Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Tunaotembea tukinyata mwaka 2024 kwayesu tujuane kwa like
Ambao tunanyata na damu ya yesu kuelekea mwaka 2025 weka like hapaa👍
ambao wakinyata nawimbo huu 2024 mwezi wa7
Ameeen siz wimbo umenifikia buti, siya 2024 know!
Yeyote anaebarkiwa na nyimbo hii tukutane hapa❤❤
Kwakweli watu walikuwa wanaimba zamani mbarikiwe sana
Who still 2024❤❤
Namkumbuka mama yangu kipenzi alitangulia mbele ya haki mungu amumpunguzie azabu 😭😭😭😭😭😭
pole sana Mungu akutangulie
2023 nipo hapa ,mpiga gitaa aliweza sana Mungu awabariki kwa kazi nzuri.
Ambae yuko namimi apige like apo
2023 nyimbo bado ina ujumbe relevant kabisa aisee. God bless you!
Marehemu baba yangu alikua anaupenda huu wimbo jamani, pumzika kwa amani mzee Stephen Joseph
So as my parents. RIP
Sorry
Leo 07/01/2021 namkumbuka Baba mdogo yangu alihukumia Mika 10 jela bila hatia alikua anaupenda sana
pole mtumaini mungu ndiye mweza WA yote na mhukumu WA haki
Pole sana ila akate rufaa huku mkimtumainia Mungu
Mungu wetu ni muweza, ataweza kumkumbuka
2024 ulimwengu unapeleka watu wa Mungu Kwa moto
Hakika ninatembea kidogo kidogo Nikinyata nyata, maana ulimwengu hauna pakunipeleka, nishike Mkono Mungu niwezeshe nijekuurithi uzima wa Milele.
Amen🙏🙏🙏
Watu wazamani walikuwa wanaimba unabi utakaotokea sasa, kwasasa dunia imekuwa ya hovyo sana.
2024??
Wimbo mzuri sana, itoshe kusema Mungu aturehemu madhambi yetu tufike uzimani siku moja!
Amen
One of the best song ever
2023 bado wimbo una mafundisho 🙏
Mungu atusaidie tufike salama😭😭
Nabarikiwa sana kwa kwaya hii mungu wangu nishike mkono
Ulimwengu utanipeleka wap 😱😱🙏🙏
Amina,tunanyata,nadamyayesu,kuelekea,2025
2024 October 😍 aww
Ulimwengu utanipeleka wapi huuuu...YESU nishike mkono
Nyimbo hii namkumbuka rafiki yangu Bernard mwaituka chuo cha misitu olmotonyi Arusha since 2007
Kabisa lazima tunyate kwa yesu
Nanyata kwa yesu dec 2024 ,
Kazi ya Mungu hii, nakumbuka 2008 nikiwa Kidato cha Tatu nilibarikiwa mno na kazi hii.
Mbarikiwe Sana vijana wa zamani,,,ujumbe wenu mpaka leo 25/04/2021 unaishi
Mungu tusaidie vinginevyo mbinguni tutafika tumechoka
Zamani zileee nyimbo tulizokuwa tunapenda kusikiliza muda wote 🙏🏿
Kwa neema ya Mungu niko hapa tena🙏🏿
Asee nakupenda huuwimbo na haujawahi kuchuja moyoni mwangu ,kiukweli wakiimba sifa na utukufu juu ya watumishi wake
Ulimwengu utanipeleka wapi😢
Hakika bwana anaendelea kutuonyesha ukuu wake ulimwengu utanipeleka wapi mie Mungu awabariki
tupo pamoja 28/6/2022, hawa watu walifanya nyimbo za injili. heshima.
Wimbo pendwa wa marehenu baba yangu mdogo mungu wa mbinguni amweke pahala pema pepon ameen
Kila nikiangalia habari kutoka vituo vyote vya habari hakuna siku utakosa kuona janga limetokea mahali.... 2021 August 🙏Mungu tusaidie
Love this song,, nliuskia mara ya kwanza nikiwa sunday school na kutoka siku hio hadi leo naupenda
Wimbo mtamu sana nahupenda sana
When gospel songs were songs ❤️🔥🔥🔥🔥Reminds me alot....Dad, continue Resting in Peace
Nyimbo zenu zinaniubariki moyo wangu sanaa
Sauti nzuri, hivi mpo wapi sasa
Nawapenda sana.mungu awatie nguvu . Wimbo huu unaweza kukufanya uache dhambi mmeimba bwana,
Kabisa dada
Kati ya nyimbo za choir huu naukubali sana
31.12 .2020 namaliza mwaka na Yesu Kristo ndani yangu ahsante Mungu wangu.
Safi kama nikweli
Asante wimbo mzuri sana
dah hz ngoma bana n konki balaaaa
2023 Uni vushe tena bwana Yesu
Dar namkumbuka marehemu baba yangu aliyetanguliya mbele za haki mwa 2008 aliupenda sana yangu 2004 hongereni waimbaji wa Zamani tabata
14/1/2024 it's my first time to listen to this song and I'm in love with the music 🎶 ❤❤❤🎉
Wananikumbusha mbali sana, Glory be to God
2024 bado zinadum maskioni
RAFIKI YANGU NZUYEEEEEE NAKUKUMBUKA SANA KWA KUUTAZAMA HUU WIMBO, WHERE YOUR MY FRIEND?
Hee hapo si udsm theatre 1.2
Naenda huu mwimbo
17/10/2023It's still inspiring. Anointed one
Cha zamani dhahabu nimeamini
Nabarikiwa sana na hii nyimbo
2021 hii wimbo napenda sana
Napenda sana huu wimbo hutuliza roho yangu
Naupenda mpaka basii
wimbo huu unanikumbusha mbalik sana pale nilipo kuwa nikimuaga baba angu dah🙏🙏🙏😫mungu mpumzishe salama
Pole sana kama aliokaka mtaonana tena
Wimbo mtamu sana. Wakenya mpo? Mjibu kwa Kiswahili
Jesus is God 🙏🏼
Hakika Mungu wetu ni mzuri sana
Nakumbuka uchungu simanzi mwaka 2006 baadq ya kuondokewa nakipenzi changu kaka yangu zakaria kupelwa pumzika kwa amani kaka
Hizi ndio zilikua nyimbo zamani mungu awabaliki sana
14/062023, nakukumbuka mama angu kipenz pumzika kwa amani
I love this song.Inanipa matumaini ya kusonga mbele
Huyu mwenye vimbo yupo wapi
Mungu Mwenyezi Awabariki Sana watumishi wa Mungu Awalinde na kuwatunza. Amina
kunyatanyata❤
Still in 2022 love this choir
Jamani nakumbuka mbali nilivyokua mdogo hee mungu tubaliki
2024 mwishoni
2023 still listening to this song. Reminds me of my school life in Moshi Tanzania
Hivi hii band(choir)bado wapo kweli???natamani watoe wimbo mwingine maana digitali imeharibu kizazi cha karne hii hadi kwenye nyimbo za injili,
yaaaaaniiiiiii...Dah....Enzi izo VHS
Eeeeeeeh Mungu eeeh naomba unishike mkonooo,,,ulimweeenguuu utanipelekaaa wapi huuuuu na anasa zitanipeleka wapi mieee
💯💯nyimbo inanigusa sanaaa
We made it to 2023 asifiwe bwana
Nawezaje kupata hiyo nyimbo zenu ?
Yakare yanavutia hadileo
Africha jueni haki za wasanii wetu huu wimbo wenyewe walisema mponao kwenye hii page yenu kimakosa mnanufaika nyinyi wenye nyimbo yao wanalia njaa, kueni na moyo wa huruma
DuuH
This reminds me of my late uncle Peter Pessa, may his soul continue to rest in peace🙏🙏
Me pia nakumbuka ma mkubwa wang😭😭
😭😭
Mungu ni Mwemaaaaaaa🥰🥰🥰🥰
Nawapenda sana mukomere muri Yesu kristo Amen.Michel N.Bujumbura
31 Oct 2021 still wimbo ni Moto. Hii Choir bado Ipo? Wameibariki siku yangu Hii..
Ipo mpendwa
Huu wimbo c wa kuchezwa na volume ya chini. Apana
Umejuaje
@@tuzonyava8306 Ni mtamu mno
01.09.2021 i'm stil listening this song.
Amina let the presence of the lord be with us always
2024/02/06 here for old good music ❤❤❤
We used to dance this song in public pubs for money. All the way from Chalinze Tanzania back in 2006
Tanzania wangu Nice song
Nazipenda sana mungu awabariki
I really love this song from when I was Young
Napokea mda huu
wimbo mzuri mbalikiwe
Barikiwa sana leo 02/3/2024🎉🎉🎉🎉
God is good 😊
Dah!Huu wimbo unanikumbusha machungu sana baada ya kumpoteza Dada angu Salma(Mwiza)Sikonge Tabora mwaka 2006.Apumzike kwa Amani my young sister.
Pole sana brother may her beautiful soul continue to rest in peace 🎉
😢😢😢😢 inanikumba mbali
Naupenda sana huu wimbo
Tunaotembea tukinyata mwaka 2024 kwayesu tujuane kwa like
Ambao tunanyata na damu ya yesu kuelekea mwaka 2025 weka like hapaa👍
ambao wakinyata nawimbo huu 2024 mwezi wa7
Ameeen siz wimbo umenifikia buti, siya 2024 know!
Yeyote anaebarkiwa na nyimbo hii tukutane hapa❤❤
Kwakweli watu walikuwa wanaimba zamani mbarikiwe sana
Who still 2024❤❤
Namkumbuka mama yangu kipenzi alitangulia mbele ya haki mungu amumpunguzie azabu 😭😭😭😭😭😭
pole sana Mungu akutangulie
2023 nipo hapa ,mpiga gitaa aliweza sana Mungu awabariki kwa kazi nzuri.
Ambae yuko namimi apige like apo
2023 nyimbo bado ina ujumbe relevant kabisa aisee. God bless you!
Marehemu baba yangu alikua anaupenda huu wimbo jamani, pumzika kwa amani mzee Stephen Joseph
So as my parents. RIP
Sorry
Leo 07/01/2021 namkumbuka Baba mdogo yangu alihukumia Mika 10 jela bila hatia alikua anaupenda sana
pole mtumaini mungu ndiye mweza WA yote na mhukumu WA haki
Pole sana ila akate rufaa huku mkimtumainia Mungu
Mungu wetu ni muweza, ataweza kumkumbuka
2024 ulimwengu unapeleka watu wa Mungu Kwa moto
Hakika ninatembea kidogo kidogo Nikinyata nyata, maana ulimwengu hauna pakunipeleka, nishike Mkono Mungu niwezeshe nijekuurithi uzima wa Milele.
Amen🙏🙏🙏
Watu wazamani walikuwa wanaimba unabi utakaotokea sasa, kwasasa dunia imekuwa ya hovyo sana.
2024??
Wimbo mzuri sana, itoshe kusema Mungu aturehemu madhambi yetu tufike uzimani siku moja!
Amen
One of the best song ever
2023 bado wimbo una mafundisho 🙏
Mungu atusaidie tufike salama😭😭
Nabarikiwa sana kwa kwaya hii mungu wangu nishike mkono
Ulimwengu utanipeleka wap 😱😱🙏🙏
Amina,tunanyata,nadamyayesu,kuelekea,2025
2024 October 😍 aww
Ulimwengu utanipeleka wapi huuuu...YESU nishike mkono
Nyimbo hii namkumbuka rafiki yangu Bernard mwaituka chuo cha misitu olmotonyi Arusha since 2007
Kabisa lazima tunyate kwa yesu
Nanyata kwa yesu dec 2024 ,
Kazi ya Mungu hii, nakumbuka 2008 nikiwa Kidato cha Tatu nilibarikiwa mno na kazi hii.
Mbarikiwe Sana vijana wa zamani,,,ujumbe wenu mpaka leo 25/04/2021 unaishi
Mungu tusaidie vinginevyo mbinguni tutafika tumechoka
Zamani zileee nyimbo tulizokuwa tunapenda kusikiliza muda wote 🙏🏿
Kwa neema ya Mungu niko hapa tena🙏🏿
Asee nakupenda huuwimbo na haujawahi kuchuja moyoni mwangu ,kiukweli wakiimba sifa na utukufu juu ya watumishi wake
Ulimwengu utanipeleka wapi😢
Hakika bwana anaendelea kutuonyesha ukuu wake ulimwengu utanipeleka wapi mie Mungu awabariki
tupo pamoja 28/6/2022, hawa watu walifanya nyimbo za injili. heshima.
Wimbo pendwa wa marehenu baba yangu mdogo mungu wa mbinguni amweke pahala pema pepon ameen
Kila nikiangalia habari kutoka vituo vyote vya habari hakuna siku utakosa kuona janga limetokea mahali.... 2021 August 🙏Mungu tusaidie
Love this song,, nliuskia mara ya kwanza nikiwa sunday school na kutoka siku hio hadi leo naupenda
Wimbo mtamu sana nahupenda sana
When gospel songs were songs ❤️🔥🔥🔥🔥
Reminds me alot....Dad, continue Resting in Peace
Nyimbo zenu zinaniubariki moyo wangu sanaa
Sauti nzuri, hivi mpo wapi sasa
Nawapenda sana.mungu awatie nguvu . Wimbo huu unaweza kukufanya uache dhambi mmeimba bwana,
Kabisa dada
Kati ya nyimbo za choir huu naukubali sana
31.12 .2020 namaliza mwaka na Yesu Kristo ndani yangu ahsante Mungu wangu.
Safi kama nikweli
Asante wimbo mzuri sana
dah hz ngoma bana n konki balaaaa
2023 Uni vushe tena bwana Yesu
Dar namkumbuka marehemu baba yangu aliyetanguliya mbele za haki mwa 2008 aliupenda sana yangu 2004 hongereni waimbaji wa Zamani tabata
14/1/2024 it's my first time to listen to this song and I'm in love with the music 🎶 ❤❤❤🎉
Wananikumbusha mbali sana, Glory be to God
2024 bado zinadum maskioni
RAFIKI YANGU NZUYEEEEEE NAKUKUMBUKA SANA KWA KUUTAZAMA HUU WIMBO, WHERE YOUR MY FRIEND?
Hee hapo si udsm theatre 1.2
Naenda huu mwimbo
17/10/2023
It's still inspiring. Anointed one
Cha zamani dhahabu nimeamini
Nabarikiwa sana na hii nyimbo
2021 hii wimbo napenda sana
Napenda sana huu wimbo hutuliza roho yangu
Naupenda mpaka basii
wimbo huu unanikumbusha mbalik sana pale nilipo kuwa nikimuaga baba angu dah🙏🙏🙏😫mungu mpumzishe salama
Pole sana kama aliokaka mtaonana tena
Wimbo mtamu sana. Wakenya mpo? Mjibu kwa Kiswahili
Jesus is God 🙏🏼
Hakika Mungu wetu ni mzuri sana
Nakumbuka uchungu simanzi mwaka 2006 baadq ya kuondokewa nakipenzi changu kaka yangu zakaria kupelwa pumzika kwa amani kaka
Hizi ndio zilikua nyimbo zamani mungu awabaliki sana
14/062023, nakukumbuka mama angu kipenz pumzika kwa amani
I love this song.Inanipa matumaini ya kusonga mbele
Huyu mwenye vimbo yupo wapi
Mungu Mwenyezi Awabariki Sana watumishi wa Mungu Awalinde na kuwatunza. Amina
kunyatanyata❤
Still in 2022 love this choir
Jamani nakumbuka mbali nilivyokua mdogo hee mungu tubaliki
2024 mwishoni
2023 still listening to this song. Reminds me of my school life in Moshi Tanzania
Hivi hii band(choir)bado wapo kweli???natamani watoe wimbo mwingine maana digitali imeharibu kizazi cha karne hii hadi kwenye nyimbo za injili,
yaaaaaniiiiiii...Dah....Enzi izo VHS
Eeeeeeeh Mungu eeeh naomba unishike mkonooo,,,ulimweeenguuu utanipelekaaa wapi huuuuu na anasa zitanipeleka wapi mieee
💯💯nyimbo inanigusa sanaaa
We made it to 2023 asifiwe bwana
Nawezaje kupata hiyo nyimbo zenu ?
Yakare yanavutia hadileo
Africha jueni haki za wasanii wetu huu wimbo wenyewe walisema mponao kwenye hii page yenu kimakosa mnanufaika nyinyi wenye nyimbo yao wanalia njaa, kueni na moyo wa huruma
DuuH
This reminds me of my late uncle Peter Pessa, may his soul continue to rest in peace🙏🙏
Me pia nakumbuka ma mkubwa wang😭😭
😭😭
Mungu ni Mwemaaaaaaa🥰🥰🥰🥰
Nawapenda sana mukomere muri Yesu kristo Amen.
Michel N.Bujumbura
31 Oct 2021 still wimbo ni Moto. Hii Choir bado Ipo? Wameibariki siku yangu Hii..
Ipo mpendwa
Huu wimbo c wa kuchezwa na volume ya chini. Apana
Umejuaje
@@tuzonyava8306 Ni mtamu mno
01.09.2021 i'm stil listening this song.
Amina let the presence of the lord be with us always
2024/02/06 here for old good music ❤❤❤
We used to dance this song in public pubs for money.
All the way from Chalinze Tanzania back in 2006