Licha ya kuwa ni movie ila huyo Dogo ana kipaji cha mziki anahitaji asaidiwe…Baba Joan naiona kesho yako kupitia movies ikiwa kubwa mno hacha tuendelee kukuombea kwa Mungu hakika atazidi kukuinua🙏🙏🙏
Baba Joan hongera San nimekufatilia Sana tangia pale ukiwa mwalim mgen dah hii show yako Kama walim wanafatilia wamejifunza mengi meng Sana hongera Sana big up nakupa
Really this Baba Joan is so talented, I wish walimu wote wangejifunza mfano bora kutoka kwa mwamba huyu. Ili uwe mwalimu bora yakupasa kuipenda kazi yako kwanza sio kija na visirani vyako vya nyumbani kwako kuwa nyanyasa wanafunzi kwa kuwachapa watoto tena fimbo zisizo na idadi.
Daaah kweli hiii ni never give up 💖💖 amazing series baba Joan big up Mungu akusimamie ktk kazi zako utimize ndoto za wanafunzi Nyimbo ya patronize inanitoa machozi 💖💖
Babajoan the king big boss Naku Kubali Sana brother . this is Obed from America. then it's my second time to saw ur second season so bro keep it up I love u brother. Una Elimisha Wewe Sio comedian Bali Ni Mwalimu Wa Ulimwengu.
Congratulations,kazi nzuri sana Much love from Tanga....moto ni ule ule toka Mwalimu mgeni,hampoi wala hamboi kila muhusika anacheza nafasi yake vizuri sana....Mwl.Magesa endelea na nafasi yako hiyo hiyo kamati ya roho mbaya unaipatia sana 🤣 unafichua baadhi ya watu walivyo ktk jamii.
Thanks a lot for this episode. It's more and more than more 🔥. Continue teaching the community about how to never give up. God bless you for that great effort. We are patiently waiting for the next episode please
Najua sitapa like Kwa sababu nimu Kenya ila nawa penda sana wa Tanzania hii flag imebarikiwa sana naipenda sana🇹🇿
Tunakupenda pia,,, karibu sana 🇹🇿
Mm pia ni mkenya nafatilia na wapenda watanzania 🇹🇿
Utaifa huo, “ watanzania wote ni wa moja na wafrika wote ni ndugu.” Hicho ni miongoni mwa maneno ya kiapo cha chama cha mapinduzi, lakini pia…!!
Hata sisi tunawapenda wa Kenya mbona
Sis tunawapenda hata wakeny
Jamani nipeni maua yangu nimekuwa wakwanza aixeee vp baba joani unaonaje apo🎉🎉🎉
🎉🎉🎉hayo apo pokeya
❤❤❤
Sawa
Baba Jon upovzr sanaaaa mungu akuongoze
@@maysaghjii5058 amina ndugu
Licha ya kuwa ni movie ila huyo Dogo ana kipaji cha mziki anahitaji asaidiwe…Baba Joan naiona kesho yako kupitia movies ikiwa kubwa mno hacha tuendelee kukuombea kwa Mungu hakika atazidi kukuinua🙏🙏🙏
NIMEONGEA NA BABA JOAN ANASEMA IKIISHA HII NEVERGIVE UP ANATULETEA SEASON TWO MWALIMU MGENI ❤️❤❤❤❤❤
😃😃😃
Ko tuku saidie nn una mpenda nn
Ndo mana umechekwa 😁😁😁😁😁
@@zackiakikoti9381 😀😀😀katuambia ili tujue kama wana mahusiano🤣🤣au wanatakana😀
Mhhhh Tena sawa bhana jion njema
Baba Joan hongera San nimekufatilia Sana tangia pale ukiwa mwalim mgen dah hii show yako Kama walim wanafatilia wamejifunza mengi meng Sana hongera Sana big up nakupa
Yaani mwalimu magesa anajuwa kuigiza apewe makopa yake❤❤❤❤❤❤
Ila anaudhi uchochezi tuu😂😂😂😂😂😂
Hakikaaa
❤❤❤❤❤❤
@@JenyKalengela-or5uy 👍
patronize🔥🔥🔥🔥Mungu akusaidie utimize ndoto zako bro afu baba Joan Mungu akubariki kwa upambanaji wako kwa wasiojiweza 🙏🙏🙏
We ndio unaefanya film vya maana nakukubali Sana babajoan 😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤... Kazi iendelee jamani 🙏🙏🙏😢😢😢😢
Je sis kwa sababu tunatoka nchi jirani #Burundi that’s why hatupati Like kwenye comment zetu. Ila sis #Burundi tunawapenda sana
Nasisi pia tunawapenda karibu kwetu Burundi 🇧🇮
Really this Baba Joan is so talented, I wish walimu wote wangejifunza mfano bora kutoka kwa mwamba huyu. Ili uwe mwalimu bora yakupasa kuipenda kazi yako kwanza sio kija na visirani vyako vya nyumbani kwako kuwa nyanyasa wanafunzi kwa kuwachapa watoto tena fimbo zisizo na idadi.
Great one wafanya poa sana nmekubali
Huyu mwalim huu mzigo ni wake au wakichina😂❤nampenda sana
From Kenya ,Teacher never give up kijana ana sauti kweli kweli
mzee upo na hilo group lako bomba sana baba joani salute sana tuko pamoja tena kwenye never give up mambo ni ^_^🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nzuri sana, baba Joan na Patronize hongera sana nawakubali❤❤❤❤
Daaah kweli hiii ni never give up 💖💖 amazing series baba Joan big up Mungu akusimamie ktk kazi zako utimize ndoto za wanafunzi Nyimbo ya patronize inanitoa machozi 💖💖
Baba Joan don't discouraged with those teachers be strong 💪 and courageous as you are
nafuatilia sana baba Joan🔥kutoka Kenya ..likes basi jamani.
Babajoan the king big boss Naku Kubali Sana brother . this is Obed from America. then it's my second time to saw ur second season so bro keep it up I love u brother. Una Elimisha Wewe Sio comedian Bali Ni Mwalimu Wa Ulimwengu.
Jaman me ndio wa kwanza nataka like zangu♥️♥️♥️♥️
Sawa
Hi
Congratulations,kazi nzuri sana
Much love from Tanga....moto ni ule ule toka Mwalimu mgeni,hampoi wala hamboi kila muhusika anacheza nafasi yake vizuri sana....Mwl.Magesa endelea na nafasi yako hiyo hiyo kamati ya roho mbaya unaipatia sana 🤣 unafichua baadhi ya watu walivyo ktk jamii.
Wallah inasikitsha sana hii series kama huyu mwanafunz akianza kuimba
Patronise utakuj kuw msanii mkubw xn nakwmbia
Never give up, thanks so much love you from Kenya 🇰🇪
Baba joan ume jitahidi sana ila patronaiz nakukubali sana, hio song nimeipenda sana Mungu akusaidie una kipaji kikubwa zaidi
Inamana mwalimu Vick anakelwa kilasiku nawana funzi au ndio uvivu😂😂😂
So nice for sure tupo pamoj baba joan... !!!! 🎉
Leo wa mwanzo jamani nitafurahi kma mtanipa like kma zawad from Omani 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Kazi nzuri mungu awabariki tunawapenda sana kutoka usa❤❤❤❤❤
Jamani mwali magesa wacha nikup maua yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Baba joan hongera sana nakubali move zako kaka
Baba joan nakuombea sana Kwa mungu aendelee kukupa moy huohuo w upendo ukarimu, kam vil naona pepo yak. Ya Kesho msaid San patronize ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢
🔥🔥🔥🔥 big up my brother bba Joan lov much from 🇧🇮 ❤❤❤
Kazi nzuri sana nimeipenda 👏👏👍
Patronize mungu akubariki sn umeniacha mm mpaka nalia walahi kweli mama ni Mama tuu❤❤❤❤❤
Baba Joan hongera sana kazi nzuri
Tunawafata sana Burundi 🇧🇮🇧🇮 Mnajuwa sana binapendeza
Baba Joan nakupenda kaz nzuri
Mungu Awabariki Sana Awape Wepesi Kwenye maandalizi ya Kazi Nzuri Unazotupatia
Never give up. Much love from +254
Jaman nimemwaga machozi hiyo nyimbo ak Allah atakufungulia njia usikate tamaa tunakuombea pia❤❤❤❤
Thanks a lot for this episode. It's more and more than more 🔥. Continue teaching the community about how to never give up. God bless you for that great effort. We are patiently waiting for the next episode please
Nimeipenda sanaaaaa🎉❤❤❤
Wow hongeraa sanaa kazi nzuriii,Tunasubiri episode 3....LOVE FROM ZANGO HOSPITAL KWAKWELI TUKO VIZURI.....
Kazi nzuri nawapenda kutoka kenya ❤❤❤❤❤
Mwalimu magesa hajakoma kamrubuni na madam wa watu🤣🤣🤣🤣
Mwalimu mgeni nakukubali sana❤😂😂
Baba jeonson 👏👏👏👏🍯🍯
Patronize yupo vzr sana❤️🔥❤️🔥
Huyu Dogo patronizer ni hatari anakipaji jamani huu wimbo wa I love you mom daaah
Walimu Domo hongera ba Joan♥️💚
Asantee sana baba Johan ,,kazi nzuri Mungu ana mpango na wew
Baba joan ukona mutihani lakini usi give up❤❤
Woow Baba Joan pia mm naitwa Joan napenda Sana unavyokua na ushauri mzur
Kitu kishapikwa Asante baba Johan wakwanza jamani like zangu 🥰🇴🇲
Hii ni zaidi ya movie,big up Baba joan.never give.tunasubiri part 3
Baba Joan haujawahi kuniangusha🌹🌹🌹👏👏👏👏💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Wa kwanza kucommet tokea Kenya wapi likes
Patronaize unatisha we mutoto da mungu akujaliye kipaji chako kiendelee isibaki tu kwa mchezo nakupenda ww na baba joan
Patronaiz uko sawa Kwa kuimba ❤❤❤❤🎉🎉🎉
🥰🥰🥰ninzr Sana wallah nimelia imenikumbusha mbali sana 😭😭
Kaz nzur san bab john🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri from Oman brother Mungu akuwekeye wepesi
Baba joni na mwenye kipaji wako nawapenda sana ❤❤❤❤
Baba Joan congratulations 🎉🎉
Mimi ni shabiki wa baba Joan tangu mwalimu mgeni
huyuu mama wa patronize wamefanana kweli pengine ndy mama yake mzazi.
Big ups to Patronize...the singing maze I love it💕
Patro naiz na mam yake wananikumbusha mbali San
Very educative and entertaining ❤❤❤
🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mwalimu mgeni napenda sana kazi zake❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Never give up baba Joan na Pato❤❤
Mungu akupiganie sana my dear movie ni nzuri
Following from kenya...good work bro
Nimekuelewa hiyoooooo baba joan🎉🎉🎉🎉❤❤❤😊😊
Wa kwanza kutoka Kenya ,,wapi likes zabgu
Mashallah patro nayz❤❤
I like it big up mwalimu mgeni
Patronize umeweza 😢unajua unajua tena all the best🎉
Hakuna kama mama❤❤
Congratulations 🎊 👏 💐 🥳 ❤❤❤❤❤ nimeipenda sana
Mwalimu wa maths hapa ni wapi😂😂😂😂😂
Baba Joan napenda jinsi unavyo jitolea kuinua vipaji via watoto and never give up in all situations
round hii hatulaz kazy🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Yuzoo mwamba 😂😂😂😂😂😂
Mikwaju imenichekesha sana😂😂😂😂😂
Daaaah mwalimu magesa na kikundi chako kwa nn hamtaki maendeleo jmm😂😂😂😂😂😂😂 always kaz yenu n kupinga2
Good job movie nzur san zenye mafunzo❤❤❤💥
Congratulation baba Joan ni elimu tosha kwa jamii yetu
Mganga ndio anamzuka hiyo scene ajaifanya vizuri
Bro umeupga mwingi hongera sana tena sanaaa
Nakubali mnoo Kaz Zenu, P akaze atatoboa,, Coz Ukiachana na Uigizaji, anaimba Yan Dogo Ana tililika😂😂, 🎉
Na baba Joan Ako tu na koti Moja pekeee kila move😂😂😂😂😂😂
Ila ujumbe unafika
😂😂😂😂😂 kweli kitenzi ni kitanzi
Nikoo paleee tupoo pamojaaa sana baba joan😅
Uyu munganga namupenda sana
Hongerani wrote mungu awazidishie inshaallah
Am watching 4rm kenya big love❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
😢😢😢😢 nyimbooo jmn nyimboooooo nyimboooooo nyimbooooooo 😢😢😢😢😢😢
Fanya huo wimbo utoke uko poa sana nimeupenda
Nafkiri madame ame fit kabisa kuigiza kama mwalim wa kiswahili