Ujasiri

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @iyaamoding8945
    @iyaamoding8945 3 роки тому +5

    Old is gold,,mbarikiwe sana

  • @CatherineKimongo
    @CatherineKimongo 6 місяців тому +3

    I thank God naeza imba nyimbo zenu zote

  • @danielmwaiha-xe9zh
    @danielmwaiha-xe9zh Рік тому +1

    Kwakweli hiizi nyimbo zenu zainua saana kiroho.m'barikiwe sana

  • @JuliusMwambalaswa
    @JuliusMwambalaswa Рік тому +1

    Uyu mama anae solo ananibariki sana nampenda sana.

  • @FideliaLuboha-ro3hy
    @FideliaLuboha-ro3hy 8 місяців тому +1

    Nimeutafuta wimbo huu sana. Hatimae nimeupata

  • @petermaghanga4165
    @petermaghanga4165 2 місяці тому

    Much love from kenya

  • @mabitajunior
    @mabitajunior 2 роки тому

    basi msiutupe ujasiri wenu sasa una thawabu,maana mnahitaji wokovu wake bwana.
    My favorite verse
    aliye mwenye haki azidi kuwa na haki yake,asijesita roho ya bwana itaumia,aenende sawa na mapenzi yake bwana,ili bwana asije mseta pale jehanam uuh

  • @innocentkipanyula2547
    @innocentkipanyula2547 2 роки тому

    Nabarikiwa sana na nyimbo hizi hakika injili mumeitangaza vyema mungu awabariki

  • @FideliaLuboha-ro3hy
    @FideliaLuboha-ro3hy 8 місяців тому

    Wakati tuko shule, tulisikiliza wimbo huu kwenye basi wakati wa kuelekea kanisani kila sabato.

  • @FideliaLuboha-ro3hy
    @FideliaLuboha-ro3hy 8 місяців тому +1

    Mbarikiwe watumishi

  • @salomeblasius1023
    @salomeblasius1023 3 роки тому +2

    Amina sana watumishi wa Mungu

  • @lizamunala1054
    @lizamunala1054 8 років тому +2

    nikweli ukienenda kwahaki hautajikwaa be bles aoll

  • @marrywistone3115
    @marrywistone3115 5 років тому

    Napenda Sana nyimbo zenu amin zanifariji sana

  • @FideliaLuboha-ro3hy
    @FideliaLuboha-ro3hy 8 місяців тому

    Wimbo huu ulinigusa.

  • @braytonjohn8332
    @braytonjohn8332 5 років тому +1

    Wawooooooo!!! Nabarikiwa sana juu ya huu wimbo🙏

  • @BlanchardMwilambwe-rf2lx
    @BlanchardMwilambwe-rf2lx 5 місяців тому

    asante mimi ni mutshungaji nina kanisa congo naka Lubumbashi natamani niwalike tawapa vipi

  • @marrywistone3115
    @marrywistone3115 5 років тому +1

    Amen

  • @lydiadeogratius4345
    @lydiadeogratius4345 6 років тому

    Naupenda sana huu wimbo

  • @iyaamoding8945
    @iyaamoding8945 5 років тому

    Asante I nabarikiwa sana

  • @leahmussa1871
    @leahmussa1871 4 роки тому +1

    Amen