MAJIBIZANO: DOTTO MAGARI AMVAA MZAZI MWENZA, MPWA WAKE NAYE AMLIPUA - PART 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • MAJIBIZANO: DOTTO MAGARI AMVAA MZAZI MWENZA, MPWA WAKE NAYE AMLIPUA - PART 2
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 296

  • @christiancalvin2183
    @christiancalvin2183 8 місяців тому +10

    Inapofika mahali mambo ya ndani ya nyumba mpk kulea mtoto mfikishane kwenye media🙌🙌🙌 kuna tatizo sehemu

    • @frenciustryphone4531
      @frenciustryphone4531 8 місяців тому

      We acha tu hiki kizazi cha utaniambia nini+kizazi cha Instagram kina shida sana

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 8 місяців тому +7

    Danga...uyoooo.....mwanamke wa kinondoni wanawake wauaji....🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @OfficialNessa26
    @OfficialNessa26 8 місяців тому +42

    NA MIMI SIKU MWANAMKE WANGU AKIPAFAHAMU WASAFI TV ,NITAKOMA AISEEEE 🙌🙌🙌

    • @imoo_blackgold
      @imoo_blackgold 8 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sana aiseee

    • @enockmeck2860
      @enockmeck2860 8 місяців тому +1

      😂😂😂

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari 8 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @esnathmdeda
      @esnathmdeda 8 місяців тому

      😅😅😅

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 8 місяців тому +2

      😅😅😅weweee namjuwa namwambia aende 😂😂😂

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 8 місяців тому

    Duh uyo dada hana shukran

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um 8 місяців тому +1

    Kamaliza dotto na mim mwisho kuangalia interview....much respect bro @dottomagari

    • @Myplusbee
      @Myplusbee 8 місяців тому

      Umesikia alichoongea mpwa wa Dotto?

    • @MwajabuShabani-p2f
      @MwajabuShabani-p2f 8 місяців тому

      Kama mahakamani wamefika lakini pia analeta ukaidi matokeo yake ndio hayo kiburi so maungwana siku zote

  • @goodluckSanga-
    @goodluckSanga- 8 місяців тому +1

    Sema mademu wa saivi mungu atusaidie

  • @StephanieHenry-kr9vz
    @StephanieHenry-kr9vz 8 місяців тому +4

    ngoja nitafute nauli niende wasafi nina mengi😅

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 8 місяців тому +6

    Wanaume muwe mnaangalia na watu wa kuzaa nae

  • @barakaamani8657
    @barakaamani8657 8 місяців тому +1

    Dida umemaliza vizuri na dotto,unategemea kwa kwa uchochezi huo unategemea utapata ushirikiano,,,UONGOZI WA WASAFI MEDIA UNGALIE KWA KINA INAPOTAKA KUMWAJILI MTANGAZAJI VINGINEVYO KUNA NA SIKU ITASHITAKIWA KWA MAPUNGUFU YA MTU

  • @Byme6434
    @Byme6434 8 місяців тому +6

    Nimecheka Hapo Eti Mtoto Bado Mdogo Atabakwa 🤣🤣🤣

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 8 місяців тому +17

    Haya mambo ya kifamilia yanawekwa kwenye media vp jaman

    • @angelalyimo2862
      @angelalyimo2862 8 місяців тому +2

      Yaani kila kitu kimekua mtandaoni hakuna privato

    • @andrewmagwila1602
      @andrewmagwila1602 8 місяців тому

      Ni aibu sana kizazi hichi kutafuta sifa mtandaoni

  • @hassanfundi893
    @hassanfundi893 8 місяців тому +1

    Daah

  • @vero57
    @vero57 8 місяців тому +11

    Dida kazi unaiweza dada, hongera sana

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش
    @عبداللهالعازمي-ع3ش 8 місяців тому +1

    Kali

  • @HidayaNgala-uk8tt
    @HidayaNgala-uk8tt 8 місяців тому +2

    Mweeeeee wengine mna bahati ya kuhudumiwa jamani dah, wengine tunapewa elfu4 hapo mtoto anaumwa, iyo ni Hela ya dawa tu, chakula ntajijua mwenyewe

  • @Moe-Joe
    @Moe-Joe 8 місяців тому +18

    Dotto hawa madem kama wameanza hii michezo watakumaliza

  • @moodychanday9220
    @moodychanday9220 8 місяців тому +2

    Kwani Wasafi mmeshakuwa Dawati

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 8 місяців тому +1

    😂😂 Bongo Rahaa Sana yn ukionekana upo na maokoto tu unaanzwa kutaftwq na kiki,Uku kiki ya Manara vs dulla hapa kiki za ditto magar vs mzaz mwenza 😂 acha Tuishi nazo hiz Kiki😂😂

  • @mcdericktv7298
    @mcdericktv7298 8 місяців тому +2

    Kosa la wanawake wa siku hizi wakikuona umetoboa tu yaani utajua hujui aiseee...

    • @monadinadi5295
      @monadinadi5295 8 місяців тому

      Umeonaeee wanawake bhana 😂😂njaa mbaya

  • @mwamwapogba3364
    @mwamwapogba3364 8 місяців тому +1

    Uyodoto manenomeng mpaka mpakanduguzake wanamkataa pesa zinamwisho achakibuli mwenye kibulinimojatu apadunian ambae ni mnyaz mungu kuastarabu achaujinga

    • @badrizyboy8305
      @badrizyboy8305 8 місяців тому

      Ww ndoto co tatizo shda mwnmke mswahili tamaa znamponza atafikiriwa

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 8 місяців тому +11

    Doto huna ujanja kubali yaishe acha uongo ndugu zako wamethibitisha humtunzi mjukuu wangu kumbuka tajiri na gari lake maskini na watoto.

  • @Barakatabudul
    @Barakatabudul 8 місяців тому +5

    Huyu Dotto" Kama hakupata Jinaa wangekuja huko kwa Media" dah! Maisha haya banaa..... Kama nikupata jina ni hivi wa ikaee😂😂😂😂

  • @salimbasho8126
    @salimbasho8126 8 місяців тому

    Mambo ya kitoto kila siku mbona tz mfatilie hizi story kwa kila studio

  • @hashymharun9337
    @hashymharun9337 8 місяців тому +3

    30000 kwa siku kumammae ni uongo😊😊😊😊

  • @godymasilingi4750
    @godymasilingi4750 8 місяців тому +1

    Dotto maneno mengi, ampe elfu 30 kwa siku sio kweli

  • @ZeeLaVyeti4.8
    @ZeeLaVyeti4.8 8 місяців тому +12

    Mtoto wa mama kizimkazi yamemkuta

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 8 місяців тому +3

    Ugogo kumbe ni tatizo kwenye jamii yetu?

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 8 місяців тому +3

    Mmmh! doto unahela zamchezo kama mahakama imeashasema elfu60000 hayaomengine nimaamuza yako2

  • @malakisomwe5641
    @malakisomwe5641 8 місяців тому +1

    Mchepuko wang akipajuw wasafi nitakoma

  • @allymtanga8127
    @allymtanga8127 8 місяців тому +1

    Asingekua na Hela wangeshitaki wapi

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 8 місяців тому +2

    Na hapa ipo....

  • @SalimaNzeyimana
    @SalimaNzeyimana 8 місяців тому +1

    Ndo man wanaum wengi maish yenu yanakuw mabay badae kwa sbb vilio vawanawak ni vingi sn 😢

  • @Nabeel_brand_official
    @Nabeel_brand_official 8 місяців тому +1

    Tunazngua sana wanaume na ndio maana tunapata majanga mengi kwakua machozi ya haw wanawake yanatup laana kubwq sana.sasa atakam mnapishana na mama aliekuzalia basi kijali kilichozaliwa

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 8 місяців тому +1

    sai dotto magari 3 merry 1 halftime nangoja kuona merry kama atasawazisha ama otaishia hapo na mjomba dotto 😂😂😂😂

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 місяців тому

    Muislam kuzini nakafiri faida nihiyo

  • @JacksonPeter-m3u
    @JacksonPeter-m3u 8 місяців тому +1

    Wanawake tatizo Sana.

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 8 місяців тому +1

    Wanaume wengi wajonha sana na waongo. Sio wote.

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 8 місяців тому +2

    Wasafi wasafi

  • @MtegekiKaijage
    @MtegekiKaijage 8 місяців тому +4

    Wanawake fanyeni kazi jamani

  • @MadimbwalaMafhtaa
    @MadimbwalaMafhtaa 8 місяців тому +2

    Hilo jambazi

  • @chire4574
    @chire4574 8 місяців тому +3

    Doto mwanaume...

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 8 місяців тому +13

    Haw wanaooongea sana mitandaoni hua ni watu wa ovyo sana hwa kina doto sjui mwijaku sjui baba levo ni watu wa ovyo sana😂😂😂

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 8 місяців тому

    Doto magari umejiponza ile tabia ya kuonesha mabunda ya pesa imekuponza

  • @godwimmkolomi8988
    @godwimmkolomi8988 8 місяців тому +3

    Dada Dotto Asante uyu jamaa Anyolewe zile Rasta zitendei haki

  • @mwinyihajjsalim4405
    @mwinyihajjsalim4405 8 місяців тому +1

    2024 nimwaka wa waume kudhalilishwa naona

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 8 місяців тому +11

    Dida msaidie hy mama Doto mbabaifu. AZIZA sema kweli jimalize huyo binamu yako wa damu kabisa. Ni kweli kabisa nyumba hana watoto hawasomeshi kumbuka kuna uzee fainal uzeeni.

    • @XerinLogistics
      @XerinLogistics 8 місяців тому +3

      Mbabaifu kwa uhakika gani?kwann uanglie upande mmoja,nyie mmezid sana kutak kutafuta huruma kwa maneno ya uongo mtakufa vby sana

    • @estonsaimon6671
      @estonsaimon6671 8 місяців тому +1

      ​@@XerinLogisticsNdugu hapo Dotto ni wazi mbabaifu kwann wafikie hatua ya kupelekana ustawi wa jamii kama kweli anawajibika kwa akili ya kawaida tu boss?

    • @Myplusbee
      @Myplusbee 8 місяців тому

      @@XerinLogistics Yaani unataka kusema hata Mpwa wake anamsingizia?

    • @XerinLogistics
      @XerinLogistics 8 місяців тому

      @@estonsaimon6671 bro unasem hivo kwasbb ajakukuta ila Mimi nasem hivo kwajli yalishamkuta mtu wangu wakaribu kabisa yan sijaadisiwa kwa macho yangu nimeshuhudia unajua nn,sis wanaume tuna mengi sana yakusema kwajili ya wanawak ila kama wanaume tunakaa kmya, huyo jamaa yangu aliambiwa kbs na mwanamke wake kua naweza kukusingizia kitu nawatu wakaamini hawa sio wakuamini

    • @XerinLogistics
      @XerinLogistics 8 місяців тому

      @@Myplusbee ok lbda nikuuliz itakuaje kma sio ndugu yake ila nimchezo ambao umepangwa?kwasbb wabongo kukufanyia uigizaji nikitu kidogo tu...cha pili itakuaje lbda huyo mwanamke kaamua tu kumchafua doto?itakuaj lbd huyo mwanamke bdo anamtaka dotto? Mara nyingi hua tunapenda san kutoa hukumu kweny familia ambzo hatujui chochote kinachoendelea..la mwisho uwenda kwl dotto alikua antoa hela kwa mwanamke ila lbd mwanamke aoneshi kuridhika na Kias anachopewa ikampelekea dotto kubdirik,kuna wakati Wanawake ndio uwa chanzo cha mwanaume kunadirika,halafu hao hao wanaenda kuchongo mdomo

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 8 місяців тому +2

    Mambo ya family mnazingua wanawake jina siyo hela mnataka ampe hela kila mtu mjomba tafuta hela we dada

  • @OmanOman-ry5gw
    @OmanOman-ry5gw 8 місяців тому +5

    Waswahil hawa wakishaona unapa vichenji tuu wote ndio wanataka kukuegemea ww babu sio pow uyo na yy hajapew pesa ndio mana ana mucandia doto

  • @chibudenga8977
    @chibudenga8977 8 місяців тому +2

    Mambo mengine muyamalize kifamilia haina haja yakuyaletea mitandaoni

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 8 місяців тому +1

    Anatumia mdomo wake kumuonea huyu binti...duu watu wamuogope Mungu

  • @samielvutsipa52
    @samielvutsipa52 8 місяців тому +1

    Dotto pesa ya masharti iyo tusiongeye mingi ?

  • @godwimmkolomi8988
    @godwimmkolomi8988 8 місяців тому +3

    Jamani waheshimu wanawake .ndugunyake kabisa kamkana

  • @noelmtao2735
    @noelmtao2735 8 місяців тому

    Mshahara wa umaarufu ndio huo ndugu yangu Dotto Magari!

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 8 місяців тому +2

    Yaani imeonyesha ni uongo hawezi mtu yeyote hawezi kumpa mwanamke elfu 30000 kwa siku kwa mwezi laki 9 ni muongo huyo

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 8 місяців тому +1

    Dotto andaa daftari , kila unapotoa hela na akipokea, basi jina na tar na saini yake na Yako.....iwe kumbukumbu

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 8 місяців тому +4

    Mbona mambo ni mengi sana sielewi😅😅😅

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 місяців тому

    Haya haya haya doto ushazalilika

  • @Moseapacks
    @Moseapacks 8 місяців тому

    Dotto namkubali sana ila kusema vibaya makabila ya watu anakosea

  • @MussaSongo
    @MussaSongo 8 місяців тому +5

    Dotto umekwisha shemela kakumaliza

  • @PeterCharles-wi1mk
    @PeterCharles-wi1mk 8 місяців тому +1

    Kinachoniuma kwnn avae jezi ya Yanga 😅

  • @RoseKhashim
    @RoseKhashim 8 місяців тому

    Jaman wagogo tumefikiwa duuu nimeliaa sana doto magar

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 8 місяців тому +2

    Marefuu 🤔

  • @JustinMwakalukila
    @JustinMwakalukila 29 днів тому

    Huyo mwanamke anaongea sna,mm nahisi kuna sehem kuna tatizo kwa mwanaume mwenye akili huwez mtupa mtoto wako wa damu.mapenzi ni ya wawili huwez jua wanamgogoro gan wa ndan ambao hauwez wekwa hadharan,mm mbna na mgogoro na mzazi mwenzang lkn mtoto namhudumia kupitia ndugu zake yeye binafsi mama mtu hatuongei kabsa akiwa na shda huwa anatuma tyu MSG hajawai Fika nnapoishi ila huwa ananifatilia kila hatua nnayosonga ya kimaisha namm najua hilo lkn pamoja na yote hayo hamna anayefaham UGOMVI wetu ni nini iwe ndugu zake ama ndugu zang hamna anayejua labda km yeye alishawanong'oneza ndugu zake,na iko hvo na hakuwa mke wa ndoa ila ni mzazi mwenzang tyu

  • @jacksonamos2008
    @jacksonamos2008 8 місяців тому +1

    Kumbe Dotto maneno mengi tu mzaramo huyu 😂😂

  • @happymhame8218
    @happymhame8218 8 місяців тому

    Kaka una busara sana.

  • @thedamonce
    @thedamonce 8 місяців тому +3

    Sema wanawake miyeyusho sana

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 8 місяців тому +4

    Dotto uwanja wa bure na manoti ya w2 pole yk maneno mengi puuuuuu

  • @AniziaKamanzi
    @AniziaKamanzi 8 місяців тому

    Wanawake Sasa uhuru wenu umezidi

  • @eleneonkwama2733
    @eleneonkwama2733 8 місяців тому +1

    Na mimi mwanamke nilozaa nae akija apo kwa dida ntakoma😂

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 місяців тому

    Mwanamke anaonekana mshenzi anamdomo

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 8 місяців тому +1

    Mzagamuo mnazagamuana kinazaliwa kiumbe kisha inakua shida na tafrani.

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 8 місяців тому +1

    Dotto hua hukosi majibu...eti dukani pengn anaenda kuchukua vitu akiuza hapiki😅

  • @vero57
    @vero57 8 місяців тому +9

    MAMBO YA AIBU TUPUU!!!

  • @Mariam-w9s3b
    @Mariam-w9s3b 8 місяців тому +1

    Dotto mwanamke tu mwanaume lijali awez kumfagilia mwanaume mwenzie

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 8 місяців тому +2

    Hivi watu hawajui maisha ya mtandaoni jamani dotto anajibrandi si kakubali atatoa mpe mda mbona mnayakuza

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 8 місяців тому +1

    bongo ukishapata jina tu umekwisha vinatokea vinsholokoshwino kutokea sijui wapi uko 😂

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 8 місяців тому +2

    Unafikiri wanawake wenye Akili wanafanyaga mambo kama haya ya kuzalilishana

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 8 місяців тому

    Kwahiyo wasafi ndio ustawi wa jamii??

  • @brayo001
    @brayo001 8 місяців тому +1

    Mwanamke mkorofi huyo

  • @ConfusedBarnOwl-nf4gv
    @ConfusedBarnOwl-nf4gv 8 місяців тому

    Wagogo😂😂

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 8 місяців тому +4

    Kupatwa Kwa Doto😂😂..mara nyingi mijanaume kama doto ni wababaishaji mno msidanganywe na mihela yake ya mtandaoni!! huyo doto chawa tu hana hela huyo pimbi

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 8 місяців тому

      😅Ndiooo_🤦🏿‍♀️ 😅

  • @sleimankhamiss4586
    @sleimankhamiss4586 8 місяців тому +5

    Wa 1 kulike na kukoment japo cjaona video

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 8 місяців тому

    Hivi vyeo vingine bwana Chawa sikia sifa za infuenceer😂 Doto magari (*kizimkazi) mjomba anasema mpaka maaake anamtukana huyo ndio kioo cha jamiii

  • @BenSon-z9m
    @BenSon-z9m 8 місяців тому +6

    Waswahili 😅😂😂😂 Aya fanyeni uyo doto sio star mngenda wapi !!!!

  • @raphaeloloo9641
    @raphaeloloo9641 8 місяців тому +1

    Mchawi atoki mbali uwa uwa ni ndugu wadamu alafu family issue munaeka public WASAFI kama amuna Programe fungeni kipindi sijaona kituo cha Habari cha kipuzi kama ichi

    • @WelimaAdoniasi
      @WelimaAdoniasi 8 місяців тому

      Et mchaw atok mbali udumi wakuchekee😂

  • @saudatoller642
    @saudatoller642 8 місяців тому

    Shikeni adabu wanawke, leo ana hela ndo mnamjia juu

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 8 місяців тому

    Hatimae madebe apata pa kufutia jasho,kwa kweli ni mtihani

  • @kadushimediatz
    @kadushimediatz 8 місяців тому +3

    Mjomba doto😅😅😅😅

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 місяців тому

    Mimba za zinaa hazina kher

  • @sadabahla7120
    @sadabahla7120 8 місяців тому +5

    Uyu doto kama mkosa radhi

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 місяців тому

    Wanawake nasisi vichaa

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 8 місяців тому +3

    Nahicho anachokisema mpwa wa Doto msubirin majibu ya Doto

    • @deeruta9894
      @deeruta9894 8 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂🔥

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 8 місяців тому +1

    Waislamu Tanzania kupata mtoto nje za ndoa ni vitu vya kawaida subhanallah🇰🇪🇸🇴?

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 8 місяців тому +1

      DUNIA HII

    • @rehmakondo
      @rehmakondo 8 місяців тому +1

      Yani watoto wa nje wanaongoza kuliko wa ndoa,mtihani huu

    • @Abu-Hamza254
      @Abu-Hamza254 8 місяців тому

      Na huyo mnavoishi na yeye sa ivi ni come we stay au kafunga ndoa?

  • @wazirally1791
    @wazirally1791 8 місяців тому

    Kumbe ni MJOMBA DOTTOangeitwa ANCLE DOTTO angekuwa hana shida shida imeanzia Kwnye MJOMBA

  • @AkimuMovie-rt3rp
    @AkimuMovie-rt3rp 8 місяців тому

    Et mgogo😂😂😂😂

  • @muhsiniissa8151
    @muhsiniissa8151 8 місяців тому +4

    Kuna wanawake wengingine ukiwa nao kwenye mahusiano unatafutwa kudhalilika

  • @michaelmsemwa-ff9hj
    @michaelmsemwa-ff9hj 8 місяців тому +1

    Mjomba dotto 😂

  • @Mgema001
    @Mgema001 8 місяців тому +1

    Hao wote njaa

  • @wemakalama6458
    @wemakalama6458 8 місяців тому +5

    Wanawake fanyeeni kazi acheni ujinga kila kitu mitandaoni mmh kazi ipo

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 8 місяців тому

      Fanyeni kazi wadada acheni kukaa kama Gori kipa

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari 8 місяців тому +1

      Mimi wananikela kweli. Mimi nina mtoto namsomesha shule ya pesa nyingi na sijawahi mlalamikia babake.

  • @callicevallice7383
    @callicevallice7383 8 місяців тому

    Angekuwa sio star mngeenda huko wasafi..??😂😂