MNH - AFYA PODCAST: PART ONE na Prof. Mohamed Janabi (KUFUNGA KWA KULA MLO MMOJA au MIWILI)
Вставка
- Опубліковано 11 вер 2024
- MNH - AFYA PODCAST: PART ONE na Prof. Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili akielezea kuhusu unavyoweza KUFUNGA KULA MLO MMOJA au MIWILI (Intermittent Fasting)
I love afya
Shikran Dr Allah akupe maisha marefu upate kutoa elimu kwa Kina
Nashukulu sana kwa elimu unatupa kabisa.ila mimi naomba niwe mgonjwa wako ili nipate kupunguza uzito kwa ninashida kubwa kwasababu yauzito nakuomba sana
Profesa naomba ufundishe kuhusu mafuta ya kupikia Polyunsaturated Fat Acids (PUFAS)
Jembe hilo. Dr Janabi ahsante kwa programme hii itatusaidia wengi.Kwa hiyo part 1 tayari nimeshachota mengi. Mungu akubariki Jembe la Tanzania.
Mimi napenda tu prof anavozungumza kwa sauti ya utaratibu na upole
Asante sana Daktari hii nilikuwa naitafuta sasa nimeipata na umeelezea vizuri sana.
Tunashkur sana kwakutup Elim mapema tunahtaj ma Dkt waain hii Nchin.
ASANTE SANA PROF. Elimu muhimu sana kwa kipindi hiki.
Huyu Dr Janabi ni chuma aisee 🫡
Mashallah Mwenyezi Mungu akulipe kwa mafundisho
Shukrani kwa elimu Daktari, naomba kujua endapo inafaa kufunga kwa watu wanaofanya mazoezi sana.
Thanks Prof. Nimeanza kupata matokeo na naendelea kuona mabadiliko through fasting. Tumbo linaisha kwa kasi though kgs zinapungua polepole. -3.4Kgs per 1 month
Very informative.
Others they fast in order
To save money
Spiritual factor
Je doctor Mimi nikila matunda mara kwa mara kitakacho hifadhiwa ni mafuta au ni vitamini Moja kwa moja
KEEP ON TEACHING OUR FELLOW TANZANIAN NATION.REMAIN BLESSED .
Thank you Prof
Mie nahitaji kujua ratiba ya doctor ya chakula i want to follow it 😊
Naomba kuuliza doctor,,,,nikiwa nimefunga masaa 12,,,nisahihi kuanza kutumia mtindi kabla ya kula chocchote
Shani dkt Sana
Asantee .profs.Janaab❤❤❤
Asante sana Prof
Asnte doctor
Asante sana Dr
Very helpful information. Asante Prof.
Asante sana Dr umenisaidia sana
Thank you very much❤
Mungu akulipe kheri kwa elimu
asante sana Dr nimeoata mafunzo sana
Vipi kuusiana na madonda ya tumbo doctor ina husiana na kutokula muda mrefu
Asante prof.
Ahsante dr mola akupe nguvu na uzidi kuelimisha jamii, kila ulichokisema ni mia juu ya mia na mm naongezea kitu kimoja tu ikiwa mtu anahisi yupo katika state ya hyperinsluminia na anataka kuanza intermittent fasting ni vyema aache kula mikate au chochote kilichotumia unga kutengenezwa na ale vyakula vya asili vizima ili kupunguza insulin resistance na utufundishe chakula gani tufungulie saum zetu.
Naomba kuuliza hivi tunaweza kupata wap izi slides za Dr
Very informative
Amazing prof. Big up and thanks very much
Je ni sawa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo kufunga?
Mgonjwa wa vidonda vya tumbo mara nyingi hukonda kwa kutoweza kula vizuri na kuchagua nn ale, kwa maana hiyo taka ushauri kwa specialist wako wa stomach ulcer.
I want to be like you
Duu.nina urefu 150 cm-100=50😂Ina maana niwe na kilo 50.saiz Nina 80.ngoja nikaxane