Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hongera sana Baba yetu wa Kiroho nakupata vizuri MUNGU aendelee kukulinda na kukutumia chombo chake .....Hicho kipaji chako kweli ni zawadi Kutoka kwa MUNGU hakuna kufa pressure hapa ni kucheka tuuu Hadi mbinguni
Amina sana barikiwa Baba nimependa kitabu chako cha kataa kujikataa NINAENDELEA kukisoma na KUJIFUNZA mengi barikiwa sana
Amina Asante Father 🙏
Heko padre kwa miaka ya utumishi kwa Mungu.Mola akuzidishie busara ya kutangaza injili yake.