Maulidi yamekufa Tanzania - Sheikh Salim Barahiyan

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 54

  • @nureinimohamed449
    @nureinimohamed449 Рік тому

    Umuhimu Serikali ya Tanzania na wananchi wawe chonjo na matendo ya ugaidi Tanzania na Afrika-Mashariki kwa jumla.

  • @ramadhanomar8093
    @ramadhanomar8093 4 роки тому

    Shukran sana Yaa sheikh

  • @khadijasaleh9653
    @khadijasaleh9653 6 років тому +1

    Allah atuongoze Sisi pamoja na wao. Azidi kuwapa Ibrah kuachana na hizi Bidaa

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 Рік тому

    ,kayaona maulid iakini zulma kwake halali

  • @nureinimohamed449
    @nureinimohamed449 Рік тому

    Wananchi wapigeni vita ugaidi. Afrika-mashariki iwe sehemu ya amani,

  • @mussajangwa9106
    @mussajangwa9106 5 років тому +1

    Saalim barahiyaan
    Usiwe km gwajima
    Ww ni aalim minal ulamaa
    Usikurupuke ktk jambo ambalo linahitaji ilmu sana

  • @yahyaibrahim2657
    @yahyaibrahim2657 5 років тому +2

    Yani ata khitima ya maulid makhurafy washa isoma

  • @kasimsaid1419
    @kasimsaid1419 4 роки тому

    Ukweli

  • @shariffhabshy6770
    @shariffhabshy6770 5 років тому +3

    Nafikiri huyo sheikh moyo wake ndio umekufa.

    • @husseinahmed5216
      @husseinahmed5216 5 років тому

      Astaghafirullah" unaelezwa haki kisha unafanya ujahilia!!! Ww ndio moyo wako umekufa haswaaaa, mnalinganiwa lkn mnakua wagumu kwa sababu ya hawaa za nafsi zenu,, yaraab tunakuomba utuongoe sote kwa rehma zako

    • @uweismohammed6959
      @uweismohammed6959 4 роки тому

      Ndo hapo sasa

  • @AliAli-oy2xu
    @AliAli-oy2xu 5 років тому +1

    Inshaallah ntasoma maulidi mpaka kufa kwangu kwasababu nampenda Mtume saw

    • @husseinahmed5216
      @husseinahmed5216 5 років тому

      Wana ompenda mtume ukwel wa kumpenda ni wale wanao fata sunna zake Kwa usahihi na hawamzushii mtume ambayo hakujaagiza na kuyafanya"

    • @uweismohammed6959
      @uweismohammed6959 4 роки тому

      Tutasoma mawlid sana

    • @kasimsaid1419
      @kasimsaid1419 4 роки тому

      Kumswalia mtume na maulid ni vitu tofauti

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 3 роки тому +1

    NDIO NINI.UISLAMU UMEKUFA PIA KILA PEMBE MUMEBAKI NA MAULID.KWANI UNAFIKIRIA KUPITIA KIUNGO GANI WEWE SHEIKH AMA UNAONA UISLAMU NI NDEVU NA KUVAAA KANZU FUPI.PUMBAVU.

  • @ibnabou1886
    @ibnabou1886 5 років тому +2

    Yamesha kufa ukweli kabisa, alhamduli llah #Allah aja'alie sunnah itawale hapa nnchin,
    Najua Tanga ndio kulikua kuna vyuo ving vya bida'a na mpaka sheikh kufikia kusema hvyo bas anajua tangu ameanza da'awa mpaka leo ameona bida'a ngapi hapo Tanga,
    #Allah aidumishe sunnah ndani ya nnchi yetu na dunian kote.

  • @atikomar9828
    @atikomar9828 6 років тому +2

    Je VP kuzuka vigawanyo vya tawheed karne ya Saba si tatizo tatizo ni maulid tu

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 6 місяців тому

    ,angerudisha haki za yatima marhum said janjira ukaapa mwezi WA Ramadhan akasema hakuwa chochote tanga watu wanajua umewadhulumu Allah shahid

  • @aliyomar9140
    @aliyomar9140 5 років тому +2

    Kusoma hamutaki mwalishwa chuki tuuuuuuuuuuuu.....eti sunna.....kwni sisi twafua bibilia?

  • @atikomar9828
    @atikomar9828 6 років тому +1

    VP mtume alvyofunga aashuraa kwa kuwaona mayahudi je pia alikosea

    • @husseinahmed5216
      @husseinahmed5216 5 років тому

      Utamfananisha mtume rehma na Aman ziwe juu yake pamoja na maswahaba zake na watu wa nyumba yake na nyie!!! Mtume ni masuumin na hakuzusha kufunga hiyo funga unayo izungumzia,, msitafute sababu kuhalalisha bid'aa ni njia mbaya hiyo, kaka rudi kWa sunna kisha achana na upotevu,,

    • @jumakoga2179
      @jumakoga2179 3 роки тому

      Mwogope Allah , nabii hawezi kukosea na wala kuzusha jambo, ninakushauri usishabikie hii ni dini ni faida kwako kama utamfuata mtume inavyotakiwa, kaa chini usome

  • @jumamnyage5395
    @jumamnyage5395 6 років тому

    mh

  • @aliyomar9140
    @aliyomar9140 5 років тому +1

    Nyinyi mwafata sunna je sisi watu wa maulid......tunafuata bibiliaa?

  • @kananiitv4643
    @kananiitv4643 3 роки тому

    Atakufa barahiani wenu na wote wanaobeza Maulid wasenge nyie

  • @saidimrisho883
    @saidimrisho883 6 років тому

    Yangu maskio tu namacho

  • @mwalimumbukuzi7273
    @mwalimumbukuzi7273 6 років тому +1

    utakufa wewe na mawahhabi wenzako,lakini maulid ni hai.nenda kwa viongozi wa jumuia zawiyatul qaadiriya wakupe ratiba ya nchi nzima na tarehe tofauti,au nenda bakwata na kwingine,utajuwa kuwa mapenzi ya rasuulillah huwezi kuyaweka mbali na waumin

    • @husseinahmed5216
      @husseinahmed5216 5 років тому +1

      Sio ndio watu wa bid'aa hao pamoja na ww!! Hiyo ni njia mbaya msiwe wabishi jamani,maulid haikuwepo wala haipo kabisa ila ni ubishi na ujahilia tu mwanzo mwisho,, twamuomba Allah awafungue mioyo yenu na awajaalie muachane na uzushi

    • @jumakoga2179
      @jumakoga2179 3 роки тому

      Tatizo ni uvivu wa kusoma ndio maana , ni kweli maulidi ni bida ,aa

  • @aliyomar9140
    @aliyomar9140 5 років тому +1

    Mashindano ya qur an mbona hai masalafi wenu wakubwa kina albann wamekubali na hakuna hadth wala tendo LA sahab kua ameshndana qur an....jee sio bid aaaaa.....sala ya tahajjud kusali jamaa ni sunna....kaweka nani.....?hamuyanyi hayo maqahabbi.?yenu hamuyaone mwatia wenzenu motoni tuuu....kasomeni.......wew mwenyeo bidaaa tuupu maana hakuna hadth inayomruhusu MTU kumtia mwenziwe motoniiiiiiii........

    • @husseinahmed5216
      @husseinahmed5216 5 років тому

      Hahaha inaonekana ni jazba tu zilizo tawala nafsi yako, acha hawaa za nafsi yako sheikh,uzushi ni njia mbaya bro, ebu rudi Kwa Sunna sahihi achana na hayo maulid

    • @jumakoga2179
      @jumakoga2179 3 роки тому

      Na kibaya zaidi bid,aa haina toba , mmh Allah waonyeshe njia

  • @hafsamohd7931
    @hafsamohd7931 4 роки тому

    AHS ante sheikh waelimishe hao watu wabidaa maana haelewi wanacho kifanya

    • @kananiitv4643
      @kananiitv4643 3 роки тому

      Shoga usoelewa wewe, au unawshwa tukutafutie bwana akufire pamoja na barahiani wako?

    • @kananiitv4643
      @kananiitv4643 3 роки тому

      Nyie ndo mwataka muilimishwe, msenge weee

  • @shekhekassim6402
    @shekhekassim6402 6 років тому

    Ni kweli au so kweli??!!!!! Ndio tarehe ilivyo kaka Ela wewe hutaki

  • @bwagizoushanga7021
    @bwagizoushanga7021 6 років тому +2

    Tuzidishe Du'aa ya zidi kufa kabisa

    • @isampare1179
      @isampare1179 6 років тому

      Bwagizo Ushanga hamuwezikuua. mailed. hatakwA. bunduki

    • @isampare1179
      @isampare1179 6 років тому

      Shehe. kunakusoma. nakufahamu. weweumesomalakinihufahamu. kasome. ufahamu

    • @uweismohammed6959
      @uweismohammed6959 4 роки тому

      Duh ! Utakufa wewe mawlid utayaacha

    • @kananiitv4643
      @kananiitv4643 3 роки тому

      Utakufa ww na barahiani wako wasenge nyie, na chuki zenu binafs km mwashwa mikundu yenu, mukunwe bas

  • @nassibuissa5783
    @nassibuissa5783 6 років тому

    yataendelea kufa tu
    watu kadri watakapokuw
    wanaifahamu sunnah
    basi watajua
    ubidaa wake