Utuwakilishe vema kwa nidhamu na utuletee mrejesho kamili amani ni muhimu mualike putin atembelee ifucha, marian faith healing centre..fatima ,kibeho, minazi mikinda na vatican pia sehemu zote zenye vivutio duniani TANZANIA-ngorongoro, tanzsnia inahitaji kujiimarisha kijeshi military reforms nashukuru pia ushirikiano wa kulinda amani na mipaka ya Tanzania ee mwenyezi mungu tusaidie.
Hongera saana Mhe TA, Mwenyezi Mungu akusimamie wakati uko huko hadi siku utakaporudi nyumbani
umetuwakilisha vizuri ,hongera kwa hilo
Safi sanaaa mimi kama mtanzania hapa ndo napompenda mama samia na tulia nakupenda upo upande sahihi ukoloni wa marekani hatuutaki
ASALAM ALAYKUM. MWENYEZI MUNGU AKUTANGULIE KATKA SAFARI YAKO AMEEN
Dr.Tulia is very smart
Haisaidii chochote
Hongera Tulia wetu umetisha
Bwana Akutumie
Hongera Tulia hongera Tanzania Hongera Afrika
Utuwakilishe vema kwa nidhamu na utuletee mrejesho kamili amani ni muhimu mualike putin atembelee ifucha, marian faith healing centre..fatima ,kibeho, minazi mikinda na vatican pia sehemu zote zenye vivutio duniani TANZANIA-ngorongoro, tanzsnia inahitaji kujiimarisha kijeshi military reforms nashukuru pia ushirikiano wa kulinda amani na mipaka ya Tanzania ee mwenyezi mungu tusaidie.
Kwa hapo nawasapoti tumemchoka marekani anafanya maisha kua magum
natumai umemuomba nafasi ya watanzania kua sehemu ya brics
Mitindo ya kusuka wiving
Fanya mpango wa kujiunga
Tuungane nao tu hao
Vipi nitumie namba za putin
Hilo la mahusiano yetu na urusi ndilo la kukazia hilo la ukraine wacha wakandwe hao mashoga😂😂
@@veraisaria kweli
Ww tulia huwezi saidia chochote Kaa kula Bata rudi
HutofanikiwA kwani mataifaya magalibi nandiyo yanayoleta vta mnayaogopa kuyaambia makosayao hasa malekani malekani ni adui wa mataifa machanga
Mwambie Putin atutembelee uku karikoo amaliza huu utata
muoga kuongea😂😂😂
Shauri yenu mtapohusishwa kwenye ushahidi ICC🤔
Kumamaamae si wawachukuwe netanyahu
Picha za kuunga-unga....................
We naye kwa wivu huna lolote roho mbaya tu
@@goodluckkombe994 msee
𝑆𝑖𝑜 𝑘𝑤𝑒𝑟𝑖, ℎ𝑖𝑧𝑖 𝑛𝑖 𝑝𝑖𝑐ℎ𝑎 𝑧𝑎 𝑚𝑐ℎ𝑜𝑛𝑔𝑜, ℎ𝑝𝑜 𝑃𝑢𝑡𝑖𝑛 𝑎𝑙𝑖𝑘𝑢𝑤𝑎 𝑘𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑚𝑎𝑚𝑏𝑜 𝑚𝑒𝑛𝑔𝑖𝑛𝑒