Mungu akubalik Sana Sana mtumishi wa mungu ushuda uioutoa namimi nimeacha na mme alinifukuza kwaujja kumbe anataka kuoa naona uniombee mungu alejeshe ndoa yangu
Baba hujaongea uongo Nina ndg yangu nae aliolewa akawa anaish na mtoto wa dada ake cha ajabu mume alikuj kumuoa mtoto wa dada ake mwanamke akafukuzwa walikua wanaishi mwenge now yupo kibaha Mungu ni mwema kajijenga mwenyw mume alishafilisik amekua mnywaji wa kufa mtu
Amen Mungu ni mwema Amen
Hakika mwenye haki ajawi achwa na Mungu utukuzwe Mungu wa mbinguni nazidi kukutumainia daima
Nabariliwa sana na mafundisho yako
Mung wa mbinguni akubaliki Sana Muchungaji umenivusha Sana na nazidi kuimalika kupitia shuhuda zako🙏🙏🙏
Mungu akubalik Sana Sana mtumishi wa mungu ushuda uioutoa namimi nimeacha na mme alinifukuza kwaujja kumbe anataka kuoa naona uniombee mungu alejeshe ndoa yangu
THAT'S WHAT CALLED BLESSING FROM GOD
Daaah tupo Weng, Mungu Atusaidie kwakwel
Ubarikiwe baba...ushuhuda unaniumiza hakika 😭🙏
Dr. Kimaro huu ushuhuda unafanana kabisa na mama mmoja yupo IRINGA, Mungu akubariki Mch. Kimaro kwa mafundisho haya.
Mungu ni mwema jaman, watu wabaya sana
God 🙏 bless you pastor 🙏❣️🙏 thanks so much
Barikiwa sana Mchungaji kimaro,natamani uje utupe mafundisho Temeke
Mbona wanaume huwa awajui wanatakaga nin ata 😊anyway this men of today 😢
Mungu ni mwema sana🎉🎉🎉
Ameen Munguu mkuuuu
Halleluya Mungu hamtupi mwenye haki hata siku moja na halafu Chozi la mwanamke huwa halipotei bure!
Mch Mungu akubariki sana
Mungu apewe sifa
Barikiwa sana mchungaji kimaro
Mungu ni mwema sana 😭🙏
Mungu hamuachi alie wa kwake
Be blessed 🎉
Amina baba 🎉🎉
Mafundishwa yako yananibariki sana Mungu akubariki sana
Barikiwa Sana
God bless you🙏🙏🙏
Ubarikiwe Mchungaji Ekiona Kimaro
God is real
Amen Amen 🙏
Nimebakiwa sana
Unaemsaidia ndiye anaekuumiza zaidi imenitokea mimi
Pole sana Mungu hawezi kukuacha kamwe
Asante
Amina
🙌
🙏🙏🙏
Amen Amen
Nimeamini shuhuda ya antibayotiki inatibu mengi
Pipi❤😃😃
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Ee mungu nakushukuru kwa uduma ya mchungaji uyu
Amen
Malipo ni hapahapa duniani😮
Mungu akikupenda,hawez kukuacha😅
Baba hujaongea uongo Nina ndg yangu nae aliolewa akawa anaish na mtoto wa dada ake cha ajabu mume alikuj kumuoa mtoto wa dada ake mwanamke akafukuzwa walikua wanaishi mwenge now yupo kibaha Mungu ni mwema kajijenga mwenyw mume alishafilisik amekua mnywaji wa kufa mtu
Malipo ni papa hapa duniani na apandacho mtu ndicho atakacho kivuna
Wanawake wa siku hz ni sampuli ya kitambaa cheupe 😂😂😂😂
Ameen SEMA baba tupon
Kiukweli hamna rangi kingeacha ona.
Hakika mchungaji mungu akubariki baba
Wanaume mnatakiwa mjifunze kitu kwenye haya mafundisho
WATU TUNAKUWA HATUELEWI HAYO. WENGI WAZANI NI KWA AKILI ZAO TUU.
Apataye mke amepata kitu chema.Somo liko hapo
Sio Kila mke ni kitu chema!
@@dodwiedwin3944 sijasema mimi ila Jehova ,tena sio chema tu,na kibali juu.Mithali 18:22
Mchungaji
Huyu mhubiri anichekecha sana😅
Hakika MUNGU ni Mkuu kuliko kitu chochote, MUNGU anajua kujibu kwa uzuri siku zote
Ni mwalimu mzuri wa maisha, ila hafundishi maandiko matakatifu.
ila waja bhana, huoni anafundisha watu kuacha roho mbaya au unatakaje ahubiri kupitia vifungu mwanzo mwisho 💃🏽 huoni kama ndio maisha halisi
MSITARI UNAOHUSU MTU KUNYANG'ANYWA MME NA NDG TUONYESHE WEWE ULIPO! LAKINI SI NDIYO UKWELI? AU NI WEWE ULIPORA JAPO MCHUMBA WA RAFIKI YAKO
?
FUATILIA MASOMO YAKE MENGI UKIKOSA MAANDIKO NJOO HAPA. HUU NI USHUHUDA TU.
@@eledinankana9598 watu wengine ni wa ajabu sana,anataka afundishaje
Kwan hujasoma hapo kuwa ni ushuhuda huo ww ulitaka aweke vifungu hadi kwenye ushuhuda
Amen