DR KUMBUKA BAADHI YA WATU MUHESHIMU MISINGI NA MAMLAKA YA NDOA JOGOO WA MCHANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 35

  • @agneskamau234
    @agneskamau234 3 роки тому +4

    I like Dr kumbuka🇰🇪🔥🔥🔥❤️🙏

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣Pata soda ya baridi Dr kumbuka nacheka mpaka nalia

  • @rabybenny6083
    @rabybenny6083 3 роки тому +1

    Wallah umenikosha D kumbuka, yaan ulicho kizungumzia ni true kabs hatupumui khaaaa

  • @halimalaswai3192
    @halimalaswai3192 3 роки тому

    Nimependa Abeche Aroro

  • @jackykanini8671
    @jackykanini8671 3 роки тому +1

    Kweli Dr kumbuka yote kweli

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 3 роки тому +1

    Kweli kaka kabisa

  • @saumrashid8086
    @saumrashid8086 3 роки тому

    👏👏👏😍😁😁

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 3 роки тому +2

    yn ni kweli kabisa zipo famili km Zina Lan vile yan usiwe na upendo na mkeo bas kero ukimpa mkeo pesa kazi mwanamke ndo anafaid jaman tufanyej ili mpumue duuuu yametukuta sn hayo mm niliambiwa niachwe kisa et sizai ten mama wa mume huyo Ana mwambia mtt wk tafuta mwanamke mwingine uzae nae khaaaa wanawake tusikurupuke kuingia ovyo kwenye famili unawez kuingia kweny mdomo wa mamba wallah

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 3 роки тому

      pole sana mamy 😳

    • @zaitunijuma7831
      @zaitunijuma7831 3 роки тому

      @@uwimanauwimana7692 Asante my ndo dunia hii

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 3 роки тому

      @@zaitunijuma7831 kabisa. hiyi. ni mitihan. y’a dunia ukikosa y’a mume utapata y’a watt yote ni kumkabizi Allah 🙏🏾🙏🏾

    • @zaitunijuma7831
      @zaitunijuma7831 3 роки тому

      @@uwimanauwimana7692 hakika my

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 3 роки тому

    Kweli tupu! Yapo sana hayo!
    Yaani Sijui kwanini!

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 3 роки тому

    Kweli kabisa kumbuka jaman acha t

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 роки тому

    Kweli kabsaa kumbuka

  • @idifonceshizle
    @idifonceshizle 3 роки тому

    Kabisaaa 👏

  • @assilaibra4563
    @assilaibra4563 3 роки тому +1

    Yamenikuta hayo,,,

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 3 роки тому

    wambie baba

  • @w.b.fonlinetz43
    @w.b.fonlinetz43 3 роки тому +2

    mmmmh we jamaa unaongeaa ad wenzio wanaxhndwa waongee nn

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 3 роки тому

    Oyoooooooooo

  • @zaharamussa3260
    @zaharamussa3260 3 роки тому

    Ni kweli tupu kabisa

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 роки тому

    Abeche Aroroo😂😂😂🤣

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 роки тому

    kweli yaani mungu akurehem dk kumbuka, lkn tu napambana vyakutosha sn habari ya mawifi wala nani wakija kieshima eshima wakija nganga bc inakuwa nganga sikuangalii mara mbili. ndoa za sasa mateso.

    • @ujudiabdull9442
      @ujudiabdull9442 3 роки тому

      Arehemewe dk kumbuka kwani ameshakufa.....

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 3 роки тому

      Yan akija mkundu juu na mm mkundu juu ukiek uso wa kum n mm ivyo wanasumbua sn hwa wakwe na mawifi

  • @salmakhasim1827
    @salmakhasim1827 3 роки тому

    Swebe yuko wapi mbona sisiki sauti yake

  • @OmanOman-sm6dv
    @OmanOman-sm6dv 3 роки тому

    Mimi rafiki yangu yamemkuta hayo mam mkwe pesa kila siku ajui mwanae hana alivyo olewa rafiki yangu akawa ana mwambia ww ndo unasa7bisha nikose pesa mpaka aka mwambia mwanae aoe mke mwingine ila mwanaume akumsikiliz mam yake akamuowa uyo uyo

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 3 роки тому

      M mwenywe yamenikuta aya uliyoyaongea myَ mpka ss atun maerewano mazuli n mm yangu mkwe nimezaa mtt sasa iv an miak miwli lakin my uwez amin ajawahi kumuon ht siku moja na mm wala sijali wala nn nmemuachia mwanae wapange maish niko oman napamban na maisha yangu

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 3 роки тому

      Uko pand za wap naon oman oman

    • @OmanOman-sm6dv
      @OmanOman-sm6dv 3 роки тому

      @@salamamohammed5446 salalah

    • @OmanOman-sm6dv
      @OmanOman-sm6dv 3 роки тому

      @@salamamohammed5446 ww fanya yako tu achana nae

  • @Helleniification
    @Helleniification 3 роки тому

    🐓🐓🐓🐓🐓