Ndio Aic chang'ombe ni kanisa ambalo tunasali, pale kanisan kuna kwaya nyingi tukiwepo Neema Gospel choir lakini pia kuna Aic chang'ombe choir, na nyinginezo
Malango, by Neema choir is a sublime masterpiece, only to the Glory of the Mighty LORD God, excellent in wisdom and wonderful in counsel. I listen to this song 5 times a day, and am like.. the more I listen to it the more its message becomes poignant and touching to my life. This song is pure Gold...21 carat. To the Glory of God, I ADJUDGE IT THE SONG OF THE YEAR 2020! GOD BLESS EVERYONE WHO WAS INVOLVED IN GIFTING BELIEVERS WITH THIS MASTERPIECE!
The song "Kanisa la Waefeso" is the ideal song for encouraging God's people, to remain rooted in good deeds without dropping guard.... umeacha upendo ma matendo yako ya zamani..... himizo maalum kutoka kwa Mtume Paulo. Bwana awabariki sana enyi waimbaji wa Changombe.
Kama umebarikiwa kama Mimi weka like hapa
Malango 2024 nimebarikiwa Sana aisee ❤️🙌🙌🙌🙏🙏
Usiruhusu malango yako yasiingiliwe na Shetani Mungu abaki nanyi nyote.
Nachanganyikiwa,je Kuna tofauti ya neema gospel choir na Aic changombe
Ndio Aic chang'ombe ni kanisa ambalo tunasali, pale kanisan kuna kwaya nyingi tukiwepo Neema Gospel choir lakini pia kuna Aic chang'ombe choir, na nyinginezo
Mumeimba na upole kama watu wazima jamani Mungu awabariki sana tena sana.
Kila siku kila wakati nyimbo zenu ziko na upako sana, mungu awainue zaidi na zaidi,by Bosco kimonyi kutoka kenya
Nimependa wimbo huu kila wakati ninaiskia kbs mzidishiwe.
Mungu awabariki. Wimbo una nguvu za Mungu kila ninaposikia nahuishwa kiroho
Mnakaribishwa Nairobi Mungu awabariki
I can't sleep without listening to Neema gospel. Mungu awabariki saaaaaaaana Kwa utume mwema
Amina. Tawala malango ya maisha yangu Eh YESU KRISTO. Barikiweni sana wana A.I C Changombe .
Kama mna group yenu ya wimbo tafadhali muniweke sbb ninapenda kuimba kwenu.
This song has been my all time favorite,,, God bless you abundantly.
Malango malango kwa wengi Ni hatari.
Mbarikiwe sana Ndugu zangu kutoka Tanzania go your wonderful songs!.
These is one of the best songs on this album. Umebeba upako waki pikee pamoja na muguso
Leo ndo nimeuwelewa huu wimbo Mungu Awabariki Sana watumishi kwa ujumbe nyeti Kama huu
LORD I pray that you may possess the gates of my soul,make them your own, take full control
Such songs come from a people who depend on God's Spirit to help them sing scripture. May Jehovah continue using you as His vessels on earth. Shalom.
Amen,Amen...nyimbo zenu zinanibariki.Barkiwa.
Mungu awabariki sana waimbaji wetu
Nimebarikiwa na wimbo mzuri. Mungu awabariki
Mbarikiwe watumishi wa mungu.
Mmekaribishwa Kisii county Kenya please.
God bless you for allowing the holy spirit to use you to administer to God's people ,your such a blessing to my life more grace to you
Mungu awabariki kwa uinjirishaji kwa njia ya nyimbo ,daima neno la Mungu siku zote ni afya na uzima
Wimbo unabariki vilivyo🙏🙏
Amen and Amen from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo mzuri sana nimeebarikiwa nao(MALANGO)
Good song well done Neema choir
Mbarikiwe Sana neema gospel mungu aendelee kuwainua kwaviwango vya juuu
This song jamani, Daaah! Touching my heart with it's beautiful message.
Malango ukweli yanahitaji maombi
Be blessed so much Chang'ombe Choir by God for your best songs.
Wow!! Such a blessing song....!!!
This is more of worship song I say, when am listening I carries me to the spiritual works of worship. Always a blessings to many you guys. Keep it up.
Guys you are blessed aready ! Keep it up , napenda saaaana nyimbo zenu siezi shinda bika kusikiliza nyimbo nzenu!
Amen. Mungu azidi kukubariki
Amen
God is good
Malango, by Neema choir is a sublime masterpiece, only to the Glory of the Mighty LORD God, excellent in wisdom and wonderful in counsel.
I listen to this song 5 times a day, and am like.. the more I listen to it the more its message becomes poignant and touching to my life.
This song is pure Gold...21 carat.
To the Glory of God, I ADJUDGE IT THE SONG OF THE YEAR 2020!
GOD BLESS EVERYONE WHO WAS INVOLVED IN GIFTING BELIEVERS WITH THIS MASTERPIECE!
Extreamly powerful worship song
Mungu awabariki mnoo katika jina la Yesu,
One of the best gospel songs. God bless you TZ choirs. Us in Kenya we do not comment in kiswahili
Good English Country, what are doing here Africa(east Africa) go to England now
Malango ya kiroho🎶🎶
Wimbo huu nimaombi tosha
Yesu no mwema
My favorite song
Mungu a wabariki sn watumishi wa mungu nyimbo zenu azitachuja kwakuwa zinaujumbe wa too mtakatifu mungu awainue viwango Adi viwango🙏🙏🙏🙏
mungu awabariki sana
The intro piano!!
Haichuji hii nyimbo kilaunapoisikia lazima uzame
Bwana Mungu awabariki sana, ujumbe mzitoo tena be blessed
Good song god bless you all
My daily devotion
nyimbo nzuri sana MUNGU AWASAIDIE
Mungu awabariki mno waimbaji nyimbo zenu zinanibariki..
Napenda nyimbo za hisia kama huu.Mungu awabariki.
what a blessing song full of anointing
Hua nabarikiwa sana na nyimbo zenu watumishi wa Mungu Bwana awabariki
I love this song
That song is from psalms 24
Nimeupenda sana unanaujumbe mzito""""mungu awabariki
Kazi bora kabisa #NyieNiBaraka
Mungu atukuzwe
Lindo lindo ❤️ 🙏 glória a Deus glória a Jesus Cristo! Um abraço aqui da América do sul Brasil ! Coloque para nós aqui uma legenda em português ❤️👏
Wimbo poa
Thanks the church leaders and Choir master and Choir members for Blessing song
U really tch milions of saints!glory b 2 God& ur foundation to whole universe.samson twang'a (Nairobi) Kenya
Wimbo wenye nguvu ya Mungu ukiusikiliza lazma ujawe na roho mtakatifu mbarikiwe watumishi
Huu wimbo uwa nausikiliza hata sijui mara ngapi kwa cku na zaidi ucku nikitaka kulala be blessed the whole team🙏🏼🙏🏼
Love from🇫🇮🇫🇮❤️
Munanibariki saaaaana Neema Gospal
keep it up, God blessyou Neema gospel
Unagusa moyo
Aic malampaka geuka
I love more than AIC Chang'ombe❤❤❤🥰🥰
Glory to God
🙏🙏🙏🙏
My one of my favorite song ❤️
Glory to God
😭😭😭🙏🙏🙏♥️♥️♥️
I ❤ you so much
Thank you
Mungu awabariki sana waimbajia
Hongera sana Kwa uimbaji wenu mzuri
May God progress to bless u and us through your songs
Wimbo wa Ayala plz
Edwini Ezekieri
Barikiweni sana watu wa Mungu
Naupenda huu wimbo.
It is an amazing spiritual gospel song,very nice. All singers of Neema Gospel Choir,be blessed much by Jesus for this good song, Amen.
Amen. God bless you
@@NeemaGospelChoir
Jh
SAFI.KABISA
Nice 👌 song 🎵
Napenda hii sana.
#singalong Ooh! what a blessing
God bless you!
@@NeemaGospelChoir Amen, sasa nangoja mastepu /video ya wimbo - burudani moyoni
Gud song
Blessed
Kidomel nyandandondondo sana
Ahsanten kwa wimbo mzuri mbarikiwe
Amen
You so blessing to me
Glory to God!!
@@NeemaGospelChoir Mungu awainue zaidi
Susumila
Am blessed
I hope you have done a good work , keep it up Neema Gospel
Amen
Kazi nzuri mbarikiwe Sana
Amen
Amen
Ameni
Nice gospel video song!
Glory to God
Nice song
Thank you. God bless you
felix junior Mungu awabariki kwakazi nzuri
felix junior Amina
Amen. Ubarikiwe
Amina kazi nzuri imewakilisha ujumbe sahihi mungu aendelee kuwapa kibali kingine
Am really blessed with u guys.wish to have ua direct contact
The song "Kanisa la Waefeso" is the ideal song for encouraging God's people, to remain rooted in good deeds without dropping guard.... umeacha upendo ma matendo yako ya zamani..... himizo maalum kutoka kwa Mtume Paulo. Bwana awabariki sana enyi waimbaji wa Changombe.