NI NANI BARAHIYANI || MJUE SALIM BARAHIYANI KWA UFUPI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 103

  • @salehmussa9371
    @salehmussa9371 2 роки тому +2

    Wallah Mtume SAW hakufundisha haya mambo, mashekhe mnawapoteza waislam, kwanamna mnavogombana wenyewe kwa wenyewe.

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 Місяць тому

    تحسبهم جميعا وقلوبهم شتى.

  • @NamulyaWanamulya
    @NamulyaWanamulya 8 місяців тому

    Shekh salim anafaidika sana na anavuna swawabu nyingi sana kutoka kwako mana kila wakati ni kumzalilisha tu

    • @HawaMohamedi-s4p
      @HawaMohamedi-s4p 2 місяці тому

      Ata sheikh Anapata sawabu kwakutuweka banana juhu ya aswell barayyani

  • @SoudSanawari
    @SoudSanawari 9 місяців тому

    Allah atukubainisheni uovu wenu nyote kitu kimoja maslahi tuu

  • @jamalbahdela524
    @jamalbahdela524 2 роки тому +3

    Mawahabi vp mshadhulumiana au?

  • @ibnmulika4480
    @ibnmulika4480 2 роки тому +2

    Huyo sheikh mafuta anajiona anajuwa Sana na anajiona yeye ndo Kama anamiliki pepo vile.

  • @ibrahimpesa30
    @ibrahimpesa30 2 роки тому +1

    Baarakallahu fiik akhuna Abul fadhwil

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 Місяць тому

    ,mnamuukiza milioni 200 mulizeni milioni 600 za yatima kazipeleka wapi wengine makaburi yao yawaka moto kwa dhulma walidho fanya inshaallah

  • @AhmedMussa-m7i
    @AhmedMussa-m7i Рік тому

    Assalam alaikum nawausia waislamu waache maneno makali dhidi ya masheikh zetu,awe anaradd au anaradiwa,hayo maneno yatakuja kuangamiza watu fii naari jahannam.bora mkae kimya t ikiwa hamjui hakki ni ipi

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 місяці тому

    ,Ansar hakuna suna ñi zulma tupu warejeshe haki za yatima WA marehem said janjira wakamfuñgulia kesi mjane kwa haki yake wakashinda kwa zulma hakuna asiyejua lakini Allah kajiharamishia dhulma Allah atawahumu inshaallah

  • @othumanmcharo9045
    @othumanmcharo9045 Рік тому +1

    Kwani huko siyo kusengenya?

  • @athumanisese5580
    @athumanisese5580 2 роки тому +3

    Wew sheikh mafuta mnachofanya sio sahihi.

    • @allybungumo9092
      @allybungumo9092 11 місяців тому

      Yeye shehe salim alichofanya ni sahihi?

  • @dullahkidofaiter5465
    @dullahkidofaiter5465 3 роки тому +3

    Mnasumbuka na mnafiqi huyu kasimu mafuta namchukia kwa ajiri ya allah bora allah amfushe analeta fitina kubwa ktk umma

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 3 роки тому

      Itakurud mwenyew endapo utakua umesema uongo

    • @hemedahmed3094
      @hemedahmed3094 2 роки тому

      @@mussamsuya8595 iqr'aa

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 2 роки тому

      ALLAH AMUHIFADHI SHEKH ABUL FADHLI QAASIM MAFUTA QAASIM

    • @أبوسليمان-د6ه
      @أبوسليمان-د6ه 2 роки тому

      Matatizo yao ni kuwa wanapenda kujikweza sana , kila m1 kati yao anajua kuliko mwngn , hawaishi kujibizana
      Haielekei kusema huu nduo mfumo alikuwa akiufata Mtume , maswahaba na watu wema waliopita .

    • @saidali9255
      @saidali9255 2 місяці тому

      Hassan ni maradhi mabaya sana

  • @bombo45
    @bombo45 3 роки тому

    Mwendelezo pls

  • @omarimamboleo6990
    @omarimamboleo6990 3 роки тому +9

    nyote mpo kwenye miradi msiwadanganye watu

    • @nadiakarata8984
      @nadiakarata8984 2 роки тому

      Miradi gani shekh wangu

    • @abuuqatada9791
      @abuuqatada9791 2 роки тому

      @@nadiakarata8984 una hoja gan kuwa masalafy Wana miradi Yao binafc

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      Wote walipwa na saudia kufaraqisha waisilam

    • @arafatsaid920
      @arafatsaid920 9 місяців тому

      Allah akusameh​@@Superbasil-h3x

    • @AhmednurHussein-m2s
      @AhmednurHussein-m2s 2 місяці тому

      Hhhh ujinga ni shida kweli uliskia wap kijana​@@Superbasil-h3x

  • @omarimamboleo6990
    @omarimamboleo6990 3 роки тому +3

    masalafi kusemana miskitini ndiyo usalafi wenyewe au ndiyo sunna ya bwana mtume s a w

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 3 роки тому +5

    Katika dhambi ambayo itakuganda mpaka mbele ya allah ni
    Kuugawa umma ambao mtume umma huu ameunganisha kwa tabu sana

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 3 роки тому

      Kalale

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 Місяць тому

      ​@@Superbasil-h3x lete ushahidi wa maneno
      1. Asili ya jina la uwshabi
      2. Kukufurisha mtu yyte bila kwa lile ambalo kitabu na sunna kimetangulia kukufurisha

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 2 роки тому +1

    Huu ni ujinga mkubwa alionao mafuta Muda wote ni kutukana masheikh

  • @mohamedsalim972
    @mohamedsalim972 3 роки тому +2

    Nyninyi mnao jifanya mashekhe kaziyenu kuupoteza umma shauriyenu

    • @MustafaSilima
      @MustafaSilima Рік тому

      We hujui maana kufanikisha uma nyamaza uczidishe manano ambayo hayana maana

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 3 роки тому +6

    Hiii yani wewe ndo peke yako mchamungu
    Wengine wote wamepoteaaa
    Kaz kusema watu tuuuuuuu

    • @nadiakarata8984
      @nadiakarata8984 2 роки тому

      Ndivyo alivyo

    • @abuuqatada9791
      @abuuqatada9791 2 роки тому

      Wote ao Ila wew umeamuwa kumzungumzia yeye tu lkn waangalie uyo barahiyani mwenyewe , Muhammad bachu ,Abuu iddi na wwngine halafuone Kam nao hawawasemi watu au nndo umechaguwa kumtaja yey tu sheikh Qassim

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      ​@@abuuqatada9791
      Mawahabi tu ndio wenye tabia ya kupapura watu . Mzee idi yeye hurejesha hujma tu

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake

  • @khamisjuma3657
    @khamisjuma3657 2 роки тому

    kama kwenu bado nyumbani dawa inazidi kusonga mbele ALHAMDULILLAH, ALLAH atuthibitishe sisi na vizazi vyetu,QURAN na SUNNA kwa ufahamu wa wema waliotangulia,kwa hapa tulipofikia ALHAMDULILLAH ,tunamuomba ALLAH ailinde

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      Hiyi ndio akbar bidaa kuambatanisha qurani na sunah kwa ufahamu wa salaf

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      Hiyi ndio akbar bidaa kuambatanisha qurani na sunah kwa ufahamu wa salaf

  • @abuuahmadiddi9444
    @abuuahmadiddi9444 3 роки тому

    Alhamdulillah

  • @imranijuma6955
    @imranijuma6955 2 роки тому +2

    SHEKH KASIM NAKUKUBALI LKN UNAKOSEA BANA UNATAKA USIKILIZWE WW TUUUU NA WW UNAKOSEA KWANI VP

    • @abuuqatada9791
      @abuuqatada9791 2 роки тому

      Kukosea Kam Kukosea Sheikh Qassim hatoacha kukosea maan kukosea ni moja Kati ya sifa za kibinaadam Ila kuhusu kutaka kusikilizwa basi alitakalo yey ndilo la sahihi maana anayoyasema yey kwa HAKIKA ni HAQQI na yey hutaka waislam wasisikilize yasiyikuwa ya HAQQ , lkn pia unawez unaweza kubainisha wapi Sheikh Qassim alipokosea ktka gurdumu la DAAWA ?

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      ​@@abuuqatada9791
      Mafuta na mwalimu wake barahayanibwote ni wapotofu . Mungu awaepushe waisilam na upotofu wao

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 9 місяців тому

    HASAAD KITU KIBAYA SANA, NYOYO ZENU ZIME JAA HASAAD WALA HAMUNA USALAFY NDANI YAKE.

  • @jamalbahdela524
    @jamalbahdela524 2 роки тому +1

    Hela za Saudia gawaneni vizuri mawahabi, mtaja toana roho bureee

  • @NamulyaWanamulya
    @NamulyaWanamulya 8 місяців тому

    Umri wa shekh Salim ni kama mzazi wako ilikupasa uumpe heshima kama mzazi: una mema Gani ya kumlipa kwa machafu unayomsema Na kumzalilisha !!!!!

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 Місяць тому

      Nabii Musa alayhi ssalaam kalelewa ktk mikono ya firaun sasa je na nabii messa alikuwa hana heshma?
      Nabii Ibrahim babake mzaze kamnasihi nae hana adabu?
      Mtume صلي الله عليه وسلم alikuta wazee makkah na akawanasihi mkosoe bas nae mana barahiani ni babu kwa hio akikosolewa anakosewa adabu

  • @mohammedjuma5595
    @mohammedjuma5595 3 роки тому +4

    Ww kassim mafuta huna usheikh bora daimond n harmonize n alikiba wana umuhimu kama wwe ngedere unae ukimbilia moto

    • @khamissaid9586
      @khamissaid9586 3 роки тому

      Dah Allah akuongoze

    • @Ahmed-yp2si
      @Ahmed-yp2si 3 роки тому

      KUWATUKANA WATU PASI NA HAKI NI KATIKA MADHAMBI MAKUMBWA,MTUME صلا الله عليه وسلم AMESEMA"KUMTUKANA MUISLAM NI DHAMBI NZITO NA KUMUUA NI UKAFIRI" kwa hivyo fanya Tawba ndugu yangu na unaposema sema na watu kwa kwa uzuri,الله Tuongoze njia iliyonyooka

    • @AliMohamed-gv7nw
      @AliMohamed-gv7nw 3 роки тому

      Dah Allah akusameh naakuongoze maneno mabaya sana uliyo sema hatakama humkubali

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 3 роки тому

      Unaropoka ovyo kalale

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake

  • @nassorsalum9110
    @nassorsalum9110 2 роки тому +2

    mwalimu lakn usisahau fadhila. maana ndie aliekulea huyoooo

    • @abulabbaas6689
      @abulabbaas6689  2 роки тому

      Lete Ushahidi Wa Maneno Yako Wapi kalelewa Sheikh Kassim Mafuta Na Mudiyru *BARAHIYANI*

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      ​@@abulabbaas6689
      Bali alikuwa ni mwanafunzi wa barahayani khasa . Hata mukikataa hicho kitu kinajulikana . Lakini Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake

  • @Zainabnoor0087-ze
    @Zainabnoor0087-ze 6 місяців тому

    Hana jipya huyu kijukuu cha tamta jadidah,kpnd sheikh barahiyan anatetea Sunnah ww ulikua waimba qasida qasida

  • @khamisjuma8813
    @khamisjuma8813 3 роки тому +1

    Na si misikiti hiyo tu, ila mpk Masjid Farouk wa huku Mkele Znz pia wameupora kwa sababu ulikuwa ni Msikiti wa Jumuiya Ya Uamsho Na Mihadhara, baada ya vurugu zile wakaupora msikiti ule. Waliobakia walikuja pale kuudai msikiti wao lkn wakadinda. Hii kama hujui wewe uliza.

  • @nureinimohamed449
    @nureinimohamed449 Рік тому

    Wananchi mweni wangalifu mambo na matendo ya ugaidi. Huyu mtu anatowa mawaidha lazima aseme ubaya na maovu ya ugaidi

  • @saidmacheni-bp4cp
    @saidmacheni-bp4cp Рік тому

    Inawezekana huyu Qasim anaitikadi na chembechembe za uyahudi.

  • @athumanimcharo5904
    @athumanimcharo5904 3 роки тому +2

    Watu WA madufu unarad mawahabi wenzako unawarad we wataka nn

  • @omarabdul4686
    @omarabdul4686 3 роки тому +3

    Aloo weye kunkalia kusem wa2 tuu wasbiri wa2 waongee upat uwasem je wewe umekamilik sheikh Wang Kama mwenzio kakosea mfate sio uanike aibu zake

    • @abuuhazmimakamealy7208
      @abuuhazmimakamealy7208 3 роки тому

      Vipi akh kwani huyo barahiyaani kawafuata aoanaowaita masalafiyah jadida?

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah Рік тому +1

    Hakuna salafi ni kujidanganya tu ni pote la mawahabi na uwahabi ni shida kazi yao ni kujikweza na kujifanya wao ni Watu wa peponi wenziwao ni wa motoni utafikiria hiyo pepo ni ya mjamba wao, mimi nahic Salum Baraiyan na Kassim mafuta wana mambo yao binafs kwani wote wanajifanya masalafi tena wanajitukuza sasa inakuaje kupigana vijembe

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 Рік тому

    Tunapata faida gani kusikiliza upuuzi kama huu kutoka kwa mwehu kama huyu??uwahabi ni uvundo wa mwisho ktk dini wallaahi

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 Рік тому

    Je ndio Uislam huo kusemana mitandaoni? Nyie mnalipwa mishahara kuutukanisha Uislam? Hili ni balaa kubwa. Sub-haanallah. Hivi mnadhani Waislam wanahitaji kusikiliza ujinga wenu huu?

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 9 місяців тому

    SHEIKH SALIM TWAMJUA KWA KHERI WALA HUNA HAJA KUTUJULISHA NA UPOTEVU WENU HIZBU IBLIS KWA VAAZI LA USALAFY.

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 Рік тому

    Sikiliza da'waa salafia hiyo!!! Eti malumbano hayo wanayatangaza mitandaoni jamani!!! Hao wote ni Mawahhabi sio Waislam wengine!!! Yaani Kassim na Barahyani. Wanatukanana. Wote wako kwenye misheni za kugombania hela hapo. Yaani wamedhulumiana!!! Hapo tena hakuna dini ni kutukanana tuuu!!!

  • @saidifadhel9706
    @saidifadhel9706 2 роки тому +1

    Utafikiri wamekutana watu wenye dini mbili tofauti, huyu muislam na mwengine myahudi. Eti ndio hawa walioambiwa kuwa waislamu ni ndugu, si juwi udugu wao hawa umeendea wapi. Tena wanadai kuwa ni masheikh hawa, eti ndio wana madaaris wanafundisha. Sasa huku sio kuufarakisha umma huku???
    Kila mmoja akiwa hafikirii kwa anacho kifanya madhara yake ni makubwa sana. Mcheni Allah huko siko na masalafi hawakuwa hivyo.

    • @ahmedabry293
      @ahmedabry293 Рік тому +1

      Wallah mpaka aibu yani masheikh kukaa kusemana yani cjui tumefika wapi huku.. Imekuwa ni mipasho tu dah

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      Hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake . Si hivyo tu bali muwahabi imefika kiwango cha kujikufurisha nafsi yake

    • @Superbasil-h3x
      @Superbasil-h3x Рік тому

      فمن اوتي الحكمة فقد اوتي خيرا كثيرا
      Masalafi wanauaduwi na hekma na akili

    • @abulabbaas6689
      @abulabbaas6689  Рік тому

      @saidifadhel9706
      وَقَالَ مُحَمَّدٌ : سَمِعْتُ عَلِيَّ بْنَ شَقِيقٍ يَقُولُ : سَمِعْتُ عَبْدَ اللَّهِ بْنَ الْمُبَارَكِ يَقُولُ عَلَى رُءُوسِ النَّاسِ : دَعُوا حَدِيثَ عَمْرِو بْنِ ثَابِتٍ، فَإِنَّهُ كَانَ يَسُبُّ السَّلَفَ.
      Masalaf walikua hivo

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 роки тому

    Fanyeni Daawa acheni ķuzitakasa nafsì zenu. Tuwaona vizuuùuuři.Sisi sio matutusa.

  • @nureinimohamed449
    @nureinimohamed449 Рік тому

    Kumjua yeye si umuhimu wanchi na manachi. Lazima yeye apambane na matendo ya ugaidi ndo atakuwa mtu wa kuaminika.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому

    Umevamia apo mafuta uwo msikiti sio wako acha uwongo

  • @OmariirigoHoseniomari
    @OmariirigoHoseniomari 5 місяців тому

    Hauna akili ndo mana hautoelew

  • @Superbasil-h3x
    @Superbasil-h3x Рік тому +1

    Masalafi ni kama manyani kwenye shamba , wakipatana hula mazao na wakigombana hufuja mazao. Hawana faida kwenye hali yoyote

  • @othumanmcharo9045
    @othumanmcharo9045 Рік тому

    Nyote mwagania ugali tuh hakuna anayejua kesho atakuwa wap

  • @nadiakarata8984
    @nadiakarata8984 2 роки тому

    Shekh wa halua huyo

  • @hashimsaid5546
    @hashimsaid5546 3 роки тому +1

    Huyu sheikh sijui huwa ana matatizo gani barahiyani hajawahi kumtaja yeye kwa jina Ila yeye anamtaha kila wakati

    • @farhannurkey
      @farhannurkey 3 роки тому

      wewe umemskiza huyo barahiyani au unaropokwa..wewe ndio una matatizo
      kaangalie video zake kenge wewe

    • @ahmedhusseinshnoor1210
      @ahmedhusseinshnoor1210 3 роки тому

      Hashim said : Wewe Ni mrongo saana Ama Ni jaahil , hujuwi kitu afadali ufunge hiyo mdhomo . Barahiyani ashamtaja jina laake mara nyingi . Na pia nataka ujuwe Si lazima attajwe jina laake , cha muhimu ni kuilinda dini yetu dhidi ahlul bidah Na ahlul baatil .. huyu jamaa barahiyaan anachanganya watu wengi kwa hivyo ndugu yetu abu fadhl Ni waajib kumradh publicly..

    • @saidmacheni-bp4cp
      @saidmacheni-bp4cp Рік тому

      Sheikh mwenye adabu za uislam na adabu za kijamii hawezi kutoa maneno hayo nilioyasikia either anachembechembe za uyahudi au elimu yake Haina ufahamu.

  • @omarimamboleo6990
    @omarimamboleo6990 3 роки тому +2

    huku kutaja watu ndio usalafi poleni sani masalafi wakarne ya 15 hijiriyyah

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 3 роки тому

      Kalale

    • @musashelufumo3532
      @musashelufumo3532 3 роки тому

      Nikheri kubainisha shekhe

    • @hamisiselemanishekhmtupawa3176
      @hamisiselemanishekhmtupawa3176 2 роки тому

      Sisi tunomfwata mtume hattukani mtu mtajua wenyewe mnaojiona mkokwenye hak

    • @maulidilikata8005
      @maulidilikata8005 2 роки тому

      Maashaallah shaykhu abulfadhli allah akupe mwisho mwema na awaongoze ktk haki wale wasiojua umuhimu wako ktk uislam tanzania amani hii tuliyonayo asbabu ni wewe na maduat wenzio wa kisalaf

    • @issasuleiman8309
      @issasuleiman8309 2 роки тому

      Ninawasiwasi na elimu yako