Mchape raisi wa mahizbi yule, alianza kuwashambulia masalafi na kuwaita jadida, na kuidogosha dawa salafiyah na kuwashambulia ulamaa wetu wa kisalafi anawasifu watu wa bidaa ma ikhwan. Kweli umtwani shekh rabeey umtwani shekh muqbil na shekh amani, arafu umsifie saidi kutubi na muhammadi sururi arafu ajiita na yeye ni salafi et
Yeye barahyani alivyo wapaka masalafi kuwaita majadida na kuwatukana maulamaa wa kisalafi kina shekh rabeey shekh muqbuli,shekh Amani ljamii kusema ni wameleta usalafi mpya so chuki?
Mimi napeba sana usalafi na nakuskiza kutoka Amerikani lakini mimi naona wewe hupendi umoja kwanini wewe uwapinga walinigiani wote akina Dkr Islam na wengine kwanini msikutane na murekebishe.
Jamaa yeye Furaha yake Amseme Sheikh Salim Na kwanin atumie nguvu nyingi Kumsema Sheikh Salim , Au sheikh Salim amlikosesha Mkeee huyu sas yeye kaona ntalipiza kisasi tu haiwezkn asinipe mwanae
Shaik qasim ana wake 3.....muhindi mmoja...mwarabu......unafikiri atataka mke wa kihizbi....pengine hata quran hajui kusoma.....au hajui hata nguzo za udhu........???
@SameerMdumbemalongo kwa iyoo awoo Waarbu ,au Wahind ndio wao wna dini kwa sbb ya Asili yao ,au UJAHILI ni Mzigo Sana. "Mtume Wa Allah anasema Hakuna Mbora Kati ya Waarbu na siye Muarabu ,sote sis Ni Waa adamu ,na Adam anatokna na Mchanga " mbora Mbele Ya Allah ni Mchamungu , Na Uchamungu hauna Mafungamano na Asili za Watu , Jaaahili Wwee
@@SameerMdumbemalongo sielewe dawaa gani hyo Ya kihizb Allah Aliniepushia na Mtihan hu Waa Taasubi Zamani Sana allhamdulillah Wee ndiye Jaaahili Kwa kutaja wakeze Mafuta Kuwa Sijui Wahindi sijui Waarabu , sas alaf unasema sjui wke wa kihizbi Hawajui dini ,Maana yeke ,Hao waarbna Wahindi ndio Wnadini , au wao ndio Wana ubora Fulani ivi , Wallah Hakuna mbora kati Yetu Ila yule Mchamungu
Qasim mafuta Mimi Bado sikuelewi katika hili
Ukitaka kuelewa utaelewa2 In shaa Allah
Chuki na hasad tu HAMNA kingne@@AlmasAbdallah-r3g
Mchape raisi wa mahizbi yule, alianza kuwashambulia masalafi na kuwaita jadida, na kuidogosha dawa salafiyah na kuwashambulia ulamaa wetu wa kisalafi anawasifu watu wa bidaa ma ikhwan. Kweli umtwani shekh rabeey umtwani shekh muqbil na shekh amani, arafu umsifie saidi kutubi na muhammadi sururi arafu ajiita na yeye ni salafi et
inaonekana ukipeleka kijana kusoma Pongwe cha kwanza kufundishwa ni kumchukia Mzee Barahiyan na Dr Islam
Kuwasema watu wazushi na mahizbi na watu batili kwetu ndio da'awa yetu. Kwahiyo c pongwe tu bali ni Kila kituo cha kisalafi ndugu yangu.
CHUKI NA HASAD TU HANA JIPYA
Yeye barahyani alivyo wapaka masalafi kuwaita majadida na kuwatukana maulamaa wa kisalafi kina shekh rabeey shekh muqbuli,shekh Amani ljamii kusema ni wameleta usalafi mpya so chuki?
Mimi napeba sana usalafi na nakuskiza kutoka Amerikani lakini mimi naona wewe hupendi umoja kwanini wewe uwapinga walinigiani wote akina Dkr Islam na wengine kwanini msikutane na murekebishe.
Hawaeezi Waka kaa pamoja salafi na mahizbi😂😂
Jitahidi kuusoma usalafi utamuelewa huyu sheykhe vizuuuri ndugu yangu.
Pia jitahidi hujiepusha na kumsikiliza Kila mlinganizi.
Kakutane na ww ili mueleweshane
Mbona wewe sheikh Mafuta upendu umoja kama huyo baharani anataka umoja kwanini wewe wapinga??
Barahyani kuna miharafa anayo alibainishiwa hataki kuwacha ameshikilia misimamo yake Sasa hawaeezi wakawa pamoja salafiyun na mahizbi pamoja
Ninacho kiona kwako ni chuki na uadui Na sheikh Barahiani bass kote unazunguka lakini Lengo ni mzee wawatu
Yeye huyo barahyani alivyowatukana wanazuoni wa kisalafi kwenye kijarida chake so chuki?? Na kuipiga vita daawa salafiyah
Jamaa yeye Furaha yake Amseme Sheikh Salim Na kwanin atumie nguvu nyingi Kumsema Sheikh Salim ,
Au sheikh Salim amlikosesha Mkeee huyu sas yeye kaona ntalipiza kisasi tu haiwezkn asinipe mwanae
Shaik qasim ana wake 3.....muhindi mmoja...mwarabu......unafikiri atataka mke wa kihizbi....pengine hata quran hajui kusoma.....au hajui hata nguzo za udhu........???
@SameerMdumbemalongo kwa iyoo awoo Waarbu ,au Wahind ndio wao wna dini kwa sbb ya Asili yao ,au UJAHILI ni Mzigo Sana.
"Mtume Wa Allah anasema Hakuna Mbora Kati ya Waarbu na siye Muarabu ,sote sis Ni Waa adamu ,na Adam anatokna na Mchanga " mbora Mbele Ya Allah ni Mchamungu , Na Uchamungu hauna Mafungamano na Asili za Watu ,
Jaaahili Wwee
@@AbAlhuraas sasa kama huelewi dawa hiii......mm na wewe nan jaaahil......????
@@SameerMdumbemalongo sielewe dawaa gani hyo Ya kihizb Allah Aliniepushia na Mtihan hu Waa Taasubi Zamani Sana allhamdulillah
Wee ndiye Jaaahili Kwa kutaja wakeze Mafuta Kuwa Sijui Wahindi sijui Waarabu , sas alaf unasema sjui wke wa kihizbi Hawajui dini ,Maana yeke ,Hao waarbna Wahindi ndio Wnadini , au wao ndio Wana ubora Fulani ivi , Wallah Hakuna mbora kati Yetu Ila yule Mchamungu
@AbAlhuraas acha ngonjera nyiiingi...Shaikh QASSIM ALLAH AMEMNYANYUA YUPO KWA HAKI