Al Amnu Tv
Al Amnu Tv
  • 474
  • 402 296

Відео

HISTORIA YA KIJANA ALIYE UBADILI MJI KUPITIA ELIMU | SHEIKH BIZIMANA ZUBEIR
Переглядів 150День тому
HISTORIA YA KIJANA ALIYE UBADILI MJI KUPITIA ELIMU | SHEIKH BIZIMANA ZUBEIR
UBORA WA ELIMU KATIKA QURAN NA SUNNAH| SHEIKH NZEYIMANA BASHIR ( SEMINAR YA KIELIMU MWAKA 2024 )
Переглядів 92День тому
UBORA WA ELIMU KATIKA QURAN NA SUNNAH| SHEIKH NZEYIMANA BASHIR ( SEMINAR YA KIELIMU MWAKA 2024 )
UWISLAMU NA TECHNOLOGIA|SHEIKH SALAM QAHTWAN
Переглядів 14214 днів тому
UWISLAMU NA TECHNOLOGIA|SHEIKH SALAM QAHTWAN
HAYA NDIO MALENGO NA MANUFA YA SEMINAR YA KIELIMU MWAKA 2024
Переглядів 33214 днів тому
HAYA NDIO MALENGO NA MANUFA YA SEMINAR YA KIELIMU MWAKA 2024
ELIMU NDIO SILAHA YENYE NGUVU YA KUBADILI ULIMWENGU SASA IMEFIKA TANZANIA
Переглядів 271Місяць тому
#africatv #abdulhamid #alhudatv #amigotv #bambaratv#Annusratv#ummawetutv#islamicswahilidawwah#
HATIMAYE FURSA IMEFIKA JISAJILI MAPEMA NAFASI NI CHAHE
Переглядів 30Місяць тому
HATIMAYE FURSA IMEFIKA JISAJILI MAPEMA NAFASI NI CHAHE
HAMNA HAJA YA KUZOZANA|SHEIKH TWAHA IBRAHIM
Переглядів 119Місяць тому
HAMNA HAJA YA KUZOZANA|SHEIKH TWAHA IBRAHIM
MMONGONYOKO WA MAADAILI|SHEIKH SHAMSU ELMI
Переглядів 91Місяць тому
MMONGONYOKO WA MAADAILI|SHEIKH SHAMSU ELMI
DOCTER SUDI NDIKUMANA AZUNGUMZIA WALIVYO IKUTA HALI YA AFYA YA WATOTO YATIMA HUKO KAGWEMA
Переглядів 1362 місяці тому
DOCTER SUDI NDIKUMANA AZUNGUMZIA WALIVYO IKUTA HALI YA AFYA YA WATOTO YATIMA HUKO KAGWEMA
HIYI NDIO HATUWA YETU YA KWANZA KUTAFUTA MAENDELEO YA JAMI YA KISLAM BURUNDI
Переглядів 3092 місяці тому
HIYI NDIO HATUWA YETU YA KWANZA KUTAFUTA MAENDELEO YA JAMI YA KISLAM BURUNDI
SHUHUDIA HATUWA KWA HATUWA KAMBI YA MADAKTARI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA KAGWEMA
Переглядів 3192 місяці тому
SHUHUDIA HATUWA KWA HATUWA KAMBI YA MADAKTARI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA KAGWEMA
MTUME MUHAMMAD NDIO MWANA TAUHID WA KWANZA|SHEIKH NIYUNKURU ABDUL JABBAR
Переглядів 1082 місяці тому
MTUME MUHAMMAD NDIO MWANA TAUHID WA KWANZA|SHEIKH NIYUNKURU ABDUL JABBAR
JIHADHARI NA KUVUNJA HAQQI ZA WADHAIFU AINA MBILI/SHEIKH ABUDL JABAR
Переглядів 502 місяці тому
JIHADHARI NA KUVUNJA HAQQI ZA WADHAIFU AINA MBILI/SHEIKH ABUDL JABAR
SHUHUDIA MASJID AMBIA MOJA MWA MISKITI YA KISASA CHINI YA ALHIKMA FOUNDATION
Переглядів 2102 місяці тому
SHUHUDIA MASJID AMBIA MOJA MWA MISKITI YA KISASA CHINI YA ALHIKMA FOUNDATION
NINI TUFANYE ILI IKHTILAFU ISILETE CHUKI NA UADUWI BAINA YETU|SHEIKH YAHYA ATHOUMAN
Переглядів 3762 місяці тому
NINI TUFANYE ILI IKHTILAFU ISILETE CHUKI NA UADUWI BAINA YETU|SHEIKH YAHYA ATHOUMAN
SABABU ZINAZO LETA IKHTILAFU|SHEIKH ABDUL SHAKUR RAMADHAN
Переглядів 1832 місяці тому
SABABU ZINAZO LETA IKHTILAFU|SHEIKH ABDUL SHAKUR RAMADHAN
SHUHUDIA HOSPITAL KUBWA INAYO JENGWA NA TASISI YA AL HIKMA FOUNDATION TANZANIA
Переглядів 2642 місяці тому
SHUHUDIA HOSPITAL KUBWA INAYO JENGWA NA TASISI YA AL HIKMA FOUNDATION TANZANIA
UFUHAMU MSKITI WA VETENARI NA MAAHAD AL HIKMA FOUNDATION
Переглядів 1432 місяці тому
UFUHAMU MSKITI WA VETENARI NA MAAHAD AL HIKMA FOUNDATION
ZIFAHAMU MIONGONI MWA ALAMA ZA WATU WA SUNNAH
Переглядів 1912 місяці тому
ZIFAHAMU MIONGONI MWA ALAMA ZA WATU WA SUNNAH
ADABU YA MASWAHABA PINDI WANAPO TOFAUTIYANA|SHEIKH SHABAAN
Переглядів 1152 місяці тому
ADABU YA MASWAHABA PINDI WANAPO TOFAUTIYANA|SHEIKH SHABAAN
MOJA MIONGONI MWA MIPINGO YA TV IMAAN NI KUWA NA STUDIO BURUNDI
Переглядів 1393 місяці тому
MOJA MIONGONI MWA MIPINGO YA TV IMAAN NI KUWA NA STUDIO BURUNDI
HAINA HAJA YA UGOMVI SOTE SISI NI MASALAFI
Переглядів 3,8 тис.3 місяці тому
HAINA HAJA YA UGOMVI SOTE SISI NI MASALAFI
KUNDI POTOSHAJI LATANGAZA SASA HIJJAH IPO BUSTANI HALISI KIGOMA TANZANIA
Переглядів 1,1 тис.3 місяці тому
KUNDI POTOSHAJI LATANGAZA SASA HIJJAH IPO BUSTANI HALISI KIGOMA TANZANIA
WANAWAKE WAFURAHIA TALAKA ZAMA HIZI|SHEIKH BIZIMANA ZUBAIR
Переглядів 4473 місяці тому
WANAWAKE WAFURAHIA TALAKA ZAMA HIZI|SHEIKH BIZIMANA ZUBAIR
UFUNGUZI WA KONGAMANO LA KIDA'WAH MKOANI KIGOMA 2024
Переглядів 3893 місяці тому
UFUNGUZI WA KONGAMANO LA KIDA'WAH MKOANI KIGOMA 2024
HULI NDIO NENO LA KWANZA LA SHEIKH BIZIMANA KUTOKA BURUNDI BAADA YA KUWASILI KWENYE UKUMBI
Переглядів 3743 місяці тому
HULI NDIO NENO LA KWANZA LA SHEIKH BIZIMANA KUTOKA BURUNDI BAADA YA KUWASILI KWENYE UKUMBI
TAYARI TUME WASILI HAPA KWA AJILI YA SEMINA NA HIYI NDIO QAULI MBIU YA SIKU YA LEO
Переглядів 2913 місяці тому
TAYARI TUME WASILI HAPA KWA AJILI YA SEMINA NA HIYI NDIO QAULI MBIU YA SIKU YA LEO
SHUKRN KWA WOTE WALIO DHAMINI MADAFTARI YA WOTOTO YATIMA
Переглядів 1633 місяці тому
SHUKRN KWA WOTE WALIO DHAMINI MADAFTARI YA WOTOTO YATIMA
FAIDA TUNAZO ZIPATA TUNAPO WATEMBELEYA WAYOTO YATIMA |SHEIKH BIZIMANA ZUBAIR
Переглядів 1653 місяці тому
FAIDA TUNAZO ZIPATA TUNAPO WATEMBELEYA WAYOTO YATIMA |SHEIKH BIZIMANA ZUBAIR

КОМЕНТАРІ

  • @Yussuf-j4p
    @Yussuf-j4p 22 години тому

    Tunaomba ma shiekh zetu waweke radhi wingi w ma shiekh ambao ni wa Tanzania atufaii kuwasikiliza kwa BIDAA ZAOO

  • @burundibestcountry1589
    @burundibestcountry1589 6 днів тому

    Kabisa iyo mada hajaipatiya kbsa na hiyo story haiko sawa uwongo mwingi saana

  • @alhadjinaeomar5126
    @alhadjinaeomar5126 9 днів тому

    MashaAllah tabarak Allah

  • @NahimanaAssumani
    @NahimanaAssumani 9 днів тому

    Maashaa Allah

  • @Team-t6k
    @Team-t6k 18 днів тому

    Lugha ya kiarabu , kirundi , French na English .

  • @kakasule7134
    @kakasule7134 19 днів тому

    manshaAllah Allah awajazeni kheri Na kwa wanaosema vby Allah awasameh pia awaoneshe haqi

  • @HillaryNzitunga
    @HillaryNzitunga 19 днів тому

    MashaAllah

  • @ZuwenaIddi-q3t
    @ZuwenaIddi-q3t 19 днів тому

    Mashallah tabarakallah 💞💞Allah awalibini khr 💞💞💞

  • @islamicswahilidaawahburund999
    @islamicswahilidaawahburund999 19 днів тому

    Masha Allah - Tabaarak Allah. Asanteni sana tumenufaika ya kutosha Alhamdulillah . Allah awabaariki. Allah awafiqishe katika Malengo, ila Vision iwe ya Mbali kabisa huku tukimtegemeya Allah. Wekeni Nia ya Etage , huenda wakapatikana wadhamini Watoto wakimaliza Maternel wanaweza wakaendelea Primaire Etage ya Juu. Tuseme Ameen ya Rabb. Ama kuhusu Maneno ya kupiga Pesa kwa kulipia kuhudhuria Seminar muachieni Allah , msijiharibie Sadaqa yetu. Shukran

  • @ramadhaniilali6114
    @ramadhaniilali6114 20 днів тому

    Ma shaa Allah Allah awalipeni khr wallai mnafanya kazi sana kwa ajili ya Allah

  • @KariburyoTwaha
    @KariburyoTwaha 20 днів тому

    Mashaa Allah Allah awawek wepes

  • @kakasule7134
    @kakasule7134 Місяць тому

    manshaAllah

  • @HillaryNzitunga
    @HillaryNzitunga Місяць тому

    MashaAllah

  • @NoraKedir
    @NoraKedir Місяць тому

    Manshaallah tabarakallah

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad Місяць тому

    My best Favorit Sheikh Allaah amuhifadhi kwa Neema zake azidi kuelimisha jaami

  • @FatmaKhamissi
    @FatmaKhamissi Місяць тому

    Masha Allah

  • @kakasule7134
    @kakasule7134 Місяць тому

    manshaAllah

  • @HillaryNzitunga
    @HillaryNzitunga 2 місяці тому

    MashaAllah Allah akufanyiyen wepesi

  • @allmutahhabbunafillah9597
    @allmutahhabbunafillah9597 2 місяці тому

    Allah akulipeni kheri

  • @PiliHajra
    @PiliHajra 2 місяці тому

    mashaaAllah

  • @harunakaishozi
    @harunakaishozi 2 місяці тому

    Masha Allah

  • @amofesa8166
    @amofesa8166 2 місяці тому

    Allah akulipe khzir zote Sheikh wetu

  • @ZaituniSeif
    @ZaituniSeif 2 місяці тому

    Masha’ALLAH tabarak’ALLAH

  • @emnamuhimpundu-ld4gx
    @emnamuhimpundu-ld4gx 2 місяці тому

    Maanshallah allah akulipe kheiri cheikh abdi noor

  • @kakasule7134
    @kakasule7134 2 місяці тому

    manshaAllah

  • @BurundiaishaAkt-bf9ms
    @BurundiaishaAkt-bf9ms 2 місяці тому

    MASHA ALLAH

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha 2 місяці тому

    Ma sha Allah Tabaarakallah 😍 Kwakweli Allah awatangulie Kwa huruma wake na Mapenzi ho

  • @YussufHussein-i1e
    @YussufHussein-i1e 2 місяці тому

    Shukran ❤

  • @charifu2024
    @charifu2024 2 місяці тому

    Mnisaidie number yake ya watsap❤❤❤

  • @SalimHamza-w4f
    @SalimHamza-w4f 3 місяці тому

    Maashaallah

  • @AhmednurHussein-m2s
    @AhmednurHussein-m2s 3 місяці тому

    Nyiny abadan sio masalafi wallah hata nyoyo zenu zajua kua hampo katika haqqi nikupe mfano kishki ni katika madu'ati munaoshirikiana nao na huwasifu watu wa bidi'a tena wengine bidi'a kufuriyya na shirkiyyah ndo vipenzi vyake na pia kashawai kusema kua ayo majina wew unayotakasa kua ni fekkii mbona hamkumtenga wala kumtahadharisha mpeka leo mpaka kesho yuko na nyinyi ittaqullah ya ikhwah hii ni dini ya Allah haihitaji mseto tena kama kuna cheneli zinazosapoti bidaa ni Tv Iman inaongoza

  • @AbdulkarimShosi
    @AbdulkarimShosi 3 місяці тому

    Nyinyi so masalafi bali nyinyi ni makhalaf acheni kudangamya watu mcheni mola

  • @SalehLofy
    @SalehLofy 3 місяці тому

    Muislam tu Ahlu Sunna haijaanza zamani Abu Hanifa, Malik,Ahmad bin Hambaly,Shafy hawa wote ukiwauliza Ahlu Sunna wal jamaa hawajui

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 3 місяці тому

    Ma shaa Allaah

  • @KennedyIrakoze-q8d
    @KennedyIrakoze-q8d 3 місяці тому

    MashAllah

  • @khamisswalehe
    @khamisswalehe 3 місяці тому

    ALLAH ATUPE AMRI TUUWE HAO WATU MARAMOJA

  • @yasakilube9946
    @yasakilube9946 3 місяці тому

    Nyinyi maanswar mulikua munasema haifai kujita salaf, saiv imekuaje tena

    • @OmarAbeid-wu5ur
      @OmarAbeid-wu5ur 3 місяці тому

      Hata fsuzani kakataa kujita salaf

    • @OmarAbeid-wu5ur
      @OmarAbeid-wu5ur 3 місяці тому

      Faizani

    • @yasakilube9946
      @yasakilube9946 2 місяці тому

      @@OmarAbeid-wu5ur je kapinga mtu kujita salaf?

    • @OmarAbeid-wu5ur
      @OmarAbeid-wu5ur 2 місяці тому

      Kasema hskuns haja ya kujiita na jambo la kujiita halina asili kwenye dini je hajapinga apo??

    • @yasakilube9946
      @yasakilube9946 2 місяці тому

      @@OmarAbeid-wu5ur mbna Kuna fatwa zake nyengin kakubli, aliulizwa swali je yafaa mtu kujita salaf mbn hakupinga kakubli

  • @AbuuHafswa-l3l
    @AbuuHafswa-l3l 3 місяці тому

    Hakika ww shekh unafahamu usalafi Allah akupe hidaya sio Hao mahzbya wengine wanataka kutofautisha Kati ya ahlusunna na salafy na kuwaita wenzao ni majadida

  • @SALIMSALIM-ep3gk
    @SALIMSALIM-ep3gk 3 місяці тому

    hehehehehe

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 3 місяці тому

    Wambie wale Wanajuta salafiya jadidah Kuwatowa wangine kwenye sunaa eti ni mahizbi

    • @IssaNasir-v2e
      @IssaNasir-v2e 3 місяці тому

      Ukiwa na uanachama utakua tu mhizbiya..

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 3 місяці тому

    Wenye chamachao cha usalafi jadida wakikusikia subiri rududi yako

  • @muhammedaloufy4086
    @muhammedaloufy4086 3 місяці тому

    Nyie mmeachia usalafi au Uislamu? Au Usalafi ni Dini Mpya!

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 3 місяці тому

    Nyinyi ni magaidi tu 😂😂😂😂

    • @HamzaMakobanice
      @HamzaMakobanice 3 місяці тому

      Nyie mmekalilishwa na ugaid tu ndo tusi lenu

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 3 місяці тому

      Ugaidi wetu!???

    • @Yayouselim
      @Yayouselim 3 місяці тому

      @@HamzaMakobanice Sasa kwani vikundi vya kigaidi hujinasibisha na madhehebu ya kina nani

    • @Yayouselim
      @Yayouselim 3 місяці тому

      Maskini masalafi leo wanajenga umoja wao wenyewe

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂 watu wa sunnah mnakorogana sasa wenyewe

  • @babanusayba3600
    @babanusayba3600 3 місяці тому

    Mbona kitaeleweka Tu inshaallahu

  • @aliimanitujitibukwatibazahalal
    @aliimanitujitibukwatibazahalal 3 місяці тому

    الدين النصيحة...من ينصح وﺃين ومتی...بارك الله فيكم ﺃهم شيء القول والعمل فيمايقول لكل منا.

  • @TariqAlhaj-r1p
    @TariqAlhaj-r1p 3 місяці тому

    Ila nyie ni mahizbiy, na mataasisi yenu wasomesheni kuhusu uharaamu wa taasisi

    • @BabaKasema
      @BabaKasema 3 місяці тому

      Pongwe hakuna Taasisi

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 місяці тому

      hajaawirah huyo

    • @TariqAlhaj-r1p
      @TariqAlhaj-r1p 3 місяці тому

      @@BabaKasema Sasa pongwe sindio walewale mafuta mdigo yule ajifanya salafiy mwenyewee laakin yule kadhhaabu tu kuwaongopea wasiojua , sie ni masalafiy twajua maana twasoma ma kusomeshana Tena twawapinga mahizbiy vikali ,hao kwahio sie twajua huyo ibrahim twaha qasimu mafuta namfano wao wote mahizbiy hao alafu mbaya zaidi wanajua uharaamu wataasisi ila dunia tu imewateka warejee kunako haqqi bwana hao sio masalafiy ni mahizbiy wala msitizame fasaha zao katika ndimi zao wanaongea sanaaa نسأل الله العافية والسلامة

    • @TariqAlhaj-r1p
      @TariqAlhaj-r1p 3 місяці тому

      @@BabaKasema Sasa pongwe siwawale tu qasimu ajifanya salafiy kadhhaabu tu kuwaongopea wasiojua kwahio hawa jamaa ni mahizbiy na ukweli upohivyo na tutasimama nao kesho kwa ALLAH kwahoja zilizo wazi kabisaaaa na mbaya zaidi haqqi wanaijua ila wanaificha kwakuwa wanapenda pesa kwahio ibrahim twaha qasimu mafuta namfano wao katika hao ni mahizbiy wala msitizame fasaha zao katika ndimi zao tukaeni darasan Dini iko wazi jama نسأل الله العافية والسلامة

    • @TariqAlhaj-r1p
      @TariqAlhaj-r1p 3 місяці тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Kalia hayo hayo na sheikh wenu kuwalaghai tu mwarukarukA Mara Ni wasila sio ghayah .. hoja hakuna nyie ni mahizbiy hata tukafa leo hakika kwa Mola wetu tunahoja Tena zilizo katika adillah swahihi kabisaaa , mfano wenu ni uleee kuku kanya Bata kahara laakin zote ni haja hizo lugha tu nyote mahizbiy rejeeni katika haqqi UHIZBIY NIKUFATA NYAO ZA MAYAHUDI NA MANASWARA Mbona hamuwafati wanachuoni wakisalafiy ikiwa nyie ni salafiy?. Huruma yangu kwa Tullaab yani wanapata tabu kuwajua nyie ila sie ALLAH keshatufahamisha kuhusu uwovu wenu na tutazidi kuubainisha mpaka kufa kwetu na ALLAH awarejesheni kwenye njia ya wema waliopita. نسأل الله الجنة ونعوذ بك من النار مصيرنا

  • @hassankagoma58
    @hassankagoma58 3 місяці тому

    Shekh anayejijua huyu! Allah amlipe kikubwa baadhi ya waislam wanafata ushabiki utasikia Majadiida mara madaakhira kama mzee barahiyan na kikundi chake