TAZAMA MJENGO HUU NJEE MPAKA NDANI NI BALAA INA ROOMS 3 ILA VYOO VYAKE NISAWA NA CHUMBA KIMOJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • #ujenzinafuu #ujenzi #ramanizanyumba

КОМЕНТАРІ • 20

  • @cleverboy3812
    @cleverboy3812 11 місяців тому +2

    Kazi nzuri sana kaka.. Ramani imetulia.. Izo sehemu za korido ukiondoa viatu pia unaweza ukaweka meza ya kupiga pasi au sehemu ya watoto kujisomea. Viatu vinapendeza zaidi endapo korido yake ikiwa karibu na mlango wa kutoka nje. Ramani imetulia iko vizuri.. Inshallah mungu akijalia 2024 nitakupa kazi na mimi..

  • @Abubakarijuma-kl8su
    @Abubakarijuma-kl8su 4 місяці тому

    Safi sana bro

  • @SalimaMagesa35
    @SalimaMagesa35 7 місяців тому

    Habari nimependa hiyo ramani pia Nina kazi hiyo

  • @ChristinaKufakulala-q3m
    @ChristinaKufakulala-q3m 7 місяців тому +1

    Ntakutafuta nikirud Niko Oman

  • @amanimrisho5758
    @amanimrisho5758 9 місяців тому

    Unaweza saana we jamaa

  • @janetsemahimbo8083
    @janetsemahimbo8083 8 місяців тому

    safi sana

  • @danyhas8947
    @danyhas8947 2 місяці тому

    Hupokei fundi

  • @EvanceFLORENTIN
    @EvanceFLORENTIN 10 місяців тому

    Metisha sana kak mpka apo ime tumia tofali ngap

  • @salha6596
    @salha6596 11 місяців тому

    Shukrani fund

  • @Abubakarijuma-kl8su
    @Abubakarijuma-kl8su 4 місяці тому

    Habari za majukumu bro. Samahani napenda kujua hiyo jumba mpaka hapo ilipofikia imegharimu shilingi ngapi?plz

  • @danyhas8947
    @danyhas8947 2 місяці тому

    Bei gan msingi kama huo bei ya ufundi

  • @danyhas8947
    @danyhas8947 2 місяці тому

    Tofali ngapi xa nyumba nzima

  • @khadijamansoor7415
    @khadijamansoor7415 7 місяців тому

    Mpaka hapo umetumia sh ngapi?

  • @Beatrice55-h4l
    @Beatrice55-h4l 8 місяців тому

    Nahiitaji hii ramani plz

  • @noahsgtv3438
    @noahsgtv3438 6 місяців тому

    Lazima nikutafu

  • @danyhas8947
    @danyhas8947 2 місяці тому

    Tofali ngapi hapo

  • @filafinancebss2925
    @filafinancebss2925 11 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @ShaniaKing-o5d
    @ShaniaKing-o5d 10 місяців тому

    Ikiisha pia tuonyeshe ilivyopauliwa

  • @AminaKida-ik8fc
    @AminaKida-ik8fc 11 місяців тому

    Penda sana uko vixuri broo

  • @husnamohammed6386
    @husnamohammed6386 11 місяців тому

    Ivo ilivo ikikaa mezi6 bilakueaka linta inaalibika sauliza samahani natakujua