HII NYUMBA RAMANI YAKE NI KIBOKO ILA ROOMS 3 ZOTE MASTER BEDROOM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • #ujenzinafuu #ujenzi #ramanizanyumba

КОМЕНТАРІ • 21

  • @ashaashaa1959
    @ashaashaa1959 2 місяці тому

    Masha allah ❤❤❤🎉

  • @ommie_nyzer
    @ommie_nyzer 8 місяців тому +1

    Blessed bro 👊🏾📌

  • @zainab8251
    @zainab8251 Рік тому +1

    Mashaa Allah uko vizuri sana

  • @MabulGodfrey
    @MabulGodfrey Рік тому +1

    Kazi nzur sana❤❤❤

  • @siashayo8676
    @siashayo8676 3 місяці тому +1

    Kazi njema. Ningeshauri kwa kuwa kila chumba ni master, hicho choo ya public kiwe ni choo tu pasiwe na bafu. Sitegemei mgeni aje kusalimia kwa muda mfupi atake kuoga.

  • @aishajuma5079
    @aishajuma5079 2 місяці тому

    Uko vizuri sana nigekuona mwanzo ila duu acha tuu😢aya maisha

  • @diyembarak5506
    @diyembarak5506 Рік тому

    Kazi nzuri sana nasubiria ikimalizika tuone ndio tujuwe kunaendaje.

  • @rajabhamis7595
    @rajabhamis7595 Рік тому +2

    Umeeleweka Engineer....ila itapandeza Iwapo utashisha Uzi mzima mpaka coz ya 3

  • @josephndoghwe2722
    @josephndoghwe2722 Рік тому

    Nakubali mr house shosho

  • @NkeshaChabhilonda
    @NkeshaChabhilonda Місяць тому

    Hapo hapana nyumba haiko sawa IPO chini sana utafikili nyumba ya kijijini japokua kijijini Napo wamestuka unavojenga nyumba ya mtu boss tafakali kua baadae kutakua na ongezeko la nyumba ktk hayo maeneo

  • @dannymagana7954
    @dannymagana7954 Рік тому

    Ina uzuri sana nimeipenda

  • @chrissjapheth2803
    @chrissjapheth2803 Рік тому

    Msingi unaubana sana bro

  • @mrafb7224
    @mrafb7224 24 дні тому

    master hio nyumba haina tie beam?

  • @MabulGodfrey
    @MabulGodfrey Рік тому

    Hii Ina kula tofari ngapi

  • @NeemaGrace-q1l
    @NeemaGrace-q1l 6 місяців тому

    Msingi ongeza

  • @KhadijaKhadija-z4h
    @KhadijaKhadija-z4h Рік тому

    ❤🎉

  • @ClemenceUsanase
    @ClemenceUsanase 5 місяців тому

    Msingi uko wapi tuoneshe msingi

  • @JosephmutukuMulinge
    @JosephmutukuMulinge 7 місяців тому

    Ramani ya msingi iko aje?

  • @salimanguzo5553
    @salimanguzo5553 11 місяців тому

    Watsap hamjibu chochote

  • @isayaKiluswa
    @isayaKiluswa Рік тому

    Msingi uko wapi