Huyu anayeeneza habari za bass wala si muungwana...anatafuta bass ktk nyimbo na kusahau ujumbe uliomo. Yumkini akawa mchawi mlozi na mchafu. Haiwezekani wasikilizaji wote tuzipende nyimbo hizi halafu yeye tu ndio anaona sijui nini nini huko. Acha chuki binafsi wewe...chuki haina maendeleo hata kidogo...unaudhi aisee..
Mbarikiwe kwaya nzima kwa jumbe zenu nzuriiii
God bless this church abundantly
SISI wakristo ni nuru kwa walimwengu.Asanteni AIC Chang'ombe Choir.
I love your songs, I feel joyfull listening.
God bless this choir
Touching Bible lyrics, touching so good
Vizuri sana wana wa Tanzania hakika Mungu yu nanyi mbarikiwe sana!.
Naipenda nyimbo.hiz.jamn.nawapnda.sana.jamn.
such a blessing to listen to this song, i cant get enough of it.
Quel adoration que dieu vous bénisse
Thank God he meant us the light of The world... Great to know this mystery of heaven
Yes
Nabarikiwa sana na wimbo huu kwakweli mmeimba vizuri mbarikiwe
Matthew 5: 13-16
July 2024
Nice song
Be blessed Changombe.
Great stuff. God bless you guys!
SAFI sana
They deserve to inter the heaven prepared by whom they praise!
Amen
True gospel songs
Huyu anayeeneza habari za bass wala si muungwana...anatafuta bass ktk nyimbo na kusahau ujumbe uliomo. Yumkini akawa mchawi mlozi na mchafu. Haiwezekani wasikilizaji wote tuzipende nyimbo hizi halafu yeye tu ndio anaona sijui nini nini huko. Acha chuki binafsi wewe...chuki haina maendeleo hata kidogo...unaudhi aisee..
N
i wanna that clothes have tanzania flag color. i wanna buy it. if u do have it text me
Nakupeda wesoro jina silijui unanibaliki sana