@@darajanida amna kitu hapo ww ilmu ya bidah sawq lakini ilmu sahihi hana alijuwalo na kama analijuwa anaficha ukweli kwa maslahy yake jambo hili ndo litakwenda kuwaangamiza mashekh wa bidaa wengi kuwaweka mbali watu na sunnah ya mtume wao na siku ya kiama kuna watu watawalaumu viongozi wao wa dini isingekuwa ninyi leo tusingeyapata haya na wao watawajibu na ninyi mlitaka wenyewe kupotea vilevile kwahiyo uwezi sema mtu una ilmu afu unaficha hakki au unamlinia bidah unauwa sunnah za bwana mtume kwa kuzusha matamanio yenu huyo so msomi mlinganizi wa moto
Kuna wazinifu kama masufi? Mara ngapi masheikh wa kisufi wanawazini mabinti wa chuo? Niambie ulisikia wapi kwa masheikh wa kisalafi? Nenda lamu kaangalie ushoga ulioletwa na masharifu wa kisufi,ukiizungumzia zinaa kwa masufi ndio nyumbani kwao
Duuuh! Kweliii masalafi mnao UPUNGUFU wa ELIMU... Huyuu abuu khaula wenu kapewa mpk namba ya sheikh mziwanda wafanye munaaQasha ana kazi ya kuongezea vichochoroni to anaogopa nn sasaaa acheni ayo mambo bHn Kila mmoja afanye KITU kwa nafasi yKe
Nimegundua watu humu hawaskilizi maneno na hojja zinazotolewa na shekhe abuu khaullah bali wao wanasoma kuchwa cha khabari alafu wanaanza kukosoa na kutukana, sasa sikilizeni hojja anazozitoa shekhe alafu ndio mtoe koment zenu.
Mashaallah Allah akufanyie wepesi sheikh Kwa kuwabainisha watu wa bidaa
Maa shaa Allah! Baarakallahu fiyk
❤❤Baarakanllah fiikum. Tàndikeni. Ĥao. Wazushi walopotea
Sheikh wangu Abuu Khaulah (hafidhahullah) nafurahia sana kumsikiliza
Maarifa kidogo sana sheikh huwezi kubishana na sheikh mziwanda hata kidogo.
Ana ilmu gani huyo mziwanda zaid kuotsha watu na kuwaweka mbali na sunnah ya mtume na yey anafanya bidaah
@@AbdulIssa-o7e mwambie abuu khaula atoke uwanjani asiongelee chumbani
@@AbdulIssa-o7e muwambie uyo shekh wako ajitokeze kwenye ulemjadala alio ombwa ndo utajuwa kuwa shekh mziwanda ana ilimu au hana
@@darajanida amna kitu hapo ww ilmu ya bidah sawq lakini ilmu sahihi hana alijuwalo na kama analijuwa anaficha ukweli kwa maslahy yake jambo hili ndo litakwenda kuwaangamiza mashekh wa bidaa wengi kuwaweka mbali watu na sunnah ya mtume wao na siku ya kiama kuna watu watawalaumu viongozi wao wa dini isingekuwa ninyi leo tusingeyapata haya na wao watawajibu na ninyi mlitaka wenyewe kupotea vilevile kwahiyo uwezi sema mtu una ilmu afu unaficha hakki au unamlinia bidah unauwa sunnah za bwana mtume kwa kuzusha matamanio yenu huyo so msomi mlinganizi wa moto
@@darajanida mziwanda huyu huyu aliyesoma mwisho murawassitwa na kufoji cheti Cha Thanaw?
Hatuwezi Kumpenda Mtume Kuwapita Maswahaba Mbona Wao Hawakusheherekea
Mawahabi muna penda kuzini semeni
Kuna wazinifu kama masufi? Mara ngapi masheikh wa kisufi wanawazini mabinti wa chuo? Niambie ulisikia wapi kwa masheikh wa kisalafi? Nenda lamu kaangalie ushoga ulioletwa na masharifu wa kisufi,ukiizungumzia zinaa kwa masufi ndio nyumbani kwao
Nenda kaimbe taarabu inaonekana ndio fani yako
Acha kupiga kelele ukatupotezea Mb namba umepewa unachambachamba tuu mtandaoni nakuthibitisha maneno yampotevu munayoyatamka nakuyapa nguvu
Zile namb za shekh mziwanda zimefutika au😂
Mwanamme haongei vichochoroni.mtafute uone moto😊
Jaahil murakkab
Acheni utovu wa nidhan
Wwe unaeongea ambayehuonekani umejificha nishekhe au msanii?
Kwahyo ili uwe sheikh lazima ujirekod video irushwe humu?
@@ibnayub2374 madam kaamuwa kutowamawaidha hadharani inapendezarumuone
@@ibnayub2374 mbona huyomwenzake kamuwekatunamuona ?
utawaona wafuas wa wazushi wakikosa hoja silaha yao yamwisho ni matusi
Duuuh! Kweliii masalafi mnao UPUNGUFU wa ELIMU... Huyuu abuu khaula wenu kapewa mpk namba ya sheikh mziwanda wafanye munaaQasha ana kazi ya kuongezea vichochoroni to anaogopa nn sasaaa acheni ayo mambo bHn Kila mmoja afanye KITU kwa nafasi yKe
Hivyo wewe hujaona kua hivi anavyofanya ndio kujitokeza pia?!
Nimegundua watu humu hawaskilizi maneno na hojja zinazotolewa na shekhe abuu khaullah bali wao wanasoma kuchwa cha khabari alafu wanaanza kukosoa na kutukana, sasa sikilizeni hojja anazozitoa shekhe alafu ndio mtoe koment zenu.
@@abduwahabi7019
Na wengi tukisikiliza tutanufaika
sasa tuckilize nini wakati kila siku munaongea ayo kwa ayo hamna hoja yeyote labda matusi
@@UsalafiniKWETU01 faida gani mnaopata au matusi nyinyi niftna kubwa kwenye dini yetu ua uislamu
@@darajanida
لا اله الا الله
@@UsalafiniKWETU01 huo ndo ukweli akhiy hata mkikasirika
umetakiwa mjadala umekimbia saivi unatoa vi clpsi toka uwanjani uone
Mziwanda ndio kakimbia
@@ramadhanmbwana5718 kivipi wakati yeye alitowa no yasimu amtafute alimtafuta
@@ramadhanmbwana5718kivip wakati shekh muharam katowa no za simu amtafute amemtafuta au
Cio mziwanda kakimbia ni yy a khaula c alipewa namba y cm? Matokeo yake mpaka Leo anasubiri clip y mziwanda ndio aje akosow ? Ndio nn?
Ulifahamu maneno mazuri nikama vile kitambaa ??😂😂 maneno yakiswahili hamuyafahamu mutafahamu Dini kweli nyinyi??
Kwani nyie masalafi mnatabu sana fateni yenu
MAULID NI KUMSWALIA MTUME SAW. NA KUZINI KUUA MUUMIN KUMSHIRIKISHA ALLAH SW, VYOTE BORA KWA MAWAHABI KULIKO KUMTAJA MTUME SAW 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jitokeze basi wewe mtoto
Unaongelea chumbani hahahaha njoo usomeshwe wewe salaf bado sana yani
Njoo tukusomeshe
Shetani wa kuongea jikoni huwa haonekani. Mashetani ya kike hayoo😂😂😂
Acha ujuha jitokeze uwanjani usisemee jikon 😂
Shetani huwa haonekani 😂😂😂
Shekh ww unamkosoa mwenzako wakatiwwe hadidh ndogo tu yamtume umeikosea hadidh inasema kulazwalalaat finnar wew umesema kulazwalat finnar hiyo lamu inavutwa wewehukuvuta hebutueleze umekusudianinitujuwe halafundiouwakosoe mashekh
Kwanza Sheikh abuu khawla hakukosea ila wewe ujaahil umekuzidi shida imeanzia hapo,ila wewe hata kuandika huwezi umepata wapi ujasiri wa kumkosoa sheikh?😅