Kaka doto unanifuraisha kweli kweli,Yani nakusikiliza nacheka mpka naugua.Juma nikiherehere kma ngoma yamdundiko
Uyu jamaa anaakili sana naanapambana na ipo sku atafika mbali saba doto magari saluti
Masaki kabisa apatimenti😂😂😂😂 Safi sana nimekukubali sana ukweli utakuweka huru.
Semaaa kkaa nmkuelewa sanaaaa point yko sem allh bless 🇹🇿🇹🇿❤️💯💯
Doto hapa kaongea kwa hisia kali sana ukimuelewa cz yeye ni mpambanaji kwanini wanamfatilia maisha yake ya undani hakupenda ndio maana yeye anawajua undani na hakuwasemea mbele za watu leo katoboa Yao pia
Daaah nimecheka leooo😂😂😂 walahi hii hata samia km kaiona naye atakuwa kacheka had kajamba😂😂
Wamekupaisha tu
Mtu wangu
Maisha ya wengi ni ulio nayo ww ndio haijasumbua jamii
Original wenyewe hawaja pinda😂😂😂 daaah kiswahili na WA Swahili kinanoga sana
nakubali broo kimsingi wa bongo tunafeki sana maisha binafsi najifuza sana
Haya wambea wa I C U kula chuma iyo 😂😂😂😂😂😂😂
Dotto magari unajua bro nini unajua ni hayo tu na wish kukuona live hivyo tu♥️♥️♥️
Hahahhahahahahahahaa Dotto una mdomo sana ww duuuuuuh niatari Sana juma njoo huku uruke kichura chura tuone na ndooo juu bro
Dotto magari self made keep it up the sky is the limit
Wenye akili timamu Ndio atamuelewa huyu jamaa...Dotto kapitia magumu mengi,na hata hapo alipo Bado anaendelea kujitafuta...uwezi kisa umeanza kupokea rizki wakati unajitafuta uhame nyumba ya 50000 ukahamie nyumba ya millioni kwa mwezi!!Huyu anatambua kwamba Huwa wanapata madili..hayo madili yanamsimu awezi akajitoa kwenye uhalisia na kujitoa amani kwa maisha ya kuwqfurahisha watu wa mitandaoni alafu aje adhalilike mara hana Kodi ..tunawaona mastar kibao yanawakuta..
Jamaa huyu kapitia mengi n'a Pia anaweza tajirika kama utani maaana alikotoka huyu bwana sio hapa wenzio wengi wamekufa tayari na madawa ila doto katumia mesadon hadi Leo anajitafuta
Ndoto katika siku leo nimekupa saluti umeongea ukweli mimi niko Europe ila unaongea ukweli wa senge hao
Doto magari nakupenda bureeee umemkomesha uyo shoga juma lokole na wenzie
Doto Wa kizimkazi😂😂😂😂 anewawezaa ,JUMA HUYU NDO KIBOKO YAKO
Eti kw sisi waislamu😢 na shingoni ana libonge la msalaba dah!!! Uislamu wa kibingo bana😂
Kk dotto upo vizuri
Tanzania in inchi ya comedy watu wote
Team Doto magari gonga like
Yaani i love tzanian's confidence. Their mouths runs faster than their wallets!
Hata kwetu wapo.🇰🇪 🇹🇿
Unajua nn unafanya kaka mzaramo og big up
Hela nyingi mpaka balabendi haitoshi😂😂
Wazalamo atufeki maisha doto aowa2 wanapenda kitonga awali mbaka wapinde mgogo
Lakin dotto kipindi anaanza anza kujulikana alifanyiw interview kwake anapokaa na palikua palepale icu walipoenda sema tu wambea hawajalitilia maanani kuitafuta hiyo interview dotto alisema kabsa hapa ndo kwangu na ni zamani sana kama miaka miwili
😂😂😂 ila dotto kawaweza kwa majibuu daaah anajua
Eti hawal kabla hawajapinda mgongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Wape vidonge vyao hakuezi tunakuoenda mpka bas yani mtu ukiwa na stress zako mtu akikuskiliza tu anaenjoy
Dotto umeomgea ukweli uyoo juma lokole hamna kitu jumba bovu anatuabosha Sana wanaume wenzake hongera Sana kumwambia ukweli uyoo abadilike tabiya yake sio mzuri ya kupinda mgongo
Doto kwanz mjini imeingia juzi mbuzi wew
Nakupenda Bure Dotto❤❤❤❤
Dotto magari😂😂😂
Msema kweli kipenz cha mungu umeongea ukweli kabisa
Kweli apo umeongea fact mashoga wauliwe wote
Kaka Dotto yani umenifurahisha sana leo sioni sababu yaku fake maisha kabisa yani kama wew ni mkubwa utakua mkubwa tuuu
Nakukubali sana dotto asante sana unatubeba sana sisi watu kawaida tumezaliwa tuishi hapa duniani dhamira ya Molla sio kuwa tuwe matajiri km wao hapa ni vile Muumba kapendezwa atupe pumzi tuishi maisha ss km wao wamepata basi washkuru tu lkn sio kutuona ss km wakukosa tu hapana tuna haki ya kuishi maisha ya kawaida na katika mazingira yyte... Dotto asante kwa kutetea mazingira yetu km mabaya ndio Mungu katupa... Mwambie huyo mshamba wa dunia atakuelewa tu ss ndio mkazi wa mama Samia....😂
Weeeh dotto apo umepigajee, huyu ndo dotto keto tajiri wa maneno 😂😂
Doto magari umewaweza ICU, umewajibu kisomi sana
Umeongea vizuri
eti rangi kama afkeki michilizi kama tango😂😂
Mbona baba levo hajawahi kujibu??😂😂😂
Wazaramo acha tu watu wa Dar balalaa @!Dotto from MK @uk
haya juma piga pushap km za doto kisha upost ili tujirizishe 😅😅😅😅😅😅
Kweli 😅kabisaa mji wameukuta na watauwacha😂😂chezea wazaramo wwe😂😂😂
Doto nomaa wameleft group
😂😂wakijamba tu sema
Duh 🤔 na umewanyea sana kaka
Kaka doto Niko zanzibar jumapili nakuja dar umenifurahisha Sana juma lokole kumwambia ukweli tabiya yake aache anatuabosha Sana wanaume wenzake juzi kavaa chupi doto hongera milioni Yako iko😂
😂😂😂😂Et eti waluke kichula😂😂
Niko nawewe kaka
Hatakae piga mruzi apite huku😂😂😂😂
Yaani Leo umeongea mawe tupo, kufeki maisha 😂😂 Ila hahaha kitengo utapata nawachukia Sana hao wapiga miruzi
✨
Kweliii kabisa wasanii wanafeki sana maishaaa😅😅😅😢
Mwite Olamide😂😂
👍👍👍👍👍👍👍
Kaka Doto watoto wamjin tunakuelewa nini usema😂😂😂
Dotto magari mzaramo wa kizzy mkazi 😂😂😂😂😂
Mpaka wapinde migongo😂😂😂
doto magar ww hua msema ukweli hukosegi anae kuchukia wivu unasumbua
😅😅😅😅😅 kavurugwa
Hhhhhhh yani huyu jmaa anaburdisha
Mh huyu jamaa noma
Mwamba huyu hapa sass😂😂😂😂😂
Ety"Balabendi"haitosh haha😂😂😂😂😂 ila dotto
😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka jmn
😂😂😂😂 huyu ni balaaah!!
visokolokwinyo 😂😂😂😂😂😂ila Dotto
Sema mzaramo mwenzangu
Atakae piga mluzitu..hahahaaaaa swiiiiiiii
Congo tunamuelewa
Dotto bhana et mludhi 😅😅😅
Doto nakubaliana na wewe , Watanzania wengi ni malimbukeni sana sana akipata kidogo anataka kujionesha . Wewe una tabia kama za Hayati Mwl Nyerere ambaye aliishi maisha yake halisi pale Msasani na kule Mwitongo licha ya kuwa Rais wa nchi kwa miaka 25 Hongera Dito Magari hata hao watangazaji nao ni ovyo kabisa awanafuatilia mambo y ovyo ovyo
😂😂 mtungi mirefu 😂😂😂
Wapi lokole 🤣🤣
leo umeongea point sana
Dotto kaongea ukweli mtupu
Doto doto kubali dana
Wemukweli sana😅😅😅😅
Watu walio Left Draft😂😂😂😂
Akina juma wamejichanganya aisee wanajuta kwaninj walikwenda kwa dotto na anahasira sana nahawa watu
Inforensa
Mitungi yao kama nguzo za tanesco😅😅😅😅😂
Hapa ipo
Mr. Influencer
Mluziii😂😂😂😂😂
Mama kizimkazi na hapa ipo
Wame left group 😂😂😂😂😂
Ila jamaa kafanana sana na dully syks sura yake😂
eti fanya ivi upige mluzi😅😅😅😅😅
mganga wako yupo vizuri kama mganga wa John bocco
Dotto anajua alipotoka mwacheni ajiachie ,sema mwana hugeki maisha big up dotto