MAAJABU YA SURAT ZILZALLA || DR. OMARY BIHIZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 5

  • @rumaukombo6415
    @rumaukombo6415 8 місяців тому +1

    Msamehe shekhe wangu

  • @nuraabdul8014
    @nuraabdul8014 2 місяці тому

    Hii dua nimeifanya kwa wiki 3 kila wiki moja nafanya mara3 nimemaliza wiki 2 nimepata ndugu yangu amekuja kwangu wakati namsindikiza ghafla gari Lake likapinduka mara3 yeye ndani ya gari akasema nisaidie sikumsaidia nikaondoka imepita muda sijamiona nikaambiwa anaumwa sana

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 5 місяців тому +1

    Usilalamike Shekhe rizki anatoa Allah nazani unajua hilo na mti mkuu haikuwa rizki yako ni Rizki ya Shekhe Jafar ndio mana anauza sana zaidi ya zaidi ya sana. Usimchafue Shekhe Jafar rizki ni yake. Kama wewe ndio mwl wa Shekhe Jafar basi amini Mwanafunzi hampiti mwl wake . Sikio halipiti kichwa.

    • @lexygeisar8303
      @lexygeisar8303 4 місяці тому

      Mti mkuu tu Hebu jaribu hiyo ngaka ndio utajua Mwalimu kamzidi mwanafuzi, ni kweli hapo Jafari Riziki ilikuwa yake. Lakini sio vizuri ufundishwe Na mtu alafu useme maiti ndio kaku fundisha. Mimi dawa zote nimetumia. Lakini nime pona sana kwa ngaka

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 5 місяців тому +2

    Nyie masjid mtoro tv ni wanafiki sana hapa mnaleta Shekhe Jafar anazungumzia mti mkuu leo mnaleta Shekhe huyu ana mponda Shekhe Jafar kuhusu mti mkuu. Nahiyo dawa ya mti mkuu ya Shekhe Jafar mnaiuza nyie hapo kariakoo ktk duka letu mimi nilikuja kununua hapo. Wanafiki wakubwa nyie.