JAMAA WA MBWA WA MILIONI 100 AIBUKA TENA AFUNGUKA MAPYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Oscar Nondo ni kijana wa kitanzania anayeishi Arusha aliyejichukulia umaarufu mkubwa ambaye mwaka mmoja uliopita aliingia kwenye headline baada yakuwa na mbwa ambao walikuwa na thamani ya millioni mia moja ambapo kwa sasa ametuambia ameweza kujiongeza nakufikisha mbwa 80 ambapo kati yao yupo ambaye aliyemnunua million 13.

КОМЕНТАРІ • 52

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 2 роки тому +12

    Una mpango gani wa kuwasaidia mbwa wa mitaani (Mbwa koko)...!? Maana jamii imeshawatenga (Yatima)

  • @Eliasenyajackson
    @Eliasenyajackson 4 місяці тому +1

    Nataka namba ninunue mbwa😊

  • @paschalfrank3283
    @paschalfrank3283 2 роки тому +6

    Hongera kaka mm mwenyewe nimeanza mwaka juz lakin matunda nimeanza kuyaona mm nipo mwanza

  • @Eliasenyajackson
    @Eliasenyajackson 4 місяці тому +1

    Nataka namba

  • @carptentv6848
    @carptentv6848 2 роки тому +6

    Hongera Nondo nilikuona mwaka jana hapahapa kwa milady hongera naomba namba zako nataka kununua mbwa

  • @sarahkadugu4367
    @sarahkadugu4367 2 роки тому +5

    Hongera ajira nzuri.I have to 🙏

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 роки тому +7

    Mi mwenyewe maisha yangu changamoto ndio nka nunue mbwa 🤣🤣🤣

  • @Eliasenyajackson
    @Eliasenyajackson 4 місяці тому

    Nataka namba ninunue mbwa

  • @ericrukamba6802
    @ericrukamba6802 2 роки тому +3

    Hongera sana kijana, wewe ni mfano wa kuigwa kwa vijana

  • @sarahkadugu4367
    @sarahkadugu4367 2 роки тому +3

    Nyama zipikwe siku moja zisije kuwalarua ninyi sababa ya nyama mbichi brooo

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 роки тому +2

    Nikweli kabisa ajira nikujiajiri

  • @raymondndeanka2608
    @raymondndeanka2608 2 роки тому +1

    big up SANA, uthubutu ni kitu kizuri.

  • @simondogtrainer7498
    @simondogtrainer7498 2 роки тому +1

    Wafuga mbwa tujuane hapa

  • @DeusNikodemu
    @DeusNikodemu 4 місяці тому

    Naitwa deus nikodemu nipo kageratz nikiitajimbwanampataje?

  • @felixemmanuel5729
    @felixemmanuel5729 2 роки тому

    Good job nataka mbwa wangu apate mafunzo

  • @mustaphareua2370
    @mustaphareua2370 2 роки тому +2

    Oyooo

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 роки тому +2

    Nataka German Shepherd mmoja

  • @kennethamosnduttu1838
    @kennethamosnduttu1838 2 роки тому +2

    Jmaa anazingua sasa mimi ntatoa wap hyo m4 ya mtaji watoto wakishua wanazalau sanaa

  • @eyezarc1239
    @eyezarc1239 2 роки тому +1

    Nondo kma nondo dampo hapo...

  • @msozithedon1730
    @msozithedon1730 2 роки тому +1

    Naitaji na mm uyo mbwa ndg me nipo dsm nyi mko wap

  • @shabanjuma7102
    @shabanjuma7102 Рік тому +2

    Eti vijana wajiongeze wajiajiri, nyie msitudanganye kama wewe ulianza Kwa kununua mbwa wa nne na Kila mbwa umesema ulinunua Kwa milion 4 hapo jumla ni .Ilion 16, inamaana ulikuwa na kazi nyingine inayo tumika kulisha hao mbwa

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 2 роки тому +1

    Napenda pia mbwa na mm

  • @maduhualoyce4530
    @maduhualoyce4530 2 роки тому +3

    Niko nae german shepherd miezi kumi namuuza laki 7 tu

  • @sanjafarmmachinerystractor4205
    @sanjafarmmachinerystractor4205 2 роки тому +1

    Number za simu

  • @AndrewPaulsr
    @AndrewPaulsr 2 роки тому

    Nampataje uyu..I need a BULL DOG🙌🏻

  • @burudaninamatukio5389
    @burudaninamatukio5389 2 роки тому

    Haoo mbwa kweli wanalipa

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 2 роки тому

    upo sahihi serikari haiwezi kukuletea pesa nyumbani big up sana

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 2 роки тому

    Safi sana kaka

  • @pilitanzania1420
    @pilitanzania1420 2 роки тому

    Namba ya simu

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 2 роки тому +1

    Vitu vingine wacha vipite.

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Рік тому

    Wasipofundishwa watakuwaje?

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 2 роки тому +3

    Hueleweki. Unasema umepata faida,nani mnunuzi wa mbwa na kwa bei ngapi ili wengine wafuge

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому +1

    Duh

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 2 роки тому +1

    Tupe namba yako

  • @awadhyazid7790
    @awadhyazid7790 23 дні тому

    Ayna ya bigol hamna

  • @ototek8037
    @ototek8037 2 роки тому +2

    Watoto wa simba ulaya wanauzwa bei ya bajeti ya maji Tanzania, wawekezaji w vitaru vya uwindaji wanalijuwa hilo.

  • @KisimbaMuch-vy7sy
    @KisimbaMuch-vy7sy 5 місяців тому

    😂😢😢😢

  • @itsjkamolabeatz
    @itsjkamolabeatz 2 роки тому +1

    💓💓harmonize na alikiba wame achia kionzo cha ngoma yaoo mpia jionee apa uta furahi💓💓💏
    👇👇👇👇👇👇👇👇👇
    ua-cam.com/video/OHTWe6oh4Qo/v-deo.html

  • @Eliasenyajackson
    @Eliasenyajackson 4 місяці тому

    Nataka namba ninunue mbwa😊

  • @Eliasenyajackson
    @Eliasenyajackson 4 місяці тому

    Nataka namba ninunue mbwa