UKISOMA NYIRADI HIZI MARA 7 | UKIOMBA DUA YEYOTE ITAKUBALIWA SIKU HIYOHIYO | DR OMARY BIHIZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лис 2023

КОМЕНТАРІ • 38

  • @AymanKhalfan-ss2rs
    @AymanKhalfan-ss2rs 9 місяців тому +3

    Mashllh mashllh nyiradi hizi zinaleta matokea mazuri sana na ukizisoma matatizo yote yanaondok ❤❤❤❤allahuakbar nampenda sana mola wangu 💋💋💋yeye ndie muongozo wangu na yeye ndie anaenifanya niwe mwepesi na mwenye furaha mda wote

  • @nuraabdul8014
    @nuraabdul8014 9 місяців тому +3

    Asalaam Aleykum, nyiradi hii nimeifanya matokeo nimepata siku ya pili na tatu nilifanya usiku. Nilisoma siku ya kwanza mambo ndo yakawa magumu zaidi sikuchoka Nikiamka tena usiku nikasoma na nikamalizia Jana usiku. Nyiradi hizo ni mujarabu kikubwa na taqwa. Shukrani Sheikh Allah akupe Maisha marefu

  • @minicooper9642
    @minicooper9642 9 місяців тому +2

    MashaAllah

  • @user-ct5yc9ph7u
    @user-ct5yc9ph7u 4 місяці тому

    Shehe gaka ndiyo nin

  • @user-fq3gs2jx8h
    @user-fq3gs2jx8h 9 місяців тому

    Mashaala

  • @user-iz2dw8rp2i
    @user-iz2dw8rp2i 9 місяців тому +4

    Ukisoma nyiradi hizi 7 allah anakujibu muda huo huo
    1:shart ya dhikr hii ni siku 3mfululizo .ila unajibiwa leo leo.tia udhu.chumvi ya mawe.ngaka maziwa fresh glas1 au 2 oga maji ya vuguvugu.kisha swal rakaa 2..soma fatiha mara7 kisha mswalie mtume mara 700 soma alam na shrah mara 80.soma ikhlas mara 1001.soma fatiha mara 7 na umswalie mtume mara n 100.hii best kwa kila tatizo

    • @buffaamonteezey1092
      @buffaamonteezey1092 9 місяців тому

      Ngaka ni nini?

    • @rayyanali119
      @rayyanali119 9 місяців тому

      Aaleykum Sheikh.. Ngaka ni nini? Tujibu kwahisani yako

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi 9 місяців тому

      Zoez hili linafanywa mda gani usiku ama mchana?? Ama unawez fanya wakat wwte?

  • @alzahirshamji
    @alzahirshamji 9 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @shuweyaabdulkarim3261
    @shuweyaabdulkarim3261 7 місяців тому

    Hivi mimi sijakuelewa hiyo nganka ni Nini na unaitengeneza wewe na unaipata wapi au duka la asili

  • @ashurakabura7268
    @ashurakabura7268 9 місяців тому

    Sheikh naomba kuuliza, hiyo ngaka ndo nin ?mim sijaelewa

  • @zafaranimrisho2111
    @zafaranimrisho2111 9 місяців тому +1

    Bado Kuna kitu sijaelewa, kichwa Cha habari kina SEMA Soma nyiradi hizo Mara 7, Sasa swali NI je kwenye hizo idadi unazozisema hapo ndo natakiwa NI rudia Mara 7???. Mfano umesema kumswalia mtume Mara 700 kwahyo natakiwa nifanya 700 Mara 7???

    • @miishhassn
      @miishhassn 9 місяців тому +1

      Hapan nyitaf zipo sab unazifanya kwa hiyo idad aliyotaj sio kila ifada mara mia sab hee😂😂😂

  • @asyavuai
    @asyavuai 8 місяців тому

    NGAKA NDIO NINI

  • @user-lq8zi6on2e
    @user-lq8zi6on2e 9 місяців тому

    Ngaka ni Dawa ambayo anaiyuza nimeiyona tangazo apo mwisho

  • @babakeaisha7572
    @babakeaisha7572 9 місяців тому

    Ngaka ni nini,nijibu please

    • @mcharagwanya
      @mcharagwanya 9 місяців тому

      NGAKA nia Dawa Ambayo Inaondosha Nuksi kwa haraka mnooo pia Inaondosha uchawi na kufungua vifungo vya kichawi. Vile vile Inapambana na Mashetani na mizimu inayosumbua watu.

  • @zafaranimrisho2111
    @zafaranimrisho2111 9 місяців тому

    Halafu mbona surat fatiha umeitaja mara mbili ?? Umekosea au ndo utaratib ???

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 9 місяців тому

    Someone to help me,,, Ngaka ni nini?

    • @user-yg3re7tw2h
      @user-yg3re7tw2h 9 місяців тому

      Nidawa yakutoa nuksi mikosi mwilini

    • @mcharagwanya
      @mcharagwanya 9 місяців тому

      NGAKA ni dawa ambayo Inaondosha uchawi na Nuksi kwa haraka Mnoo pia Inaondosha hasadi na Mashetani

  • @worlworld9404
    @worlworld9404 9 місяців тому

    ni lazima ni oge na ngaka naeza soma

    • @miishhassn
      @miishhassn 9 місяців тому

      So lazma

    • @mcharagwanya
      @mcharagwanya 9 місяців тому

      Ukioga na NGAKA ni nzuri Mnoo kwa sababu itakua Imefungua vifungo vilivyokua vinasababisha mambo yako kuwa dolo dolo

  • @user-uc8je7dq7h
    @user-uc8je7dq7h 9 місяців тому

    Shehe mie nauliza lazima uwogo nachuvi ndio usome

    • @miishhassn
      @miishhassn 9 місяців тому

      Hapan amesema kwa wale wanaosumbulwa na hasad eanakuwa na uvivu so uga na hayo maji then uanze ibada

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi 9 місяців тому

      ​@@miishhassnsamahan dada kwahy unaweza tu shika udhu na kuanza kusoma hizo si lazima kuoga hvy vitu???

    • @miishhassn
      @miishhassn 9 місяців тому +1

      @@AyshaHamis-qw3gi mi nilivyomuelewa mambo ya kuoga na chumv amesema kwa wale wanaosumbuliwa na hasad maana unakuta mtu anauvivu hawez fany hiyo ibada yot kashachoka aua kulala ndio maana akasema aoge na hivyo vitu but unatua udhu alafu unaseal kwanza rakaa mbil

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi 9 місяців тому

      @@miishhassn sawa nimeelewa sasa Shukran jazakahallha kher

    • @miishhassn
      @miishhassn 9 місяців тому +1

      @@AyshaHamis-qw3gi aamin kwetu sote🥰

  • @ashurakabura7268
    @ashurakabura7268 9 місяців тому

    Sheikh naomba kuuliza, hiyo ngaka ndo nin ?mim sijaelewa

    • @mcharagwanya
      @mcharagwanya 9 місяців тому

      NGAKA ni dawa ya kutoa Uchawi mwilini na mikosi pamoja na hasadi na nuksi