MBARIKIWA ATANGANZA KUUZA GARI ILI APATE PESA ZA MATIBABU YAKE NA MKE WAKE. Ina km elfu 19. ML 27

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 314

  • @sharomhainessi7708
    @sharomhainessi7708 5 місяців тому +9

    Pole Sana Mtumishi Wa Mungu Tupe nafasi ya kuchangia Ila usiuze mali ulionunua kwa kazi ya Injili hilo nalo litapita Mtu wa Mungu Tupo tayari kuchangia kwa garama yoyote.

  • @elikimuchurchtz
    @elikimuchurchtz 5 місяців тому +9

    Mungu ni mungu mtumishi mbalikiwa usiuze mali ni jaribu linapita sikiliza sauti ya mungu kupitia watu hawa wanao upendo wakukuchangia nami naomba tupe nafasi tuchangie kuonyesha upendo wa mungu kwako

  • @pastorbonifacenjiku2955
    @pastorbonifacenjiku2955 5 місяців тому +10

    Poleni sana watumishi wa MUNGU, tunaweza kuchangia fedha za matibabu bila kuuzwa mali

  • @gracemhagama4108
    @gracemhagama4108 5 місяців тому +2

    Amina Mtumishi wa Mungu. Tuna kuombea wewe na mama yetu Salome Mungu impendeze mupate matibabu ili ktk afya iliyonjema,muweze kumtumikia Mungu wetu.Amina.

  • @fkirumba1463
    @fkirumba1463 Місяць тому

    Pole sana mtumishi.mimi naomba nikushauri jambo moja.acha kufanya mashindano ya mitandaoni.sio Kila unaloliona unaweza kushindana nalo.mengine onya kwa u pole na upendo alafu maombi ya we mengi kuliko maneno.hizo hela hela na mikiki mikiki ya kesi,mabishani hata inadhuru afya ya familia yako wewe,mkeo hata yaweza dhuru watoto.Tafuteni kuwa na amani na watu wote.ukilifanya hili utaona utakavyopunguza matatizo mengi kwa familia yako
    Pia nashauri usiuze gari,naamini una waumini wengi na wasio waumini.hao wanaweza kukuchangia fedha ya MATIBABU.
    MUNGU atutetee mtumishi.

  • @DanielSafari-wm8ur
    @DanielSafari-wm8ur 5 місяців тому +1

    Pole sana Masihi wa Bwana,Mungu yu upande wako Daima rafiki yangu ,naamin lile alilo kusudia juu yako ww na mke wako lita timia ktk jina la Yesu

  • @user-pp2wz8gg3m
    @user-pp2wz8gg3m 4 місяці тому +2

    Ni huzuni sana baba yangu...tupe nafasi tuchange...kisha nawaalika hapa kwetu kenya kwa baba wetu Evangelist Ezekiel...Mavuweni Kenya

  • @rizikikisigaye3918
    @rizikikisigaye3918 4 місяці тому

    Poleni watumishi wa Mungu! Kwa mapito hayo. Nachojua nikwamba Iko siku mungu atawafuta machozi. Tuko tayari kuchangia kidogo tulicho nacho. Amina.

  • @user-co6nm5fk1g
    @user-co6nm5fk1g 4 місяці тому +2

    Usiogope mtumishi Mungu aliye kuita kwenye huduma atakupigania

  • @SleepyAlpineVillage-yp2sz
    @SleepyAlpineVillage-yp2sz 5 місяців тому +1

    Mungu wa uzima wangu hujawahi kuniacha hata siku moja nakuoomba ukamponye mtumishi wako hakika umewaponya mataifa ,nakushukuru mungu wangu naamini tayari amepona kuanzia Sasa hivi ameni🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️

  • @KAMANDAGAMALIELI-zp1ni
    @KAMANDAGAMALIELI-zp1ni 5 місяців тому +6

    Mbarikiwa acha kuliza watanzania.. ivo vitu kakupa Mungu ili ufanyie kazi yake Sasa kusema unaviuza ili ukatibiwe nijambo linalooumiza sana.. Sikiliza mioyo yawengi bado inakupenda bado ipo nawewe nakuomba weka wazi matibabu yako yanaitaji kiasi gani? alafu nasisi tukuoneshe mioyo yetu kwakujitoa tulicho nacho.. Kama ikipungua basi Uza mali za Mungu nakikizidi basi mpe Mungu utukufu, sisi niwatanzania haiwezekani gari iliyofanyiwa kazi ya Mungu tena katika haki et leo ikanajisiwe.. Mbarikiwa plz tangaza unaitaji kiasi gani hakika Mungu ataenda kukushangaza! plz plz plz uwe free we sema tu alafu tuachie tukushangaze kama haujamrudia Mungu kwa machozi mtu wa Mungu.

    • @lwitikomusa1712
      @lwitikomusa1712 4 місяці тому

      Tunakupenda kaka ebu weka waz garama watanzania tupo tyr kuchangia huna baya mtumishi 📖💓🙏

  • @richardkiula7522
    @richardkiula7522 5 місяців тому

    Pole sana mtumishi wa Mungu. Pamoja na kwamba nimekuwa nikitoa baadhi ya mambo, lakini katika hili kwa kweli nakupa pole na pia badala ya kuuza gari hiyo ambayo ni nyenzo muhimu katika kufanya huduma, nashauri uruhusu tuchangie matibabu yako na ya mama mchungaji. Nakushauri usije gari. Tumekuwa tukiwachangia watanzania wengi wanaopita katika shida, nawe u mtanzania kama sisi. Mungu awaponye.

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn 5 місяців тому +7

    Ni Maumivu juu ya Maumivu, Sema tu MUNGU anayajua yote haya.
    MUNGU atabaki kuwa MUNGU tu.Amina ❤

  • @VIOLETNANDERA-mt8ce
    @VIOLETNANDERA-mt8ce 5 місяців тому +3

    mi maoni yangu ni kwamba. ungejaribu na kwa watumishi wenzako pia hasua wenye wako na uezo wakuona katika ulimwengu wa Rohoni. ungelijaribu kuenda kwa mtumishi wa MUNGU mjungaji peter karimu hapo hata ungeweza kupata mali ya Bwana huenda mtasaidika zaidi juu pia naamini kupitia maombi MUNGU atafunua shida penye Iko. hospitalini endeni ila pia jaribu njia zote juu MUNGU anaweza kosa kukufunulia tatizo lako na amfunulie mwingine. na ndani mwangu Nina Imani kuwa utasaidika utakapochukua hatua sahihi. nenda kwa waombaji wenye nguvu na Kila kitu kitakua sawa. MUNGU awabariki nyote na awaponye Amen. ila hiyo hali yako usiikimbilie tu hosi peke nenda kwa watu wa MUNGU wenye nguvu.

  • @belinamwambeleko370
    @belinamwambeleko370 5 місяців тому +2

    Pole sana mtumishi na mama salome. Hakika wew ni ayubu wa kiazi hiki kupitia imani yako kwa mungu wengi tunaona nuru baba mungu hajawacha 🙏

  • @sadockjohn2460
    @sadockjohn2460 5 місяців тому +1

    Pole Sana mtumishe wa mungu aliye haye usiuze gari tutajangia matibab yako majalib hayana budi kutokea

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 5 місяців тому +2

    Kutoa si utajiri bali moyo wa upendo na huruma mungu awswekee mkono wa uponyaji.

  • @NGUVUYAUKOMBOZITV
    @NGUVUYAUKOMBOZITV 5 місяців тому

    God bless your life!! Wewe ni Shujaa your David,your Samsoni, My Brother hakika kama nikikombe hakika umekinywea na Bado unakinywea your kamanda simama simama jitahidi simama ushindi uko upande wako. Samahani chuchangishe kwanza fedha isipo tosha ndiyo maamuzi ya chukuliwe lakini Kwa Sasa tuchange kwanza Shujaaaa your shujaaa na kuamini ushindwi kuinuka....

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 15 днів тому

    We unawasema watumishi wa Mungu.
    Unaisema mamlaka.
    Embu uwe mkimya upigane kiroho.

  • @user-fe7sh8tz7l
    @user-fe7sh8tz7l 5 місяців тому +2

    Pole sana watumishi wangu Ni vema tukuchangi

  • @user-wy7ix7rs8q
    @user-wy7ix7rs8q 5 місяців тому

    Praying for you my brother my country love so much Nina imani utashinda pila kuhuza kari ya injili coz yule mungu aliye kupa maono ya kununua pato yuko Amen, karibu Kenya we need your God.

  • @user-lr2nt3ip1r
    @user-lr2nt3ip1r 5 місяців тому

    Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi maana unayoyapitia yanatuumiza wengi na tunaguswa naamini utabaki kuwa mshindi kwa sababu hata ongea yako inaonyesha ujasir na nguvu ya kushinda .
    Amen

  • @tonyyohana9782
    @tonyyohana9782 5 місяців тому

    Mungu awatie nguvu watumishi wa Mungu mama utapona tuu Wenda Mungu anakupima imani barikiweni sana watumishi wa Mungu mpone mapema tumemic huduma yenu mitaan

  • @JamesMalale-io1qj
    @JamesMalale-io1qj 5 місяців тому

    Pole sana mchungaji nakuomba uendelee kusimama na mungu usije kubadilisha mawazo hao mashetani hawajui walicho kifanya lakn simama namungu nae hatokuacha kamwe

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 5 місяців тому +1

    Pole mtumishi wa Mungu Mungu awafanyie wepesi

  • @franciswanje-o5u
    @franciswanje-o5u 10 днів тому

    Pole sana mtumishi wa Mungu

  • @salanga-qu5sf
    @salanga-qu5sf 5 місяців тому +18

    Nibora tuanze kuchangia kwanza mchungaji kabla ya kuuza gari kama kiasi kinachotakiwa kwenye matibabu hakitafika basi ndio gari iuzwe. kumbuka bado kazi aliyokupa mungu bado hujaimaliza na mungu alikupa gari kwa makusudi iliulieneze neno lake

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  5 місяців тому +12

      Asante sana. Hatujaanza na mchango kwanza kwa kuwa sababu za kuuza gari ni mbili.
      1 Haifanyi kazi yoyote kwa sasa kwa kuwa hatuna uwezo kiafya na kisaikolojia ya kuzunguka huku na kule. Ni kwa sababu hiyo hata tukija kuwa sawa tutakuja kununua gari litakaloendana na nguvu tutakayokuwa nayo wakati huo.
      2. Ni kwa sababu hiyo hata watu wakichangia au tukapata pesa kwa njia nyingine YOYOTE AU MUNGU AKAPONYA PASIPO MATIBABU, bado tunaona vema kuiuza ili tutakapokuwa sawa tutafute gari litakaloendana na nguvu atakayotuamini nayo Mungu wakati huo.
      Kwani kama Mungu atakuja kuruhusu wakati mwingine wenye nguvu, baraka na utukufu mbele yetu inawezekana kabisa utakuja kuwa na fahari mbili tofauti zitakazoachana mbali sana.

    • @JumaNussura
      @JumaNussura 5 місяців тому

      Mungu aliewashindie wanaezrael ,yusuph at we kkshindia na wewe

    • @salanga-qu5sf
      @salanga-qu5sf 5 місяців тому +8

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile
      Sawa mchungaji mm nimekuelewa vizuri nachoweza kusema ni kwamba MUNGU ASIYESHINDWA CHOCHOTE ANACHOTAKA KUFANYA AKUTIE NGUVU AKUIMALISHE ZAIDI NA ZAIDI , mimi nimuumini wa dhehebu lingine pia niko mkoani lakini huwa mahubiri yako yananibariki sana ndio maana nina download video zako kusikiliza kila wakati. Mapito yako yanamliza kila mpenda haki NA AMINI SIKUMOJA HUZUNI ITAKUWA FURAHA NA VILIO VITAKUWA KICHEKO
      Mwenyezi mungu akubariki mchungaji

    • @visiontanzania2022
      @visiontanzania2022 5 місяців тому +1

      Mwenyezi Mungu akusimamie mtumishi

    • @jafarmlawa9627
      @jafarmlawa9627 5 місяців тому

      Una uza shingpi? mbna maelezo nimengi,, taja bei kwazaaaa,,,,,

  • @gadisanga-ee2il
    @gadisanga-ee2il 5 місяців тому

    Poleee. Na hujakosea saana kutangaza kuuza Gari kunamsemo huwa tunasema chako kikuokoe. Pole sana mama mbarikiwa. Kwakuumwa na kuuza Mali ilionunuliwa najua wamama huwahampendi kuuza chombochandani labda kiwe kibovu lakini kwahki kipya.

  • @user-cq8pj6iz3k
    @user-cq8pj6iz3k 4 місяці тому

    Mungu akusimamie katika maisha yako pole sana mtumishi

  • @user-kk7oy5hn1i
    @user-kk7oy5hn1i 5 місяців тому

    Iko siku Mungu atajitwalia utukufu kwa yote mnayopotia, haijalishi nikwamda gani mtapita❤❤❤

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x 5 місяців тому

    Mungu ni mponyaji ingia ndan ya moyo kw sala Kuna sehm kma ulikosa atakuambia utubu upone mungu asipoingilia ht ukiuza nyumba haitasaidia

  • @christophermwanjoka7406
    @christophermwanjoka7406 5 місяців тому

    Pole sana....Mungu atimize kusudi lake kwenu....Mungu ni baba na itabaki hivyo milele...No matter tunapitia nyakati gani

  • @berthasindwani9389
    @berthasindwani9389 2 дні тому

    Polen sana mungu awatie nguvu

  • @LilianMoraa-no3de
    @LilianMoraa-no3de 5 місяців тому +1

    Barikiwa pole wale wa mungu ndio wanayapitia Sana tusimwaje mungu Mimi Niko Kenya nakaribu kupiga simu haingii lakini tuzidi ma maombi ata wimbo wako WA moah unanitoa machozi nikisikiliza asante

  • @bibishemartha4378
    @bibishemartha4378 5 місяців тому +1

    Usiuze chombo chamungu afathali tupo tayari kwa kuchanga ili utukufu wa mungu ubaki i am from congo 🇨🇩🇨🇩

  • @lydiamgovano5638
    @lydiamgovano5638 5 місяців тому +1

    Pole sana mtumishi wa Mungu, inasikitisha sana, ninakuombea wewe na familia yako. Hayo yote yatapita, utasimama tena hakika utasimama ,
    tuko pamoja tutachangia matibabu na tutaendelea kuomba

  • @user-pd5qf8qt1l
    @user-pd5qf8qt1l 5 місяців тому

    Mungu akutokee Mzee akuponye pamoja na Mama kwa Jina la Yesu kirsto

  • @alexmwakisole-gl7mw
    @alexmwakisole-gl7mw 5 місяців тому

    Mungu aliyewaita atawatetea. Kazi yenu ni ukombozi wa watu wengi katika Taifa hili.

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 5 місяців тому +1

    Poleni sana kwa hili inabidi tuungane. Nimesikia huruma sana

  • @alamagatasanga1805
    @alamagatasanga1805 5 місяців тому

    Pole sana mtumishi wa Bwana na hili nalo litapita tunamwamini mungu

  • @daniellaizer8948
    @daniellaizer8948 4 місяці тому

    Mtumishi mwenzangu pole kwa pito hilo ila ushauri uruhusu kwanza atakayependa kuchangia kama isipotosha mungu atafanya njia nyingine wewe ni wa watu wewe ni wa mungu ni kweli ni afya kuwa na chako lkn ktk hili ruhusu tu watu wawe nyuma yako

  • @joshuajulias8288
    @joshuajulias8288 5 місяців тому

    Pole sana mtumishi wa mungu hayo Ni majaribu tu lakini usiuze gari yako Kwanza bora tukuchangie

  • @princejosephat8316
    @princejosephat8316 5 місяців тому +1

    Pole sana mtumishi wa Mungu jaribu lisiktoe kwenye mpango wa Mungu...endelea kumtafta sikio lake sio zito ashindwe kusikia atawaponya kwa Jina la Yesu.

  • @user-ji4ml2sk9n
    @user-ji4ml2sk9n 5 місяців тому

    Mtumishi wa Pole sana,kama ningekuwa na uwezo wa kufanya jambo kuhusu AFYA yenu YAANI pesa ya matibabu ningekushauri gari isiuzwe Baba yangu kwakuwa kazi bado inaendelea na Hilo ni jaribu tu,ila utavuka salama

  • @LovelyChocolateBonbons-ok2ww
    @LovelyChocolateBonbons-ok2ww 3 місяці тому

    Mungu akubariki

  • @SafariMsafi-um1pz
    @SafariMsafi-um1pz 5 місяців тому +2

    Dotto magari uko wapi....! Changamkia tenda mzee

  • @PriscaChachaMarwa-yp6kq
    @PriscaChachaMarwa-yp6kq 5 місяців тому

    Mungu yupo pamoja nawe mtumishi Mimi ningeshauri utengenese group pesa itapatikana kwa halaka Sana amini hivyo

  • @iddally1021
    @iddally1021 5 місяців тому

    Kama Mungu aliweza kilio Cha Ezekiel na kughairi kifo,Nina amini katika jina la Bwana wa Majeshi,jina lenye nguvu jina lenye uwezo,Juu Yako Baba,utapona na mara dufu utaongezewa,Pita tu baba na kuendelea kukinywea kikombe,kikubwa Mungu unamjua na unaendeleaje kutufundisha

  • @franktimoth9786
    @franktimoth9786 5 місяців тому

    Mbalikiwa pole sana na hayo mapito lkn mungu anajuwa hayo yote unayoyapitia na ameyaluhusu kwa makusudi yake lkn ninaimani kuna jambo zuri mungu analiandaa ktk maisha yako

  • @bulengepetite6062
    @bulengepetite6062 5 місяців тому

    Natowa pole sana tena sana kwa jama yote. Mungu awakubuke. ❤❤❤❤.

  • @gwantwajoseph5564
    @gwantwajoseph5564 5 місяців тому

    Pole sana ,MUNGU tunae mwabudu akuponye pamoja na mama .

  • @glorymwazyunga641
    @glorymwazyunga641 5 місяців тому

    Mungu ni mkubwa sana atafanya kila njia wote mtakuwa vizuri kiafya. Naomba azidi kuwatia nguvu mchungaji na mama

  • @EmiliGuguza-sw8zn
    @EmiliGuguza-sw8zn 5 місяців тому +5

    Mimi nafikili mtumishi tuwekee namba ya sim ilituchangie mwenye elfu 1000/5000/10000/ili baba mkatibiwe gali uliache

    • @lilianwaflotina1288
      @lilianwaflotina1288 5 місяців тому

      Watanzania Wana huruma watakuchangia weka namba ya simu Mimi nitakuwa wa kwanza

  • @pastormalitiushuhuda9965
    @pastormalitiushuhuda9965 5 місяців тому

    Pole sana mtumishi Mungu, Yesu asimame nanyi wakati huu mahitaji

  • @bensonmoris463
    @bensonmoris463 5 місяців тому +1

    mtumishelilie mungu awaponye achen hizo asset

  • @gladnessnkya1169
    @gladnessnkya1169 5 місяців тому

    Ni heri kukaa kimyaa kuliko. Kumtukana mtumishi wa Mungu ni mwizi 😢 shauri Yako na ole wao haya😢

  • @abdallahkipekepeke2383
    @abdallahkipekepeke2383 3 місяці тому

    Picha mnazoweka na content haviendani, najua ni watumishi wa Mungu lakini tusitamani kuchukua sana tention za watu wanaowafuatilia i think the there is better way

  • @JacksonZakayo-tt3jg
    @JacksonZakayo-tt3jg 5 місяців тому

    Kwa Mungu hakuna kuwahi wala kuchelewa mtumishi wa Mungu sema kiasi chamatibabu yako

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola 5 місяців тому +1

    Jamani mtumishi weka namba yakuchangia,maana mimi sijawahi kukutana na wewe live,ila huwa nabarikiwa sana kwa nyimbo zako na mahubiri.
    Salome,Mungu atakupinya mimi huwa natamani wanawake wote wangekuwa kama wewe amani ingetawala katika ndoa,unahekima sana dada yangu,toa account tutachangia kwa kadili mungu atakavyo tuongoza

  • @BahatiMpalanzi
    @BahatiMpalanzi 5 місяців тому +1

    Munguatawasaidia musikatetamaa baba

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 5 місяців тому

    Twambie mtumish wa mungu tuchangie matibabu🙏🙏

  • @EdaMalamsha
    @EdaMalamsha 5 місяців тому

    Mungu.yu mwema, uponyaji utakuwa nanyi kwa vile tunaamini Mungu hakuachi

  • @IsackMwampashi-jj8wy
    @IsackMwampashi-jj8wy 4 місяці тому

    Pole sana mungu akutetee yote yanapita upo mda bwana atatenda

  • @jaspicykabobo3671
    @jaspicykabobo3671 5 місяців тому

    Ayubu 14:7
    [7]Kwani yako matumaini ya mti, ya kuwa ukikatwa utachipuka tena,
    Wala machipukizi yake hayatakoma.
    Nikuombe mtumishi jitie moyo, imarika katika Bwana wewe na familia yako, Yeye aliyeanzisha safari yenu hapa duniani pamoja na huduma ndani yenu siku moja atasimama juu ya nchi na kila mwenye mwili atamuona.
    Nawaomba msife moyo wala msiiache ile kazi njema mliyoitiwa !!
    Pia nashauri usiuze mali kwanza hilo liwe last option lakini iko njia na bado Mungu anaweza kwa hiyo ruhusu watu wenye nia na mapenzi mema kuchangia matibabu yenu, Nani ajuaye kwamba Mungu hatainua watu wa kulia pamoja nanyi????
    Mwimarika katika BWANA na katika UWEZA wa nguvu zake

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 5 місяців тому +2

    Mungu awatunze mtumishi kikombe umekunywa mtumishi kinachonpa furaha unamtumainia mungu

  • @YESU..YUAJA..REPENT..
    @YESU..YUAJA..REPENT.. 5 місяців тому +1

    Mtu wa mungu pole sana. Tunazidi kukuombea kila wakati yesu akutie nguvu wewe pamoja na mama. Yeye aliyekutoa gerezani basi anaweza kukuondolea maumivu ya maradhi yoyote bila hats kwenda kwa wataalamu..

    • @user-dx4ow8vq1c
      @user-dx4ow8vq1c 5 місяців тому

      Mchangien yesu hawez toa hela za ma tumiz wal ela ya dawa

    • @frenkfarm1139
      @frenkfarm1139 5 місяців тому

      ukimalinza kumuombea tuchange tumusaidie baba mbalikiwa tumutoe eneo alilopo tusiwe wabaya moyo tushiliki kazi ya mungu kwa pamoja 💪

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 5 місяців тому

    Pole sana Mtumishi,Majaribu yako yamefikia mwisho,Mimi naona Uchungu

  • @user-lx8qc4uh4c
    @user-lx8qc4uh4c 5 місяців тому

    GOD BLESS YOU MAN OF GOD

  • @ynyynyyny
    @ynyynyyny 5 місяців тому

    Aliyediri kumfikisha hapa mtumishi huyu wa Mungu!! Akae mkao wa kula sina mengi

  • @fathermore9772
    @fathermore9772 4 місяці тому

    Ala wakisha pona wanaanza kuhubiri waleteni wagonjwa wapate miujiza ...kwao wenyewe miujiza haifanyi kazi

  • @Wakwetujitu
    @Wakwetujitu 5 місяців тому

    Mungu akutetee mtumishi ata ayubu alipitia shida

  • @albertwilsonalbert01
    @albertwilsonalbert01 5 місяців тому

    Dah, Gari bado mbichi kabisa,
    Bora tuchangie Matibabu. Baada ya hapo iendelee Kutumika Kuitangaza Injili

  • @jenofevakimboke-br3xo
    @jenofevakimboke-br3xo 5 місяців тому

    Mchangieni hela ya Matisyahu hamani Aachen kuuza assets zake Mungu awabariki sana

  • @AlphonceAlphonce
    @AlphonceAlphonce 5 місяців тому

    Tupo tayali kuchangia. Mtumishi wa mungu

  • @hilderpatrick7783
    @hilderpatrick7783 5 місяців тому

    Mungu akufanyie wepesi yeye atamuleta mnunuzi

  • @bonmwakalinga4687
    @bonmwakalinga4687 5 місяців тому +1

    Tuko tayari kuchanga mtu wa mungu.

  • @hilderpatrick7783
    @hilderpatrick7783 5 місяців тому

    Yaan nasikia maumivu makali sana Mungu wetu hashindwi na jambo

  • @joseesiara9012
    @joseesiara9012 5 місяців тому

    Pole sana mchungaji, bado Mungu yupo upande wako.

  • @bashirbaruan3969
    @bashirbaruan3969 5 місяців тому

    Pole sana ndugu yangu mungu awaponye lakini pia akuongozeni ktk njia sahihi yenye mafanikio.

  • @ELISANTENOEL
    @ELISANTENOEL 5 місяців тому

    Mbarikiwa,Mungu wa mbinguni na awemfariji wako kwa kipindi hiki cha majaribu,
    Ushauri wangu ,mtafute mtume MWINGIRA wakanisa la EFATHA kuna jambo atakushau cha kufanya: majibu yapo kabla ya kuuza gari wala kuchagisha michango.

  • @frankmganda2424
    @frankmganda2424 5 місяців тому

    KWanini wanamfanyia hayo mambo jamani maana kuna watu wanafanya makosa lakini awakamatwi mtumishi Pole ila Mungu ni mkubwa

  • @user-vr2wt7el2m
    @user-vr2wt7el2m 5 місяців тому

    Mtumishi je hili gari lingelikuwepo? Acha Mungu Ajashindwa Kutuma Malaika Kukupatia Pesa za Matibabu!
    Pole na Hongera Wewe ni Mshindi! Mungu Awezi Kukuacha, Ongeza Sublah za Kumngojea na Utulivu Zaidi Utapata Jibu Atakalo Kwambia! Shalom🙏🏻

  • @doreenmartin3105
    @doreenmartin3105 5 місяців тому

    Msife moyo, kupitia mapito, adha, dhiki, hata kifo..ni sehemu ya maisha ya mwamini wa Kristo wa kweli.
    Bwana anawawazia mawazo mema sana ktk hali hiyo pia.
    Mbarikiwe !

  • @user-rh9lm5bg7b
    @user-rh9lm5bg7b 5 місяців тому

    Bora kuchangia kuliko kuuza, majaribu hayana budi kuja, mungu Amanda mlango wakutoke, gar halitauzwa kwa jina LA yesu , jaman watoto wa MUNGU tuungane tumuabishe shetan na mama mkwe wake, YEREMIE 32:26 ndipo neno la bwana likamjia Yeremia,kusema ,tazama Mimi ni bwana, MUNGU wa wote wenye mwili,je? Kuna neno gumu lolote nisiloliweza? ,natamka Tena gar aitauzwa kwa jina LA yesu,

  • @PIUSrafael
    @PIUSrafael 5 місяців тому

    Pole sana mtumishi yote yatapita tumkumbuke ayubu

  • @user-ui4xt2vp5t
    @user-ui4xt2vp5t 5 місяців тому

    Ushauri mtu wa Mungu weka utaratibu tumchangie

  • @bernardmushi4869
    @bernardmushi4869 5 місяців тому

    Sorry servant of GOD.I believe u DEDICATED THE CAR UNTO THE LORD before using it.Whatever is DEDICATED TO GOD IS HOLINESS UNTO THE LORD and such can't be taken away from GOD to be sold.GOD loves u despite all these hardships and HE will raise people to donate the money needed.Don't sell the car for IT IS GOD'S PROPERTY.

  • @noelmwembe6419
    @noelmwembe6419 5 місяців тому

    Moyo wako umekuwa darasa kubwa kwangu poleni sana wazazi wangu.

  • @magrethmanintveld5477
    @magrethmanintveld5477 5 місяців тому

    Mungu akusimamie kwa yote ukihitaji msaada niko pamoja na wewe

  • @Elisha-zr8ms
    @Elisha-zr8ms 4 місяці тому

    Nomba nichangie kichache mchungaji niombe no

  • @jasmineomary4325
    @jasmineomary4325 5 місяців тому

    Pole baba na familia Yako mungu awatetee

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 5 місяців тому

    Poleni sana ndugu zetu watumishi wa Mungu

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 5 місяців тому +1

    Sio pole,mchangieni

  • @zakariachomo8916
    @zakariachomo8916 5 місяців тому

    Mlungu yupo ntumishi hayo yatapita tuu poleni sana

  • @marykyelu5451
    @marykyelu5451 4 місяці тому

    Polen sana watumishi wa mungu

  • @GodloveMwandoje
    @GodloveMwandoje 5 місяців тому

    Poleni mtumishi kaachiwa mungu mwema

  • @user-pv1hh6hc4o
    @user-pv1hh6hc4o 4 місяці тому

    😢😢😢pole baba ungeweka hata namba za cmu za kutuma pesa

  • @enockdaudi5009
    @enockdaudi5009 5 місяців тому

    Gari haliwezi kulinganishwa na thamani ya mtu. Ukiuza, unaweza kununua lingine, lakini ukimpoteza mtu, huwezi kumpata tena. Gari liuzwe na watu wachangie.

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 5 місяців тому

    Nimefatilia tangu mapicha picha yalipoanza mpaka leo. Hakika kuna watu wanapata mitihani bhna. Yaani kuna watu wanapambana kuhakikisha mwingine anaumia. Mimi sina pesa ya.kununua canter lkn naamini wengine watainunua

  • @sajienswebe5557
    @sajienswebe5557 5 місяців тому +1

    Mtumishi nenda kwa wapakwa mafuta ukaombewe nakushauri nenda kwa Mwamposa na Mwakasege. Ni Bure tu nyenyekea hao wanamafuta zaidi Yako. Amen

    • @edithamdemu396
      @edithamdemu396 5 місяців тому +2

      Je wanamafuta kuliko Roho wa BWANA? Ee mwanadamu usifurahie mateso ya mtu wa Mungu maana aangukapo atasimama tena.

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 5 місяців тому +1

      YESU KRISTO MNAZARETI Alituisha tushindia Msalabani kila autazamae Msalaba wake na kuubebe kwa sehemu yake yupo ndani yake KRISTO na yeye yupo ndani yake. Amina.