Nimefurahia Sana Kupata Maelezo Ya Ujenzi Wa Hiyi Nyumba Nawashukuru Sana Ila Pendekezo Ingelekuwa Kama Hivi Kisha Tuaona Mkato Wandani Na Pande Zilizo Baikia
Nimefarijika sana kuona taarifa za ujenzi wa hidden roof na gharama zake in sha allah nitaweza kutimiza ndoto zangu na mie atleast nimepata relie, kaka tuombe uzima nitakutafuta mkuu
@@ShelaMsabaha hahahah kaka inabidi tuone mambo yanawezekana maana kimtazamo sio rahisi kaka ila at least uki twist ubingo namna unavyoona jambo gumu na kuwa jepesi unaweza kufanikiaha ila to be honest hiyo bajet utaaishi kujenga pagala na kuweka bati kama eneo sio complected otherwise utatakiwa kuidouble ili ukamilishe
Saaafi sana. Tuwekee mjengo wa apartments zenye kibalaza. Chumba kimoja na vyumba 2. Choo ndani. Kibalaza kwa ajili ya privacy kama mtu anapika nje na mkaaa. Thanks
Asalaam aleykum mr house ni mm nilie kupigia simu nikakuambia nipo nje ya nchi kwa matibabu nasema hii ndio ramani nilio kuambia naitaka lkn iwe na vyuma 4 tafadhali niandalie na site plan yake na elevation zake na uniambie kiasi gani nikutumie pia usiache kufanya bill of quantity
Hideni roof ni mahususi kwenye eneo lenye upepo mkali na vimbunga, hapa Bongo kama fashion, huyo msimuliaji haujui garama za majenzi kwa asimilia hata hamsini, kwa mfano garama za mchanga na kokoto inatajwa volume, sio idadi ya magari
Tofali umesema znaingia 2500 na kila tofali bei ni 1000x2500= 2,500,000 iweje hapo bado nondo,mchanga kokoto na mafundi nk. Iweje utumbie hii nyumba kuanzia foundation mpaka jufkia kwenye linta na kumaliza kozi ya juu ina cost 3,000,000? Usidanganye watu
Hata mi sijamuelewa kasema tofari milioni mbili na nusu sumente milioni moja nondo laki nane fundi milioni mbili mchanga na kokoto afu anatudanganya eti milioni tano inaisha mmh acha tujipe moyo😂😂
Kazi ni nzuri sana tatizo ni maelezo, kibiashara hujielezi vizuri kuna sehemu unavyoziweka zinatia shaka kwa wachambuzi wa lugha otherwise Big Ups
Bro hongera sana kufananua vzr ujenzi
Asante sana bro nimepata picha halisi ya ujenzi na imeniondolea wasiwasi
Mashaallah nimefrah sana maana ukijua kinachaendelea ni vizuri sana asante kwakutuekawazi.
Nimeipenda sana na itasaidia sana kwa wale wanaotaka kujenga
❤❤ je nikiamua baada ya muda niipige bat inawezekana
❤❤❤❤❤❤❤ ngoja nijipange jomba
Hongera sana wewe ni mzalendo wa mafanikio hakika
Asante kwa ufafanuzi, umetuhamasisha pakubwa
Nimeielewa raman bro
Nimefurahia Sana Kupata Maelezo Ya Ujenzi Wa Hiyi Nyumba Nawashukuru Sana Ila Pendekezo Ingelekuwa Kama Hivi Kisha Tuaona Mkato Wandani Na Pande Zilizo Baikia
Nimefarijika sana kuona taarifa za ujenzi wa hidden roof na gharama zake in sha allah nitaweza kutimiza ndoto zangu na mie atleast nimepata relie, kaka tuombe uzima nitakutafuta mkuu
Million kumi na nne unajenga nyumba yavyumba vingapi
@@ShelaMsabaha hahahah kaka inabidi tuone mambo yanawezekana maana kimtazamo sio rahisi kaka ila at least uki twist ubingo namna unavyoona jambo gumu na kuwa jepesi unaweza kufanikiaha ila to be honest hiyo bajet utaaishi kujenga pagala na kuweka bati kama eneo sio complected otherwise utatakiwa kuidouble ili ukamilishe
Safi kabisa, umetufungua ufahamu. Napenda kujua kuhusu msingi maana hujaongelea, au bajeti yake iko humohumo?
Saaafi sana.
Tuwekee mjengo wa apartments zenye kibalaza. Chumba kimoja na vyumba 2. Choo ndani. Kibalaza kwa ajili ya privacy kama mtu anapika nje na mkaaa.
Thanks
Safi sana mungu akulipe kheir
Kwanini zinakuwa zinavuja Sana
Hujasema msingi,
Hongera sana mkuu .. nimefurahi kuwa exposed na channel yako
Uko vizuri ila hidden ni hi kama katika neno himaya na si hai
Nionyeshe ndani
Hongera kaka nitakutafuta aisee na vp changamoto ya kuvuja kwenye nyumba za hidden roof
Swari zuri pia kuhusu rangi
Vizuri sana
upo vzr mno aisee
Hey bosi nimeipenda hii dizini ya nyumba ningependa kama nahitaji kila chumba kiwe na choo chake na choo cha pabliki harama zake inakuwaje
Uko vzr sana
Asante kaka
Bara ujenzi rahisi njoo zenji
Hata nyumba bara bei nafuu zanji ghari sana
Nice
Naomba Namba zako
Hongera sana
Kaka Mbona hii lahisi sana na ni nyumba kubwa Ina vyumba 4 na ni nyumba nzur
Asante
Aiseee mbona unenishtua sana
Nahamia Dar hivi karibuni nitakutafuta .Hongera kwa kazi nzuri
Hivi karibuni
Je inawezekana ikawa vyumba 3 badala ya 4? Kwa ukubwa huohuo ?Ili nyumba hii iwe na balcon mbele kubwa na pembezoni mwa chumba cha master??
Ee mungu nisaidie ninaamini katika kupambana namimi nitamiliki mjengo
Allah akufanyie wepesi uweze kumiliki....Aamen.
Ameeen
Kaka ya kweli ayo nikutafute
Asalaam aleykum mr house ni mm nilie kupigia simu nikakuambia nipo nje ya nchi kwa matibabu nasema hii ndio ramani nilio kuambia naitaka lkn iwe na vyuma 4 tafadhali niandalie na site plan yake na elevation zake na uniambie kiasi gani nikutumie pia usiache kufanya bill of quantity
Ingekuwa vizuri utuonyeshe kwa ndani
Mzuri sana unatafutwa
Shukran
Humeerezea vizur naomba namba Kwa ushauri vizur
Please show me in
Kaka nakupataje
Wow hii nyumba ni nzuri sana nimeipenda
😊
Ni vema kuonyesha muonekano wa ndani, kutambulisha kazi zenu. Tunapo ona ukamilifu wa ndani waweza kutupatia uhondo pia
Mnakuja zanzibar
👌🏿👌🏿
Safi sana
Upo vzr sn
Hideni roof ni mahususi kwenye eneo lenye upepo mkali na vimbunga, hapa Bongo kama fashion, huyo msimuliaji haujui garama za majenzi kwa asimilia hata hamsini, kwa mfano garama za mchanga na kokoto inatajwa volume, sio idadi ya magari
Ntumie ramani
Tuonyeshe na ndani
Tuonyesheni na ramani kwa ndani
Weka mawasiliano bro .Ila hapo bado vitu kama.mfumo WA maji na umeme,makabati,taa na masinki,ujenzi wa jiko.
Mawasiliano no iko hapo
Shukran umetoa faida
Zege la lenta inatajwa kwa volume,nondo inatajwa kwa mita,.
Mambo nambie hiilaman naipataje?
Naomba no zko.mm niko znz jee unaweza kuja kunijengea?
👊👊
Kaka tunaomba tuone kwa ndani ip vip
Ramani bei gan
Umenipa ujasiri natumai ndoto zangu zitatimia ipo siku nitakutafuta fundi
Hy Hesabu umekosea ya hapo Chini mpaka Juu Sio 3.1
😂😂😂Sure ametupeleka chaka kidogo
Mi naomba kuuliza msingi mzur naamanisha msingi imara kbs unachukua kiasi gani msingi tu peke yko
Unaweza kujenga hizi nyumba kwa kutumia tofari za kuchoma
Kwanini milioni 3 na nusu wakati tofali zenyewe 2500 ni 2,500,000/=?bado Cement mifuko 85 ×17,000/= mmmh umetamka hela ndogo sana
Nimepiga hesabu lakini, sijaelewa hesabu zako
Umesahau gharama ya cement kwenye mil3 na laki moja
Ukweli umesema ila bei umedanganya
Duh pesa milion 27
Hadi nyumba kukamilika?
Ukubwa gani
Hii naitaji
Nipe namba tuwasiliane pls
Msingi gharama yake hujafafanua, mbao za formwork na lenta nk.....
Achaweeee!😢
Umenitiaaa moyo sana ntakutafutaaa
mpaka hapo kwenye Kozi 4 za juu inakua 5,695,000
Nkajua ni mimi tu yani hio hesabu inashida
Kaka nipe no yako nikupe kazi
Tofali umesema znaingia 2500 na kila tofali bei ni 1000x2500= 2,500,000 iweje hapo bado nondo,mchanga kokoto na mafundi nk. Iweje utumbie hii nyumba kuanzia foundation mpaka jufkia kwenye linta na kumaliza kozi ya juu ina cost 3,000,000? Usidanganye watu
muelewe vizuri kwenye maelezo yake ajadanganya ila kwenye kujieleza ndo inabid umuelewe kaka
Namba za simu sizioni
Ziwe wazi tafadhali
Tuonyeshe muonekano wa nje pande zote na muonekano wa ndani
Uko vzuri kamanda
Mimi Niko Geita, unaweza kutumia muda gani Hadi nyumba kumalizika?
Tofari zote mpaka msingi
Msingi pia haupo kwenye hesabu Sio 😮
Msingi haupo Bana ni kuhesabu mpka kufika juu kuanzia chini
💜💜💟💟🤝🤝
Mbona mi sijaelewa
Hata mi sijamuelewa kasema tofari milioni mbili na nusu sumente milioni moja nondo laki nane fundi milioni mbili mchanga na kokoto afu anatudanganya eti milioni tano inaisha mmh acha tujipe moyo😂😂
kaka unatupa moyo tulokata tamaa hongereni muwe mnatupa option ya wa mikoani gharama zake mtu akikutaka uje upige kazi mtalam
na design za jikoni pia mnafanya?
💕💕💕💕❤️❤️
Nakutafuta soon..
Hapo plumbing hujaweka
Kaka floor hujatuonesha imekaeje
Hivi kwa nini nyumba hizi hazina 'vent' kwenye joto la Dar si hatari sana?
Mbn huweki na. Ya simu
Tupe no yk
Nqkuitq moshi nitumie wimu
Mbona mi nimepata hela nyingi
Hapo kwenye ufundi wa kunyanyua ndo umesema Bei kubwa hivyo