Idris Sultan asimulia mwanamke alivyopiga kambi kwake akitaka wafanye mapenzi, 'Ulikuwa mtiti mzito'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @Hashdough
    @Hashdough Рік тому +8

    SIJUI KWANINI ILA NADHANI IDRISS HUWA ANA UONGO MWINGI SANA

  • @virendavictoria5174
    @virendavictoria5174 Рік тому +5

    Kama kuna watu hawajui vhocjote kuhusu afya ya akili and they
    don't care basi ni police
    wa bongo

  • @cassimmwinyi5764
    @cassimmwinyi5764 Рік тому +1

    Bora leo Umesema unamjua Swabrah

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому +1

    Nampenda idrisi

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 Рік тому +1

    Idris ❤❤

  • @lifeofyuri4020
    @lifeofyuri4020 Рік тому +1

    Tanzania tupo nyuma sana na hizi elimu za mental health ....

  • @joleemusic4396
    @joleemusic4396 Рік тому +2

    Sifikiri kama nisawa mm kuendelea kuzungumziwa kwenye mitandao ya kijamii kukaa kwangu kimya haina maana kua sina vya kuzungumza please tusije kutiana aibu I don want drama

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 Рік тому +3

    Mental health wapi bwana wewe ungempiga RUNGU machizi kibao wajawazito.

  • @alfredbomani9098
    @alfredbomani9098 Рік тому +3

    Sio gigymoney kweli uyo

  • @Dema_Tours
    @Dema_Tours Рік тому +5

    Nipeni likes zangu

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 Рік тому +4

    Idris jamani hachoshi kuskiliza

  • @bakaritsuma2190
    @bakaritsuma2190 Рік тому +5

    Wabongo bana yaani chizi afungue dirisha atupe simu wala sio kuingia 🤣🤣🤣 hio inafaa kua movie deadly

    • @MohamedMohamed-fg1kh
      @MohamedMohamed-fg1kh Рік тому

      Mental health unayo

    • @neemakrekamoo4789
      @neemakrekamoo4789 Рік тому

      Yaani hii kitu huwa inaitwa bipolar maniac...mtu anakua na energy kama kapagawa hv...akili inamtuma afanye mambo meeengi at per...akiongea haongei pumba but anaongea mambo yasio make sense at that time...Kwa asiemjua anaweza kusema ni mapepe...but ni ugomjwa

    • @neemakrekamoo4789
      @neemakrekamoo4789 Рік тому

      Mfano ni Gigy ,Diva na Akothee wa Kenya...wanajisema kbs kuwa huwa Wana hii disorder...akizingatia dawa anakua normal kabisa.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️

  • @assacisse9458
    @assacisse9458 Рік тому +10

    Na wewe idris una matatizo ya akili Unavaaje saa mbili kuangalia muda mmoja🤷🏾‍♂️

    • @readtanzania2023
      @readtanzania2023 Рік тому +1

      Moja ni Apple watch Iko connected na simu yake

    • @emmanuelmchomvu2676
      @emmanuelmchomvu2676 Рік тому +1

      Kma hujui uliza hyo apple watch Iko connected n simu

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому

      Tunajua lkn mtu akivaa hyo havai saa nyengine

    • @assacisse9458
      @assacisse9458 Рік тому

      @@emmanuelmchomvu2676 sasa tatizo lipo Apple ina nini cha ajabu tumeimiliki series ya mwanzo mpaka ya nane swala ni muda mmoja ya nini kuwa kama autistic syndrome🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️

    • @minaelnathanael1846
      @minaelnathanael1846 Рік тому +1

      Hata kama ni Apple watch huko Ulaya wanakozitengeneza huwa wanavaa mbili?

  • @nigerian_4736
    @nigerian_4736 Рік тому +2

    #ILoveYoutubing😂

  • @maryamhilal9820
    @maryamhilal9820 Рік тому

    Sichoki kumsikiliza jamnani

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Рік тому +2

    Jama anajuwa kiki ilivyo dunia hiyoooo