Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

WAFANYABIASHARA WA MADINI NA MASONARA WALIVYOKIMBIANA POSTA/WAZIRI KAIRUKI KAWASHTUKIZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2018

КОМЕНТАРІ • 113

  • @lulenziku1238
    @lulenziku1238 5 років тому +6

    Sasa kazi imeanza mama upo vizuri

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 5 років тому +8

    Kweli hii Tanzania 🇹🇿 mpya tumeeibiwa sana na hao wahidi kwao hatusibutu kufungua hata genge la kuuza nyanya kwetu wanaemiliki maduka ya Diamond 💎 wali zoea utawala wa JK kodi wana mpa yy kwa sasa hapa kazi tuuu

    • @africatanzaniatours5980
      @africatanzaniatours5980 5 років тому

      Makanji bai wamezoea upigaji

    • @Mnaveed_804
      @Mnaveed_804 5 років тому

      Nani kapewa nafasi kufunya mambo hayu ??? Anyone have answer... who give them chance to do that .....

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 5 років тому +6

    Mambo taratibu elewaneni tupate kodi vizuri wala hakuna haja ya magomvi tupate kodi nawao wafanye biashara yao vizuri na waionee raha kazi zao

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 років тому +1

      Seleman Kishema na waTZ wafaidike maradufu..

  • @Mariam-ez4qw
    @Mariam-ez4qw 5 років тому +3

    Hapa kazi tu💪💪💪

  • @baumbachogero9410
    @baumbachogero9410 5 років тому

    Dakika kumi au hata ishirini kwa kufanya ukaguzi wa aina hiyo hautoi picha halisi ya hawa Dealers, Waziri anafanya kazi nzuri kwa kuwasitukiza hawa ingawa kwa kweli hii kazi wangeifanya maafisa wake kila siku ingesaidia kugundua ujanja ujanja wa hawa Dealers ambao wengi ni wageni na hawakidhi mahitaji ya hizo leseni. Maafisa wa wizara msaidieni waziri wenu. Tokeni ofisini!

  • @petermahimbo9450
    @petermahimbo9450 5 років тому

    John pombe magufuli..kazi nzuri

  • @victorkileo4184
    @victorkileo4184 5 років тому

    Haahaahaa, sukuma ndani, duh amakweli safarihii sio mchezo. Hongera waziri

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 років тому

    Asante san viyongoz wetu kwa majukumu makubwa kuriongoza taifa letu kumuongoza mwanadamu kunachanga moto kubwa san viyongoz wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nanyi

  • @jacquelinelinja5079
    @jacquelinelinja5079 5 років тому

    Wanatapel sana n.a. kuwanyonya wachimbaji

  • @amenyekibona8730
    @amenyekibona8730 5 років тому

    nakwelewa sana mama, nchi hii inajengwa na sisi wenyewe Mungu akutangulie katika ziara yako

  • @asma4952
    @asma4952 5 років тому

    Safiii sanaaaaa tulinyonywaa sanaa watz baada ya miaka mitano ikiwa ivyo nasi hatutokuwa watumwa kwenye nchi yetu

  • @thedeo472
    @thedeo472 5 років тому

    Hii video imenisikitisha sana kuona jinsi Tanzania inavyoibiwa na Wajanja! Mimi nakuomba mheshimiwa waziri uwafikishe mahakamani watakaopatikana na makosa. Sio kwamba hawana kumbukumbu, hawa ni wafanyabiashara makini na ni lazima wana kumbukumbu za Mauzo, matumizi, manunuzi n.k. Keep it up.

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 5 років тому

    Kiukweli Bongo tumezowea kufanya Biashara kiujanja ujanja na kinyume na sheria.

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 років тому +3

    pasha pasha choma; KAIRUKI oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 5 років тому

    Ila dada nimekupenda unasema kwa hekima sana
    Ahsante my momy

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 років тому +1

    KAIRUKI AJE KUWA RAIS.KAZI NZURI SANA UNAFANYA .

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 5 років тому +10

    Wakati wao umefika, wanao Piga sana nchi nyoosha dada, Viva JPM💪

    • @jeremiahsengasu6595
      @jeremiahsengasu6595 5 років тому

      Mussamussa Mussa huelewi kabisa mkuu, nafikiri hufanyi biashara ndio maana unaona ni sawa

  • @Mnaveed_804
    @Mnaveed_804 5 років тому

    Hawa alikuwa anakibri sana wadugu zangu lakini jamani alikuwa anakibri astaghfaar..... unaona sahivi sasa jamani unapata faeda mashallah kwa billions sasa kufuata shria hataki yani malipo ya vibal wote hafiki million 5..... ni haramu haramu haramu.....

  • @meddyzambetakis7657
    @meddyzambetakis7657 5 років тому

    Asante dada 👊

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 5 років тому

    Safi sana mi nasema vuma vinyonge kabisa wajanja wamezidi mno,msipo wazibiti nakuweka hazarani mtachezewa sana

  • @swahibasaswa2677
    @swahibasaswa2677 5 років тому

    kuna tatizo kubwa sana

  • @MambaAfrica
    @MambaAfrica 5 років тому

    Weka yeye ndani.

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 5 років тому +5

    Mamdogo Kauruki nae Mkali

  • @zahararajabu4169
    @zahararajabu4169 5 років тому

    Mtihan

  • @adammjema4987
    @adammjema4987 5 років тому +2

    Safi sana walizoea za mteremko

  • @njonjolomahfudh3238
    @njonjolomahfudh3238 5 років тому

    Namuona Paulo anavoumiaaaaaaa, its real hurt.

  • @christianmakawa5722
    @christianmakawa5722 5 років тому

    Anayeona hii ni sawa,anipe sababu 2 za kibiashara na za kiuchumi,kwa maslai mapana ya nchi.....

  • @fredysamizi9877
    @fredysamizi9877 5 років тому

    kazi kazi......tumenyooka

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 років тому +1

    Hao wahindi ni weziiiiiiiiiiiiiiiiiii. kamata tia ndaniiiiiiiiiiiii

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 років тому

    MAKONDA SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

  • @ramadhanisakalani8372
    @ramadhanisakalani8372 5 років тому

    Daaa wezii wa mjiniiu wameumbukaa chukuaa waziriii tuka jenge reli

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 5 років тому

    Da yaani ndugu zetu wanakufa na njaa Temeke lakini hii midosi wanachezea mali zetu kama wapo kwao Kashimili?

  • @nassorsubah3100
    @nassorsubah3100 5 років тому

    Huyu Mama mzuri sana mrembo sana

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 5 років тому +9

    Wezi hao wahindi halafu kunyanyasa wafanyakazi wanaongozaa😄😄

    • @saesmail777
      @saesmail777 5 років тому +1

      Sasa mbona unabagua? Kwani wahindi wote? Mwizi akiwa mswahili au mwarabu au mzungu, utasema waswahili au warabu ni wezi? Sivyo!

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 років тому

      we bhna aliyekwambia kuna usawa nan.?? nenda kaibe kwa watu uko kama watakwambia ama watakueleza au kuhukumiwa sawa na wenyeji..
      Pengine labda na wewe mhamiaji!?

    • @AK-ho2lb
      @AK-ho2lb 5 років тому +2

      Nyuma yao kuna weusi ambao ndiyo wezi wakubwa wala rushwa.

    • @mamloahmed5486
      @mamloahmed5486 5 років тому

      +Mnzava Chris weusi ndio wenye nchi wao ndio machori mabigi

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 років тому

      Mamlo Ahmed machori mabigi ndo nn mkuu..

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 років тому

    KAIRUKI SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

  • @jamesjacksonbulemela4139
    @jamesjacksonbulemela4139 5 років тому +5

    Kairuki sass naanza kukuelewa

  • @mohamedally9774
    @mohamedally9774 5 років тому

    hakika nchiiiiiiii imetafunwa

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 5 років тому

    Mama piga kazi hao no noma hata Mimi naona kabisa uzito sio watu Wa mchezo maana wanapesa hivyo kuhalibu kesi na kupambana sio kitu kidogo

  • @kato_tz
    @kato_tz 5 років тому

    Ni kweli wawekezaji tunawapenda but this is too much, Yaani mtu anafanya biashara kubwa kama hii halafu hana documentation. Something has to be done, this dudes wanatuonaje sijui. Business is all about Sales and Purchase books of Accounts halafu eti mtu hana then anaoperate come ooooonnnnn

  • @mamahustru
    @mamahustru 5 років тому

    Aisee, watu wanadharau kweli. Yaani na makelele yote hayo aliyopiga Magu tagu aingie madarakani, bado kuna watu wanafanya ujanjaujanja. Mh. Waziri, shughulikia wote hao.

  • @fbr5113
    @fbr5113 5 років тому +1

    Na ndio wanaongoza kwa kutuchafulia nchi mitandaoni hadi waankodi watu watukane serikali ili mradi tu Tanzania tuvurugike. Hatuvurugwi ng'oooooo na mwendo ndio huo wa kamatakamata majizi mfyuuuuu zenu vibaka wa kodi nyie

  • @fbr5113
    @fbr5113 5 років тому

    Hao watumishi wa serikali nao ndio wankula rushwa za kuwalea hao majizi, ona yule mdada wa huko kwenye kodi kapigiwa simu ndani ya dakika chache kawarekebishia makosa yao ya malipo fasta

  • @VallentinoEmmanuel
    @VallentinoEmmanuel 5 років тому

    Wafanyakazi wengi wa TRA wakishirikiana na kampuni za ushauri wa biashara ndio wachochezi wa ukwepaji ama ulipaji mdogo wa kodi za madini kwa wafanyabiashara husika.

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 років тому

    KAIRUKI OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

  • @khadijaissa1734
    @khadijaissa1734 5 років тому

    Kama huyo wa gold point namjua vizur anadhulumu mishahara ya wafanya kazi wake sana..... Kisha anaubaguz wa rangi sana ukiwa wewe ni mtu mweusi huwez kuuza dukani kwake anatuita sisi ni waizi mtu mweusi atabai nje ambaye ni mlinzi..... Mungu kamuonyesha

  • @godlovemrosso8715
    @godlovemrosso8715 5 років тому

    Haina namna kwa sasa hapa ni kulipa kodi haina kukwepa mama fanya kazi

  • @josephmateru8892
    @josephmateru8892 5 років тому

    Wafanya Biashara Lazima Mbadilike Kulingana Na Nyakati

  • @peace-8400
    @peace-8400 5 років тому +5

    Upuuzi tu, yatakiwa mpigane vita na dawa za kulevya
    Sio kufuatilia biashara ya mtu step by step through media, kujua faida yake na hasara yake ni kuhatarisha maisha yake
    Huyu kwa hii video kashalipa kodi, Sasa Huyu mwanamke atafuta kila kosa ilhali hanakosa
    Upumbavu mtupu, vitu vingine sio ya kuonesha kwa video, mna hatarisha maisha
    Sasa unataka kujuwa inavyo katwa inavyo tengzwa yatoka wapi blah blah blah sasa hiyo ndio kuangalia makaratasi ya kodi idiot

    • @romanomc936
      @romanomc936 5 років тому

      Peace - mie c mTZ but nakuona akili dogo

    • @peace-8400
      @peace-8400 5 років тому

      @@romanomc936
      Wewe ujjnga ya kiafrica bado naona ume rithi

    • @justinecleophas6299
      @justinecleophas6299 5 років тому

      Nyie ndio wale wapuuuuuuzi mnaoshi....

    • @peace-8400
      @peace-8400 5 років тому

      @@justinecleophas6299
      Mtu wa madawa wewe

  • @fbr5113
    @fbr5113 5 років тому

    Hadi mkuu wa mkoa au Waziri au Rais wanaamka kufuatilia hao watumishi humo maofisini sijui wanafanya nini zaidi ya kula rushwa? Watu wanatafuta ajira wao waliozipata wanazamisha nchi tuu

  • @harunakayega5531
    @harunakayega5531 5 років тому

    Ukiona hvyo kachomeshwa inamana wamejiandaa kwenda kwa huyo

  • @zonko0488
    @zonko0488 5 років тому

    Ndio haya maajabu ya Tanzania yetu duka la madini halina leseni Zaidi ya miaka 2 na linafanyakazi katikati ya jiji la Dar es Salaam. Bado sana, na hawa lazima wana wakubwa wanaowalinda kama huyu Bashite. Bado sana

  • @zinbormdan9813
    @zinbormdan9813 5 років тому

    Nchi za kiarabu wanachunga san pesa zao ndo maan wanaendelea

  • @ndahanyared6313
    @ndahanyared6313 5 років тому

    kiob

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 5 років тому

    watanzania maskin harafu wenyewe matajiri

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 5 років тому +1

    Safi

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 5 років тому

    JE UNAJISKIAJE KUONA MADINI HAYA YOTE ET YAKO KWENYE NCHI YAKO, NA NI
    VIPI UNAVYO FAIDIKA NAYO?

  • @abdulqareemabdala2772
    @abdulqareemabdala2772 5 років тому

    Mnawaoneyanwasio kuwa na makosa kweli unafanyankazi lakini mnaowapa madaraka ndio wanao wafanyiya ujinga

  • @josephmateru8892
    @josephmateru8892 5 років тому

    Tunataka Watumishi Kama Hawa Wengi Wageni Wanakuja Wanachota Wanaenda

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 років тому

    WAHINDU HAWA NI WEZI SANA.

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 5 років тому

    Yaan madini wanauza tu kama njugu

  • @Ajivrajloveahlulbayt
    @Ajivrajloveahlulbayt 5 років тому

    Sasa kila kitu unataka tax invoice na documents..unahasira duh..

  • @joshuamakaranga5798
    @joshuamakaranga5798 5 років тому

    Hivyo vidagaa kamata masangara yaliyonona

  • @mohamedally9774
    @mohamedally9774 5 років тому

    LOH miaka miwili hakuna lesenni ???????????????????

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 5 років тому +1

    kazi nzuri ila makontena ama madereva, kanitibulia kutoa sifa.. 🤦🏿‍♂️

  • @zinbormdan9813
    @zinbormdan9813 5 років тому

    Mfanyakaz ukitega kazin siku unakatwa mshahara uarabun tanzania kodi hazilipwi wanafaid wachache

  • @seojunkoomrkirangi4231
    @seojunkoomrkirangi4231 5 років тому

    Ila nihasala kubwa jmni ila pow ngoja wajifuze

  • @almatrashid1812
    @almatrashid1812 5 років тому

    Kuna mtu kakimbia kingee hapo simskii

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 5 років тому

    Wazi wakubwa hao,wanaifanya Tanzania shamba Lao! Hatua zichukuliwe pamoja na kwa hao watumishi wanaowasaidia kuiba kwa kupewa commission ya 10 percent. Hao na wabeba wahamiaji haramu hawana tofauti.

  • @andrewmaganga576
    @andrewmaganga576 5 років тому

    0625148641 kuna Dada yupo mbagala kizuian ni sonara mwiziii cheki miii nikuambieni

  • @jeremiahsengasu6595
    @jeremiahsengasu6595 5 років тому

    kama wewe ni mfanyabiashara sitarajii kuona unacomment Mjinga, Serikali yetu ni kandamizii Kwa Wafanyabiashara...

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 5 років тому

    duuh 2yrs without licence

  • @mahrooqsuleiman7216
    @mahrooqsuleiman7216 5 років тому +2

    Tena wafukuze warudi makwao

  • @AwesomeCaptainxx
    @AwesomeCaptainxx 5 років тому

    wanalete zalau kwenye nchi yetu kwao wana tuua hawa😬

  • @youngxhadah7951
    @youngxhadah7951 5 років тому

    pasha pasha pasha tumpigie waziri makofi.....

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 років тому

    Wezi wakubwa hawa wahindi

  • @naree3697
    @naree3697 5 років тому +2

    Danganya Toto washapanga apo ni comed tu

    • @douglasjackson373
      @douglasjackson373 5 років тому +2

      Nare E
      -Kila kitu viongozi wakijitahidi kufanya hamuamini!! Mnataka wafanyeje?

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 5 років тому

      Nare E kwa sababu wewe una akili za kitoto lazima uone hivyo

    • @jeremiahsengasu6595
      @jeremiahsengasu6595 5 років тому

      Nare E kweli kabisa wanatuigiziaa

    • @justinecleophas6299
      @justinecleophas6299 5 років тому

      Ww n mpuzi wa kila cku mnajulikan.....kwa upumbavu km hujui unach waza achana n tz nenda zako kongo

  • @laysaasaid4058
    @laysaasaid4058 5 років тому

    Kutahifisha ndo nn

  • @rali8825
    @rali8825 5 років тому

    Mbona ana interrupt Mh. Waziri anapouliza maswali?? Anapouliza maswali kwa wafanyakazi.
    Dada alikuwa anatiririka akateleza kwamba kuna mmoja hajapata permit, boss karukia eti hajaingia nchini. Kumbe labda yupo pale pale.

    • @alisaid8213
      @alisaid8213 5 років тому

      Wambongo mumefeli pakubwa kwenye kuku sanya ushuru hamna mfumo mzuri hi niaibu tupu cz maarifa sio makosa ya wafanya biyashara

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 років тому

    KAIRUKI OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE