🅻🅸🆅🅴 : MAHOJIANO YA TUNDU LISSU YANAFANYIKA MUDA HUU...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 69

  • @gabrielkyando2632
    @gabrielkyando2632 23 дні тому +3

    Great thinker,,💥💥💥

  • @user-px6ws6zk3g
    @user-px6ws6zk3g 24 дні тому +11

    Mh tundu lisu mungu aendelee kukutunza akubariki sana kama wetu ✌️✌️

  • @sethkivuyo3342
    @sethkivuyo3342 24 дні тому +9

    Odemba nakuelewa sana interview zako.. ila Leo umekaa kiuchawa zaidi in short umepuyanga.....

  • @sadatisheshe-vb7qt
    @sadatisheshe-vb7qt 24 дні тому +12

    Mshukuru lissu anakujibu na kupambana nawe hivyohivyo licha ya aina ya maswali unayomuuliza. Wengine hapo huwa wanaishia kusema, no comment!!!!!!!!

  • @vettoaidan761
    @vettoaidan761 24 дні тому +5

    Lisuuuuuu✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 24 дні тому +7

    Hakuna matching kati ya mwandishi na Lissu. Akili ndogo vs akili kubwa. Anampapasa tu. Tz hakuna mwandishi wa kumhoji Tundu Lissu. Anaweza kuhojiwa na watu wenye uwezo mkubwa kama Jenerali Ulimwengu. The rest wanajaribu

  • @young_editorrr7888
    @young_editorrr7888 24 дні тому +7

    Mwandishi sio professional hata kidogo i wish angekuwa mtu timamu zaidi tungepata madini zaidi

    • @jojigeorige1056
      @jojigeorige1056 23 дні тому

      Alisoma SAUT huyu, ila kichwani ni bure kabisa. Hajifunzi kupitia mentorship

  • @user-fx7yu6no4g
    @user-fx7yu6no4g 24 дні тому +3

    Lisu mungu azdi kukulinda

  • @CornelThomas-gc8rz
    @CornelThomas-gc8rz 22 дні тому

    Maswali mazuri sana kweli wewe ni mtangaji hongela sana

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 24 дні тому +3

    Msigwa kuhama Chadema, yeye mwenyewe anaumia sana. Amehama kwa hamaki, alikosa councilling baada ya kushindwa uchaguzi. Ameniambia huko aliko yale magwanda anayovaa, anaona sijui kavalishwa mnyama gani.

  • @michaelmlawa4814
    @michaelmlawa4814 24 дні тому +8

    Mwandishi unauliza swali kabla hajamaliza kujibu unauliza lingine ni kama husikilizi majibu ta swali lako lilitangulia

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 24 дні тому +4

    Inatakiwa Lisu awe na kipindi TBC

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 24 дні тому +4

    Huyu ndugu anamsimamo mkuu

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 24 дні тому +3

    Huyu mwandishi vipi mbona simuelewi, au anamengine nyuma ya pazia..!!!???

  • @user-cl7kd1pf6l
    @user-cl7kd1pf6l 24 дні тому +2

    Mheshimiwa Dr Tundu Antipas Mugwayi Lisu

  • @user-cl7kd1pf6l
    @user-cl7kd1pf6l 24 дні тому +3

    Dr Tundu Antipas Mugwayi Lisu

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 23 дні тому +1

    Mwandishi ni maandazi kabisa

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 24 дні тому +2

    Wengine wakizidiwa na maswali chokonozi huishia kusema no comment. 😂😂😂

  • @user-px6ws6zk3g
    @user-px6ws6zk3g 24 дні тому +2

    Mh tundu lisu kamanda wetu mungu akubariki sana Aishi miaka mingi yenye Amani na furaha tele ✌️✌️

  • @carolakinasha2106
    @carolakinasha2106 24 дні тому +2

    Mr Future President. President wa moyo wangu tangu kitambo . Much respect to you Tundu Lissu

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc 24 дні тому +1

    We mwandishi gani,unauliza swali, wakati ajamaliza kujibu swali, ufai kbs wewe Akili ndogo kwa akili kubwa,odemba akili ndogo

  • @AKWILINEKAWISHE
    @AKWILINEKAWISHE 24 дні тому +3

    MHOJAJI MPE NAFASI AONGEE HOJA YOTE KABLA YA SWALI LINGINE

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 24 дні тому +1

    Mwandishi unakera --- unajali kuukiza maswali tu bila kujali majibu au unajibiwaje ---- sasa wasikilizaji wako,tunataka kusikia majibu ya maswali ya huyo unaye muuliza " kama utauliza tu maswali bila kujali majibu au yanajibuwa vipi,itakuwa haina maana "

  • @user-tt5rn7kc6l
    @user-tt5rn7kc6l 24 дні тому +6

    Akili ndogo inahoji akili kubwa

  • @frankmaeda4284
    @frankmaeda4284 24 дні тому +1

    Ni mjinga tu atakukubalia hiyo convincing questions trick,uchawa wa kusisitizia tu twawala.

  • @johnkatabi9793
    @johnkatabi9793 24 дні тому +2

    mwandishi hajatulia leo

  • @AnaniaKyando
    @AnaniaKyando 24 дні тому +1

    Kaka odemba uko vizur sana lkn naomba nikuulize Alois nyanda Yuko wap?

  • @evelina9621
    @evelina9621 9 днів тому

    Atarudi.chadema.wanasiasa.wanakuwa.kama.nyumba.leo.wako.kenya.kesho.tanzania
    Akiona.vipi.atarudi.wasitiane.maneno.mbaya

  • @EMANUELMUSHI-kk4df
    @EMANUELMUSHI-kk4df 24 дні тому +2

    Huyu MC angejiandaa na angeandaa maswali kama ilivyokua kwenye uchaguzi wa TLS huu mdahalo ungekua mzuri sana

    • @florencejohn6427
      @florencejohn6427 24 дні тому +1

      Kajiandaa sana. Huoni anasoma maswali makuu. Ya nyongeza ndiyo hajaandika. Issue kubwa hapa ni uwezo wake na Lissu haviendani. Lissu ni mtu na nusu. Hakuna wa kufanya naye mahojiano. Anayeweza kumhoji labda watu kama kina Jeneral Ulimwengu na wengine wachache, na sio Odemba. Juzi juzi Kikeke mwenyewe alionekana kama mtoto kwenye kujenga hoja. Mwulize Nape atakusimulia alichokutana nacho kwenye mdahalo wake miaka ya nyuma

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u 24 дні тому +2

    VIVA KOMREDI LISSU.....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI.

  • @user-mn2et2pf6z
    @user-mn2et2pf6z 24 дні тому +2

    Vipi ikitokea ukachaguliwa kuwa raisi wa inchi hii utaviamuru vipi vyombo vya dora kwa tukio la shambulio lako?

  • @lgf7297
    @lgf7297 24 дні тому +1

    Mtangazaji hamna kitu

  • @musandile8142
    @musandile8142 24 дні тому +3

    Mh Tundu Lisu wewe ni zaidi ya Mwanasiasa, Mtu makini huna longolongo wala ubabaishaji

  • @Mrofficial_FoReX
    @Mrofficial_FoReX 21 день тому +1

    mbn huy jamaa mshmba muandish gni huy kimbel mbel kashauliz swali mtu hajmliz kuongea anaingilia
    kasom wap huy

  • @saidmtetwa4363
    @saidmtetwa4363 24 дні тому +3

    Mwandishi jaribu kuacha Lissu ajibu maswali kikamilifu

  • @user-fx7yu6no4g
    @user-fx7yu6no4g 24 дні тому +1

    Huyu mwandishi, huwa cmuelew, akawahoji ssm

    • @user-vz4xv7lg3x
      @user-vz4xv7lg3x 23 дні тому +1

      Anazingua sana...anauliza maswali juu ya maswali na kama ana pre set answers

  • @brendangabriel1643
    @brendangabriel1643 24 дні тому +1

    Odemba, kwa nini umeshupalia sana join the chain, wakati unajua ni nani wa kukujibu? Wewe hukuchangia cho chote, lakini umekuwa mpiga kelele kuliko cc tuliochangia, why?

  • @charlesjishuli4355
    @charlesjishuli4355 21 день тому

    Richard Quest!?

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s 24 дні тому

    Miaka 63 ya utawala wa ccm anaeonekana na uchu wa madaraka ni mtu ambayo hajawahi kutawala we bana kichwa kubwa akili nukta

  • @RastaMajumba
    @RastaMajumba 22 дні тому

    huyu muandishi yani kashindwa kuonyesha professionalism kama mwandish kudakiadakia

  • @charlesngalison7554
    @charlesngalison7554 24 дні тому

    Hakika LISSU umejaliwa kipaji na ufahamu wa sheria.

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc 24 дні тому

    We mwandishi gani,unauliza swali, wakati ajamaliza kujibu swali, ufai kbs wewe

  • @user-vt1dx7gr2j
    @user-vt1dx7gr2j 24 дні тому

    Sawa kijana wetu odemba ukovizuri mama amezaa moto anae jiamiini

  • @user-yw3qh6qj8g
    @user-yw3qh6qj8g 24 дні тому

    Mwandishi,Bure kabisa

  • @EMANUELMUSHI-kk4df
    @EMANUELMUSHI-kk4df 24 дні тому

    MwanaMalkia 😆😆😅

  • @davidmukandalla2947
    @davidmukandalla2947 24 дні тому

    Wewe mwandishi ebu tulia mtu ajibu swali lako bila kumkatisha katisha

  • @deohank5995
    @deohank5995 24 дні тому

    😂😂 nimekusikiliza kwa bidii, nahisi, japo sina hakika. Kua dalili za misinginiliyokuunganisha na Chama chako yamevunjwa, je? Ndo baibai?

  • @user-iz4te4gs5s
    @user-iz4te4gs5s 24 дні тому

    Public coments

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 24 дні тому

    Lisu is the only Patriotic citizen, Samia is hiding beside her own shadow, she is squandering Tanzanian mainland money for Zanzibar's, because Zanzibar hasn't potential economic resources.

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 24 дні тому

    - Ujerumani walikamata wanasiasa wa mrengo wa Afd tena wanataka kuipiga marufuku.
    - America unaweza pigwa risasi na polisi pasipo kosa.
    - Saa hii uingereza uki retweet jambo yenye serikali haitaki unastakiwa kama gaidi.
    -Aliyekuwa mwana jesi uko america Scott alivamiwa na FBI kwa nyumba yake waka chukuwa vita kadha kwa sababu anapinga vita ya Urusi na Ukraine.
    Sasa Tundu Lissu atuambie hao wanatumia sheria gani?

  • @user-mn2et2pf6z
    @user-mn2et2pf6z 24 дні тому

    Kwani ktk inchi ninani mmiliki wa majeshi ndani ya inchi? Na kama itakuwa ni raisi ndiye mmiliki wa majeshi Sasa itakuwaje asiwe na amli ktk majeshi?

    • @johnymwanga6110
      @johnymwanga6110 24 дні тому +1

      kichwa ufuto 😂 review tena maelezo yake utaelewa

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 24 дні тому

    KILA AKIULIZWA SWALA LA FEDHA ANAZUNGUKA KULIJIBU. MUULIZE KATIBU. !!

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 24 дні тому

      Ulitaka ajibu nini? Kwenu yakiulizwa mambo ya jikoni huwa anajibu nani? Bila shaka sio wewe.

    • @juliusjohnii7823
      @juliusjohnii7823 24 дні тому

      Hujaeleweka Godfrey

  • @Visiona897
    @Visiona897 24 дні тому

    Nani mwingine aliyetangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa chadema nje ya Lissu?

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 24 дні тому

    Ama kweli mfadhili mbwa atakulindia usiku kuliko mtu kama lisu usimtowe roho samia kwa uchu wa kupata uraisi mdomo mchafu kauli chafu

    • @willison-g7z
      @willison-g7z 24 дні тому

      wenye uerewa kama wako ndio watakuona una maono mzuli

    • @sethkivuyo3342
      @sethkivuyo3342 24 дні тому

      We tako kaa kimya