HAINA HAJA YA UGOMVI SOTE SISI NI MASALAFI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 120

  • @SalimHamza-w4f
    @SalimHamza-w4f 15 днів тому

    Maashaallah

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 20 днів тому +4

    HII SEHEMU KAMA NI KATIKA MAULIDI ITAKUA WALIJUTA KUMUALIKA

  • @UsalafiniKWETU01
    @UsalafiniKWETU01 21 день тому +6

    Waambie sasa waache kutuita majadida maana umewasomesha somo zuri sana.... Waifuate manhaja ya sawa!!!

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 20 днів тому +2

      Nawew uache kuwatoa wenzio katika duara la ahlsunnah kisa majina tuuh.na wao wataacha kukuitq jadida Ila kama mtaendelea kuwafanyia uwadui na kujiona wale so salafy nawao hawqtaacha kukuita jadida Sabu upande wanao kuita jadida hawana shida na kuwa ww ni salafi Ila ww unae itwa jadida ndo unatowa watu katika sunnah na kuwaita wale so ahlsunnah ni hizby tuuh kirahisi tuuh.

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 20 днів тому

      @@UsalafiniKWETU01 ila sasa akhyu wale washaakua sugu ikiwezekana aachane nao yy alinganie daawat salafiyya maan sisi woote tulikua huko kwenye uanswar nasisi hatuna elimu kama yy kwanini sisi tuijue haqq nayy asiijue nayy nimjuzi wa dini zaidi yetu sisi ??

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 20 днів тому

      ​@@AbdulIssa-o7enani alianza kumtoa mwenzake katika Sunnah ewe shabiki wa kihizby?
      Barahiyyan ana clip za mwaka 2007 awaita watu majadida
      Haya tuonyeshe audio hata moja ya salafy alie watoa nyie katika Sunnah wakati huo 2007

    • @farajichilumba5114
      @farajichilumba5114 20 днів тому

      Mashallah

    • @farajichilumba5114
      @farajichilumba5114 20 днів тому

      Tubaki kurekebishana sasa kupitia misingi ya ahlu Sunnah katika dini

  • @JumaJuma-i2g
    @JumaJuma-i2g 20 днів тому +2

    EEEEEE KUMBEEEE BASI HAKUNA TENA MAJADIJAAAAA SAFI SANA

  • @ibrahimsaid5538
    @ibrahimsaid5538 21 день тому +2

    بارك الله فيه أصاب واجاد وافاد وهو من السلفيين إن شاء الله لأن مذهب السلف ليس حزبا

  • @SalehLofy
    @SalehLofy 18 днів тому +1

    Muislam tu Ahlu Sunna haijaanza zamani Abu Hanifa, Malik,Ahmad bin Hambaly,Shafy hawa wote ukiwauliza Ahlu Sunna wal jamaa hawajui

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 20 днів тому +1

    ALLAH ATUDUMISHE KWENYE MANHAJ YA HAKKI YA KISALAFY MPAKA KUFA KWETU

  • @aliimanitujitibukwatibazahalal
    @aliimanitujitibukwatibazahalal 20 днів тому

    الدين النصيحة...من ينصح وﺃين ومتی...بارك الله فيكم ﺃهم شيء القول والعمل فيمايقول لكل منا.

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 18 днів тому

    Ma shaa Allaah

  • @babanusayba3600
    @babanusayba3600 20 днів тому +1

    Mbona kitaeleweka Tu inshaallahu

  • @hassankagoma58
    @hassankagoma58 20 днів тому

    Shekh anayejijua huyu! Allah amlipe kikubwa baadhi ya waislam wanafata ushabiki utasikia Majadiida mara madaakhira kama mzee barahiyan na kikundi chake

  • @AbdulkarimShosi
    @AbdulkarimShosi 18 днів тому

    Nyinyi so masalafi bali nyinyi ni makhalaf acheni kudangamya watu mcheni mola

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 20 днів тому +2

    Wenye chamachao cha usalafi jadida wakikusikia subiri rududi yako

  • @AbuwNibras926
    @AbuwNibras926 20 днів тому +2

    Mwambie Kishik alisema majina yote ni fekii

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 20 днів тому +2

      Wacha upumbavu ...aliposema hivo ulimuelewa vipi ??

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 20 днів тому

      ​@@ShamsudeenOmary
      Tulimuelewa kuwa inachotakiwa ni kujiita jina moja tu nalo ni #ISLAM (Waislam) akatoa na dalili ya aya kisha majina yaliyobakia yoote ni #FEKI na akayataja kama mfano likiwemo jina na #salafi na mengineyo.
      Wewe ulimuelewaje?

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 20 днів тому +1

      @@SonofJacol-t6h Na alipojiita yeye ni assalafiy tena sunniy mlimuelewaje???
      Aau mnaelewa pale mnapopataka tu sio?

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 20 днів тому

      @@ShamsudeenOmary
      Ukitaka kujua maana ya kujigonga gonga basi huko ndio kujigonga gonga. Contradictions and double standards, ubabaishaji (talbis), huku mtu anakubali kule anakataa!
      Tulielewa aliamua kuyala matapishi yake yeye mwenyewe
      Wewe ulielewaje? Tujibu tafadhali

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 20 днів тому +1

      @@SonofJacol-t6h Ukishajibiwa utafaidika nini na jawabu langu??
      Alaf wewe ktk file lako una kheri ngapi mpaka ukae chini kuzungumzia watu wengine tena wenye kujitahidi ktk sunnah. Wewe umeridhika na uliyokwisha yatanguliza kwa ajili ya nafsi yako?
      Aau na hili litaongeza ajiri ktk mema yako?

  • @SALIMSALIM-ep3gk
    @SALIMSALIM-ep3gk 19 днів тому

    hehehehehe

  • @AbuuHafswa-l3l
    @AbuuHafswa-l3l 19 днів тому

    Hakika ww shekh unafahamu usalafi Allah akupe hidaya sio Hao mahzbya wengine wanataka kutofautisha Kati ya ahlusunna na salafy na kuwaita wenzao ni majadida

  • @IsmailGavara-n9p
    @IsmailGavara-n9p 20 днів тому

    Hello mpo! Eleweni kujiita ahlusunna sio ihtikadi my brotherz ahlu sunnati wal jamaa salafiyyun. Ni kuitakidi kwa vitendo maamrisho yu takidhu jaazima au jazimiin kwa kukata kabisa but sio nembo ya jina kwaku jiita Nooo!!!

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha 21 день тому

    Sio kweli achen upuuzi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 20 днів тому

      Sasa tupe ww ukweli

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 20 днів тому

      Tupe ukweli wako 😂 au unafuata bendera tu

    • @khamiskhamis9947
      @khamiskhamis9947 19 днів тому

      Babu user tambuwa ya kwamba Allah anasajili matendo yako, usione utatukana watu bure halafu usahaulike. Utakwenda kujibu.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 19 днів тому

      @@DjumaAsha utaki. Kaanzishe dini yako arafu ujibinafsihe lakini so dini alikuja nae mtume ni ya walimwengu so ya mtu wala yanani dini ni ya Allah na sunnah ni ya mtume muhammadi usiite watu. Wapuuzi ww ndo utakuwa mpuuzi kaanzishe dini yenu na sunnah yenu kwenye sayari tofauti nah hii kama una uwezo huo

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 20 днів тому

    Nyinyi ni magaidi tu 😂😂😂😂

    • @HamzaMakobanice
      @HamzaMakobanice 19 днів тому

      Nyie mmekalilishwa na ugaid tu ndo tusi lenu

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 19 днів тому

      Ugaidi wetu!???

    • @Yayouselim
      @Yayouselim 19 днів тому

      @@HamzaMakobanice Sasa kwani vikundi vya kigaidi hujinasibisha na madhehebu ya kina nani

    • @Yayouselim
      @Yayouselim 19 днів тому

      Maskini masalafi leo wanajenga umoja wao wenyewe

  • @muhammedaloufy4086
    @muhammedaloufy4086 20 днів тому

    Nyie mmeachia usalafi au Uislamu? Au Usalafi ni Dini Mpya!

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 20 днів тому

    😂😂😂😂😂 watu wa sunnah mnakorogana sasa wenyewe

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 20 днів тому +2

    Tumekuelewa shekh twaha allah akubariki issue ni majina tuuh, lakini kuna kikundi fulani sis tuwaona ni katika ahlsunnah lakini wao watuona sie so ahlsunnah na kuwatowa wenzao so ahlsunnah kumbe watu kutoelewa jina so kitu waweza mtu jiiita al hurabaa na akawa salafi.shida inakuja kwa watu fulani kujibaguwa sisi masalafy wale answwri sunnah ndo nini sasa hiyo 😂😂😂 kutojuwa maskini.

    • @farajichilumba5114
      @farajichilumba5114 20 днів тому

      Nulikataaga kujiita nyie thanks 4 coming ruwaida ruwaida

  • @AhmednurHussein-m2s
    @AhmednurHussein-m2s 18 днів тому

    Nyiny abadan sio masalafi wallah hata nyoyo zenu zajua kua hampo katika haqqi nikupe mfano kishki ni katika madu'ati munaoshirikiana nao na huwasifu watu wa bidi'a tena wengine bidi'a kufuriyya na shirkiyyah ndo vipenzi vyake na pia kashawai kusema kua ayo majina wew unayotakasa kua ni fekkii mbona hamkumtenga wala kumtahadharisha mpeka leo mpaka kesho yuko na nyinyi ittaqullah ya ikhwah hii ni dini ya Allah haihitaji mseto tena kama kuna cheneli zinazosapoti bidaa ni Tv Iman inaongoza

  • @yasakilube9946
    @yasakilube9946 19 днів тому +2

    Nyinyi maanswar mulikua munasema haifai kujita salaf, saiv imekuaje tena

    • @OmarAbeid-wu5ur
      @OmarAbeid-wu5ur 15 днів тому

      Hata fsuzani kakataa kujita salaf

    • @OmarAbeid-wu5ur
      @OmarAbeid-wu5ur 15 днів тому

      Faizani

    • @yasakilube9946
      @yasakilube9946 15 днів тому

      @@OmarAbeid-wu5ur je kapinga mtu kujita salaf?

    • @OmarAbeid-wu5ur
      @OmarAbeid-wu5ur 15 днів тому

      Kasema hskuns haja ya kujiita na jambo la kujiita halina asili kwenye dini je hajapinga apo??

    • @yasakilube9946
      @yasakilube9946 15 днів тому

      @@OmarAbeid-wu5ur mbna Kuna fatwa zake nyengin kakubli, aliulizwa swali je yafaa mtu kujita salaf mbn hakupinga kakubli

  • @TariqAlhaj-r1p
    @TariqAlhaj-r1p 20 днів тому +1

    Ila nyie ni mahizbiy, na mataasisi yenu wasomesheni kuhusu uharaamu wa taasisi

    • @BabaKasema
      @BabaKasema 20 днів тому

      Pongwe hakuna Taasisi

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 19 днів тому

      hajaawirah huyo

    • @TariqAlhaj-r1p
      @TariqAlhaj-r1p 19 днів тому

      @@BabaKasema
      Sasa pongwe sindio walewale mafuta mdigo yule ajifanya salafiy mwenyewee laakin yule kadhhaabu tu kuwaongopea wasiojua , sie ni masalafiy twajua maana twasoma ma kusomeshana Tena twawapinga mahizbiy vikali ,hao kwahio sie twajua huyo ibrahim twaha qasimu mafuta namfano wao wote mahizbiy hao alafu mbaya zaidi wanajua uharaamu wataasisi ila dunia tu imewateka warejee kunako haqqi bwana hao sio masalafiy ni mahizbiy wala msitizame fasaha zao katika ndimi zao wanaongea sanaaa
      نسأل الله العافية والسلامة

    • @TariqAlhaj-r1p
      @TariqAlhaj-r1p 19 днів тому

      @@BabaKasema
      Sasa pongwe siwawale tu qasimu ajifanya salafiy kadhhaabu tu kuwaongopea wasiojua kwahio hawa jamaa ni mahizbiy na ukweli upohivyo na tutasimama nao kesho kwa ALLAH kwahoja zilizo wazi kabisaaaa na mbaya zaidi haqqi wanaijua ila wanaificha kwakuwa wanapenda pesa kwahio ibrahim twaha qasimu mafuta namfano wao katika hao ni mahizbiy wala msitizame fasaha zao katika ndimi zao tukaeni darasan Dini iko wazi jama
      نسأل الله العافية والسلامة

    • @TariqAlhaj-r1p
      @TariqAlhaj-r1p 19 днів тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      Kalia hayo hayo na sheikh wenu kuwalaghai tu mwarukarukA Mara Ni wasila sio ghayah .. hoja hakuna nyie ni mahizbiy hata tukafa leo hakika kwa Mola wetu tunahoja Tena zilizo katika adillah swahihi kabisaaa , mfano wenu ni uleee kuku kanya Bata kahara laakin zote ni haja hizo lugha tu nyote mahizbiy rejeeni katika haqqi UHIZBIY NIKUFATA NYAO ZA MAYAHUDI NA MANASWARA Mbona hamuwafati wanachuoni wakisalafiy ikiwa nyie ni salafiy?. Huruma yangu kwa Tullaab yani wanapata tabu kuwajua nyie ila sie ALLAH keshatufahamisha kuhusu uwovu wenu na tutazidi kuubainisha mpaka kufa kwetu na ALLAH awarejesheni kwenye njia ya wema waliopita.
      نسأل الله الجنة ونعوذ بك من النار مصيرنا

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 20 днів тому

    Wambie wale Wanajuta salafiya jadidah
    Kuwatowa wangine kwenye sunaa eti ni mahizbi

    • @IssaNasir-v2e
      @IssaNasir-v2e 19 днів тому

      Ukiwa na uanachama utakua tu mhizbiya..

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 20 днів тому +1

    😂😂😂MPO MAWAHABI NA VILEMBA VYENU MKIWADANGANYA WAISLAMU,
    AHLUSUNNA WALJAMAA UNAWEZA KUJIITA MOJA KATIKA MADH HABY MANNE TU.
    1) SHAFY
    2) HANMBALY
    3) MALIKI NA
    4) HANAFY
    . kinyume cha hapo wewe ni katika madh haby yako na utuelezee asili ya Imam wako ni nani?. Kama bibi fatma sana madh habi ya shia ambao uzao wa Hasan na Hussein.
    Au ibadhi ni ABDALLAH IBN IBADHY.
    Kujiita tu salafy au athari au answar au muhajirina au hadithiyu au quraniyu au swahabiyu au mtumiyu au Allahiyu au wahabiyuu YOTE HAYO NI MAKUNDI YA KHAWARIJI YENYE FITNA NA KUKHALIFU WAISLAMU ILI KUWAUWA NA KUFANYA VITA BAINA YAO . WEWE NI KHAWARIJI SIO AHLUSUNNA WALA IBADHI PIA HUMO. WEWE NI KUNDI LISILO NA IMAMU NA MUANZILISHI NI YULE ALIOUWA HUSEIN NA MASWAHABA NA AKAIVUMBUA TENA MUHAMMAD IBN ABDUL WAHABI ALIOUWA ZAMA ZETU.

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 20 днів тому +1

      Na dhehebu la imamu shafy nidhehebu gani

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 20 днів тому

      @@matendupiterngoge8707 Ni dhehebu ya KUFUATA SHERIA ya uislamu Kwa ufahamu WA MWANACHUONI WA wanachuoni Imam SHAFY RAHIMAHULLAHU aliomtabiriwa na Mtume saw kabla kuja kwake. Kama hujui maimam WA SHERIA wanne WA ahlusunna basi utafataje uislamu kupitia ufahamu WA ahlusunna?.

    • @farajichilumba5114
      @farajichilumba5114 20 днів тому

      ​@@hilalkhalfan1452hahahahahahahhshs

    • @HumeidKimazi01
      @HumeidKimazi01 20 днів тому

      @@hilalkhalfan1452Salafi wameenda kinyume na Imam yupi kati ya hao wanne?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 20 днів тому

      @@HumeidKimazi01 wameenda kinyume na maimam wote na WAO hawana imamu Wala hawakubali kuwa na imamu

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 21 день тому +1

    Sasa mbona ww kama manhajj salafi unaijua ondoka huko kwa watu watv imaan ambao wanashirikiana na masufi maghurafi

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 20 днів тому +3

      Hamna asitoke, isipokuwa awalinganie waache hizo tabia zao za kihizbi...!!! Tv Imaan ingekuwa ni Tv nzuri kama wangejipamba na manhaj Salafy! Tatizo Sunnah yao imechanganyikana na Impurities!

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 20 днів тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Akhy sijui kabla yakuijua haqq ulikua kwenye uanswar au usufi mimi Akhy nilikua answar na nikisikia barahiyani au bachu anasemwa nilikua naumia saaana nilikua nawaletea upinzani. Hawa maikhwa wakuposity. Duruus za mashekh mashekh mashekh mashekh wakisalafi. .kwahiyo akhyu hao TV 📺 imaan wanajulikana anavyozidi kulinganiwa nawao wanazidi kuleta kibri . Kwahiyo huyu shekh namshauri aachane nao. Tu baasi wale washalinganiwa saana .na mpaka barahiyani arudi nyuma woote hao ndiyo watarudi nyuma . Akhy

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 20 днів тому

      @@abbaspaziaog2188 Duh! kumbee hadi Barahiyani alikuwa pamoja nao! Sema inaonekana miongon mwa watangazaji wa Tv Imaan wapo ambao wamepokea nasaha za za masalafy ila sijajua wanaogopa nini kubadilika... Mana nshawahi kusikia yule Mwenyekiti wa Tv Imaan akisema kuwa alishatengana na Answar Sunnah Foundation baada ya kunasihiwa na baadhi ya ikhwaa japo hakuwataja!
      Ofkoz TV imaan wamepinda na Kama Barahiyani bado yupo nao basi inakuwa ngumu wao kuikubali haqqi moja kwa moja kwa sababu yule Barahiyani ana KIBRI sana!
      Mimi Binafsi nilikuwa Sufi kabsa ila nilivyoenda Shule ndo nkaikuta Sunnah ila kwa kipindi hicho sikujua kama Kuna Masalafy na maanswar... kwo nilitapatapa sana kuijua haqqi hadi sasa hivi Alhamdulillah nimeujua usalafy kwa kiasi chake na nshajua utofaut uliopo kati ya wao na hawa mahizbi... Alhamdulillah!

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 18 днів тому

      ​Wewe na wenzako ni Nimajadida.