Bahati Bukuku: Nilionywa kuhusu wanaume wa Dar / Nilijichukia / Nimeokoka tangu darasa za Sita. EP 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Sehemu ya Kwanza (Episode 1) #KuelekeaYeriko na Bahati Bukuku
    #UpendoMedia #AmaniKwaWote

КОМЕНТАРІ • 277

  • @JulianaMwatela
    @JulianaMwatela Місяць тому +2

    Bahati kusema wewe ni mrembo ulizaliwa uongo tuwache ❤❤

  • @lyznana7077
    @lyznana7077 6 місяців тому +12

    Mtangazaji jamani .. tunataka kumsikiliza Bahati.. jifunze kuachia mgeni nafasi/muda ajieleze bila kuingilia kati(interruption) ni sana...
    Otherwise am blessed.

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 2 роки тому +46

    Mtangazaj naye anaboa,unamkatishakatisha bahat kwnn,acha story ijieleze

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 2 роки тому +4

      Mtangazaji hajui kazi yake huyu

    • @saummalima9077
      @saummalima9077 2 роки тому

      Kaka mtangazaji ( kaka -Obedi) ni kweli unamkata kata sana..for the future let them talk first. Ila tunashukuru sana..

    • @joanjeptoo5760
      @joanjeptoo5760 Рік тому

      Me too nabieka xna na uyu mtangazaji anakatakata

  • @marcoseermwanza1532
    @marcoseermwanza1532 Рік тому +7

    Bahati mie ni mwalimu wa muziki kama taaluma na nakwambia sauti yako nzuri sana. hio sauti ya bezi ndo hubariki watu katika muziki wako. Hio ni karama Mungu alikupa

  • @freddyfredricks3435
    @freddyfredricks3435 Рік тому +7

    You are a good story teller. Ata mtu hawezi boeka kukuskiliza. No wonder in most of your songs its a story with lessons. You are my most favourite gospel artist of all times❤❤❤

  • @mariej6962
    @mariej6962 9 місяців тому +2

    Kwa miaka mingi wanamwita Bahati mama. Kumbe ni mbichi sana tofauti na anavyochukuliwa na watu.

  • @julithamwaulambo1883
    @julithamwaulambo1883 2 роки тому +28

    Ila wewe dada ni mzuri jamani. Bwana Yesu aendelee kukutunza

  • @serianjamal8254
    @serianjamal8254 2 роки тому +19

    Bahati leo nimekupenda sana na nimekuangalia kutwa nzima nikiwa Birmingham city Uk
    Wewe nimwanamke mrembo na jasiri kwelikweli 😍😘

  • @sylvesteramwai7192
    @sylvesteramwai7192 2 роки тому +10

    Bahati njoo kenya uchape bonge la show

  • @Kekee9595
    @Kekee9595 3 місяці тому +3

    Mtangazaji, next time, acha mtu ajieleze hadi amalizie story yake bila ya kumkatisha. Kama hujui mambo ya utangazaji, andika mtu akusaidie. Usiwe unamalizia story ya mtu ikiwa sio hako nyamaza hadi amalizie. Ukiingia kwenye story ya pili , eleza kuwa ni Prt 2 inaendelea bila ya mtu kujieleza tena. Utachosha watu sana. Achia mtu ajieleze kabisa bila ya maswali mob na watu watafurahia sana. Nairobi tunapenda mpangilio.
    Bahati Bukuku dadangu, MUNGU anakupenda sana na wewe ni mbarikiwa sana, na umekuwa blessings to many souls. GOD bless you more.

  • @thevictorygroup4798
    @thevictorygroup4798 2 роки тому +11

    Ahsante sana Kwa kutupa ushuuda wako inatufanya tuendelee kuwa imara ndani ya Yesu pia hongera kwa moyo wa ushujaa.

  • @anitasamson7850
    @anitasamson7850 2 роки тому +7

    Kipaji toka kwa Mungu huwa hakizimwi. Nyimbo za Mtumishi Bahati ni uinjilist tosha.

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa 2 роки тому

      Uinjilisti upi wakati yeye mwenyewe hajaokoka??

    • @lucynjuguna9653
      @lucynjuguna9653 2 роки тому +3

      @@HelbethMlelwa hivi umeskiza story yote au una tatizo la maskio

  • @user-sk9dy5fx7z
    @user-sk9dy5fx7z 7 місяців тому +1

    Pole sana mama kwakipindi kizito umepitiya nishule lisilokuwa lakawaida tumesaidiwa na sisi Pia, ubalikiwe sana kutoka Burundi

  • @heriethmichael6138
    @heriethmichael6138 2 роки тому +4

    Mtangazajiii jmn unezidi unakatisha katisha sana yaniii sana muachee aongee bahatiiiiiii

  • @doriszephania3503
    @doriszephania3503 2 роки тому +5

    Bahati weeee mrembo sanaaaaa!
    Glory to God!

  • @violethndowo-fr3rc
    @violethndowo-fr3rc Рік тому +1

    Mungu azid kukubark nakupenda sana❤ dadaang Bahati nimejifunza mengi jarbu lako ni njia kwa wengi

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 2 роки тому +5

    hakika Mungu anatutoa mbali sana, nabarikiwa sana na huduma yako dada.

  • @emilylerosion595
    @emilylerosion595 Рік тому +2

    Among my best swahili women singers! Love you Bahati Bukuku❤

  • @bahatirngulika4493
    @bahatirngulika4493 2 роки тому +5

    Nakupenda sn wajina wangu,be blessed much,ila mtangazaji unanboa sn why unamkatisha katisha si uache mtu asimulie jmn khaaa

  • @marie5mm83
    @marie5mm83 2 роки тому +13

    My favourite gospel singer in tz mob love from kenya it was nice hearing ur story

  • @VenanceEphraim-hr2cc
    @VenanceEphraim-hr2cc 6 місяців тому

    Nyimbo iyi ni nyakati zamwisho ni nyimbo ambayo na pendaka Sana kabisa
    C'est une meilleure chanson de votre carrière maman bahati bukuku 🇹🇿🇹🇿 je vous regarde depuis la Mauritanie 🇲🇷🇲🇷🇲🇷

  • @winfridamauki146
    @winfridamauki146 2 роки тому +5

    Mungu Ni mwaminifu Sana Sana jamni sintakata tamaa najua nitafika

  • @agnesmali4610
    @agnesmali4610 2 роки тому +2

    Napenda sana nyimbo zako...Ubarikiwe Bahati,unanitia moyo sana.

  • @msigwa1
    @msigwa1 2 роки тому +16

    My no 1...of all time Gospel Singer kwa wamama Much lovee to u madam Bukuku ❤️❤️❤️

  • @mamawadudu48
    @mamawadudu48 2 роки тому +5

    Bahati Mungu akubariki sana. Pia unasura nzuri.

  • @gracenekesa4858
    @gracenekesa4858 2 роки тому +13

    Watching from Kenya,l like this lady of GOD my big mentor

  • @PatrickMakandaiga
    @PatrickMakandaiga 2 місяці тому

    Jaman bahati nampenda sana maana anaimba vzr

  • @FinesseB
    @FinesseB 2 роки тому +1

    Nyimbo za da Bahati nzuri sana na sauti yake naipenda sanaaaaa

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 2 роки тому +14

    Jamani mtangazaji daah!!unaingilia mno mtumishi wa Mungu mpaka interview inaboa....samahani Kwa hilo mpendwa

  • @jesselyimo3403
    @jesselyimo3403 2 роки тому +4

    Hongera sana Bahati kwa kupambana na maisha,we bonge la mwimbaji daa!

  • @nkwabimasanja7496
    @nkwabimasanja7496 2 роки тому +3

    Axteee kwa kutuleteaa bahati bukuku tunaomba utuletee martha mwaipaja

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 2 роки тому +8

    Màashaallha da bahati nakupenda sana Mungu awe na ww💕💕💕

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 2 роки тому +3

    Dar natamani Sana namimi nisaidiwe kwenye uimbaji wangu jamani Duu hongera sana dada Bahati

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 2 роки тому +5

    Bahati ni good story teller ananichekesha.

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 роки тому +5

    Interview imekaa vzr maana mtangazaji anajaribu kumuweka kwenye line ili kuweza kunogeza usikilizaji na utazamaji 👏👏👏👏🙏

  • @juliashimaka7547
    @juliashimaka7547 Рік тому +1

    Ilove your songs God bless you

  • @Mellissabahati137
    @Mellissabahati137 2 роки тому +4

    Majina wangu nakupenda Sana my❤️

  • @sulehdelmungai7647
    @sulehdelmungai7647 2 роки тому +2

    Waaah dada umetoka mbali...barikiwa sana

  • @everjohn4945
    @everjohn4945 2 роки тому +4

    Niliwahi kufika kwa akina bahati pale mbeya daah wakalimu sana na huwezi kukosa cha kujifunza ...

  • @sashawambura
    @sashawambura 2 роки тому +4

    Your name reflects the divine spirit..stay blessed Bahati

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 2 роки тому +3

    Kweli sister bahati ukihaza safari Songa mbele🔥🔥🔥🔥

  • @Judynya
    @Judynya 3 місяці тому +2

    Mtangazaji anabore sana

  • @eng8251
    @eng8251 2 роки тому +1

    Bahati huwa nakupenda sana toka zamani ningekuwa mkubwa ningekuoa

  • @officialelly
    @officialelly 24 дні тому

    Ila ukweli n kwamba wewe ndie msanii namba 1 wa gospel tanzania

  • @shirublessed1024
    @shirublessed1024 2 роки тому +1

    Yaani bahati is that young wao. We love u unatubariki saana

  • @evodigloria6522
    @evodigloria6522 2 роки тому +8

    Dada,unafurahisha saana ,wingi wananita bukuku nyimbo zako zinabariki♥️

  • @floraashery224
    @floraashery224 2 місяці тому

    Mtangazaji unazongua sanaa

  • @paulcosmas7941
    @paulcosmas7941 2 роки тому

    Shukrani kwa sponsor alifanya kazi nzuri amekutambulisha kwa mtaifa

  • @tinabrown4949
    @tinabrown4949 Рік тому

    😪napenda Sana nyimbo nyimbo z ako Dada na pia nashkuru mungu kwa kua hata nikiimba watu husema ninaimba Kama bahati bukuku labda nivile naskiza nyimbo Zako sana anyway God bless you mama🙏❤️❤️❤️

  • @winniferkerubo9956
    @winniferkerubo9956 2 роки тому +12

    kumbe jennifer amekutangulia kwa uimbaji na venye we ni ngwinji,bravo lady much love from kenya

  • @laini120
    @laini120 2 роки тому +4

    Bahati kweli ni wa Mbinguni 😘😊😍

  • @juliennekibatcha2958
    @juliennekibatcha2958 2 роки тому +4

    Mtangazaji Una ongeya saana acha tu msikilize muusika tafadhali

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 роки тому +7

    mtangazaji mtangazaji punguza kukatiza acha mwenyewe ajielezeee

  • @jackymmbone3348
    @jackymmbone3348 2 роки тому +18

    Your songs never disappoint my dear much love from Kenya.... 💯♥️

  • @alexrwamirera8163
    @alexrwamirera8163 Рік тому

    Kwakwerii nabarikiwaaaa sanaananyimbo zakee..bahatii Bukukii Mimi Bishop Alex

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 2 роки тому

    Nimrembo sana mashaAllah tabarakaAllah

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 2 роки тому +9

    Big lesson to young womens

  • @roselynemuchenda3702
    @roselynemuchenda3702 Рік тому +1

    The best interview,mcheshi huyu.

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 2 роки тому +4

    Bahati safi sana.

  • @paulkamete2947
    @paulkamete2947 Рік тому

    Mtihani Bahati kweli history yako kali

  • @muurisoras5878
    @muurisoras5878 Рік тому +1

    Madam you are an beautiful Inspiration. Love your music 💗 from Kenya

  • @semephilipomwakasula7600
    @semephilipomwakasula7600 2 роки тому +2

    Nakupenda dada angu Bahati

  • @elynesaddy9878
    @elynesaddy9878 2 роки тому +2

    Ghai,,yaani ndugu saba wameondoka? Aki hao ni wengi lakini kazi ya mungu haina makosa,,pole sana

  • @princessa3060
    @princessa3060 2 роки тому +9

    This woman of God blesses ma life so much,,may God keep shinning upon u mum as u continue gving us worship n praise songs to the world..God keep u mad 💞💞💞 frm Kenya ukunda

  • @faithkaykay
    @faithkaykay 2 роки тому +11

    Your testimony is approve that God can use anything unexpected.

  • @shangweremiofficial4124
    @shangweremiofficial4124 2 роки тому +2

    Barikiwa sana kazi yenu njema

  • @annevilembwa4950
    @annevilembwa4950 2 роки тому +2

    Wengi wakuvunjapo moyo Mungu hukutia moyo na ndivo unavyo paa angani. Upoteapo njia ndivo kupata njia

  • @estherngondya1389
    @estherngondya1389 2 роки тому +3

    Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu Bahati Bukuku. Nakupenda Sana. Napenda Huduma yako. Yesu akutunze. Usajighweghe fijho Kikolo!!!

  • @philosophyalen
    @philosophyalen 2 роки тому +3

    We mtangazaji jiongeze sana au urudi shule, unakatitiza mtu Hadi unaboa

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 2 роки тому

      Kila mtu amelalamikia hilo swala yaani imeshakuwa ni km story

  • @chancekavugho504
    @chancekavugho504 Рік тому

    Mimi ni kavugho Bahati, n'a kupenda Sana mama,

  • @rosabesh6850
    @rosabesh6850 7 місяців тому

    Your songs have been a blessing in my life.

  • @rahabusalum215
    @rahabusalum215 2 роки тому +2

    Bahati mungu akubariki

  • @tannyleakey3513
    @tannyleakey3513 2 роки тому +3

    she is so beautiful😍

  • @PatrickMakandaiga
    @PatrickMakandaiga 2 місяці тому

    Inapendeza kwkwl ubalikiwe

  • @sarahwaswa5819
    @sarahwaswa5819 2 роки тому +3

    Nakupenda bahati👏👏👏

  • @bernardmuriithi8468
    @bernardmuriithi8468 2 роки тому +1

    God bless you

  • @maryinyas9320
    @maryinyas9320 Рік тому

    Ubarikiwe Dada, naipenda sauti yako, so expensive sound....big up❤

  • @Ngwala09
    @Ngwala09 2 роки тому

    Ubarikiwe.......Mama,tunakutaka kenya tena

  • @johnonkoba740
    @johnonkoba740 2 роки тому +4

    Mrembo huyu kweli

  • @noor_yatsuleiman3245
    @noor_yatsuleiman3245 2 роки тому +2

    Like your voice dear

  • @vanessa-vavandikumwenayo2757
    @vanessa-vavandikumwenayo2757 2 роки тому +4

    Love❤😍 Bahati bukuku from🇧🇮🇧🇮✌✌ tuko pamoja tano kwa tano

  • @patiencehumbled3519
    @patiencehumbled3519 Рік тому +2

    Ulikoka ukiwa darasa la sita,nilikuwa na mchumba nilipomwambia mtoto wangu alisema Mama naomba uniombee wokovu,nilipomwambia mchumba wangu akaniambia huyo mtoto anajui wokovh n nini ni mwache🥲nilimwacha huyo chumba kwa ajili hilo

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 роки тому +1

    Wahaya husema eibala libi liita nyinalo, unaitwa BAHATI hakka una bahat na mbnguni utaingia kwa BAHATI

  • @janesemngindo4878
    @janesemngindo4878 2 роки тому +16

    Mwandishi unaingilia maswali sana kuliko anavyojieleza mwache ajieleze kidogo then uliza

  • @njuka3515
    @njuka3515 2 роки тому +1

    😄😄😄😄 bahati eti maisha vurugu vurugu tu !! 😄😄😄🤩🤩

  • @marthamkasi3511
    @marthamkasi3511 2 роки тому

    Nakupenda xn Bahati ni mzuri xn we Dada

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 2 роки тому

    Safi sana Bahati,ulimsangalufu fijo

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 7 місяців тому

    Bahati Mungu Azidi Kukuongoza Katika Safari.Yako Ya Kwenda Yeliko

  • @thethreestars9700
    @thethreestars9700 6 місяців тому

    Much love ❤ sauti yako yapendeza jamani, God bless you 🙏

  • @gracenamwiba2417
    @gracenamwiba2417 2 роки тому +1

    I love your voice mama

  • @laurahblessing8561
    @laurahblessing8561 2 роки тому +2

    Namis this woman of God

  • @ElizabethBaby-n9m
    @ElizabethBaby-n9m Місяць тому

    ❤❤❤❤

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 7 місяців тому

    Duu! I Love the story Hongera sn Bahati

  • @mwajumasadiki467
    @mwajumasadiki467 2 роки тому +2

    Waooo pacha wangu

  • @peaceoflife74
    @peaceoflife74 8 місяців тому

    Mungu ni mwanifu ❤

  • @orestonjalika632
    @orestonjalika632 2 роки тому +1

    Good story kwakweli

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 2 роки тому +1

    Ndaga ghwakukaja👏👏

  • @phellowmmbunitv6077
    @phellowmmbunitv6077 2 роки тому +3

    Hongera kwa interview nzuri

  • @winnieamanya1550
    @winnieamanya1550 2 роки тому +3

    Nampenda huyu dada saaana 🙏🙏

    • @ndetaulwapallangyo8408
      @ndetaulwapallangyo8408 2 роки тому

      Mtangaji una Maneno mengi ujui KAZI yako mwache mgeni wako ajieleze wacha trik za kijinga!

  • @bornfacechengah
    @bornfacechengah Рік тому

    Bahati umetoka mbali mama ubarikiwe