Tunahitaji masheikh na khutba za namna hii wakati huu/ Zama hizi Allah akulipe kheri sheikh othman maalim aamiin... wanazuoni wanapotea watu wanazungumzia dini kwa fikra na si kwa elimu...
Alhamdulilah alhamdulilah allah rasoorulah Muhammad swalalau aley wasalim hakika shekhe umetoa dawaah imeingia kwenye ngozi kwenye nyama na mishipa ya damu na faham allah akulipe pepo jannat firdaus kwa elim unayoitoa ameen thuma Ameen
Mashaallah umetupa elimu kwa sisi waumini mwenyezi Mungu hakuweke Inshaallah
Jazaq Allahu kheyr,hakika nimeziada ya ELIMU kwa khutba yako hii Sheikh Othman ,Rabbi akulipe heri nyingi Duniani/Akhera.
اللهم بارك لشيخنا الأستاذ عثمان فى علمه وجهده واحفظه من كل شر وسوء
Tunahitaji masheikh na khutba za namna hii wakati huu/ Zama hizi Allah akulipe kheri sheikh othman maalim aamiin... wanazuoni wanapotea watu wanazungumzia dini kwa fikra na si kwa elimu...
Huyu shehe namkubali sana
Alhamdulilah alhamdulilah allah rasoorulah Muhammad swalalau aley wasalim hakika shekhe umetoa dawaah imeingia kwenye ngozi kwenye nyama na mishipa ya damu na faham allah akulipe pepo jannat firdaus kwa elim unayoitoa ameen thuma Ameen
Ameeeen
Masha Allah shukurani sana Shekh wetu kwani ushasema maneno muimu sana kwa wetu kuyajua
MashaAllah, Mashallah best lecture regarding seeking Elmu.
Mashallah sheikh Allah atuhifadhi inshallah
Umenena shekhee yangu allha atujarie kwenye pepo yake
Mashaa Allah Tabaraka Rahman ❤❤❤
JazaakAllahu khair sheikh Othman Ma'alim. May Allah be pleased with you. Allahumma amiin
Greetings from Uganda 8
Shek twakuomba utombee duwa sisi wenye tuko inje ya inchi In Shaa Allah Mungu atuepushe na kila balaa
Amiyn inshaallah 😊
MashaAllah, Allah akuhifadhi mwalim wangu.
Mshaallah ALLAH akujaalie Pepo Inshaallah
Allah akuzidishie
Mashallah....
Mashaallah
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
Alhamdhulillah
Allaahumma salii wa saliim Ala Sayyidina Muhammad wala alihi wa Ass habihi wa Salaamu ❤️❤️
MashaAllah
Subhanna Allah 😢
mashallah
Shukran
Wamefikiwa wanaojiona wao ndio boro na kukashifu mashekhe wngine
Kama haitoshi hii kua hutba njema kuhusu ELIMU basi hakuna hutba utaeleawa kuhusu elimu
Hakika sheikh
Hakika
Hakika mashallah
Hakika
Mtume Mohammad S.A.W, mwamtaja bila kumswalia,ni ubahili huo tumekatazwa kufanya hivyo.
Acha figusi
❤❤ Mashaallah
❤❤❤
N
Je idadi ya wanaotaka ilmu ni wangapi. Na tukishapata je tunaitumia ipasavyo?
MashaAllah
MashaAllah