NAMNA NZURI YA KUMLEA MWANAO - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @abdallahjongotayari8049
    @abdallahjongotayari8049 11 місяців тому

    mtotowangu nikiwekapesandani anaibaanaenda kununuapipi nifanyeje

  • @HeriethSylvester-dm3nb
    @HeriethSylvester-dm3nb Рік тому +2

    Wa kwanza kwenye comment

  • @LucksonEdwardmgallah-tf5nc
    @LucksonEdwardmgallah-tf5nc Рік тому +4

    Napenda sana kuishi na mtoto wngu ila kwasasa sikai nae niko mkoani kikazi yuko na mama yake, nilipenda sana kumlea mtoto wangu ila najua sijachelewa nitamlea na kumfundisha maadili

  • @MurorunkweHawa-ry8im
    @MurorunkweHawa-ry8im Рік тому +1

    Tupe video Yote🙏

  • @sajieussajieus230
    @sajieussajieus230 11 місяців тому

    Barikiwa sana kaka

  • @rehemashayo1613
    @rehemashayo1613 Рік тому +1

    Jamani joel unatupa mawazo mazr mungu akuweke miaka mingi

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 Рік тому +3

    Aisee asante sana aisee❤❤❤ ubarikiwe sana kaka.

  • @yohanageorgekika2240
    @yohanageorgekika2240 Рік тому

    Asante kwa somo nzuri

  • @mbaletz
    @mbaletz Рік тому +1

    Nakubali broh

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +1

    Yeah brother ❣️☝️

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Рік тому +2

    Asante Sana

  • @zainabuzainabu4160
    @zainabuzainabu4160 Рік тому +2

    Shukrani kaka uko sahihi.

  • @nhezimanmnyetabi441
    @nhezimanmnyetabi441 11 місяців тому

    Hakika

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 Рік тому

    NAOMBA URUDIE SOMO LA MIND REPROGRAMMING🙏.

  • @marymwapiya1274
    @marymwapiya1274 Рік тому +1

    Asante sana Mimi nakumbuka nilikuwa namwambia baba siku moja nitapanda ndege ,nitajenga nyumba alikuwa anacheka tu alikuwa anachukulia kama utani ila namshukuru Mungu nilijitabilia na ikawa ,pia wazazi wajitahidi kuombe vitu wanavyotamani watoto kufanya wakiwa wakubwa

  • @ElizabethMakuyungu
    @ElizabethMakuyungu Рік тому +1

    Barikiwa sana kaka kwa kutufundisha wazazi

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 Рік тому +1

    Shukrani Ndugu Nanauka

  • @SylvesterLufunzo
    @SylvesterLufunzo Рік тому +1

    True

  • @masudibaja
    @masudibaja Рік тому

    Kaka Joel Mungu akubariki sana

  • @omanjalan582
    @omanjalan582 Рік тому

    Asante mr joel kwahil somo

  • @prisca4612
    @prisca4612 Рік тому

    Asante sana brother, nimejifunza kitu. Mungu akubariki 👌🙏🏿

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 Рік тому

    Asantee sana 🙏🏻🙏🏻

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 Рік тому

    Asante mwalimi kwa kunifunza hili ili niwaelewe watoto wanghu kwasababu mimi wazazi wanghu hawakunipa muda kama huu wakunisikiliza

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 Рік тому

    Asante

  • @khemedsaidsayyidsaidsayy-vb7sg

    mimi ni baba nimeyaskia haya maneno mr joel ila yupo mama wawatoto wangu hajayaskia na wala hanauwo muda naunakuta anatumia maneno makali sana kwa watoto asa hapo minajifunza naenda kujenga yeye anabomoa nifanyaje??
    h
    ma wawatoto wangu w

  • @BM_Smart2-6
    @BM_Smart2-6 Рік тому

    Joel masomo yako ni halisi lakini wakati mwingine jamii haipo hivyo kuruhusu malezi yanyooke. Je kama watoto hawaishi na wazazi wao au wanaishi na mzazi mmoja?

  • @edithavalelian256
    @edithavalelian256 Рік тому

    Asante sana