WAFANYABIASHARA WAWILI WADAIWA 'KUTEKWA' SINGIDA, HAWAJULIKANI WALIPO, WAKE ZAO WAELEZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 80

  • @TheresiaMwanga-m5v
    @TheresiaMwanga-m5v 9 місяців тому +3

    Mwanadarasa wangu Haruna Mungu akulinde utoke huko salama pamoja na mwenzako

  • @JoharOman-md7tk
    @JoharOman-md7tk 9 місяців тому +2

    Polen sana ndugu zangu wa singida kwel hii serikal haina musaada ee mungu ishikilie nchi yetu

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 9 місяців тому +4

    Inshallah biidhni llah watapatikana..Allah awape subra kwa wakati huu mgum

  • @RoseKaiza-g2j
    @RoseKaiza-g2j 9 місяців тому +3

    Mi hata sijui niandike nini maana Nina mengi sana yakulaumu lakin yote kwa yote nawaombea huko waliko ndugu zetu wasiwauwe kwa maana familia inawategemea mungu awafunike kwa damu ya yesu!

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 9 місяців тому +12

    Haya mambo yanerudi upya aisee kwa kasi kubwa sana aisee😢😢😢😢😢

  • @zainabumsafir1182
    @zainabumsafir1182 9 місяців тому +1

    Polen sna Allah awalinde popote walipo mung awatie nguvu familia hiz

  • @RamadhaniMwaja
    @RamadhaniMwaja 9 місяців тому +1

    Pole sana haruna na ndgyetu juma mungu awatangulie huko mliko kama wanataka chochote wasema kwa familia husika kuliloni kukaa kimyaa

  • @ukhtyrehemaabdy2830
    @ukhtyrehemaabdy2830 9 місяців тому +3

    Allah warudishe anko zangu warud salama

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 9 місяців тому +1

    Subhanallah poleni sana...yarrab walinde waja wako huko walipo .

  • @jofreymngoke6313
    @jofreymngoke6313 9 місяців тому +1

    Jamani poleni sana tunaomba mwenyezi mungu awalinde huko waliko

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Місяць тому

    Allahu akibarr😭 hunimtihani Tz jamani watuwanatekwatu

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 9 місяців тому +1

    Siwafahamu.lkn roho yangu inaniuma saaana.YA ALLAH TUSAIDIE VIUMBE WAKO.

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 9 місяців тому +4

    kila mtu akitekwa anakutwa kafa kuna nini kinaendeleaaa serikali itupe majibu hii nchi inaweza ikageuka vita maana watu watachoka haya matukio ya cruizer nyeupe ,dar cruser nyeupe singida gari ile ile ,watu wataanza kuzichoma moto izi cruizer

  • @khalidmwakabuta5045
    @khalidmwakabuta5045 9 місяців тому +4

    Yaa Rabbi , wewe ndio muweza wa vyote Muumba wetu weka mkono wako Yaa Rabbi wajomba zangu wanusurike kwa hili

    • @khalidmwakabuta5045
      @khalidmwakabuta5045 9 місяців тому +1

      Usiku mwingine Yaa Rabbi tunakuomba uzidi kuwanusuru wajomba zangu kweli tunakosa kulala ,kula kwa hofu yote juu ya ndugu zetu Yaa Rabbi, Tusikie maombi yetu tumechoka mateso na nafsi Yaa Rabbi turudishie wajomba zetu kwa uwezo wa Yaa Rabbi yawezekana ,Yaa Allah Yaa Allah Yaa Allah dhihirisha hilo sasa

    • @khalidmwakabuta5045
      @khalidmwakabuta5045 9 місяців тому

      Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar
      Yaa Rabbbi tunakuomba siku hii nyingine tena tukiwa tuko na mawazo juu ya ndugu zetu wapendwa wetu , Allah we ndio muumba wa vyote wale wenye nia ovu na wajomba zangu Yaa rabbi waondoshee roho ya kishetani waturudishie wapendwa wetu tunawahitaji sana Yaa Allah

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Місяць тому

      Amyn yarabiaalMyn😭😭🤲

  • @LevinaMichael-oy8cu
    @LevinaMichael-oy8cu 9 місяців тому +8

    Hivi nida zilikuwa zinakazi gani mbona watu wasiojilikana wamekuwa wengi afu wako tanzania tu

  • @SudyTupa1
    @SudyTupa1 Місяць тому

    Poleni sana

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 Місяць тому

    Watekaji wanatumwa Tumwombe Mungu amfute kwenye uso wa nchi hii huyo aliye chanzo watu wa Mungu waishi

  • @rehemambedule7531
    @rehemambedule7531 9 місяців тому

    Allah subhana ndiye mpangaji wakila jambo mungu asaidie wawe salama huko waliko

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 9 місяців тому +1

      Wasiojulikana wanatuharibia nchi na uongozi wa mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 9 місяців тому +1

    Ewe mwenyez mungu awasimamie popote pale maana wewe ni muweza wayote yaarabi wanusuru ndugu zangu yaarabi

  • @noeljingu1909
    @noeljingu1909 9 місяців тому +1

    Eee MUNGU walinde huko waliko Amen

  • @ModestaBarnaba
    @ModestaBarnaba 9 місяців тому

    Mungu awasaidie jmnii wanusurike

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 9 місяців тому +5

    Mambo ya wasio julikana😢😢

  • @AminaJambia
    @AminaJambia 9 місяців тому

    Asalam aleykum poleni ndugu na jamaa

  • @emmanuelmakorere4835
    @emmanuelmakorere4835 9 місяців тому +1

    Heche oyeeee wa tanzania mtayakumbuka manenoyahawa ndugu heche na tundurisu

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 9 місяців тому +2

    hao ni polisi hata kaka yangu na mimi walimteka hivo hivo na wanatumiaga hiyo hiyo cruser nyeupe yaani huo ni uhuni hatari

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Місяць тому

      Alludi huyo kaka yako?

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Місяць тому

      @@HanifaOman-oo4pl kaka yangu mi tulimpata ilikuwa kimbembe unaifikili tulikubali kirahisi rahisi na walikuwa wamemficha kituo Cha police tazara. Mi nilienda Hadi kwa karibu mkuu wizara ya mambo ya ndani aliwabana wakawa TU wanajiuma uma kumbe wameshampeleka mtwara na Huko mtwara ndio Kuna pango kubwa la kuwafichia mbona walimludisha ilikuwa binde sio ya kitoto hao police ndio watekaji wakubwa kama ni ushahidi nianao mi wa kaka yangu wahuni vibaka magaidi wakubwa hao

  • @fidelialucassamkhumbi2476
    @fidelialucassamkhumbi2476 9 місяців тому +4

    Aliwahi kusema tundu lissu, lakini uwelewa wetu ulikua mdogo saana kuelewa maelezo yake.

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 9 місяців тому +1

    Nchi hii kazi ipo,tunahitaji ukombozi

  • @ukhtyrehemaabdy2830
    @ukhtyrehemaabdy2830 9 місяців тому +1

    Mungu simama n'as familia inateseka tunakesha kuwaza

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 9 місяців тому

    Hukushika namba ya gari namba

  • @HarunaRamadhan-z4c
    @HarunaRamadhan-z4c 9 місяців тому

    Allah awafanyie wepesi warudi salama 😭😭😭

  • @samwelclement8108
    @samwelclement8108 Місяць тому +1

    Polis wako fit. Kupamba na na chadema. Na. Sio. Watekaji

  • @GladyMussa-mh6vf
    @GladyMussa-mh6vf 9 місяців тому +2

    Sasa usalama wa taifa mkoa unausiana na nin boya

  • @OmaryIbrahim-n5m
    @OmaryIbrahim-n5m 9 місяців тому +1

    Kwa kweli inasikitisha sanaaaa

  • @jumamohammed2748
    @jumamohammed2748 9 місяців тому +1

    Da! Inauma sanna!

  • @leahmgogo9569
    @leahmgogo9569 9 місяців тому

    Jamaniii vipi kuhusu hawa ndugu zetu walipatikana???

  • @FredJoseph-rv6dy
    @FredJoseph-rv6dy 9 місяців тому +1

    Kazi zimeanza hata Jana heche alikisema

  • @OmaryIbrahim-n5m
    @OmaryIbrahim-n5m 9 місяців тому +2

    Nimepokea kwa MASIKITIKO MAKUBWA sanaa

  • @laurencemassawe9100
    @laurencemassawe9100 9 місяців тому

    Kuna watu wanataka ela kwa nguvu apo

  • @Msomali-o7f
    @Msomali-o7f 9 місяців тому

    Saivi umekuwa km mchezo wa kuingiza pia utaambiwa ni watu wasiojulikana kila mtu anafanya anavotaka

  • @subiraibrahim8100
    @subiraibrahim8100 9 місяців тому +1

    SubhnAllah 😢😢

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 9 місяців тому

    Wengine wamekula pesa za vikoba wanakimbiaga

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 9 місяців тому

    Ni uchunguzi huo na utamaliza miaka uzembe hakunq lolote litafanyika

  • @petrolconrad4250
    @petrolconrad4250 9 місяців тому +1

    Pesa na mapenzi ni tatizo. Tuwaombee wapatikane salama

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 9 місяців тому

    hapo waandae tu msiba ukitekwa saivi unakutwa marehemu

  • @RamadhaniMwaja
    @RamadhaniMwaja 9 місяців тому

    Kwani wasiojulikana wamerud jaman

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 9 місяців тому

    Watanzania ACHENI kuuwana BILA sababu

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 9 місяців тому +1

    Tatizo lipo hapo siri wanaijuwa walowachukua why wawachukue hao tu ujue lazma kuna jambo mungu atusaidie maana so mchezo dunia hii

  • @khadijahamisi5561
    @khadijahamisi5561 9 місяців тому

    Viongozi wahapo wanajua vzur tu hii ndio selikali mliyoitaka ya mama yenu magu ulale mahali pema wambie mambo yabangi mirungi fasta utawaona

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 9 місяців тому +1

    Mbona kamchezo kaa kutekwa kanazidi vip tena mana hii sio poa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 9 місяців тому

      Tanzania nchi ya amani😓

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 9 місяців тому

      Si wa2 wapo huru wanajifanyia wanavotaka? Wakati unajiuliza ilo jiulize pia ule mzigo uliokamatwa ( kgs) wahusika ni akina nani?

  • @shabanisaleeh4541
    @shabanisaleeh4541 9 місяців тому +1

    😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Abdul-rn5zj
    @Abdul-rn5zj 9 місяців тому

    mola tunusuru

  • @FredJoseph-rv6dy
    @FredJoseph-rv6dy 9 місяців тому

    Police wamesahau kazi yao

  • @RamadhaniMwaja
    @RamadhaniMwaja 9 місяців тому

    Usalama wa raia na Mali zao Iko wapi

    • @asteriashios1852
      @asteriashios1852 9 місяців тому

      Police wajibu hayo wanalinda raia wepi? Kwanini wasiyo julikana police ndo wanajua

  • @kassimjumanne5399
    @kassimjumanne5399 9 місяців тому

    Duuh

  • @SeifAlliy
    @SeifAlliy 9 місяців тому

    Jeshi la polisi ambao ndio usalama wa raia na malizao lipo wapi? Na liafanya kazi gani?

  • @prosperreuben1724
    @prosperreuben1724 9 місяців тому

    Makonda mwenezi 7ya awe katibu mkuu

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 9 місяців тому +1

    Aulizwe huyo aliyesema aliagizwa kuchukua gari

    • @ukhtyrehemaabdy2830
      @ukhtyrehemaabdy2830 9 місяців тому

      Hana analolijua Zaid ya kuelekezwa gar ilipak sehem sio nyumban

    • @FridaMmari
      @FridaMmari 9 місяців тому

      sasa na yeye sikapigiwa na alietekwa atafanya nini

  • @PhinaGeorge-o5m
    @PhinaGeorge-o5m 9 місяців тому

    MUNGU baba tenda miujiza

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 9 місяців тому

    Lazima kuna siri nyuma ya hilo jambo tena sio dogo.. Ujambazi au madawa ya kulevya

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 9 місяців тому

    Biashara..... zile kilo zote haiwezi kuacha watu salama

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 9 місяців тому

      Mkuu naweza kukuunga mkono make serikali inamkono mrefu! Eti biashara ya mbaooooooooo!!!

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 9 місяців тому

    1:29

  • @mastaplan
    @mastaplan 9 місяців тому

    Pesa huja na starehe na matatizo humo humo ndani
    Fid Q ft zahil zorro report za mtaani

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 9 місяців тому

    .