UJASIRI WA MAOMBI | PR DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лип 2023

КОМЕНТАРІ • 137

  • @fridah6046
    @fridah6046 Рік тому +70

    Mimi sio msabato lakini huyu mtumishi yuko swari kabisa,haubiri dini..yaani kwake tiketi ya mbinguni ni yesu tu.....akialikwa kwa kanisa lolote linalohubiri yesu yuko tayari kuja.....ameubadilisha mtazamo wangu kabisa...popote panapohubiriwa yesu nami nipo........mbinguni hatuingii kwa ajili ya dini zetu...tunaingia kwa kumkiri yesu

    • @DARUBINIYAUNABII538
      @DARUBINIYAUNABII538 Рік тому +7

      Ufunuo wa Yohana 14:12
      [12]Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.
      Here is the patience of the saints: here are they that keep the commandments of God, and the faith of Jesus.
      WEWE UNAEONGEA HIVO UNAMSUBIRI YESU UKIWA WAPI?
      Umeona watakatifu wako sehemu gani? Na wewe uko sehemu gani?

    • @edwardjani
      @edwardjani Рік тому +4

      ❤😮

    • @stephenjames6649
      @stephenjames6649 Рік тому +1

      Barikiwaaaa sana kiongozi 🎉

    • @suzyrevo8619
      @suzyrevo8619 11 місяців тому +3

      Mungu akubariki mtumishi yani toka nikukute sitaki atakukosa neno moja kutoka kwako barikiwa sana na mafundisho yako

    • @liliankowuonda152
      @liliankowuonda152 11 місяців тому +2

      Kweli dada. Nakubaliana nawe. Yesu tu ndie njia ya uzima na kweli. Lakini Yesu huyu tunaye mwamini, ametuagiza katika kitabu Cha Yohana 14:15:" kama tunampenda, tutie amri zake"....akasisitiza zaidi tena 15:14: sisi na marafiki zake tukifanya alivyo agiza

  • @upendoloondokalembekela7748
    @upendoloondokalembekela7748 Рік тому +15

    Asante Mwenyezi Mungu kwakuniponya kichwa kilichokuwa kikiniuma takribani miaka kumi, kupitia maombi haya nimeweka imani asilimia zote kwa yesu kristo nilipokua natazama video hii nilipokua natoka kazini, sifa kwa Mwenyezi Mungu, Mbarikiwe sana wa tumishi.nipo jimbo la Colorado .

  • @CatherineNyamwika
    @CatherineNyamwika 15 днів тому

    Asante kwa jumbe na kutukumbusha kuhusu ukuaji wa kiroho na mafundisho juu ya ukuu wa Mungu

  • @CatherineNyamwika
    @CatherineNyamwika 15 днів тому

    Asante sana pr mafundisho yako yananigusa sana na tamani sana kuendelea kujifunza na kupata ujasili wa kusonga mbele hakika Mungu azidi kukubariki na kukupa Roho mtakatifu ili utimize kazi aliyokutuma ya kuwafanya mataifa yote kuwa wanafunzi wa Mungu ubarikiwe sana!!!!

  • @Immah-ue9ix
    @Immah-ue9ix 11 місяців тому +5

    Mchungaji mbaga MUNGU akubariki na akutia nguvu ulinifanya kuwa muadventista kweli

  • @MeshangolaDadho
    @MeshangolaDadho 11 днів тому

    Nashukuru kabisa ju nimebarikiw1 kwa mafundidho haya,ni seraphin nikiwa congo

  • @EsterRabson-m9g
    @EsterRabson-m9g Місяць тому

    Ubarikiwe sana Pr nabarikiwa na mahubiri yako

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 Рік тому +3

    Ameen barikiwa kwa somo lenye mafunzo sanq najifunza zaidi kila nikisikza mahubiri hya🙏🙏✍️✍️✍️

  • @JeremiahGuragura
    @JeremiahGuragura Рік тому +3

    asante paster umebanda mbegu mioyoni mwetu tuombee endelee kukuwa

  • @elialomagladia
    @elialomagladia 11 місяців тому +1

    Wachungaji wote wangekuwa kama wewe Imani za waumini zisinge yumba yumba Mungu akupe maisha marefu na mwisho mzuri

  • @graceesiabia5379
    @graceesiabia5379 11 місяців тому +6

    Always a blessing to me and eye opener. Clearly the holy spirit is at work within you pastor. You are blessed 🇰🇪🇰🇪

  • @jannykomu5345
    @jannykomu5345 Рік тому +6

    Pastor Mmbaga Mungu akubariki kwa mahubiri Yako, nabarikiwa sana.

  • @KilengaMethusela
    @KilengaMethusela Місяць тому +1

    Wasabato wakimsikiliza huyu pastor, watafika mbali,,shida Kuna mahara wamekwama,kuwakwamua hapo!!!! Syo leo

  • @zilperatieno5722
    @zilperatieno5722 Рік тому +2

    Ubarikiwe sana mchungaji. Masomo yako hunipa ujasiri was kuendelea mbele

  • @doricapeter545
    @doricapeter545 Рік тому +3

    Umenibariki sk ya leo jina la bwana litukuzwe milele daima, na mungu aendelee kukutumia katika uhai woote wa maisha yako, kwan nashindwa niandike nn barikiwa kwa somo isitoshe umenigusa

    • @ImanAdamson
      @ImanAdamson 8 місяців тому

      Mungu akulinde mchungaji umefndisha vyema

  • @goldenshadrackmsungu3664
    @goldenshadrackmsungu3664 Рік тому +4

    Natamani simu Moja nikushike mkongo mtumishi

  • @maguyngoa8271
    @maguyngoa8271 11 місяців тому +1

    Siko musabato Niko kongo Mungu akubariki sana n'a asifiwe

  • @silvesterryaga7365
    @silvesterryaga7365 Рік тому +3

    Amina. Ubarikiwe uzao wako pia wamhubiri huyu Yesu.

  • @brendanawanga
    @brendanawanga Рік тому +1

    Amen Amen 🙏🙏 pastor hilo neno limeniimisha jambo ninashukuru

  • @EugineNyagara
    @EugineNyagara Рік тому +2

    Mungu azidi kukupa hekima na ufafanuzi kabisa

  • @EllenMbota
    @EllenMbota Рік тому +3

    Amen Amen Mungu awabariki san

  • @user-hn3yu6zg4f
    @user-hn3yu6zg4f Рік тому +2

    Aksante tumebarikiwa na somo la maombi

  • @denismuchangi5561
    @denismuchangi5561 9 місяців тому +1

    May God bless you pastor am from kenya

    • @Nyanda208
      @Nyanda208 7 місяців тому

      Welcome to join us always and GOD will be with you

  • @EmmanuelNaftali
    @EmmanuelNaftali 9 місяців тому

    Maombi kwa njia YA unyenyekevu na TOBA yatapokelewa kupitia kwa YESU KRISTO MWOKOZI WETU.NASHUKURU KWA NENO MTUMISHI WA MUNGU.NIMEKUWA NAKUFUATILIA KILA WAKATI.HAKIKA UMENIPA NGUVU.UBARIWE SANA MCH.DAVD MMBAGA.

  • @dicksonmakungu7184
    @dicksonmakungu7184 10 місяців тому +1

    Kwa kweli ninamkubali mtumishi huyu mmbaga naomba nimuone live hapa Arusha kukiwa na makambi

  • @slamafamily5720
    @slamafamily5720 9 місяців тому

    Amen Amen pastor kweli kabisa tuombe vitu vyamsingi kutoka kwa baba yetu

  • @user-tl3hn9wb3g
    @user-tl3hn9wb3g 10 місяців тому

    Nimebalikiwa na somo lako Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri Asnte Mungu

  • @AndrewMjahili
    @AndrewMjahili 3 місяці тому

    Amen!! Naflaii Kwa sababu mungu yupo

  • @PendoOscar
    @PendoOscar 10 місяців тому

    Ubarikiwe sana mchungaji mwenyezi mungu akutie nguvu uzid kutufundisha yalio ya haki

  • @dorcusamisi2926
    @dorcusamisi2926 10 місяців тому

    Mungu akubariki sana pastor unafundisha vizuri sana hadi nimebatilika tena unafunza vyema sana

  • @user-lo7vz5jz1e
    @user-lo7vz5jz1e 4 місяці тому

    mungu akubarik kwa mafundisho unayo toa kwa uwezo wa roho mtakatifu

  • @user-lx4ro2wq1s
    @user-lx4ro2wq1s Рік тому +2

    Asante kwaneno lime ibariki Mungu akubariki

  • @perismuia6952
    @perismuia6952 10 місяців тому

    Maana ya kanisa(church)ni tahatharisa am blessed groly be to the most high.

  • @HannahHollyNhabalyaga-of6bv
    @HannahHollyNhabalyaga-of6bv 11 місяців тому +3

    Pastor you always bless me a lot may God bless you

    • @KidayiEnock
      @KidayiEnock 6 місяців тому

      Im blessed with this preach so God bless you more our pastor

  • @hermancharles6036
    @hermancharles6036 Рік тому

    Mimi nakuombea sana Mungu wa mbinguni akubariki ufungue chuo chakuwanoa wainjilisti wawe maarufu zaidi yako.

  • @deniseliya348
    @deniseliya348 11 місяців тому +1

    Amina mchungaji kwa somo zuri

  • @phillipkituo5511
    @phillipkituo5511 8 місяців тому

    Mchungaji Mungu akubariki sana kwa mafundisho unaefundisha kanisa

  • @emmanuelruben-jv2yv
    @emmanuelruben-jv2yv Рік тому +4

    Ubarikiwe sana

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 10 місяців тому

    Nampenda sana huyu mchungaji,ahsante kwa neno hili.

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 Рік тому +2

    Nabarikiwa sana

  • @MussaKayeji
    @MussaKayeji Місяць тому

    Bwana akuongeze siku ilikazi uimalize

  • @dorcasrhobi8211
    @dorcasrhobi8211 7 місяців тому

    Amen 🙏🙏 hakika mahubiri yko yanaguza, ubarikiwe PST.

  • @slamafamily5720
    @slamafamily5720 9 місяців тому

    Waaah pastor barikiwa sana tena sana 🙏

  • @margaretwanjiru9096
    @margaretwanjiru9096 Рік тому

    Mafundisho yako yananisaidia sana ....Barikiwa sana🙏🏻

  • @lidiaawino4740
    @lidiaawino4740 10 місяців тому

    Ah utukufu umrudie Mungu 🙌🙌

  • @juliethasimbili8749
    @juliethasimbili8749 Рік тому

    Nabarikiwa sana na mahubiri yako mtumishi wa mungu

  • @leahmose1808
    @leahmose1808 10 місяців тому

    Napenda sana huyu pastor Mungu amulinde sana

  • @fatemajohn3195
    @fatemajohn3195 Рік тому

    Ameen Baba ubarikiwe sana kwa somo zuri MUNGU azidi kukutunza 🙏

  • @TEOPISTACAROLINE-rl9zl
    @TEOPISTACAROLINE-rl9zl 4 місяці тому

    Pastor mmbaga mungu akubariki

  • @richardsafari2871
    @richardsafari2871 11 місяців тому

    Am blessed Sir, umekuwa wa baraka

  • @omankadara6418
    @omankadara6418 5 місяців тому

    Amina

  • @papyrashidi7736
    @papyrashidi7736 10 місяців тому

    Amen Mungu awabariki sana

  • @user-fr3of9cq1o
    @user-fr3of9cq1o 6 місяців тому

    Pool nakaz nawezaj kupat namb yak

  • @user-lx8xg1ht4p
    @user-lx8xg1ht4p 11 місяців тому

    Amina pastor, nabarikiwa sana

  • @dorcusamisi2926
    @dorcusamisi2926 10 місяців тому

    AMEN Utukuvu kwa YESU

  • @stacymsuya3170
    @stacymsuya3170 5 місяців тому

    Amen

  • @user-gs9ic8bh5d
    @user-gs9ic8bh5d 11 місяців тому

    Mxhungaji mbaga mungu akutie nguvu Kwa kweli

  • @heldaoigo7659
    @heldaoigo7659 11 місяців тому +1

    Love your teachings
    coming to see you soon at New life Nairobi

  • @yasintamagavilo1996
    @yasintamagavilo1996 10 місяців тому

    Mungu akutunze Pr

  • @GraceNgoye
    @GraceNgoye 11 місяців тому

    Amina barikiwa sana😊

  • @lathoucellavyizigiro-jq4wn
    @lathoucellavyizigiro-jq4wn 11 місяців тому

    Nakufatilia from Burundi

  • @alexjuve3837
    @alexjuve3837 Рік тому +1

    Kiukweli kabisa Pastor Kama Mungu Angekuwa Anatoa Hiyo Karama Ya Uungu Kwa Majaribio Dakika Mbili Tu Anakuta Nimeshaumba Watu Wengine 😂😂 Yani Hata Mimi Mwenyewe Tu Namwambia Nisiishi Tena

  • @user-rj5vg7yr9i
    @user-rj5vg7yr9i 10 місяців тому

    God bless you

  • @josephinelusambo4593
    @josephinelusambo4593 Рік тому +1

    Amen 🙏

  • @user-ih1ki4oj9i
    @user-ih1ki4oj9i Місяць тому

    Pastor na ss ambao ijumatano unakuta tuko kwenye miangaiko yatu ya kila sku tufanyeje tusaidie kutuombea

  • @MeshackAngel-kc2gc
    @MeshackAngel-kc2gc Рік тому

    Nakupenda kiroho

  • @maombijofre2302
    @maombijofre2302 Рік тому

    AMEN 🙏🙏

  • @user-josephine.3232
    @user-josephine.3232 11 місяців тому

    mungu akubarki mchungaji

  • @Calton898
    @Calton898 11 місяців тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 Рік тому

    Nimekupungia mkono mchungaji mabarikiwa sana kenya mombasa

  • @BarnabasJonas-nv4ig
    @BarnabasJonas-nv4ig Рік тому

    AMINA

  • @Mungu2741
    @Mungu2741 11 місяців тому

    Jamani nina tamani niongee na mchungaji

  • @RichardMshana-su9hs
    @RichardMshana-su9hs Рік тому +1

    Pastor nilikuwa na swali kuwa kufanya "meditation" je ni dhambi au sio dhambi

  • @lizziewangui6106
    @lizziewangui6106 Рік тому +1

    amina

    • @DeoPonera-dp5du
      @DeoPonera-dp5du Рік тому +1

      Pastor Niko kwenye ndoa takribani miaka mitatu ila mpaka sasa Mimi na mke wangu hatujapata watoto tumefunga na kuomba lakini bado najua MUNGU ndiye mwenyekujua muda muafaka .mie Deo naomba tuendelee kuliombea jambo hili ubarikiwe sana

  • @jonasjohn3176
    @jonasjohn3176 10 місяців тому

    baba naoba naba yako Niko kagera bukoba

  • @rhinakiza
    @rhinakiza Рік тому

    Amina pastor 🙌 🙏🏼

  • @agustinomwaya4038
    @agustinomwaya4038 Рік тому

    Pr mmbaga icho kitabu ulicho shika kinaitwaje nakiitaj

  • @tracysally-im7fw
    @tracysally-im7fw Рік тому

    TAFADHALI NAOMBA NAMBA ya MTUMISHI,🙏

  • @LinahRwambali
    @LinahRwambali 10 місяців тому

    Nitajuaje kama hitaji langu linaitaji maombi ya kufunga au linaitaji maombi ya kawaida?

  • @CarolineKenyatta-mq3ro
    @CarolineKenyatta-mq3ro 10 місяців тому

    Niombee sihisi vizuri

  • @DARUBINIYAUNABII538
    @DARUBINIYAUNABII538 Рік тому +3

    Mbaga kwakweli mafundisho yako yamebadilika. Siku hizi unaubiri mafundisho laini laini sana.
    Umeacha kuubiri ujumbe wa Malaika wa Tatu.
    Shida ni nini ndugu yangu?😢😢
    Mbona mafundisho ayo ata walokole wanaubiri tu.😢😢
    Sisi Waadventista Wasabato tunaujumbe wetu.

    • @albertinemacimu1247
      @albertinemacimu1247 Рік тому

      Muombee na kujiombea pia maana hata kusimama kunena hayo ni neema na Mungu akubariki ndugu yangu 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @manongi1774
      @manongi1774 Рік тому +1

      Muombee Mungu amuongoze na ungeweza kumfuata pembeni na kumuuliza hapa ni namna ya lawama ila kikubwa anaeongoza mtu ahubiri nini ni Roho kulingana na watu waliokuwa Mbele yake

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 Рік тому +5

      Mahubiri yenu how? Kwani kahubiri nini kibaya? Watu mnanongwa khaaaa

    • @fridah6046
      @fridah6046 Рік тому +3

      @@emmadora7848 safi sana kwa ujumbe wako....watu kama hawa wakushikilia dini sana wasiojua yesu ni wote wenye mwili wataangukia pabaya....mimi sio msabatu lakini nafuatilia mahubiri yao sana kwa kuwa yako na yesu ndani yake.

    • @marhayona2925
      @marhayona2925 Рік тому +3

      Si uhubiri wewe magumu tuyaone
      Mungu akubariki sana pastor Mbaga nabarikiwa sana na mafundisho yako na yamenifungua kwa mengi auna matisho baba go forward nakupenda bure mtumishi wa Mungu

  • @jacobongaga1448
    @jacobongaga1448 10 місяців тому

    Amen

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 Рік тому

    Amina

  • @cristinarashid1245
    @cristinarashid1245 Рік тому

    Amen

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 Рік тому

    Amen

  • @esthersimuli9952
    @esthersimuli9952 Рік тому

    Amen

  • @AsenathKerubo-kj3po
    @AsenathKerubo-kj3po Рік тому

    Amen

  • @RebbecaAkinyi
    @RebbecaAkinyi Рік тому +1

    Amen