MBUNGE ANAETUHUMIWA KUMPA SUMU PAUL MAKONDA | NI RAFIKI YAKE ANAEMUAMINI SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 106

  • @ConsolataPaul-u7e
    @ConsolataPaul-u7e 5 місяців тому +1

    Hv itakia nchi ya namna gani acheni uoga hatujui haki zetu au,makonda ni jesh kubwa metetezi wa wanyonge tuambien yuko wapi raisi wetu wa baadae au tuandamane maana mimi inaniuma sana mpaka nalia et.makonda popoye ulipo jitokezee bc baba ili tue na aman tunakuitaji san watanzania❤❤❤

  • @JenipherPatrick-t3y
    @JenipherPatrick-t3y 5 місяців тому

    I wish ungekuwa Raisi wetu makonda 🎉🎉

  • @msalice4451
    @msalice4451 5 місяців тому +6

    ❤❤❤❤❤❤ makonda yukwapi sisi tunamtaka selikali tunamuomba tarifaa

  • @ReobenGilberth
    @ReobenGilberth 5 місяців тому +7

    Yan hii nchi, hakuna mtu anae weza kumuua makonda pasipo mkono wa watu 💪 ndani ya nchi

  • @jackgodgivenzihindula
    @jackgodgivenzihindula 5 місяців тому +8

    Arusha 🇹🇿 mnauwa Makonda.... Pôle sana😢😢😢

  • @RaphaelbahatiChasama
    @RaphaelbahatiChasama 5 місяців тому

    Mungu aendelee kukutunza kila iitwapo Leo hautakufa hata kidg

  • @MaaniBoniphas
    @MaaniBoniphas 5 місяців тому

    Siku zote akitokea mmoja anayeinua jamii kama han wasaidizi ni rahisi sana kugeuziwa kibao sema mungu tunayemuamini hakuna binadamu atakayemuweza rpc wetu ❤❤❤

  • @aishajumanne2698
    @aishajumanne2698 5 місяців тому +4

    Mungu sijawahi kukutana wala kumuona live makonda .niliwahi kukuomba kipindi ukimya wa JP Mungu Baba ila ukaona aje kwako .niliumia sana Baba.ila nakuomba sana Baba Mungu please.mpe uhai na uzima Paul Makonda uwiii naumia sana nitaumia nihurumie Mungu baba..hii iwe turn kwao wanaotaka akufe waumize wao now

  • @CHARLESMAHERI
    @CHARLESMAHERI 5 місяців тому

    Mungu anawatazama sanaa na adhabu yenu iii njiani kaeni makini sanaaa Mungu yupo jamn sawa nawaonea huruma na pia naionea huruma sana nchi yetu Tanzania😢😢😢😢 dah yan binadamu bhn😮😮

  • @AnnaFanuel-i1u
    @AnnaFanuel-i1u 5 місяців тому

    Mungu atakuponya kaka yentu tunakuombea sanaaa

  • @aminafrancismwandu5789
    @aminafrancismwandu5789 5 місяців тому +1

    MUNGU ☝️ akujalie Afya njema upone haraka uendelee kulitumikia Taifa letu Tanza🇹🇿 Mungu awe pamoja nawe popote ulipo

  • @ADOLFSENYE-zb9ts
    @ADOLFSENYE-zb9ts 5 місяців тому

    Mungu akupiganie makonda

  • @Amirikuwoko
    @Amirikuwoko 5 місяців тому

    duuuh Mungu amlinde naamponye❤

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 5 місяців тому

    Ehh Mwenye Enzi Mungu tunakuomba umponye jamani uwiiiiii 😢

  • @LuciaMwangambaku
    @LuciaMwangambaku 5 місяців тому

    Jamani mumuache mlisho gambo baba wawatu serekari inajua makonda aliko msipende kuwachafua watu kunasili kubwa serekalini 😭😭😭

  • @praygodmagoma
    @praygodmagoma 5 місяців тому

    🎉huyo liyemwekea sumu makonda ni sawa na yuda iskari yote aliyemsaliti yesu.....jehanam yamngoja.

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 5 місяців тому +2

    Mbona sielewi sielewi haya?. Mimi ninacho amini kabisa akuna rafiki wa kweli chini ya jua. Yote tumuombe Mungu mkuu amnusuru Makonda kwa mabaya yote. Amen.

  • @Amirikuwoko
    @Amirikuwoko 5 місяців тому

    ❤Mungu ahusike kumponye

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 5 місяців тому +2

    Gambo hawezi maekea sumu makonda hawezi.Na hawezi Kula sumu anamwabudu mwenyezi mungu akusaidie😢😢Ewe mwenyezi mungu Akulinde kila utokapo na upitapo poul makonda.

  • @Jumalindano
    @Jumalindano 5 місяців тому

    Sawa je hadi leo baada ukweli kwamba yuko wapi hajulikani tu?

  • @maryroyer9297
    @maryroyer9297 5 місяців тому

    Sio kweli jamani mbunge wetu kufanya hivyo watu wanamchafua tu Gambo anahofu ya mungu sio kabisa wanamzushia

  • @AgripinaBarani
    @AgripinaBarani 5 місяців тому

    Kwa kwel mungu afya njema

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 5 місяців тому +4

    Muwe na kiasi jamani kwanini mnaongea mambo ya ajabu alimtaja nyie mna uakika acha uchonganishi

  • @erickpaskali
    @erickpaskali 5 місяців тому

    ili jambo ni wazii rafiki yako ndo adui yakoo😢

  • @WilliamMarai-o8c
    @WilliamMarai-o8c 5 місяців тому

    Kwa kweli Mungu hatolala ataufichua huyo mbaya wa mkuu wetu baba wa wawanyonge Mungu tunaomba sikia kilio chetu

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 5 місяців тому +1

    Mrisho gambo km kweli umefanya hili tukio na huyo rafiki anaesadikika kuwa yupo karibu sana na Mh Makonda kwakweli Mungu hatokuacha bure. Km Kuna vigogo walikushawishi umuwekee sumu Mh Makonda kwakuhofia kwamba labda Mh Makonda anaweza kuchukua fomu agombee ubunge Arusha mjini umekosea sana 😢lisemwalo lipo anakudhulu ni mtu wako wa karibu sana tena unaye muamini. Hakika nyoyo za watu zitakulilia mrisho gambo km ni kweli 😢

  • @sakysaky1800
    @sakysaky1800 5 місяців тому

    Dah Sad....

  • @rachelraphael1355
    @rachelraphael1355 5 місяців тому

    Kwa jina la Yesu upone nguvu za giza zote ziteketee

    • @CHARLESMAHERI
      @CHARLESMAHERI 5 місяців тому

      Na kwa mkono wa Bwana ataponaaa amen🙏🙏🙏

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 5 місяців тому +1

    Wapoteshaji wakubwa,Slaa fungia hii tv.

  • @mariakisinza
    @mariakisinza 5 місяців тому

    Inauma sana tukipata wa kutupambania wanyonge wanauawa wanataka nn selikali hii magufuli huyu tena sawa macho yetu wanapo tupeleka

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 5 місяців тому

    Acheni kwn Gambo n mpishi w makonda au kubuni maneno kuuza habari

  • @Dashuu-q1l
    @Dashuu-q1l 5 місяців тому

    Duuuuu apone kwakweli 😭

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 5 місяців тому +1

    Mh Tanzania inayoo ngozwa na mama natanzania iyoongozwa najpm umefulaiwa na uongozi upi

  • @Masero-v9l
    @Masero-v9l 5 місяців тому

    🎉

  • @DeogratiusMelchior
    @DeogratiusMelchior 5 місяців тому

    Your best friend could be your worse enemy, R.IP Nesta Robert Marley

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 5 місяців тому

    Hvi kweli Hiyo ilitendeka kama kwel itakuwaje

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 5 місяців тому +1

    Hapa mnataka kuwachonganisha viongozi wa ccm.mmemzuru makonda nawanstaka mchonganisha gambo n wananchi jimbo lipoteze muoelekeo.
    Mbona lemayupo kimya sana intelleencia ifanye kazi yake na team lema.gambo ni kupoteza Dirac ya ccm hapo.gambo wanamuonea sababu ndiye alikuwa anafanya kazi za Gambon kuwa nyepesi

  • @IreneLeonard-rl3jq
    @IreneLeonard-rl3jq 5 місяців тому

    rafiki ndoo aduiyako

  • @ndorobo205
    @ndorobo205 5 місяців тому

    Kwaiyo mpaka sasa mueshimiwa rais hajui kuwa mkoa wa arusha makonda hajulikan alipo?

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 5 місяців тому

    Walana wao kwao inatisha hii nchi

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 5 місяців тому

    Yesu amponye

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 5 місяців тому

    jmni msiseme hivo, Mrisho Gambo mtu wa watu hanaga shida. ni mpambanaji na ni mtu anapenda sana wanaotetea haki za watu. akikutana nae anamuunga mkono sana. pia ni marafiki na Makonda, alisema hivo walahasemi haki kabisa

  • @melichmahingule2896
    @melichmahingule2896 5 місяців тому

    Duuh! Siasa za bongo sio

  • @SirajiAbdalah
    @SirajiAbdalah 5 місяців тому +1

    Mtauana wenyewe mpaka muishe

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 5 місяців тому

    Umemkosea nn Hadi anasubutu kukupa Sumu,yaan anataka kukutoa uhai wako,makonda makonda mungu yupo na ww kk😭😭😭😭😭😭😭

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 5 місяців тому

    Jamn Nchi hii ina watu wa namna gani,ina maana wamemfanya kama Magufuli,jamn msimuue maana mbona alishaacha siasa, inamaana kupewa ukuu wa mkoa ndio tayari, uwiiiiiiiii.

  • @mussamisinzo4934
    @mussamisinzo4934 5 місяців тому

    Sasa baada ya kufahamu kuwa mtu anaehusika kumwekea sumu paul makonda serikali imemchkulia hatua gani ?? Huu ni unafiki na uongo tuu

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 5 місяців тому

    Duuh urafiki ndio chanzo watu wengine wamefanyiwa na watu wakaribu sio wambali hili tulifahamu ukicheza unapigwa😊

    • @CHARLESMAHERI
      @CHARLESMAHERI 5 місяців тому

      Inaweza kuwa n kweli na si kweli kwann gambo hiyo anae dai n gambo basi walikuwa wote bhb

  • @mashaurifloribert1396
    @mashaurifloribert1396 5 місяців тому

    Akuna Binadamu atakae hishi Daima, Makonda akifa na yeye atakufa tu

  • @mariakisinza
    @mariakisinza 5 місяців тому

    Tunataman pia angekuwa lais wetu Ila ndo hivy

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 5 місяців тому

    Mh: Makonda huko uliko kama unaweza kuongea ni vema ukajitokeza na kusema upo wapi ili umma wa Arusha utulie.

  • @gbrotaKamanda
    @gbrotaKamanda 5 місяців тому

    Mi napenda kuwaambia tusubiri tutapewa majibu na serikali katika kipindi hiki Kila mtu atasema lake tuwe na subira Mkuu wetu wa mkoa yupo salama tusubiri ni swala la Muda tu

  • @erickpaskali
    @erickpaskali 5 місяців тому

    wanangu alie mgusa makonda bado mnamlazia dam?

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 місяців тому

    Mmmmmmmm makubwa hayaaa

  • @MahendeMwita-n5i
    @MahendeMwita-n5i 5 місяців тому

    DUUH PAUL MAKONDA MUNGU AKUNUSULU KATIKA JANGA BAYA SISI BINADAMU HATUNA MAZURI MTETEZI WA WANYONGE POLE SANAAAH

  • @ShamimAbdul-tf3fw
    @ShamimAbdul-tf3fw 5 місяців тому

    Jmn mm ndo nazod kuumwa nilisikia mashujaaa wa inch wanafanyiwa hivyoooo

  • @mwambaimara1950
    @mwambaimara1950 5 місяців тому

    Awekae sumu ni gaidi kama wewe unakanusha, tuambie wew

  • @OdhiamboLazaro-y8o
    @OdhiamboLazaro-y8o 5 місяців тому +1

    Hapo wanajaribu kumchonganisha gambo na serikali ili wao waendelee kufanya mambo Yao, Alie sema kwamba ni gambo huyo ndiye anaestahili kuchunguzwa.

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 5 місяців тому

    Tatizo watu hawa hawakusoma, wala kujisomea maadili ya uandishi wa habari. Mwandishi wa habari aweza kuanzisha vita kabisaa. Uandishi ni kazi hatari kuliko dokta mpasuaji. Dokta ataua mtu mmoja, ila mwandishi aweza kuazisha vitina ikaua maelfu. Vita vingi duniani vimeanzishwa/ vimechochewa na waandishi kama hawa.

  • @amossafari4838
    @amossafari4838 5 місяців тому

    Hako la x kakisiri kanamanisha Nini na black and white inawkilisha nini? Something wrong under the carpet!

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 5 місяців тому

    Lisemwalo lipooo

  • @FredrickUlilo
    @FredrickUlilo 5 місяців тому +1

    Kumbe mnahs 2 amna uwakika achen kupotosha watu wajinqa njie

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 5 місяців тому

    MUNGU ATAJIBU TUU

  • @JAHAZIYAH-TV
    @JAHAZIYAH-TV 5 місяців тому

    Washenz sana nyie hv mnajickiaje kuzusha taarifa za hovyo namna hyo

  • @fatinaselemani9859
    @fatinaselemani9859 5 місяців тому

    Lisemwalo lipo Kama halipo lipo njiani

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 5 місяців тому

    Ikochakula walikulia wapi na lini.

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 5 місяців тому

    Kama kupewa sumu angepewa na wakina nape na makamba

  • @DevothaNdabila
    @DevothaNdabila 5 місяців тому

    Uliyemfanyia makonda hicho kitendo mungu ashughulike na wewe ?

  • @ShukuruKimathi-p5v
    @ShukuruKimathi-p5v 5 місяців тому

    Asee 😂

  • @UvccmmkoaKagera
    @UvccmmkoaKagera 5 місяців тому

    Huo ni upumbavu mrisho gambo hawezi kufanya huo upuuzi arusha mnatabia za akina mama

  • @florarwegerera8025
    @florarwegerera8025 5 місяців тому +1

    Waandishi hacheni kutangaza vitu ambavyo hamna uwakika navyo

  • @LEONARDINARUGAIMUKAMU
    @LEONARDINARUGAIMUKAMU 5 місяців тому +1

    Sielewi kwa staili hii kama ni kweli mungu simama ukwelill uonekane

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 5 місяців тому +1

    Mungu akunusuru kk makonda 😭 najikuta nalia jamani

  • @MsumalAloyce
    @MsumalAloyce 5 місяців тому

    Nahuyo nihatal,

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 5 місяців тому

    MARAFIKINI WABAYA SANA KTK JAMII NA NI WABAYA SANA WAUAJI. AKAMATWE ANYONGWE AFE KABISA NA ACHOMWE MOTO.

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 5 місяців тому

    Rafiki wa katribu kea mtu huwa ni mke bwana

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 5 місяців тому

    Bora umesema ukweli. Kama ni maombi ombeni

  • @kkhalifairumba2932
    @kkhalifairumba2932 5 місяців тому

    Unauhakika na unayo yasema ww kuwa gambo kumuwekea sum au unataka kupotisha ukweli mjinga ww

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 5 місяців тому

    Makonda uko wapi? Ebu jitokeze utusalimie tumekumiss jembe letu

  • @tumainipeter458
    @tumainipeter458 5 місяців тому +2

    Ukimfanya mwenzako hivi wewe utafika wapi?

  • @enockjoseph3818
    @enockjoseph3818 5 місяців тому

    Hizi midia mnaandika alie muwekea sumu makonda ni flani mnauhakika ifike hatua serikali mfungie midia na chanel kama hizi ni upuuzi

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 5 місяців тому

    Nenda polisi.ukaisaidie

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 5 місяців тому

    Acheni uchonganishi.

  • @DelisonShija
    @DelisonShija 5 місяців тому

    Akifa makonda hata yey iko siku atakufa kikulach

  • @PoulFred
    @PoulFred 5 місяців тому +1

    Wew unaushahidi na hicho unachokiongea?au unaropoka tu kwa kuwa uhuru huo unao acha kuchonganisha watu

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 5 місяців тому

    Rafiki ndo mbaya wakooo wakooo

  • @RashidShinza
    @RashidShinza 5 місяців тому

    Sheria yannchiihii yakijinga gamba upigwe bastola

  • @moshinkwabi
    @moshinkwabi 5 місяців тому

    Pamoja nahayo yote je mricho ameshakatwa?

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 5 місяців тому

    Ataishi milele yeye

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 5 місяців тому

    Gobrta Kamanda we umesema ukweli tusubiri tu

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 5 місяців тому

    Hii channel ni ya mataahira jamani,msipoteze muda kuiangalia kwakuwa haijawahi kutoa habari za maama

  • @leylam2121
    @leylam2121 5 місяців тому

    Kikulacho kinguoni mwako rafikiako sikuzote ndie adui yako

  • @MichaelEliasmwampamba
    @MichaelEliasmwampamba 5 місяців тому

    Hizo ndio lamli chonganishi mbona waganga wakienyeji wanakamatwa hata wahandishi kama hao wawe wanakamatwa nakufungiwa media zao wachonganishi wakubwa hao ila watambue selikali ipo na ipo kazini

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 5 місяців тому +1

    Utakavyo kamatwa utoe ushahidi ndo utajua

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 5 місяців тому

    Kila mtu anatembea pua yake imeangalia chini maana kuwa atakufa tu

  • @FransisLaurenti
    @FransisLaurenti 5 місяців тому +1

    😂😂😂

  • @AllaudinMeghji
    @AllaudinMeghji 5 місяців тому

    Jamani nyie fimbo ya mbali haiui nyoka

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 5 місяців тому

    Conspirasy theories.Ushahidi uko wapi? Nonsense

  • @jonasimwanzi
    @jonasimwanzi 5 місяців тому

    Watu wa arusha adamaneni nendeni nyumbani kweke ili mujuwe si wanasema yuko rikizo

  • @zebrakacole5822
    @zebrakacole5822 5 місяців тому

    MMbunge gani ? ni JOSEPHAT GWAJIMA???