RADDI KWA IBNU HUMEYD KWA MANENO YAKE KWA ABU HASHIM NA QASSIM MAFUTA,SHEIKH ABUU MUA3WIYA رحمه الله

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq 14 днів тому +4

    Allah akurehemu shekh wetu mbora Abuu muawiya rahmatan wasiaa

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 9 днів тому

    Baarakanllah fiikum.

  • @FadhilAlfiradhiy
    @FadhilAlfiradhiy 11 днів тому

    Allah amrehemu sheeekhana

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 14 днів тому +3

    رحمه لله رحمة واسعة
    Al khiii abuuu muawiya
    Ulikuwa una elmu nyingi
    Lakini mafuta akakudhulumu na genge lake la mswaaaafiqa
    Allah atawalipa hapa hapa duniani kabla hawajafa

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 14 днів тому

      Kwa kwel alikuwa mwiba wa koo kwa maswaafiqa Maana walijuwa atapora Madaraka ya shekh wao mafuta Maana wamemfanya kama marejeo Yao

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 11 днів тому

      Naam,,, hatunae tena ABUUMUAWWIYA,, Allah ampe kauli thaabit. Na wale walimdhulumu kwa maksudi ndo basi tena,, ilo baki ni kumwandama Dr Islam sasa.

  • @NassorHassan-no1cr
    @NassorHassan-no1cr 14 днів тому +1

    Mashallah

  • @hassanhamid4359
    @hassanhamid4359 14 днів тому +1

    Allah amsamehe makosa yake

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 14 днів тому

    Maswaaafiqa majadida

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 9 днів тому

    Kwakweli tukisema tuache ushabiki. Abdallah humeid hayo maneno aloyasema niyakijinga na yakushangaza mno vijana tuacheni ushabiki ukweli ukisemwa

  • @OmarAbdalla-ug5yg
    @OmarAbdalla-ug5yg 14 днів тому +1

    رحمك الله شيخنا ابا معاوية....

  • @IphoneIphone-p8b
    @IphoneIphone-p8b 14 днів тому

    Kwa idhi ya Allah sulhu itapita, na bila shaka pande zote mbili zitakiri uongo na matusi dhidi ya pande jengine. Pande zote mbili uadilifu ni mdogo

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  14 днів тому

      "Ss tunahitaji tuko tayar asubuhi au usiku, ardhini au mawinguni, baharini au nchi kavu" aliwahi kusema sheikh abuu mua3wiya maneno hayo, na ss twasimama hapo hapo ila ndugu upande mwengune ndio hauhitaji sulhu, kwnn nasema hawahitaji sulhu? Kwasbb kuwa baadhi ya masheikh na wazee wetu ktk da'wa Allah awahifadhi wote walijaribu kuunganisha swafu yetu na kuondoa mgogoro na upande wetu alhamdulilah nyonyo zetu zilifarajika sana kusikia hivyo lkn wapi haikuweza kufanikiwa

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  14 днів тому

      Walitokea wale wenye maslahi Yao ktk mpasuko ule na wale wenye kufurahia magomvi Yale wakaanza kulazima watu wataraaja'a kwa eti kwasbb ya kukaa na abuu mua3wiya na abuu Zaghar kulitengeneza jambo letu na kuziba mnyaa wa Manhaji yetu

    • @IphoneIphone-p8b
      @IphoneIphone-p8b 14 днів тому

      @@Ibnsalim3 kadhia kama hizi zimetokea sana baina ya masalafy, mfano Indonesia. Lakini jambo baya mno baina ya masalafy wa Tanzania ni kufanya uadilifu katika kujeruhi. Na ikiwa upande mmoja utaungwa mkono na wasio masalafy basi hawatajikinga nae kwasababu tu anawatetea. Lakini mlango wa kujeruhi umefunguka vibaya. Wengi wanajeruhi bila ya elimu. Allah atuongoze katika sulhu itakayo dumu

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa 13 днів тому

      ​@@IphoneIphone-p8bmlango. Huo walujeruhi. Wanaoutumia vibaya wallah. Naapa ni akina Qasim mafuta na genge lake loote ALLAH mtukufu awaongoze

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa 13 днів тому

      Nahayo maneno ya abdallah humeid dilele swaafiqah ni maneno Kama ya Muhammad mafuta hizbi alivyowahi kusema maneno ya shekh rabii ni kma wahay. Na maneno haya tukiwaita masufi watu Hawa. Wawili. Ni haqq kabisa

  • @ridhwanhamaad90
    @ridhwanhamaad90 14 днів тому

    Kaziyeni kupigana raddi tu

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  14 днів тому +1

      Eeee raddi ndio dawa na ndio salama ya dini hii

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa 13 днів тому

      Radd ndiyo tiba ya vijitu. Mfano wa Abdallah humeid dilele swaafiqah hadadiyah na genge lao

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 11 днів тому

      Naam Naam,,, raddi ni moto wenye kishindo,,lzma kielewke tu.