Mwakinyo nakufatilia Sanaa mapambano Yako sarut kamanda kwahapa bongo wataimba Sanaa kukufikia ww lekod Yako hata hiyo billion 1 ndogo wambie wakupe billion 2
aaaaah kmk et hakuna camera yoyote yenye thamani sawa na hili begi na tangu umetoka kwenye tumbo la mama ako hujawahi kuliona naaam swali lingine 😂😂😂😂😂😂🤣🤣
Tatizo lako hujasoma elimu akhera ! Kwa kila mjuzi yupo mjuzi zaidi yake ! Mwenyezi Mungu amebainisha hivyo ! Jee unalitambua hilo ? Utapigwa kwa hiyo point ya kutokusoma dini yako ipasavyo ! Kazi njema !
ila Mwakinyo ww ni binadamu kama wenzako hata kua una kiwango flani hicho kiwango hukuanza wewe kua nacho si vizuri kujiona wewe ndio ww, jione tu mtu wa kawaida
Brother mwakinyoo tambukuwa Tanzania inatambuwa kuwe we ntu pekee mwenye ubola wangumi mhulumietu konde mana hajui akitendacho sorry lakin brother mwakinyoo
Kama unaweza kuuza mbwa ukanunu Bmw 10 Sasa kwanini unataka bilion 1 kupigana na kiduku,,,,, nawewe unahela kamseleleko wewe tia sini ucheze Darby ya ngumi Tanzania,,,,unamtaka konde au unakolabo nae ACHA kukimbiakimbia 😂😂muoga sana
AAAAACHA MWAKINYO AITWE MWAKINYOOOO...... FULL PROFFESSIONAL
nakubali mtot wa kidigoo
Mana mchumia tumbo anabeba magunia stilio kudumu anabeba magunia Manzese Mafinga ivi nyinyi mmerigwa au
Nimependa hapo, "dada unataka kusema nini"
International champion 🔥
Mwakinyo nakufatilia Sanaa mapambano Yako sarut kamanda kwahapa bongo wataimba Sanaa kukufikia ww lekod Yako hata hiyo billion 1 ndogo wambie wakupe billion 2
Power of punch
Mwakinyo huna mpinzan hapa bongo usijizalilishe wanakuchosha2 hawo wanao kuuliza maswali
Hakuna bondia yoyote Atae mfikia mwakinyo Kwa Tanzania hiii hata kama ningekuwa mm cwez kupgana nabondia mdogo nikujizalilisha
Unajidhalilishaje, siumeshasema ni mdogo manake utampiga tu , sasa hofu ya nn
Wew Fanya kwa kiduku kenge wew Unamalza maneno na mkata mauno Kumuacha kiduku
Mwakinyo Hamo humuwezi usivimbishwe bichwa nawatu ww hatamm hunipigi ww gauni2 audera huna chochote SEMA watu tunajua ngumi IRA hatuna contecty zambere we pedi2 achana nahamo konde konde namkubari💪🙏✍️💯💥 sana
Anakufiraga au njoo upigane namm choko wewe
aaaaah kmk et hakuna camera yoyote yenye thamani sawa na hili begi na tangu umetoka kwenye tumbo la mama ako hujawahi kuliona naaam swali lingine 😂😂😂😂😂😂🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Mwakinyo mshamba anatabia za kike na hii ndio destuli ya watu wa tanga wanaume na wanawake tabia zinafanana kama unajiweza panda ulingoni mama wew
Tatizo lako hujasoma elimu akhera ! Kwa kila mjuzi yupo mjuzi zaidi yake ! Mwenyezi Mungu amebainisha hivyo ! Jee unalitambua hilo ? Utapigwa kwa hiyo point ya kutokusoma dini yako ipasavyo ! Kazi njema !
Daa anatukana tena
Safi mwamba wanyooshe adabu kunguru hawa
ila Mwakinyo ww ni binadamu kama wenzako hata kua una kiwango flani hicho kiwango hukuanza wewe kua nacho si vizuri kujiona wewe ndio ww, jione tu mtu wa kawaida
Brother mwakinyoo tambukuwa Tanzania inatambuwa kuwe we ntu pekee mwenye ubola wangumi mhulumietu konde mana hajui akitendacho sorry lakin brother mwakinyoo
Pumbafu et uuze watoto wa mbwa ununuwe BMW 10 fyuuu😢😢😢
Mwanzo nilikupenda sana lkn kumbe ovyooooo majivuno kama mwanamke
Sijapenda ulivyotukana
kwanza kidukuu mbona hamoo😂
Muoga wew
Amo.atashnda..iripambano.asirimia..nyingi..kajifua..sanaa.
Wanakusema au kudharau wafundishe vijana wadikuzoe
Ndugu usimzarau usiyemjua yeye amekujua kama bondia wewe ujamjua harmonize yupo vp kimkono rekodi zinavunjwa2 ndugu
leo nasoma comment lkn boxing sio masihara atakuja mtu atapike dagaa
Unamaneni mengi vitendo hamna unaletea ndizi tu mvaaa vikuku ww senge
Huna baya mwakiyo
Wewe dada huna akili
Huyo mjomba ywamuogopa kiduku
Akuwez msamehe
Unajua kk uyo mmakonde anakuja mapema
Wabeba magunia wengi wanajiweka kwenye box iv wanadamu ngumi nisawa na kubeba gunia la viazi au mahindi
Nyie wanahabari kumhoji Mwakinyo mtu ambae anatukana na kudharau watu mbele ya kamera ni ushenzi
Kama unaweza kuuza mbwa ukanunu Bmw 10 Sasa kwanini unataka bilion 1 kupigana na kiduku,,,,, nawewe unahela kamseleleko wewe tia sini ucheze Darby ya ngumi Tanzania,,,,unamtaka konde au unakolabo nae ACHA kukimbiakimbia 😂😂muoga sana
Ivi unajielewa wwe upo kama mange
Kiduku kwanza
Wewe mchukue kiduku uone ww bad mdg tu kwa kiduku kaka
Wana habar fani yenu haijakolea bado mulitakiwa muchukue camera begi lake tuone😂
😂😂😂😂
Anatowa matusi na mipasho akachukuwe kipindi kwa juma lokole hakuna cha brand hapa huyu jamaa ni kunguru
Wee mjinga unadharau
Mwakinyo wewe ni bingwa wa Dunia,achana na hawa mabingwa ucharwa wa kibongo
Bingwa wadunia ni maywrither ila haongei sana anapgana
😂😂😂😂😂
Acha maneno yakanga mtoto wakiume ww
MCHAPE ASIINUKE KITANDANI
Ukwr me naitaj harmonize apasuk maan kakos aidia ya mzk anatumia mbn nyingn kingn naez sem pia mapenz yanamsumbua dog
O
Acha kubana pua
Hunalolote ww hizoo ni zilipendwa
Sasa kwa taarifa yako unasain ni hamo ila ulingon unakutana na kiduku cjui utakimbia au alaaa!😂😂😂😂
😀😀😀😀😀