MAMA MKWE ANANICHUKUA NA KUNIPATIA STRESS | ANATAKA AMCHUKUE MTOTO WANGU SLOVAKIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 120

  • @rhobyanderberg1101
    @rhobyanderberg1101 9 місяців тому +17

    Nimekusikiliza vizuri sana! Ushauri usizae tena, soma lugha, uwe na kazi yako utakuwa na nguvu ya kujiamini. Mkwe asikusumbue, Muhimu mheshimu ila usimuogope!
    LUGHA & KAZI IS POWERFUL

  • @annamariajackson4842
    @annamariajackson4842 9 місяців тому +24

    Shena, hongera tena . Sasa hivi nakufuatilia nikiwa Germany. Huyu bint changamoto anazopata ni za kurekebishika kabisa wala hahitaji kuwa na hofu.
    Ila tu kitu cha kwanza lazima ajitahidi sana asome Lugha ya Ki slovakia ataweza kuwasiliana kwa Lugha wanayozungumza wakwe na jamii aliyozungukwa nayo. Kwa kuwa mahusiano yao yalikuwa ya maamuzi ya haraka bila kujua. Ndiyo maana anaona anachukiwa. Ajitahidi sana kutokuwa na mawazo ya kuwa anafikiria anachukiwa. Slovakia ni nchi ndogo sana na wengi wao hawajatoka nje ya nchi yao. Hata Waingerza ambao hawajatoka wako hivyo hivyo Na ni vigumu kwa mtu ambaye hajawahi kutoka mahali popote akaelewa culture za watu wengine. Huyo mama mkwe wake si mbaya . Ila ni hofu tu. Mimi ninatambua wazi kabisa akikaa akatulia na kujifunza lugha ataweza kuwa rafiki yake. Ajitahidi sana kuwa mtulivu na ajifunze culture za hizi nchi za wenzetu. Anapotaka kupiga simu zake ajitahidi kupiga akiwa peke yake siyo usoni mwa mama mkwe. Na ajitahidi kuelewa kwamba nowadays kuna devices kwenye simu unapoongea mtu anaku record then anasikiliza mazungumzo yako. Hapo akigundua kama anamsema ndipo ataendeleza ugomvi na kumchukia zaidi.
    Kuhusu timing hilo halina mjadala kabisa. Witness ajifunze kwenda na muda na kuwa mwepesi wenzetu muda ni muhimu kuliko vitu vyote.
    Kuhusu watoto bibi wa kizungu wanapenda sana wajukuu. Yeye afungue moyo ampe bibi wajukuu hata kwa kipindi kifupi aweke mahusiano. Asibishane. Ataona furaha ya ndoa yake.
    Mwisho kuombaomba pesa na kutuma Afrika ataharibu ndoa yake. Aache kabisa. Nina mengi ya kumshauri lakini muda umeisha siku nyingine Mungu akitujalua. Mimi nina miaka mingi Hizi nchi za wenzetu.Nimeshazunguka sana humu Ulaya Natambua changamoto tunazopitia tuliolewa na Wazungu . Japo si wote tunapata changamoto zinazofanana. Wanaume wote duniani ni wanaume tu na binadamu wale wale. Kinachotakuwa ni kujitambua wewe kama mwanamke.Kutulia kiakili na kupambanua mambo baada ya kuingia kwenye mahusiano yoyote, Ukishaingia kwenye mahusiano hiyo ni commitment number moja. Hivyo umekua kimwili kiakili kisaikolojia nk. Unajitahidi kuyavulia maji nguo na kuyaoga wewe mwenyewe. Pia washauri wako wawe wa kukujenga siyo wa kukubomoa. Lazima uwe na kifua cha uvumilivu . Samahani kwa essay. Asante.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 місяців тому +1

      Hawaishi Slovakia wanaishi Holland.. Je ajifunze ki Dutch au ajifunze ki Slovakia ?

    • @annamariajackson4842
      @annamariajackson4842 9 місяців тому +4

      @@OfficialDatingAssistance ajifunze lugha zote aanze na mahali alipo

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 місяців тому +1

      Shukran 🙏

    • @fortunathabarabara8471
      @fortunathabarabara8471 9 місяців тому +1

      umeongea point sana nakumbuka hata kwetu usukumani kulikuwaga na shida mtu akiolewa kutoka kabila lingine lazima achukiwe asemwe asengenywe

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 9 місяців тому +3

    Ubaguzi upo mwingi kikubwa usichukue sheria mkononi Ila kuwafokea foka tu ili wajue umekelekwa usimpige mtoto usimpige mtu wa aina yeyote aliyekukosea kwasababu mtu anaweza kukufanyia makusudi ukilipiza wewe ndio unakosa kisheria be strong na jitahidi kutoka nje na kusoma Lugha na tafuta kazi ndugu yangu ❤

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 9 місяців тому +3

    Usimpe mtoto watoto hujawaokota umewazaa na hujawatoa kwenye mti umewazaa shikilia wanao mwaya Kama ni siku mbili au moja inamtosha sio mwezi usikubali hata kidogo❤

  • @graceramadan5583
    @graceramadan5583 9 місяців тому +5

    Dada changamka na ww unaonekana mpole sana

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 9 місяців тому +16

    Kwa miaka 20 niliyoishi Ulaya, na uzoefu wa kuishi na wabaguzi, ni hivi, Mama mkwe wako ni MBAGUZI, usithubutu kumuachia mwanao , kuwa makini hata na chakula alichopika. Kama bado please tafuta kazi ,, utakuwa stronger. Akiwa anaenda kwa mamake umwambie kwa upendo AENDE MWENYEWE wewe haupo comfortable.Hakupendi OK mtoto uliyebeba miezi 9 amtaka wanini? Mtoto nusu mweusi huyo hemu akupishe.

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 9 місяців тому +1

      Yaani hapo kuna mtihani sana sio siri , mtoto wa mwaka na nusu amtaka kwa Mimi sio sawa kwasababu bado mdogo jamaniii 😢

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 9 місяців тому +1

      ​@@upendogreutert199tunawajua sana wabaguzi washaua wenzetu huku ,asijiachie sana atakuja kujuta. Mtoto wangu hata angekuwa na miaka 10 simpi mtu mbaguzi ambaye keshaweka wazi hanipendi NUKTA.

    • @nanguniMtaita-hz4zt
      @nanguniMtaita-hz4zt 9 місяців тому

      Sasa wamao kicheck hawakijui hata wewe, kiholanzi watoto hawakijui wala wewe, sasa ni lugha gani nyumbani watumia na wanao ama na mumeo?

    • @ameeranassor1619
      @ameeranassor1619 9 місяців тому

      I don't want to be negative, but hawa madada wa kitanzania wanaopenda ngozi nyeupe na kuzaa nao watoto half cast almost white, have you thought of your future? Watoto wakikuwa wanakataa mama zao,.wanaona aibu wamezaliwa na mama mweusi, wanaina aibu ku introduce their mums to their friends. Mzee utawakuta kwenye nursing homes if you aren't smart enough, tumeshayaona hayo

    • @OlyUpowerfuljesus
      @OlyUpowerfuljesus 9 місяців тому +1

      ​@@ameeranassor1619Weee mama ni mama hata awe nyani

  • @joycehagman3086
    @joycehagman3086 9 місяців тому

    Pole dada janjaruka , kuwa makini na uangali sana watoto vizuri,napata kazi, ili upate mshahala wako pole sana.

  • @DevothaMhaiki
    @DevothaMhaiki 9 місяців тому +7

    Shena Mwamnie Akasome Lugha, Mshauli Mbinu za kuishi Ughaibini Na Ajitahidi Awe na Kazi Asisubili maamuzi magumu Ambayo yanayoweza Mtokea Baadae.

    • @bahakyejo3800
      @bahakyejo3800 9 місяців тому +2

      Dada jibadili kuwa sharp inawezekana sio akuchulie ulivyoo

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 9 місяців тому +3

    Uyu ni pole sana ningekua mimi mama mkwe angekoma ninge mpika mashuti shuti ange koma😅

  • @Wineqeenmajid
    @Wineqeenmajid 9 місяців тому

    Witness mdogo wangu upo huko hongera

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 9 місяців тому +5

    Bint mzuri huyu wakwe na sie jmn Sasa unamkataaje kabint km haka kapole kazuri

  • @maiyaalhabsi2926
    @maiyaalhabsi2926 9 місяців тому +3

    Shea nakufatialia kipindi chako kina mafunzo Sana. from Oman.

  • @BiubwaAljahadhmy
    @BiubwaAljahadhmy 9 місяців тому +2

    Pole sana dada lkn si wazungu hata wanaume wa kawaida kuombwa ombwa pesa halwalipendi hilo jambo

  • @AngelaLyimo-d7x
    @AngelaLyimo-d7x 9 місяців тому

    Cute jamani nimependa mahojiano yenu❤bravi

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 9 місяців тому +2

    Ukisikia bahati ndio hizo ❤❤❤

  • @KudraMgimwa
    @KudraMgimwa 9 місяців тому +2

    Mwambie ampende tu huyo mama mkwe ipo ck huyo mama atajiona mjinga.pia asome hiyo lugha. Maana hana jinsi amishazaa naye mwanaye. Aachilie moyo wake awe na amani.

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s 9 місяців тому +1

    ❤❤nawapenda

  • @zwuenakhalfan2098
    @zwuenakhalfan2098 9 місяців тому +9

    She a muulize huyo msichana afanue medical check namuonra shingo kama kimevimba check mambo ya Thyroid blood function test

    • @pricemlay
      @pricemlay 9 місяців тому +3

      Dear kuna wenye shingo za namna hii na hawana shida Yeyote wengine ni maumbile.Asante kwa umakini na kujali pia

    • @momforone7946
      @momforone7946 9 місяців тому +3

      I noticed that too🙏

    • @elizajoseph7209
      @elizajoseph7209 8 місяців тому

      Atakuwa na Goita awahi matibabu mapema

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 9 місяців тому +1

    Huyu dada anaonekana Mama mkwe anamsumbua bado, anafaa asimame na Mungu sana, because Wengine wana tabia yakukutafutia sababu ili uachike so she have to be makini sana .

  • @regulashine8854
    @regulashine8854 9 місяців тому +1

    Namshauri c'ha kwanza ajitahidi anifunze lugha. Asikubali kumwachie mtoto ni mdogo.

  • @SophiaJoseph-k9m
    @SophiaJoseph-k9m 5 місяців тому

    ❤❤❤

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 9 місяців тому +1

    Mimi na wasauli dada na kaka zetu wa tanzania muondowe fikira za kutaka kuowa au kuolewa na watu wasio kuwa weusi. Kuolewa na mtu asiye kuwa wa rangi yako ni utumwa. Na ni mateso. Tolewa na mwafirika mwezoko maisha utafurahia.

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 9 місяців тому

      we tuache na wazungu wetu 😂

    • @DoreenMwanga-dg7xp
      @DoreenMwanga-dg7xp 9 місяців тому

      Tena ukiwa na mwafrica ndo utumwa zaidi usaliti na ngono zisizo na mpangilio

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e 9 місяців тому +2

    Bora apate kaz tu

  • @DoreenMwanga-dg7xp
    @DoreenMwanga-dg7xp 9 місяців тому

    Amepooza sana achangamke ndo maana wanamzoea ....ni ngekuwa mimi mbona angenikoma huyo mama .....mda mwingine bhn usipooze sana

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 9 місяців тому +1

    huyu binti ni mpole sana kikubwa rudi shule kasome lugha ukijua atayakuombea maji na kusomea kitu then ulaya ukiwa na mtoto huwezi nyanyasika huyu mama wawezakumwambia Mume wako hivi kam bado mtishie nitaondokq na mwanangu atahongea na mama yke atatulia ,Na wazungu usiwahoneshe kuogopa kwenye eshima toa eshima kam akitret vibaya fungua mdomo mama Nakueshimu hivi hapana ukiwa mpole ivyo sana atajuawickensss zako atazidi

  • @zahirallyzorro3940
    @zahirallyzorro3940 9 місяців тому +1

    Mpderator Mike yako ina Vibrations

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 9 місяців тому +5

    Ilo jicho ulilompa huyo bibi ndio umpe mkweo ssasa akukome😂😂😂😂

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 9 місяців тому +1

    Usikubali kumpa huyo mama mtoto abaki nae peke yake na wala usikubali kukaa nae peke yake kabla haja kukubali. Moyo wa mtu ajuae mungu.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 9 місяців тому

    Kikubwa jua lugha hayo mengine yote hayatakusumbua kabisa,na heshima itakuwepo,usipoijua lugha kila mara utajiskia mpweke na utahisi wanakusema,na ninahuakika mama mkwe wako anakupenda kama na uzazi alikuja kukusaidia weeh mshukuru,ulaya wamama wakwe hata hawafanyi hivyo,ninawajua sababu mimi mwenyewe ninaishi germany na nina watoto huku na wakwe huku,,maisha ya ulaya kwenye uzazi ni ya upweke aiseee

  • @sund2553
    @sund2553 9 місяців тому +5

    Mi nikipata mzungu ntamshawishi tukakae Tz huku kwao tutakuw tunakuja kutembea tu #currently nipo USA

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania 9 місяців тому

      Jitahidi mzungu awe chaguo la mwisho Mtanzania mwenzangu. Tunahitaji kulinda tamaduni zetu kwa wivu mkubwa.

    • @AngelaLyimo-d7x
      @AngelaLyimo-d7x 9 місяців тому

      Si mpaka mmkubaliane

    • @jacksonmsendo3478
      @jacksonmsendo3478 9 місяців тому

      Sio rahisi unavyofikiria kumtoa mzungu kwake kumpeleka nchi nyingine tu kazi sembuse Tanzania

    • @sund2553
      @sund2553 9 місяців тому +1

      @@jacksonmsendo3478 Kuna wanao kubali Nina best yangu walihamia mwanza up now wapo huko America wanakuja vacation tu.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 8 місяців тому +1

    Sister nakuonea huruma lakini huyo Bibi usimpe mtoto wako hata mmoja kaa na watoto wako mpaka wakuzowee kama Mama. Anaweza akamchukuwa na akamzoweya Bibi yake sana akaja akasahau Kama wewe ndiye Mama yake. Kaa uwombe Mungu sana.

  • @pillyolsen8377
    @pillyolsen8377 9 місяців тому

    Hao ni wabaguzi sana😭😭😭😭

  • @tinaminja5500
    @tinaminja5500 9 місяців тому +2

    Kapole ila usikubali pambana na icho kimama

  • @AmirAmir-ct5gd
    @AmirAmir-ct5gd 9 місяців тому

    Mwambie huyo dada achangamke yuko pole sana

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 9 місяців тому

    Wity mi nakushauri usiweke kinyongo na mama mkwe,as long as huishi naye na upo na mume wako,just stick na upendo wa mume wako.Ikifika muda wa kwenda kwa mama mkwe nenda mpende usionyeshe kinyongo chochote,mheshimu na usijibizane naye kitu.Omba Mungu,muda utaongea ipo siku atajiona anakosea..

  • @joycebenjamin6017
    @joycebenjamin6017 9 місяців тому +2

    Shena,huyu dada akaze kamba maana anaonekana ni mpole sana atafurahi na show inatakiwa awe ngangari kweli kweli vinginevyo atapata depression hlf mambo mengine yayowezekana kubadilika abadilike kwa mf.kwenda na wkt,akianza kazi ndo utajua faida za kwenda na muda.

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 9 місяців тому

    Mpole mnooo daadh

  • @pricemlay
    @pricemlay 9 місяців тому +2

    Mi ndio huwa nassema ni bora kukaa kimya kam humpendi mtu maana akijua humpendi umejitengenezea adui wa kudumu hata kama ulikuwa hauko sawa kihisia hutaweza kamwe kumbadilisha akuamini tena.

  • @zenajustus5731
    @zenajustus5731 9 місяців тому

    Pole Dada,cha muhimu ni ww na mmeo,sababu hawa watu wa huku kama anavyosema Dada wa izi nchi ndgondgo wako ivo,na sio yy tu hata kwa mwingine,kwa mfano mm nimeoleka Croatia,si kua eti ni wabaguzi wa rangi la tatizo haswa wenye wako kwa islands wanapenda tu kuoana wao kwa wao hawana sana kwa mtu wakuja,sijui ni mazingira wanayoishi afu wengi hawajatoka toka nje sana na pia hamna sana weusi,kama huku kwa island yenye tuko,ni weusi wawili tu,mm mkenya na mmadagaska,sasa basi kurudia kumjibu jibu lake niko na rafiki yangu muingereza imajn waingereza wazungu pia,but mama mkwe ni ivo ivo yaani ni kama anamkubali kishingo upande,so si suala la weusi tu hawaelewi elewi wakuja,ni kama hawapo tyri nao,so mm nashkuru muhimu ni mme wangu na pia vzuri wakaazi hawana shda ni Ile wanakushangaa tu kwa sana.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 місяців тому +1

      Shukran na Karibu kwa kipindi Zena +4366764790884

    • @zenajustus5731
      @zenajustus5731 9 місяців тому

      @@OfficialDatingAssistance Asante nimeshkuru na nafurahi coz hua napenda kufatilia nakusikiza vipindi vyako kila nnapokua na nafasi,hongera kwa hili hii ni elimu nzuri sana.

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 9 місяців тому

      ​@@zenajustus5731dada njoo akuhoji nawewe ulete uzoefu watu wajifunze zaidi. Please, Shena amekukaribisha hapo na namba amekupa.

  • @patriciamalligy8503
    @patriciamalligy8503 9 місяців тому

    Shena mimi najifunza sana kutoka kwako .mimi nipo na wangu ila bado sijamkubalia kwenda kwao maana naona ni mchoyo sana

  • @DoreenMwanga-dg7xp
    @DoreenMwanga-dg7xp 9 місяців тому

    Mdada amepooza huyu jamani bhn😅😅😅

  • @chiticollemans
    @chiticollemans 9 місяців тому +1

    Shena umependezaa

  • @Peace.2018
    @Peace.2018 8 місяців тому

    Ushauri wangu dada watoto wako kaa nao mwenyewe.Uholanzi inawajali sana watoto tena wanalipwa,umri wa kuanza shule ni miaka minne,wakiwa wadogo unawapeleka sehemu kama chekechea hivi,kama unaenda skuli kusomea lugha ukirudi mchana unaenda kuwachukua,kama wanasoma skuli na wewe unaenda kazini basi watoto wakimaliza skuli kuna sehemu hapohapo skuli inaitwa kinderopvang unawalipia wanakaa mpaka jioni ukirudi kazini

    • @Peace.2018
      @Peace.2018 8 місяців тому

      Kuhusu mtu wa kukusaidia ukishakujifungua,unaletewa mtu wa kukusaidia muda nimesahau kama siku 4 au wiki,mimi nimezaa watoto watatu huku wala sijapata stress ya mtu kunisaidia,kubwa mumeo tu nae awe anakusaidia.narejea tena watoto wako kaa nao mwenyewe, watoto ni mama.

    • @Peace.2018
      @Peace.2018 8 місяців тому

      Kuhusu lugha mimi watoto wangu nilianza kuongea nao kiswahili,kwa sababu mimi na baba yao ni watanzania,nilipomzaa mtoto wangu wa kwanza kwa huku Uholanzi,siku niliyompeleka kliniki nesi aliniuliza mtoto unaongea nae lugha gani? nikamwambia kiswahili,akaniambia ni vizuri sana kwa sababu lugha ya kidachi (kiholanzi)atakijua tu akienda skuli au akicheza na wenziwe, namshukuru Mungu mpaka sasa watoto wangu wanaongea kiswahili,kidachi na kingereza

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  8 місяців тому

      Shukran kwa ujumbe
      Karibu sana kwenye kipindi tupate kujifunza mengi kupitia wewe +4367764790884

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 9 місяців тому

    Shena umependez sana.. wewe ni mrembo

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 9 місяців тому

    Shena umependeza sana kipenzi ❤

  • @esterMahenge
    @esterMahenge 6 місяців тому

    Uyu dd kama na mjua sura sio ngeni kbs

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 9 місяців тому +2

    Usikubali kabisa kumpa mtoto

    • @AngelaLyimo-d7x
      @AngelaLyimo-d7x 9 місяців тому

      Kumpa kwa maandishi au tu hivi hivi? Mhh

  • @bintibaibe1958
    @bintibaibe1958 9 місяців тому +2

    Huyu dada acheki shingo yake naona km imevimba

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e 9 місяців тому

    Pia inaonekana witness anamuogopa sana mama mkwe ndo inachangia kutopendana ila mama mkwe inaonekana mkal ila anamoyo mzur amgekuwa mwengine mwenye roho mbaya asingekuja kukaa na mtot kipind cha kwenda kujifungua

  • @MadinaAbduKyabazinga
    @MadinaAbduKyabazinga 9 місяців тому +5

    Uyu dada kwel anaonekana ayupo sharp ata jinsi ya kujibu

    • @MariamShagata
      @MariamShagata 9 місяців тому +1

      Ndio alivo maumbilie yake? Mpole mpole lkn siku akikasirika ndio ataonekana kashangamka😂

  • @niyonizeyeremy199
    @niyonizeyeremy199 9 місяців тому

    Na mimi nifanyie dada nahomba 😢

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 9 місяців тому +2

    Yaaani Ndugu wa Mume au wakwe sio Tanzania 🇹🇿 tu, wanaletaga Changamoto maana Kama Mimi mwenyewe Mume wangu aliambiwa na kaka yake usifunge ndoa kwanza Kaa kwanza, Yaaani red flags zipo sanaaa

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 9 місяців тому

    Eeeh huyo mtoto bado mdogo mnoo kwenda kwa bibi ake mwezi mzima tena peke ake bila mama, kawaida wabibi wa kizungu huwa hawakubali kukaa na wajukuu wakiwa wadogo chini ya miaka mitano,labda kwa wikend tuu wanaweza kujaribu,pole sana na ubaguzi uko kila mahali tena kwa sisi ma haus lander,wageni wa ngozi nyeusi ndiyo tunakutana na ubaguzi mwingi

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 9 місяців тому

    Dada Shema mwambie huyu dada amsamehe mama mkwe wake sidhani kama ni mtu mbaya maana kama aliweza kwenda kumsaidia uzazi angekuwa na nia mbaya naye basi asingeenda ajitahidi tu kumheshimu na kumuonyesha upendo nina imani kuwa upendo utafunika yote

  • @BatistaSanga
    @BatistaSanga 9 місяців тому +1

    Uwe unakubali kumwachia mtoto atabadilika.

  • @shamzone388
    @shamzone388 9 місяців тому +3

    Kweli huyu dada inabidi akafanye throat test amevimba sana kwenye shingo

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 9 місяців тому

      Najua wengine ni ugonjwa wanahitaji dawa ila wengine shingo ziko hivyo .Akapime tu lakini usiogope Witness, kama ugonjwa utapata dawa.

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 9 місяців тому

      Na kama anayo shida kwa throat ndo maana anakuwa na hasira

  • @queenofireland898
    @queenofireland898 9 місяців тому +1

    kupendwa na mumeo ndo mpango mzima dear usijitie stress bure ww jitahidi tu kuongea na mkweo vzr muheshimu ukenda kwake jitahidi kumsadia kazi mpende mwishowe atakupenda tu😊

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 9 місяців тому

    Jamani naomba mnisaidie.hiyo tinder unalipia shingapi.mimi hata sielewi.na pia nilazima uwe na account??

    • @howardmwenguo3953
      @howardmwenguo3953 9 місяців тому

      Ni bure

    • @zaydelabay9776
      @zaydelabay9776 9 місяців тому +1

      Ukitaka kuuonekana zaidi inabidi ulipie. Watu wakikureport wakikublock uufunguui acc mpya had na simu mpya😂😂

    • @patriciamalligy8503
      @patriciamalligy8503 9 місяців тому

      Tinder sio lazima ulipe mimi nilifungua account nikapata mswadish

    • @gracelyimo6256
      @gracelyimo6256 9 місяців тому

      Mdg wangu kajaribu lkn ina mkomand kulipia

    • @zaydelabay9776
      @zaydelabay9776 9 місяців тому

      @@gracelyimo6256 sio lazima lulipia, on 1st week utapata free access baada ya apo kimberley, Google play aweke alipe

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 9 місяців тому

    Huyu ni msukuma? Mpole mno jamani ndiyo maana mama mkwe anasema hayuko sharp 😢 changamka kidogo my dear 😅

    • @kiddmagrking1647
      @kiddmagrking1647 8 місяців тому

      Nimeskia neno kukoswa nikajua huyu itakuwa WA kanda ya ziwa😮

  • @CheerfulJackalope-uu9ls
    @CheerfulJackalope-uu9ls 9 місяців тому

    Mm nataman kufanya kaz nje ya nchi nipe njia madam

  • @MaaneML
    @MaaneML 4 місяці тому

    Huyu dada atibu goitre hiyo. Ndiyo maana anakuwa na tatizo la kusahau. Ila kama anataka mtoto mwkngine azae kwanza haraka ndiyo aiondoe goitre. Na kuiondoa huenda ikaondoa tezi zote 2 hivyo itabidi awe anskunywa Thyroxin muda wake wote.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 8 місяців тому

    Jamani watu wa Zanzibar mbona sisikii kuolewa na Wazungu? Au utamaduni na desturi zao haziendani na Wazungu? Naona mabanati wengi wa Tanzania Bara wanapendelea Wazungu watu weupe.

  • @JulianaMwendwa-b4j
    @JulianaMwendwa-b4j 9 місяців тому

    Acha watoto waende usiwakataze kule ni kwao

  • @ESTHERKamala-qp7gi
    @ESTHERKamala-qp7gi 9 місяців тому +2

    Wewe muonyeshe upendo tu ipo siku Mungu atasimama na wewe

  • @mercydirisha8903
    @mercydirisha8903 9 місяців тому

    Acha jazba usiwe unachukia unaumiz moyo wako just ignore it

  • @KudraMgimwa
    @KudraMgimwa 9 місяців тому

    Shena muulize kabila gani?

  • @Rhobimdenish
    @Rhobimdenish 9 місяців тому

    Alizan una korona

  • @GloryMshanga-hx9uk
    @GloryMshanga-hx9uk 7 місяців тому

    Bado net inasumbua

  • @JulianaMwendwa-b4j
    @JulianaMwendwa-b4j 9 місяців тому +1

    Apime hiyo shingo

    • @elizajoseph7209
      @elizajoseph7209 8 місяців тому

      Atakuwa na Ugonjwa wa Goita awahi matibabu mapema

  • @neemajohn6142
    @neemajohn6142 9 місяців тому

    Watoto wanaongea lugha gani? Na wao na mumewe wanaongea lugha gani?

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 9 місяців тому

    Brainwashing at its best Watanzania wenzangu! Vizazi vyetu vipo hatarini sana.

  • @MariamShagata
    @MariamShagata 9 місяців тому

    Slovenia nchi ndogo na ubaguz wanao aka vishoka ulaya njaa na maskeen pia wanazaa km wafrica wtt wengi? Wengi wanakimbilia nchi tajir kufanya kazi km hyu mume wake kufany kazi holland ? Sema kazi hiko kujifunz lugh mbil hili aweze kuongeq na familia ya mume?tena unabahat vishoka wengi uuacha wtt Africa wengi tu awajali wako tabia za wafrica? Pambn lugh ya udachi fanya kazi upo nchi za sheria kuliko Slovenia? Wazungu jina masken ?

  • @NzeyimanaVéronique
    @NzeyimanaVéronique 7 місяців тому

    Dada mutaradibu