman
Tuko nyuma yenu watanzania we love you from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tunawapeda sana watanzania,,,
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
andika na kizungu
@@IanKipkosgei-sl2mpNyimbo ya kiswahili kwann aandike kizungu? Ukoloni umekushika wewe kizungu ni lugha tu na hao wazungu wameshaharibika sasa wamekuwa mashoga tu
Dogo anaweza tena sana.. much love from kenya 🇰🇪 nipeni like watanzania
Kama unaamini huyu dogo anaweza kweli nipee like jamani
Akibarehe saut ikibadilika mmmh
Anaweza kabisa
ua-cam.com/users/shorts-0pc5gq3lMk?feature=shared
Fight young man, may God bless you with your talent, you are very capable if God continues with your talent
Mtoto mzur n yule mwenye sifa nzuri nyumbani, uandishiii mzurii, wapi like za msanii wetu❤
Kwel
Apo sasa
Kipaji hakijifichi aisee Wimbo mzuri, ujumbe mzuri hongera sana mdogo wetu Mungu akujalie yaliyo mema💪
ua-cam.com/users/shorts-0pc5gq3lMk?feature=shared
Jamani hakika kipaji cha kweli hakijifichi hii nyimbo siku 11 tayari ni trendingi hakika dogo anajua sana asee kipaji kikubwa from kg nipe like zangu
My likes jameni all the way from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 also
ua-cam.com/video/celraJ9_FlU/v-deo.htmlsi=tIjjU2wvsEnu6fC7
My country people🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huyu Dogo n kiboko
Jirani kaskia nikiusikiliza wimbo huu akaja tusikikize kwa pamoja na hivo ndo nimemkula..wapi like za bonge la hiti
😂😂😂😂😂😂
Ona Sasa 😂😂
😂😂😂😂
Mmmmh 😂😂😂😂
😂😂😂😂una mambo jamani
Mm ni mkenya lakn huyu kijana ameweza kabiza vuma mpaka dunia ishangae 🙏🙏
Like za Wakenya💯💯🇰🇪🇰🇪❤❤
Mkikubali msanii mwenye kujenga jamii basi founder tz ana stahili. Sababu WCB kuna:
- msanii Rushall vumbi Diamond
- wa mapenzi Zuchou
- sengeri Mboso NA D Voice
- sisi jamii, walimu, ma pastors tuna itaji founder TZ aongezwe ili sapoti WCB iwe juu zaidi!!!
From Malawi 🇲🇼 likes zenu
Hongera mdogo wangu mungu akulinde
Kutoka Burundi 🇧🇮 mpaka tz likes Tatu tuh jameni founder tz powa sana😂😂😂
Katokea Congo
🇧🇮❤️
Huyu ndiye atakae kuja kuwa mridhi wa Diamond Platnumz🎉
Walai hpo n ukweli 🎉🎉🎉🎉
Sasa diamond anaimba nini si matusi tu
thus it
enyewe
ua-cam.com/video/KfRjKAeQGMo/v-deo.htmlfeature=shared
Kipaji kikali hongera wewe mdogo Naupenda wimbo huu sana tangu Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🥰🥰🥰🥰💯💯💯💯🎉🎉🎉🎉
ua-cam.com/users/shorts-0pc5gq3lMk?feature=shared
Trending no 10 in Kenya 🇰🇪, wapi LIKES za 🇰🇪
Watching from Kenya 🇰🇪 dah dogo talent unayo kali sana ❤❤ wap like za kenya
Vip bur
Hii haina mfano, Sauti ya Vanny boy na mpangilio wa Konde... Napenda hii nyimbo kuliko nyingine yoyote. Kama tuko pamoja nipe like hata
🎉❤
❤❤❤
Zabibu ndo mm
❤❤❤
San dogo yupo vizur
Kama masiala founder Tz anaanza kuendesha range anaikomboa familia, njia za Mungu hazichunguziki🙏🧎
Amen
Hey nairobi Kenya,,,,kijana huyu mdogo ako n kipawa sana...wapi likes za kenya❤
Mungu akutangulie mdogo wetu kwenye mziki wako hata sisi tunapambana tupatane naombeni like zenyu kama mnakubali
Likes za mafans kutoka 254 jamani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Very talented boy
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sauti nzuri imetulia🎉🎉🎉
❤ napenda mziki wako bròò naitwa jackson kutoka kakumuti kitui county Kenya nakutazama
Hili goma la moto kama wewe ni mzabibu weka like
Mi mzabibu nakuja😅😅😅😅😅
Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Uugcc
Ungekuwa wimbo wa mapenzi na amapiano mpaka sasa ungekua ushaingia trending no 1 ndani ya saa Moja ila kwa kuwa watu hatutaki kusuport nyimbo zenye Ujumbe mzuri kama wa huyu kijana Sitashangaa kuona wimbo haupo kwenye trending no.1 mpaka kufikia saa 24.
Povu linaruhusiwa😂😂
😂😂😂😂
haki dogo mimi kama champion nimekupenda bure all the way from +254🇰🇪 to Tz 🇹🇿 mnipee likes tano to please
Kipaji kama hiki ni wachache walio nacho big up sana!!!!
Dogo anaweza I say,,,Unamuamini Founder Gonga like then upite 2...kenya love.
Pitia ndug zang
Nakubali Sana Ngoma zako kakaa mkali nakubali nikiwa Kenya ,,wakowap wanaikubali Ngoma yahuyu mdogo wangu ,,hebu like apa❤❤❤
What a song.
Nimesikiliza usiku kucha
Keep going Founder TZ
Ameshinda Simba la masimna❤❤🎉
kama una mukubali founder tz ngonga like kwangu
Zabibu wangu uyo ❤founder usini ibe binti wangu ❤kma umempenda zabibu naomba like❤
❤❤🔥🔥
Zabibu wako kafikiwa😂😂
💥💥💥💥💥
Mama zabibu me ndo wakwanza kumpenda zabibu wako
Me Abdul vijora kariakoo kwa msomali
Hii ndio huwa inaitwa maisha ni kujipanga mapema ama❤️🔥🔥🔥
Dogo aisee we nomaaa
Mungu akupe Kudumu na hekima usibadilike
mimi mkenya naukubali mziki wa FOUNDER TZ. wimbo wenye maadili mema
Uyu dogo mnoma,wapi likes zake,from 254 🇰🇪
Yangu ndio ya 99
At least kuna wimbo wenye kufunza maadili mema...love you kid...go go go!!!!
You are a star in making big up sana .....thats unaimba vizuri sana..keep it up
Mych love toka malawi 🇲🇼
Nipeni like jameni
Creativity beyond measure.... I love this.... Representing KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tupendane jamani from kenya Nairobi all the way to Tanzania is not a joke,,,,nipewe likes ❤❤❤❤❤
Mungu amtie wepesi atobowe
Dogo upo vizury sana hongera nakubari mungu akujalie
LOVE FROM NAIROBI KENYA❤❤❤
WAPI LIKES ZA KENYA
Tufikishieni huyu dogo views million moja kwa masaa 24 jamani❤❤
Ingewezekana hata milioni mbili ingekuwa vizuri zaidi
Kweli kabisa mungu atakujalia utafika mbali nikua uwe unajiamini kwakile unacho kifanya❤❤❤😊😊
I'm from Liberia 🇱🇷 West Africa 🌍 I love all your music 🎶 🎵
Likes za founder jamani,, diamond wa usoni,,, njooni kwangu pia msupport
kama umemuelewa home boy gonga like kwa KIGOMA
Mwenyewe tayari ni mfano..big up mdogo wangu❤
Nyimbo zako zinanikosha me jmn upew mauw yako jamaaaaa🎉
the young boy wanna take over bongo music in Tanzania.... he deserves millions subscribers, let's support him .... 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Indeed air
That's a fact
❤❤❤
❤❤❤❤
True
Anaekubali kwamba dogo ndo promising Star wa nchi hii gonga like twende sawa 🤝
Ashley alianza ivoo ila anamalzia kucheza xxx sasa
Huyu atahustller kama marioo na kutoboa mwenyew
unajua mpaka unajua tena
Hongeraa🎉🎉🎉🎉
Upendo sana ndugu yangu God bless the journey ❤❤❤❤❤❤
Mutoto huu anajua jameni shika yangu five nyimbo🔥🔥🔥🔥🔥
Ila cjaona likes za producer Trone na lizer classic
Tufikieni huyu dg views milion moja kwa masaa 24 jamani ndugu zangu ❤❤❤ uyu dg anajuwa sana
ni kweli mtoto anaeza, tokea siku yakwanza kumuona hapo Hapo Kasema pure talent
ndio namjua huyo dada😁🔥🔥🔥🔥🔥
Kenyans are happy
True mm wa kwanza😂❤
True that u say am the leader 🎉
Actually the boy is taking over completely.
Akika dogo unatisha. Ila nahomba wote tunaho mpenda dogo wetu acha ka like basi po chap💪
mbona nahomba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio nahomba ila naomba
wuyu mutoto tunamupenda sana 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Nakubali Dogo unaweza mungu akulinde pambn mdogowetu nakufuatilia sana nikiwa pande za Kilimanjaro
Kutoka 254 wapi likes za uyu kijana ❤❤❤❤ love the vibe founder tz
Kusema ukweli founder anajua sana tulioko shule,vyuoni weka like tusaport kipaji cha kijana mwenzetu
Listening from Kenya,Big up ndogo you will go far
How many are from tiktok,gonga likes
Kama mwaminia founder tz atakuwa diamond wa pili tz nipe like❤
Wacha kulingasha dogo na uchawi diamond gani
Dogo ni fire 🔥 ❤
Huyu atamzidi DiamondPlatnumz
Fire 🔥🔥🔥🔥
duuuuu nimecheka
Mbona hii nyimbo haiko trending? Kenyans let's gather here to support this Champ. Message songs zenye zilishinda harmo, Ray na mondi anatupa yeye🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera wimbo mzuri kwakwel 🎉🎉🎉
🔥🔥🔥hongera nyimbo nzuri sanaaa
Ndani ya south Africa 🇿🇦 tunatamba kama wakubali ngoma hii gonga likes kama 100
Nyama sana umeduteteya watu wa kigoma so big up for you
Aisee MUNGU Azidi kukulinda kaka mdogo ❤❤
Mungu akutangulie mdogo unajitaidi sana unabaya dogo chapa kaz
Founder unajua mpaka inajua tena mungu alinde kipaji chako inshallah ufike mbali zaidi like zangu jamani kutoka Saudi Arabia ❤❤❤🎉
Keep it up dogo ,,,you still young utafika mbali sana in Jesus name 🙏🙏🙏
Miezi michache iliyopita nilisikiliza wimbo wako wa kwanza na nilifurahi sana kukuona mtandaoni. Nakufuata kutoka Kongo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩 Mboka
Nampenda sana founder tz, mtoto mdogo mwenye kipaji kikubwa
Ohoo umeimbia st merry junior shule anasoma bint yang san kijana wang kazi Nzur 🎉
Pia yeye ni mwanafunzi uko
How to like this 1k times🎶🎶🎶🔥🔥🔥🔥from Kenya😍😍😍
Mie nipo Kenya 🇰🇪🇰🇪 lakini huyu dogo yuko sawa kabisa🔥namuinamia na hataenda mbali sana🙏
Mr judge from surprise music waiting ❤❤❤❤❤wakwanza
What an amazing vibe ... dvoice anawezafanya makuu haya kweli??? Wapi likes za foundertz
Me pia msanii all the way from 254 tunaweza piga remix ya mfano kama umekubali 😊😊
Wimbo mzuri wenye funzo Mungu akibariki kipaji chako ufike mbali ❤
Walio sikia hiii nyimbo mara 7 tujuane jmn ❤🌹🌹🥰🥰
Tupo👍
sasa hii ni mara ha 10 naurudia tu daaah dogo hatari
zaid ya hapo
Likes Zangu Jameni.
Founer kauwa😂❤😊
Hongera sana ndugu yangu
Mtoto mzuri hasifiwi kwa ubaya woow God bless this founder tz for us❤
Nitatokaje
Niepushie
Mfano
Haki amungu uyoo dogo ananikuna sana nyimbo zake kila morning lazima zipigwe ghetto ndipo niende job from Lusaka Zambia ❤❤
Nategemea kukuona umsanii mkubwa zaidi aalta wkina diamond
Hii n mwelekezo kwa wale wasanii wngine Sio lazima uimbe matusi ndo nyimbo iende ❤❤this kid is on another level keep it up💯✅🔥🔥
kweli m sabiki wayang damu lakn ii ngoma nimeilewa sana jaman kila mtu anandoto zake kwenye maisha kikubwa tumsapoti ndung yetu best yang sana 💯🤜🙏🌹🌹🌹🌹💖✍
Mziki mzuri mpka chozi la furahaa kina dondoka ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kama mm🥺 Yaan nataman tu nifumbe macho nifumbue nikute huyu mtoto kawa star mkubwa🥺❤️
❤❤❤❤❤❤
Wap like za founder Tz, kama unakubaliana ngoma yake #mfano. Am listening from Mombasa
Huyu cheetah sasa,,,the fastest….dunia itamtambua vyema soon hadi king kiba na Mondi na harmooo #tembo watatii,otile brown,chui,mboso,poze,zuchu,nadia mukami,nandy,jay m, tieni bidiii kumekuchAaaaaaaaa🎉
Walae huyu dogo anakipaji qweli kama diamond na harmonize,,,wamsaidie jameni ainuie kipaji chake,,namtambua sana foundertz
Uandishi wake ni kama wa msanii mkubwa saana yaani❤❤ wapi likes zangu