Rose Muhando afunguka SIRI nzito "OLE WAKO USEME, NAKUUWA / Rais Magufuli alivyoingia MADARAKANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • Rose Muhando afunguka SIRI nzito "OLE WAKO USEME, NAKUUWA / Rais Magufuli alivyoingia MADARAKANI
    #KuelekeaYeriko #RoseMuhando #ShuhudaZaKweli #UpendoMedia #AmaniKwaWote

КОМЕНТАРІ • 50

  • @gogetterdemmtakerisk7696
    @gogetterdemmtakerisk7696 2 роки тому +7

    Waoh a lady with wisdom Tena mipango ya mungu ni yaa maana Kama ni rose uyu ako hapa saa hii kweli seed ya mungu haipoteagi bless you siz rose much love from kenya

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 3 місяці тому

    Nampenda sn Dada Rose, Mungu Akubariki na azidi kukutumia kwa viwango vya juu.

  • @sandraraini6195
    @sandraraini6195 2 роки тому +2

    Salam kutoka Kenya. Thank you dada, you have encouraged me

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 3 роки тому +2

    Amina Mungu akubariki sana mtumishi dada Rozi 🇹🇿🇹🇿❤❤❤

  • @janethurio2453
    @janethurio2453 2 роки тому +2

    Hakika 🌹 Una kitu cha Mungu ndani yako. Nimejifunza kitu kutoka kwako

  • @Maryhawi9592
    @Maryhawi9592 6 місяців тому

    Mubalikiwe sana upendo tv ❤❤❤❤

  • @africanculture1992
    @africanculture1992 2 роки тому +3

    She a gospel teacher. Heard this word from n preacher. God bless rose

  • @janenjerigachie7168
    @janenjerigachie7168 2 роки тому +1

    Rose mungu aendelee kukubaliki.

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 2 роки тому +1

    Mungu ni mwema,pole dada Rose kwa mapito uliyopitia.mungu azidi kukubariki na kukulinda

  • @christinenekesa2937
    @christinenekesa2937 2 роки тому +1

    🌹 you are the chosen one of God 🙏 I'll love 💗 God with my holy hat amen amen thanks 👍 you .

  • @sobrejazz3919
    @sobrejazz3919 Рік тому +2

    I love how all your answers are based on the bible.
    So rich with God's word.
    Umenijenga mama Rose.

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 2 роки тому +1

    Pole sana dada Rose kwa mavitu uliyopitia nimejifunza kitu kutoka kwako amen

  • @user-xj7tt4cl4x
    @user-xj7tt4cl4x 7 місяців тому

    Wow Malikia Rose

  • @estherosore6415
    @estherosore6415 2 роки тому +1

    oh my goodness God is good all the time

  • @ernestyakobo1856
    @ernestyakobo1856 2 роки тому +2

    Mungu akutie nguvu mwisho wà yote uje upokee taji ya uzima mbinguni,nakuombea

  • @user-xj7tt4cl4x
    @user-xj7tt4cl4x 7 місяців тому

    Wow wacha mungu aitwe mungu

  • @rozakiza8352
    @rozakiza8352 Рік тому

    Mungu awe pamoja nawe na akubariki sana uendelehe na uimbaji wako

  • @pamelasavati3427
    @pamelasavati3427 Рік тому

    Rose mama nakupend Sana na katika kukupenda ujue Kuna kitu , kwanza napenda vile unaongeaga kihuduma,"Biblia inasema" ❤️

  • @pendochakachaka5002
    @pendochakachaka5002 Рік тому

    You deserve Mama.

  • @froliangeorge7970
    @froliangeorge7970 2 роки тому

    Ubalikiwe sana

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 7 місяців тому

    Nimejifunza kitu kutoka kwa rose.

  • @pendochakachaka5002
    @pendochakachaka5002 Рік тому

    Saluti kwa kwel

  • @mukitejudith8940
    @mukitejudith8940 Рік тому

    Pole sana mama mungu yupo nawewe Popote

  • @mademsykada3866
    @mademsykada3866 2 роки тому

    Napenda Rose muhando..she is a pretty woman💗💓💓❤💯💥👏👏👏

  • @josephwanjala7794
    @josephwanjala7794 2 роки тому +1

    Kweli Maisha hupangwa na mungu si mwanadam wakenya hazwa waimbaji tunakupenda saana

  • @barakaharony4396
    @barakaharony4396 8 місяців тому

    Dada Rose hayo mapambo muombe roho mtakatifu akuongoze hizo nywele kupaka kucha rangi na aina zote za mapambo ni machukizo kwa Bwana kama mlivyo funga mkamuomba mungu akawajibu kuhusu mwaka utakapo anza kulekodi, hivyo hivyo muombe mungu kuhusu mapambo atakujibu usije ukatumika bule kama yule msanii wa naigeria wa nyimbo za injili osinachi mwisho wa siku unaambulia kuto kufika mbinguni

  • @fedytemba7541
    @fedytemba7541 2 роки тому

    We are sorr woman of God. Na hata mimi kama mchungaji hapa kenya umekuwa my mentor but ipochipuka niliumwa na nikakosa imani na watumishi wengine actually .Nilihuku nami nisamehe kwako na kwa Mungu na kanisa lake

  • @gracenamwiba2417
    @gracenamwiba2417 2 роки тому

    Mam rose mungu akubari sasa natamani kukuona siku moja

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 Рік тому

    Endelea kumwimbia Mungu fungu la kumi usikose

  • @modestabenedictmligo4057
    @modestabenedictmligo4057 2 роки тому +1

    Dada nimekusikiliza sana ubarikiwe sana mimi nikiwa hp nimepokea sana kuna mengi tuliyasikia kumbe yalikua yana kutengeneza ili uwaimarishe ndugu zako barikiwa

  • @pamelasavati3427
    @pamelasavati3427 Рік тому

    Nakusubiri Sana MTOKO WA PASAKA, MUNGU anipe kibali nisikose

  • @pauljehovah6960
    @pauljehovah6960 2 роки тому

    Nakubar mkubwa

  • @sarastephano3409
    @sarastephano3409 2 роки тому +1

    Unajua najiuliza maswali inakuaje my anaanza tu kukupangia maisha na kukupiga bila sababu mbona Kama Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia mbona Kama hufunguki

  • @stephenphilip2940
    @stephenphilip2940 Рік тому

    Unaeza niunganisha naye dada rose

  • @kassebo
    @kassebo 2 роки тому

    Upendo TV. Mnapatikana maeneo gani. Hapa Dar es salaam???

  • @levinamaxmillian4937
    @levinamaxmillian4937 2 роки тому

    Da.mmmh usimuache huyu Yesu aliyekupenda mapema.

  • @ErickChaba
    @ErickChaba Місяць тому

    Rose muhando

    • @ErickChaba
      @ErickChaba Місяць тому

      Dada roso inatia huruma

  • @imanimwashilindi8615
    @imanimwashilindi8615 2 роки тому

    Baba yangu anampenda sana huyu mama by furaha mwakabenga

  • @evelyinipaja7022
    @evelyinipaja7022 Рік тому

    Ni nani huyo mtu alikuwa amejifanya yeye ndiye muumba wa watu au Tanzania??

  • @adoniaceisaya700
    @adoniaceisaya700 2 роки тому

    Kweli Ni Mwinjilisti

  • @simonloshaiki8082
    @simonloshaiki8082 2 роки тому +1

    KKKT

  • @anjelaaugustine1226
    @anjelaaugustine1226 2 роки тому

    Nawapata. Laivu

  • @faithmwangi7362
    @faithmwangi7362 Рік тому

    Natamani sana nijione namtukuza Mungu kupitia nyimbo kama wewe dada Rose ila uwezo wa kufika studio Sina,,,ila Nina Imani Mungu yupo enzini

  • @gogetterdemmtakerisk7696
    @gogetterdemmtakerisk7696 2 роки тому

    Kuna kitu rose ameruka part one hakuna her marriage story just that ako na watoi watu tunatakaga kuskia the hardship of marriege coz this celebs hupitia mengi kwa ndoa

    • @DorcasWambui-y8y
      @DorcasWambui-y8y 3 місяці тому

      Alifukuzwa kwao na ndugu zake after kubadilisha dini Toka msilamu na kua mkristo, sasa akaishi kama watoto engine huko mjini na huko ndiko alizalishwa ila hakuwai olewa

  • @lucymichael3638
    @lucymichael3638 2 роки тому

    Muichimu mgu