SKIZA CODES 1.Code 6930218 - Ameniweka huru 2.Code 6930219 - Bwana Yesu Anatuuliza 3.Code 6930220 - Damu yako yenye baraka 4.Code 6930221- E Mungu mwenye haki 5.Code 6930222 - E mungu mwenye kweli 6.Code 6930224 - Enyi kundi 7.Code 6930225 - Fanyia Mungu kazi 8.Code 6930226 - Je umelisikia jina zuri 9.Code 6930227 - Kisima chema 10.Code 6930228 - Kuna mji huko juu 11.Code 6930229 - Maisha katika dunia 12.Code 6930230 - Matendo ya Mungu 13.Code 6930244 - Msifuni 14.Code 6930245 - Mwokozi wetu 15.Code 6930246 - Nchi nzuri yatungoja 16.Code 6930248 - Nilikwenda mbali 17.Code 6930249 - Pendo la Mungu 18.Code 6930250 - Roho yangu inaimba 19.Code 6930251 - Sawa na kisima 20.Code 6930252 - Siku moja mavuno 21.Code 6930253 - Tu watu huru 22.Code 6930254 - Tutazame kule 23.Code 6930255 - Uzima ninao 24.Code 6930256 - Uhesabu mibaraka
Wananikumbusha nyakati zile uko kenya,,,tukiwa wadogo uko kenya tukiimba nyimbo hizi na wazazi wetu tukiwa wakimbizi kenya,,, Asante kenya kwa kutuhifadhi na kutupa pahali tuliko lala tukiwa kwenyu❤.na leo twaimba nyimba hizi uku kwetu Rwanda....asante kijana Papi na mkeo Dorcasbkwa furaha yakutukumbusha safari ya mbinguni,,twawapenda❤ Nipo hapa nyumbani Rwanda
Lyrics with English translation 1 Enyi kundi lake Mungu, muda haba mhimili! - Oh God's group, time is short! Kati’ nchi ya milele mtaona raha tele. - In the eternal land you will see abundant joy Muda haba, muda haba, tena vita itakwisha - Time is short, time is short, the war will be over 2 Usilogwe na dunia, usiache Mungu wako! - Do not be enchanted by the world, do not leave your God! Katika mabaya, mema ufuate Bwana Yesu. - In bad, follow the Lord Jesus Siku zote, siku zote! Hivyo utashinda vyote - Always, always! So you will win all 3 Ukichoka safarini, ukiona njia ndefu - If you get tired of the journey, if you see a long way na hatari za jangwani, Mungu akuburudisha. - and the dangers of the desert, God will refresh you. Raha huko, raha huko yatuliza msafiri - Pleasure there, pleasure there soothes the traveler 4 Kwa imani tunaona nchi yetu ya ahadi. - By faith we see our promised land Ni habari nzuri sana: Majaribu yatakoma. - It's very good news: Temptation will stop Mbio sana, mbio sana huko ju’ tutaonana - Very fast, very fast there, we'll see each other 5 Tukiitwa na mauti kwa furaha tutahama - If we are called by death we will move with joy Tulivyovitumaini, ng’ambo huko tutaona - As we hoped, we will see on the other side Heri tele, heri tele: ‘ona raha ya milele! - Blessed, blessed: 'see eternal bliss! Turi hafi, turi hafi Yo guhurira mw ijuru - We are close, we are close to meet in heaven Hazab' amahoro menshi N'umunezer' uhoraho - There will be much peace and everlasting joy
Mukomeze kwemerakuvugishwa na mpwemu yera kuko maranye imisi indirimbo ya 262, burya sinamenya ko iyi ya 263 ivuka ko intambara igiye kurangira. Uwuhoraho Imana Se w'Umwami wacu Yesu Kristo abongere umugisha, ":/: Raha huko, raha huko yatuliza msafiri. :/:"
Jacob from Kenya here.Truly you people r blessed.Been listening and watching this song for 24 hours plus non stop.Cant get enough of how it is ministering to my heart
SKIZA CODES
1.Code 6930218 - Ameniweka huru
2.Code 6930219 - Bwana Yesu Anatuuliza
3.Code 6930220 - Damu yako yenye baraka
4.Code 6930221- E Mungu mwenye haki
5.Code 6930222 - E mungu mwenye kweli
6.Code 6930224 - Enyi kundi
7.Code 6930225 - Fanyia Mungu kazi
8.Code 6930226 - Je umelisikia jina zuri
9.Code 6930227 - Kisima chema
10.Code 6930228 - Kuna mji huko juu
11.Code 6930229 - Maisha katika dunia
12.Code 6930230 - Matendo ya Mungu
13.Code 6930244 - Msifuni
14.Code 6930245 - Mwokozi wetu
15.Code 6930246 - Nchi nzuri yatungoja
16.Code 6930248 - Nilikwenda mbali
17.Code 6930249 - Pendo la Mungu
18.Code 6930250 - Roho yangu inaimba
19.Code 6930251 - Sawa na kisima
20.Code 6930252 - Siku moja mavuno
21.Code 6930253 - Tu watu huru
22.Code 6930254 - Tutazame kule
23.Code 6930255 - Uzima ninao
24.Code 6930256 - Uhesabu mibaraka
Aki nawapenda sana
Amen 🙏
Amina mungu akupe unyenyekevu usiingiliwe na majivuno kazin yako utakuwa bure
@@PaulineNyambura-mw4dcmmklp0LP]POK❤
4:14
Huu wimbo hunitia nguvu wakati nijaribiwapo na kuzama katika majaribu😢 barikiwa sana aky,,❤🙏🙏🙏
Iyi ndirimbo irimo iramfasha cyane.Imana ibahe umugisha
Hallelujah hallelujah, utukufu kwa Bwana
Wananikumbusha nyakati zile uko kenya,,,tukiwa wadogo uko kenya tukiimba nyimbo hizi na wazazi wetu tukiwa wakimbizi kenya,,,
Asante kenya kwa kutuhifadhi na kutupa pahali tuliko lala tukiwa kwenyu❤.na leo twaimba nyimba hizi uku kwetu Rwanda....asante kijana Papi na mkeo Dorcasbkwa furaha yakutukumbusha safari ya mbinguni,,twawapenda❤
Nipo hapa nyumbani Rwanda
Mimi nipo hapa nchi Burundi mnanifurahisha sana ninawapenda sana mbalikiwe
Lyrics with English translation
1
Enyi kundi lake Mungu, muda haba mhimili! - Oh God's group, time is short!
Kati’ nchi ya milele mtaona raha tele. - In the eternal land you will see abundant joy
Muda haba, muda haba, tena vita itakwisha - Time is short, time is short, the war will be over
2
Usilogwe na dunia, usiache Mungu wako! - Do not be enchanted by the world, do not leave your God!
Katika mabaya, mema ufuate Bwana Yesu. - In bad, follow the Lord Jesus
Siku zote, siku zote! Hivyo utashinda vyote - Always, always! So you will win all
3
Ukichoka safarini, ukiona njia ndefu - If you get tired of the journey, if you see a long way
na hatari za jangwani, Mungu akuburudisha. - and the dangers of the desert, God will refresh you.
Raha huko, raha huko yatuliza msafiri - Pleasure there, pleasure there soothes the traveler
4
Kwa imani tunaona nchi yetu ya ahadi. - By faith we see our promised land
Ni habari nzuri sana: Majaribu yatakoma. - It's very good news: Temptation will stop
Mbio sana, mbio sana huko ju’ tutaonana - Very fast, very fast there, we'll see each other
5
Tukiitwa na mauti kwa furaha tutahama - If we are called by death we will move with joy
Tulivyovitumaini, ng’ambo huko tutaona - As we hoped, we will see on the other side
Heri tele, heri tele: ‘ona raha ya milele! - Blessed, blessed: 'see eternal bliss!
Turi hafi, turi hafi Yo guhurira mw ijuru - We are close, we are close to meet in heaven
Hazab' amahoro menshi N'umunezer' uhoraho - There will be much peace and everlasting joy
Imana Ibahe Imigisha Nukuri Nsubijwemo Imbaraga
❤❤❤❤❤lmana ibahumugisha🇧🇮🇧🇮
Indirimbo nziza , even though I don’t know Kiswahili. I translated in English. I ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👈
Asante sana ndugu!!
Be blessed.
God bless you for the translation
Nawapenda Sana mmbarikiwe sana❤
Nimebarikiwa sana
Hakika vijana wangu msiruhusu mwili uwatawale mana utatoa roho wamungu ndani mweyu...
😢Nimefarikiwa sana nawimbo
Mungu wabariki sana watumishi wa mungu from namanga Kenya
Ibyo dufite byose … ni Imana yabiduhaye, kandi turashima 🙏🏾🙏🏾 mes respects to Dorcas and Pay batwibutsa guhimbaza kwacu kwa kera🥰 muri nibature
Ndabakunda❤
Nimebarikiwa Sana watu Mungu .
Mtutembelee hapa 🇰🇪
Mubarikiwe sana bagenzi.Mungu awawezeshe tunashukuru sana kwaiyi kazi. Labda Mungu anaweza ongeya African uruma kupitiya iyi kazi munayo yifanya.
Mungu awabariki kwa kumtukuza mungu kwa njia za nyimbo
Mungu awabari sana
Ameeeeen barikiwa sana watu wa Mungu
Nawa penda sana kabisa muntu awabaliki
Jina la BWANA litukuzwe milele
That dressing mamaa keep it up!well covered from neck to toe for the Glory of Christ!
I can't stop listening to this song, it sends me to prayer every time from Kenya
Mungu atusaidie tuendelee kuwa kudi la mungu nyimbo zenu zina nibaliki mubalikiwe sana
Kwa imani tunaona nchi yetu ya ahadi..... Very powerful
Oh wow, don't I just love this three ministers, God bless you big
Nawapenda sana kwa huduma yenu🇹🇿🇹🇿
Amen Amen mbarikiwe sana
Na Mungu awaongeze Nguvu Mkapae Kama Taai .
from. 🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
imanibagure mumurimiwayo turabakunda kandi tukundibyo mutugezaho🙏❤
Mimi Cherie André nawapenda sana kwanyimbo zenu zote. Mubarikiwe na Yesu christ .
Nyimbo zote ninziri sana
Uwiteka naguhe umugisha utavangiye mwizina ryuwabambwe kumusaraba ufashije imitima yabantu benahi ❤❤❤❤❤❤amen amen amen
Nawapenda sana watu wa Mungu kazi yenu iko safi kabza nimebarikiwa sana🙏 🇰🇪🇰🇪
True
I thank God for the gift of your ministry. Im blessed and worship deeply . May God continue to use you. Hosanna Hallelujah !
Katika mabaya au mema tumfuate yesu siku zote ndivyo utashinda vyote amina
Hallelujah 👏👏👏🤲🤲🤲
Ntimugacogore mwahamagawe nishobora byose ndabakunda
N'a wapenda Sana, sasa ivi na waombea mungu azidi kuwabariki katika safari ta imani
nukuri afurika twes😮😮e turibamwe kandi nisi yose turibamwe😃
You make me realise my departed mum is in a good place kumbe mbinguni ni kupoa hivyo
Mbio sana huku juu tutaonana
Imana ishimwe chane tuko pamoja wandugu
Mukomeze kwemerakuvugishwa na mpwemu yera kuko maranye imisi indirimbo ya 262, burya sinamenya ko iyi ya 263 ivuka ko intambara igiye kurangira. Uwuhoraho Imana Se w'Umwami wacu Yesu Kristo abongere umugisha, ":/: Raha huko, raha huko yatuliza msafiri. :/:"
Hapa kenya tunawapenda sana, baraka tele my brothers and sister more grace
Nabalikiwa sana nyimbo zenu MUNGU akubaliki sana Nawapeda bule 🙏🙏🙏
Nawapenda sana sana,dorcus you really resemble my sister
Muduhembura turibenshi mukomerezaho nukuri Imana ikomeze kubagura ndabakunda cyane ❤❤❤❤
Imana Ibampere Umugisha murasa neza cyane kandi cyane muri kristo
KAZI nzuri utukufu kwa mungu wetu
This is what I call real worship, mbarikiwe sana wapendwa.
Mnatumbaliki sanaaaaa
Waoooooh mnanimbariki sana mnanjenga nafsi yangu sana na wapenda sana
i love you guys thanks for keep blessing me. also i recomend some drone footage it will look good
We follow so much Mwokozo Wetu and. Bethlehem morning songs. We Love Your songs so much we pray and worship when we listen from time to time.
Nawapenda sana watu wa Mungu , nabariwa sana kwa nyimbo zenu. Mubarikiwe na Mungu.
This one is up there !😊
Kuna nyimbo utasikia utamani kuenda mbinguni hapo hapo,God bless this team.
Mungu azidi kuwabariki na mwendele mbelembelesanaaaa we love u
Mbarikiwe, 🇹🇿,Aliye ndani yenu asisimike kamwe Hadi Yesu ajapo.
Napenda hii, napenda Rwanda na warwanda,God bless you
Ameeen, Imana idushoboze kuzahurira mu Ijuru. Mukomeze mwongererwe imigisha myiiiiinshi
Amen Amen mw,ijuru tuzobonana .
Izi ndirimbo zanyu ziraduhembura munkumbuje ijuru pee.
Imana Data yo mw'ijuru itaja y,ibagirwa imirimo y,abera izobahe ingororano.
Hallelujah! From Karagwe Tz.
Joseph from Kenya am blessed by your sweet voices am feeling to b Born again may God bless you
Kumeibua imani yangu kabisa God bless u sana
I had to love all Swahili songs in this channel 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Allow me to hug the 3 of u nawapenda qweli.. Kenya 🇰🇪 is your second home
Icyubahiro nicyawe mana 😭😭😭😭🙌🙌🙌 mubarikiwe kbs
Hapo safi Wana WA Mungu
MUNGU amlinde muweze kumtumikia siku zote
Imana ibagure mufite impano nziza murimukubaka imitima y abana bimana
Wauh your songs are blessing to me,Mungu aendelee na kuwainua,na mtu akitaka kitabu Kama hicho mnaimba mkitumia anatoa wapi
Stress kumalizwaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉@2024
From Drc ndabakunda cane peree imana ikomeze umugisha
Beautiful music 🎶 and big support from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nabarikiwa sana nikiskiza hizo sauti nzuri.mmefanya ni mpende MUNGU SANA
Asanti mungu
Am from Tz, nakubali sana uimbaji wenu. Mnaimba vizuri sana, respect to you servants of God 100%
Nikianza kuimba hii wimbo nahama duniani kidogo nikatembea inchi ingine❤❤❤❤mubalikiwe zaidi
MUNGU Awabariki Sana Watumishi wa MUNGU 🙏🔥🔥
May God revive us again
Jacob from Kenya here.Truly you people r blessed.Been listening and watching this song for 24 hours plus non stop.Cant get enough of how it is ministering to my heart
Mungu awasaidie Muunganiko wenu usitenganishwe na shetani
Namipenda sana ❤️❤️❤️😭
imana nurukundo means that all days you will win when you are with God
Ndabakunda ntimwabyunva
Usiace mungu wako 😭🇱🇷
❤❤😢Mbarikiwe sana🙏🏿🥺
Asante kwanyimbo nzuri ila 🎉🎉🎉nigetamani sukumiya mukuye Congo Ila sasa siasa inatutenganisha
Ndio lakini sisi wana wa Mungu sisi ni kaka na dada kwa jina la Yesu. na tunaunganishwa kupitia roho mtakatifu.
Moses ,it shall be well, Christ is in control
Haii...Yesus Brother Trio...Youre happyfull in to gloria Yesus God ...forever all...nice much greetings for you all from Indonesia Timor Island...
Huwa mnafanya kazi zuri..I really love your songs
Hallelujah,Imana ishimwe kundirimbo nziza, umutima wajye urishimwe,be blessed bana banjye
These day's no kinyarwanda😭😭😭😭😭😭😭😭 muturirimbireho ikinyarwanda ndabakunda cyane
Very enspring , be blessed citizen of heaven
Am crying and I don't know why!!🥲🥲
Love them from 🇧🇭🇧🇭🇰🇪🇰🇪
Mungu ami bariki sana 🙏🙏🙏
I love the song
❤❤❤❤be blessed family ❤❤❤
Iyi ndirimbo yongeye kumbera nshya nshyaaaa. Muhabwe umugishaaa
Hallelujah ❤❤ turabakunda cyane iyindirimbo muzayihindure nomu kiyarwanda