MARASTA HAWANYOI NYWELE SEHEMU YOYOTE YA MWILI, WANCHOAMINI KUHUSU CHANZO CHA MWANADAMU NI AJABU!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • MARASTA HAWANYOI NYWELE SEHEMU YOYOTE YA MWILI, WANCHOAMINI KUHUSU CHANZO CHA MWANADAMU NI AJABU!
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #Mswahili

КОМЕНТАРІ • 56

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini9995 2 роки тому +2

    Binafusi nawakubari Sana marasta naimanyao rasitafaraiii ❤🙏💪🍓

  • @djtox6456
    @djtox6456 2 роки тому +2

    Jah Rastafarai ❤💛💚✊🙏

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 роки тому +2

    WEWE ABUDU CHOCHOTE ,UNACHOTAKA LAKINI MASWALI TUTAKAYO ULIZWA KABURINI BINADAMU WOTE YANAFANANA,1-NANI MUNGU WAKO? 2-NANI NABII WAKO,NUHU ?YESU?MUHAMAD? 3-NIKIPI KIBLA CHAKO .4-NIKIPI KITABU CHAKO? SASA HAPO TAFUNA MANENO UONE UMTAJE MTU ASIYENYOA CHOCHOTE KTK MWILI WAKE UONE SHOW🙏🙏🙏🙏

    • @jimyjastini9995
      @jimyjastini9995 2 роки тому +1

      iramarasita wanaiman sahihi kuriko ware wanaoamin wachungaji kama manabii wakati niupuzi binafusi nawaamin marasita ❤🦁🙏🍓

    • @linovahme6060
      @linovahme6060 2 роки тому

      🙌🙌🙌

    • @alexlingwendu6780
      @alexlingwendu6780 2 роки тому +1

      Panapo iman ya Mtu flan na Mwenye kuamini Iman Hiyo,Ni Bora kuilinda Iman yako, yake muachie mwenyewe.

    • @BIGBOSS-hl3bu
      @BIGBOSS-hl3bu 2 роки тому

      Hapana hatuwezi kumwacha mwenzetu anapotea ,maana ujue tutaulizwa na sisi wakati yeye anataka kiadhibiwa atasema e. Mungu wa kweli WAJA wako hawakuniambia njia ya haki ,Sasa ili wewe usijekupata MASWALI hayo magumu mwambie halafu MWACHE usimlazimishe ili iwe na kigezo kwamba ulimpa ukweli lakin yeye ndio alikataa kuufuata 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 роки тому +2

    Rasta ni nguvu ya ki Mungu ndani ya roho yako anavosema Mimi na mimi anamaanisha Rasta wana nafsi moja hawana huyu au yule yaani unavojiona wewe ndivyo umuone huyo mwingine kama ni wewe mwenyewe usimfanyie lolote baya kwa kumuona ni wewe mwenyewe vile unajiona pia umuone huyo mwengine ni wewe

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 2 роки тому +2

    Jamaa naitaji interview nyingine kipindi chenu kifupi mno khaaa

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 роки тому +3

    RASI NDUGU YANGU ,UMETOA UFAFANUZI SANA LAKINI NAKUOMBEA SANA KWA MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI AKUPE MWONGOZO SAHIHI KTK IBADA ZA KUMTUMIKIA YEYE,WEWE NA MARASI WENZAKO ENDELEA KUSOMA VITABU MBALIMBALI VYA MANABII WAKWELI,ILI UACHE KUABUDU VIUMBE WENZETU

    • @jimyjastini9995
      @jimyjastini9995 2 роки тому +2

      jewewe diniya kiisiram au ya kikiristu unaiamini vipi wakati irirenwa na wazungu na warabu sibora marasita ya Africa hairihairi serasirasi ❤🙏🦁💪

    • @coolruler6820
      @coolruler6820 2 роки тому +2

      Hujui unachokiongea

    • @BIGBOSS-hl3bu
      @BIGBOSS-hl3bu 2 роки тому

      Kabla ya huyo muethiopia kuzaliwa yaana aile salasi mama yake na ndugu zake wengine wakikuwa wanaishije ,na nani alikuwa anaendesha ulimwengu?? Vitu vingine tufikirie Kwa umakini sio kila imani IPO SAHIHI tufanye tafiti bila ushabiki wa kidini tutaiona njia ya kwenda mbinguni Kwa kutumia akili zetu wenyewe,na bitabu SAHIHI vya mungu muumba

  • @lionofjudahtv8796
    @lionofjudahtv8796 2 роки тому

    Power more power

  • @bboynickyy
    @bboynickyy 2 роки тому

    Haha zebwela hujaelewa ata moja 😂😂😂

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 2 роки тому

    Hahahaaaaa zembwela anasema 'hapa sasa hivi moyo unafanya vizuri' daaah....do good

  • @tomshiii485
    @tomshiii485 2 роки тому +1

    Huyu jamaa sio Rasi kamili kiroho, coz aliyoongea mengi sio ya kweli kuhusu Rastafarian. Hailey Sirasi katika imani ya Rasta sio mungu ila ni kama nabii. So, huyu jamaa anataka atuharibie sisi kama Rasta

  • @trisonjackson6326
    @trisonjackson6326 2 роки тому

    Babu fanya na mwendelezo wake tupate somo

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 2 роки тому

    Rasta nakubali ideas zenu ila kwenye kwamba haelesalase muungu apo nipombal na rasta

  • @njoroboihustla125
    @njoroboihustla125 2 роки тому +1

    Mimi na mimi ndo nin

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Рік тому

    Hahaaa, Kwa hiyo VUZI nalo kama RASTA...!...Nawakubali marasta Kwa Tabia zao, lkn VUZI sio POA...!

  • @tomshiii485
    @tomshiii485 2 роки тому +1

    Jamani nasema tena, Hailey Sirasi katika imani ya Rastafarian sio Mungu kama huyu jamaa alivyosema bali ni kama nabii aliyekuja kuwatetea watu weusi
    (Black people) naomba tuelewane kwa hilo.

  • @Best_tz
    @Best_tz 2 роки тому +1

    Eeehh Hawanyoiih 🤭🤭🤭

  • @nasibuabasi4701
    @nasibuabasi4701 2 роки тому

    Daah najua unaweza kuona hii comment yangu Denis wewe ilikuwaje ukafika huku broo nakumbuka siku moja uliniambia uliacha ukristo nakufuta uislamu umeisoma bibilia ukagundua kuwa dini yahaki niuislamu natamani nijua nini kimekukuta broo

  • @rizosharama2991
    @rizosharama2991 2 роки тому

    Rasta gani hataki camera? Tungewajuaje kina bob na ma legend wengine?

  • @rizosharama2991
    @rizosharama2991 2 роки тому +4

    Jamaa hajui kiepeza banaaa, he z lying ,hajui chochote kuhusu rasta. Ye anakula Oxygen hali carbon.. oxygen hailiwi kwanza.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 роки тому

    Haile Selasie sio mungu , mmi nilivyomuelewa Bob ktk interview moja ni kwamba Jesus alipokuwa anakaribia kufa msalabani alisema nitarudi , hivyo aliporudi ndio alikuja kama Haile Selassie , yaan Haile Selassie ndio Masiah .... Ndio yule aliyesema nitarudi . that is it.
    Pia bob huyo huyo aliwahi kueleza kidogo hilo neno rastafari akisema maana yake ni HEAD CREATOR

  • @mamuoman7849
    @mamuoman7849 2 роки тому

    Zembwela kampa swali zuri sana Lakin akalikwepa ahahhahaha

    • @abdallaabdulrahman8319
      @abdallaabdulrahman8319 2 роки тому

      Swali gan?

    • @mamuoman7849
      @mamuoman7849 2 роки тому

      Nadhan umecheza utotoni kama ulichezea vitoy vya madukan au vyakutngeneza mwenyewe je uliviita kwa jina lako au hilo toy ni wewe? Swali ni hapana basi msikilize amelikatisha na akaleta mada ingine kwa kufunika ukweli wa masanamu na mtu ni mfano wa Mungu katuumba na ss tutabaki waja wake kama itavyobaki kuwa mwanadam hawez kuwa matoyi

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 2 роки тому

    Ata uyo zembwela unamchanganya tu hapo

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 2 роки тому

    Rasi ni kichwa kwa hiyo kila mtu anakichwa kenge we rasi kichwa kwa kiarabu

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 2 роки тому

      Lugha za watu baba hizi , kwani Head master maana yake ni nini ....? Head quoter maana yake nini ? Basi ukishaelewa ras maana yake ni KUU ....yaan Head . chukulia hivyo alafu endelea kutafakari . sisi tunaamini kuwa rasta sio easy , labda uzaliwe tu upya .
      I & I means me and you .

  • @zanuraside5313
    @zanuraside5313 2 роки тому +1

    Denise ndo ulivyo fikia hivyo

    • @nasibuabasi4701
      @nasibuabasi4701 2 роки тому

      Kiukweli mimi mwenyewe nimeshituka

    • @abdallaabdulrahman8319
      @abdallaabdulrahman8319 2 роки тому

      Usishangae kwani amekwambia Rasta si imani ni (Livity) ni utaratib wa maisha uliopo kweny misingi ya U rasta

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 2 роки тому

    One day utanyoa and one day utakula manya 🤣

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 роки тому +1

    Kama hamnyoi mnanuka sana tunawaona humu mitaani wachafu wakubwa sanaaaa

    • @djtox6456
      @djtox6456 2 роки тому +1

      Fuatilia tungu usimezeshwe sunu

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому

      Na wewe una usafi gani na wig lako na nywele za maiti tena wanawake ndio mnanuka kabisa hadi kuma mnanuka joto kidogo tu mnanuka

    • @subiraharuna1737
      @subiraharuna1737 2 роки тому

      Apimwe akili hayuko sawa

    • @abdallaabdulrahman8319
      @abdallaabdulrahman8319 2 роки тому

      Sio kila mwenye dreadlocks (nywele ndefu) ni rasta wengine ni ugumu wa maisha ndo umewapelekea kua na dread

  • @jasmineeomary2041
    @jasmineeomary2041 2 роки тому

    Rasta alivyokaa sasa

    • @mamuoman7849
      @mamuoman7849 2 роки тому

      Utamjua mtu kutokana na mkao wake mbona zembwela hajakaa kama yeye ahhhhhhhhaaaa 🤣🤣😂

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 роки тому +1

    mna wazimu tu uchafu tu

    • @gfvh7282
      @gfvh7282 Рік тому

      Hakuna kunyoa kasema 😂😂😂😂😂

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 2 роки тому

    Bangi tuu

    • @jimyjastini9995
      @jimyjastini9995 2 роки тому +1

      Bangi hatababaako ashavutasana

    • @abdallaabdulrahman8319
      @abdallaabdulrahman8319 2 роки тому

      @@jimyjastini9995 Respect broo huyo hajawajua rasta wanaishi vp ndo mana anabeza

  • @jacklinemsechu221
    @jacklinemsechu221 2 роки тому +1

    Zembwela una akili mno,nimependa ulivyotoa mfano wa kinyago

    • @donalfa1850
      @donalfa1850 2 роки тому

      Lakini kinyago hakina pumzi
      Ndo maana akasema Haile salaisi aliumbwa kwa mfano wa mungu kama sisi tulivyoumbwa na akapuliziwa uhai ndo utofauti wa kinyago.
      Kinyago hakijapewa pumzi.

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 2 роки тому

    Chenga tupu