SKIZA CODES 1.Code 6930218 - Ameniweka huru 2.Code 6930219 - Bwana Yesu Anatuuliza 3.Code 6930220 - Damu yako yenye baraka 4.Code 6930221- E Mungu mwenye haki 5.Code 6930222 - E mungu mwenye kweli 6.Code 6930224 - Enyi kundi 7.Code 6930225 - Fanyia Mungu kazi 8.Code 6930226 - Je umelisikia jina zuri 9.Code 6930227 - Kisima chema 10.Code 6930228 - Kuna mji huko juu 11.Code 6930229 - Maisha katika dunia 12.Code 6930230 - Matendo ya Mungu 13.Code 6930244 - Msifuni 14.Code 6930245 - Mwokozi wetu 15.Code 6930246 - Nchi nzuri yatungoja 16.Code 6930248 - Nilikwenda mbali 17.Code 6930249 - Pendo la Mungu 18.Code 6930250 - Roho yangu inaimba 19.Code 6930251 - Sawa na kisima 20.Code 6930252 - Siku moja mavuno 21.Code 6930253 - Tu watu huru 22.Code 6930254 - Tutazame kule 23.Code 6930255 - Uzima ninao 24.Code 6930256 - Uhesabu mibaraka
LYRICS WITH ENGLISH TRANSLATION 1 Tutazame kule mbele, asubuhi inakuja! - Let's look ahead, the morning is coming! Tuamini Mungu wetu, atafanya kazi yake, - Trust our God, he will do his work kufukuza mashetani, kumiliki nchi yote. - drive out demons, possess the whole country Tutashinda tukiomba, Mungu anatusikia. - We will win if we pray, God hears us. 2 Tarumbeta linalia, tuamke wote sasa! - The trumpet is sounding, let's all get up now! Mungu wetu anataka sisi sote tutakaswe! - Our God wants us all to be sanctified! Kila mtu awe safi katika kanisa lake! - Everyone should be clean in his church! Uliache nung’uniko, utapata nguvu yake! - Stop complaining, you will receive his strength! 3 Imba ninyi, watu wake, Bwana yu pamoja nasi! - Sing, his people, the Lord is with us! Tutashinda majaribu kwa uwezo wake Yesu. - We will overcome trials with the power of Jesus. Twende tumhudumie kwa kumpa mali yake; - Let's go and serve him by giving him his property; hata roho na akili zimtumikie Bwana! - let the soul and mind serve the Lord! 4 Watu wengi hawajui njia yakufika mbingu, - Many people do not know the way to heaven wanakuwa wamefungwa kwa mikono ya shetani. - they are bound by the hands of the devil Twende tukawatafute, tuwavute kwa Mwokozi, - Let's go and find them, draw them to the Savior na kuomba na kukesha hata kuja kwake Yesu! - and pray and watch until Jesus comes!
Whaoooo,,na kuomba na kukesha hata kuja kwake yesu,,we really need to this as kenyans we are going through scenes that need GOD TRUE INTEVATION AS A NATION
Kila siku ni furaha kuwasikiya mukiimba izi nyimbo. Mubarikiwe kwa kutukumbusha safari yetu ya mbinguni. Turabakunda pee!! Papi na dorcas na Merci❤ Mudukumbuza ijuru weeee,,❤
Halleluhya Jesus... One of my favorite song love love.. Mungu twashukuru kwa kila jambo.. injili isonge mbele nasi tuzidi kukujua zaidi na zaidi.. Barikiwa kila mmoja wetu hapa na pia waimbaji wetu.. Katika Jina la Yesu Cristo Amen..🙏🙏 Much love ❤from Kenya 🇰🇪🇰🇪
My status it's only you guys I post and my friends always ask me what's really going on, but my answer to them is I love this couple with so much passion though I can't do anything about it
😢😢😢😢kenya 🇰🇪 my country deserve this song know, my heart pleading for my country 💔 😢 how evil has covered it, devils agents are wearing clothes to cover themselves so that they can kill innocent people who lack wisdom
SKIZA CODES
1.Code 6930218 - Ameniweka huru
2.Code 6930219 - Bwana Yesu Anatuuliza
3.Code 6930220 - Damu yako yenye baraka
4.Code 6930221- E Mungu mwenye haki
5.Code 6930222 - E mungu mwenye kweli
6.Code 6930224 - Enyi kundi
7.Code 6930225 - Fanyia Mungu kazi
8.Code 6930226 - Je umelisikia jina zuri
9.Code 6930227 - Kisima chema
10.Code 6930228 - Kuna mji huko juu
11.Code 6930229 - Maisha katika dunia
12.Code 6930230 - Matendo ya Mungu
13.Code 6930244 - Msifuni
14.Code 6930245 - Mwokozi wetu
15.Code 6930246 - Nchi nzuri yatungoja
16.Code 6930248 - Nilikwenda mbali
17.Code 6930249 - Pendo la Mungu
18.Code 6930250 - Roho yangu inaimba
19.Code 6930251 - Sawa na kisima
20.Code 6930252 - Siku moja mavuno
21.Code 6930253 - Tu watu huru
22.Code 6930254 - Tutazame kule
23.Code 6930255 - Uzima ninao
24.Code 6930256 - Uhesabu mibaraka
My favourite song is missing here
Ubarikiwe sana ndugu yangu
Niko huru Kwa neema zake2
Hata roho na akili Zi mtumikie bwana mungu aw bariki sana Tena sansa
Munatufurahishaka nyinyi wazuri munaimba vizuri nakucheza vizuri lakini musichana safi
Mbega indirimbo nziza weee Imana ibahe umugisha Bakundwa
Mubalikiwe na MUNGU wetu aliye hayi milele
Watumishi munaimba vizuri kabisa wendeleye mbele kambisa
2023 lazima tushinde
Mwarakoze beneda ta
Mimi Ni Mwimbadji toka congo Rdc. Ni mefuhaiya saana kabisa mimbo zenu. Mungu azidi kuwapa uzima Na nguvu tele za Roho.
Nakuomba na kukesha atakujakwakeyesu
Napata nguvu na tumaini jipya, ninaposikiliza nyimbo hizi za wokovu, mbarikiwe Clever na wenzako
Nyimbo zuli sana nawapenda tokea Lubumbashi drc
Doracas mwiza Imana igikumpera umugisha wanyigishij byinshi urumugisha kurinjye kumunsi nkureba inshuro nyinshi cyane ndagukunda ndagufana
Mbarikiwe na YESU KRISTO tunawafatilia tukiwa Tanzania
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪ata nanyinyi mnaosikiza huu wimbo pokeeni hii neema katika jina la yesu......sema Amina
Nimebarikiwa na hizo nyimbo.barikiweni
Mungu awabariki muendelee kapata jumbe zenye nguvu namna hii
Dorcas aka gasirimba arakumva pe. Nice dance & much love❤ Clvr&Drcs
Amen nimebarikia kabis papi Mungu awajaz nguvu ya kutumikia Bwana nawapenda
Wanaimba vizuri sana
Very True
Nakosa lakusema ndugu zangu, tukutane mbinguni kwa neema ya baba wa rehema.
Brethrens kusikia nyimbo zenu hinatufufua pale Dunia imetuchimba. Barikiweni Sana. Huku Rw tumuwafurahia sana
Nakumbuka nyumbani DRC. Mbarikiwe sana na Mungu. Nasikiliza nikiwa USA
Wahinduye ubuzima bwanjye bwari mubwihebe mubyaha ubyumve ndagukunda pe ♥ ❤ 👌 ururugero rwiza Uwiteka yashyiriyeho abagore nabakobwa nzatuza nkubonye nkuhe ubuhamya bukomeye nubuzima watumye mvamo nubwo bitaraba neza ark Imana wizeye ikakugirira neza ndayizeye I love you 😍 ♥ so much
Gusa nuko ntazi kiswahili 🤭🤭ariko nuko ndabakunda cane murakaramba🥰
Mubarikiwe sanaaaa
Hapa kenya nafurahia sana
na kuomba nakukesha atakuja kwake Yesu,,,,,, mbalikiwe sana
Mbarikiwe nyimbo zenu zimekua Baraka sana kwangu na kwa watanzania wengi hasa mlizo imba kiswahili
Mmebarikiwa Sana hakika kwakumwabudu Mungu katika roho na kweli na kua hamjavutwa na utandawazi mmebaki katika asili baba anapendezwa nanyi 😇
Mungu awabariki kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Vile tu mnavoluka luka na barikiwa sana
Tamu sana
LYRICS WITH ENGLISH TRANSLATION
1
Tutazame kule mbele, asubuhi inakuja! - Let's look ahead, the morning is coming!
Tuamini Mungu wetu, atafanya kazi yake, - Trust our God, he will do his work
kufukuza mashetani, kumiliki nchi yote. - drive out demons, possess the whole country
Tutashinda tukiomba, Mungu anatusikia. - We will win if we pray, God hears us.
2
Tarumbeta linalia, tuamke wote sasa! - The trumpet is sounding, let's all get up now!
Mungu wetu anataka sisi sote tutakaswe! - Our God wants us all to be sanctified!
Kila mtu awe safi katika kanisa lake! - Everyone should be clean in his church!
Uliache nung’uniko, utapata nguvu yake! - Stop complaining, you will receive his strength!
3
Imba ninyi, watu wake, Bwana yu pamoja nasi! - Sing, his people, the Lord is with us!
Tutashinda majaribu kwa uwezo wake Yesu. - We will overcome trials with the power of Jesus.
Twende tumhudumie kwa kumpa mali yake; - Let's go and serve him by giving him his property;
hata roho na akili zimtumikie Bwana! - let the soul and mind serve the Lord!
4
Watu wengi hawajui njia yakufika mbingu, - Many people do not know the way to heaven
wanakuwa wamefungwa kwa mikono ya shetani. - they are bound by the hands of the devil
Twende tukawatafute, tuwavute kwa Mwokozi, - Let's go and find them, draw them to the Savior
na kuomba na kukesha hata kuja kwake Yesu! - and pray and watch until Jesus comes!
Wao wat a blessing song😂
Amina kubwa mbarikiwe sana ❤
Whaoooo,,na kuomba na kukesha hata kuja kwake yesu,,we really need to this as kenyans we are going through scenes that need GOD TRUE INTEVATION AS A NATION
Nimebarikiwa
Amen
Clever gitari irimumaraso pe Yesu akomeze akwagure mukozi w'Imana turabakunda
Tutashinda Tukiomba Mungu Anatusikia 🤲🤲🤲 Amen
Wowuuuu Papy na Madame dukunda lmana ibakomereze amaboko kubwizi ndirimbo nziza zikomeje kubaka imitima yaba Nya Rwanda nabatuye isi imbaraga namavuta nukuri mbikuye kumutima ndabakunda❤ doreko dukora numurimo umwe
Halleyah nyimbo zenu zimekuwa baraka sana kwangu kiroho may God fulfill your desire amen
Kalibuni kwetu kanisani
Gusa mujye mugabanyamo igisirimba
Mucurange bisanzwe
No gucuranga igisirimba ni ibisanzwe!!! bareke babikore uko babishaka nibo bazi umurongo bagenderaho.
Mmebarikiwa sana watu wa Mungu, nasikiliza nyimbo hizi toka Tanzania
Tutazame mbere ! Mungu atafanya kazi yake ! Mbarikiwe sana eatumishi wa mungu nawapenda sana ❤❤❤❤
Tarumbeta inalia sasa tuamuke sasa hallelujah amen
Imbaraga na mavuta
Imana ibahe umugisha kandi ndabakunda
I,m a zambian I don't understand the language but hey i feel like im in heaven already keep it up
Swahili language
Swahili language. It is also the language of our Nation Tanzania. But the singers are our neighbors from Rwanda. Welcome to Tanzania
Meaning looking for jesus
am a Zambia also but am blessed just listening to these songs from this team
Ameeeen
Good movement ghai Mungu wangu nice voice shine to the world ❤❤❤❤❤❤ listening from Qatar yesu wangu
Merci your dance is contagious, u bless continent with your praises,come back 🇰🇪
Absolutely 💯
Amen amen mungu asifiwe
This people will kill me with their Swahili soothing songs, woooow 👏👏👏👏👏👏👏🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤❤
Aneni kwa mungu 🙏🙏🙏🙏
Murasa neza rwose
Mwazamyigishije kuririmba mwuzurampemu wumva kabisa🙏🙏🙏
Halleluyaaaaaaaaaaa iyi ndirimbo ndose Pasteur Ari kumbwira ngo nyirirmbe😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Waouuu!!Dorcas ko asigaye amena umuziki ra!!mbega nyiramubande wee
Hapo sawa kabisa!Mungu awabariki mpaka mshangae."Mungu atusaidie kila mtu awe safi katika kanisa lake!"
Hezagirwa bantubacyu murabanyamugishya iyindirimbo irampezagira Cyane nayumviye kuwobita david Sinarinziko irimuri kantike❤
Nabarikiwa sana na hizi nyimbo Mungu wa mbinguni awabariki
Mubarikiwe sanaaa ndabakunda
tutashinda tukiombaaa .Munguu anatusikiaa .Ameeen🙏🙏🙏14.09.2023
Aminah,,
Mtanifanya nitafute uraia wa Rwanda sasa. Mwanibariki sana kwa kweli.
Niambie ulienda ,nitaenda pia huko tuwajoin and sing together
Sijaenda, jiandae twende sote.
Musirimba neza mukinyabufura
Kuva Dr congo nyimbo zimenigusa sana muendeleye ndugu zangu tunawapenda sana turabakunda cyane bavandimwe
🙏 Maneno yakusema yamenikosa ❤ nihivyotu wapenz ktk kristo Yesu.
Buri wese mu itorero Abe uwejejwe muri ryo.
Atamili inchi yoteee! Amen!!!!!
Kila siku ni furaha kuwasikiya mukiimba izi nyimbo.
Mubarikiwe kwa kutukumbusha safari yetu ya mbinguni.
Turabakunda pee!!
Papi na dorcas na Merci❤
Mudukumbuza ijuru weeee,,❤
barikiweni sana papi clever na timu yako
Ndabakunda bantu bimana ❤
Ohhhhh Good morning my people
Amen indirimbo nziza nugusenga gusa kabisa imanaibaheumugisha
Muri abambere kbs
MUNGU awabariki sana❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Merci always does justice with the instrument
🤣🤣yes,yes
😂😂😂oh yes ...justice in everything he does. All are great people
Aaaaaamen
Halleluhya Jesus...
One of my favorite song love love..
Mungu twashukuru kwa kila jambo..
injili isonge mbele nasi tuzidi kukujua zaidi na zaidi..
Barikiwa kila mmoja wetu hapa na pia waimbaji wetu..
Katika Jina la Yesu Cristo Amen..🙏🙏
Much love ❤from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Amen nyimbo za baraka zinanisongeza karibu na mungu
Amin Amin Amin 🙏🙏🙏!!!.
My status it's only you guys I post and my friends always ask me what's really going on, but my answer to them is I love this couple with so much passion though I can't do anything about it
Hallelujah amen,Imana ibongerere imbaraga mu murimo mukora.
Mr martin Frances nabarikiwa sana na nyimbo hizi za wokovu Niko dar kwasasa mungu mkubwa'
Bakozi bi Imana muzamumfasha pe
You're blessed
Songs of the Saints. Alleluia
I have discovered today I always watch and I have not subscript 😮wauuuu wauuuuu I feel Jesus is coming soon
Amen guhimbaza imana ni byiza
Mungu azidi kuwabariki ❤❤❤❤pokea salamu na maombi kutoka Kenya 🇰🇪 🇰🇪
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
May God bless you guys
Nyimbo sinaponya roho, God bless you guys listening from USA
Nipo Nyamata ninapo sikiliza wimbo huu machozi yanadondoka❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Mbarikiwe Sana.Ninafurahi Sana nikitazama nyimbo zetu
Ndani ya yesu kuna raha I can bear witness with you people am blessed
I'm blessed 🙏
Thank God for your voice guys May God bless you more juma ajak from south Sudan 25/1/2025
Amen mungu awabariki❤❤❤❤
Oooh my God, when I listen to your songs I feel so blessed. Even when am down I just feel happy. Lots of love from 🇰🇪 🇰🇪.
😢😢😢😢kenya 🇰🇪 my country deserve this song know, my heart pleading for my country 💔 😢 how evil has covered it, devils agents are wearing clothes to cover themselves so that they can kill innocent people who lack wisdom
Alléluia Amina sifa ni Yako Mungu baba 🥰🥰🥰🔥👏
Nawapendaa 🥰