#Live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • #arisendshinetanzania #2024mwakawambinguzilizofunguka #mwamposalive
    #tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania#dar#tanganyika#ubaloziwambinguni#kawe
    Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
    From Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.
    WATCH ARISE AND SHINE TV
    AZAM CHANNEL 469
    STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

КОМЕНТАРІ • 29

  • @JosephineMsagati
    @JosephineMsagati 2 місяці тому +1

    Amen nimepokea kwa jina la yesu

  • @WilondjaMathayo
    @WilondjaMathayo 2 місяці тому

    Asante mungu naomba mungu wangu anipe kazi ili nikombowe familia yangu 20:16

  • @WilondjaMathayo
    @WilondjaMathayo 2 місяці тому

    Asante mungu naomba mungu wangu anipe kazi ili nikombowe familia yangu

  • @KhadijaMilanzi-ns6sy
    @KhadijaMilanzi-ns6sy Місяць тому

    Amina naomba Mungu unifungulie kiuchumi familia yangu mdogo wangu kamarinza chuwo hapate KZN kiraka mama yangu mfunguwe kiuchumi naomba Mungu nifanikiwe kiuchumi nipate Ela nifunguwe biashara zangu 3 na nipate watoto na chumba wangu harundi kaniacha kupitia mazabao aya

  • @ZainabuRidhiwani
    @ZainabuRidhiwani 2 місяці тому

    Mungu nipe furaha ktk maisha yangu timiza ndoto zangu. Fungua maisha yangu Leo hii

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 2 місяці тому

    Mungu unipe wateja wengi na kazini niitwe mapema.nimiliki kazi 4 kiurahisi sana .na mabosi wanipende na waning'ang'anie san

  • @BupheNjabili
    @BupheNjabili 2 місяці тому

    Asante Yesu imekuwa kwangu leo nimepokea

  • @KidawaMalasi
    @KidawaMalasi 2 місяці тому

    Mungu nakuomba unipe nguv ya maombi ktkt jina la YESU, ameen.

  • @WilondjaMathayo
    @WilondjaMathayo 2 місяці тому

    Naomba mungu anipe kazi nzuri KATIKA maisha yangu napatika RDC

  • @KidawaMalasi
    @KidawaMalasi 2 місяці тому

    Mungu nakuomba uniongoze ktkt njian iliyo salama kwa jina yesu ameen

  • @asnethgembe2189
    @asnethgembe2189 2 місяці тому

    Amen 🙏 napokea na Mimi

  • @lozi.shilima
    @lozi.shilima 2 місяці тому

    Mungu asante. Kwauzima wako

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 2 місяці тому

    Mungu anipe kazi yangu ya shule na niitwe kuanza kazi.

  • @MpajiRutunda
    @MpajiRutunda 2 місяці тому +1

    Amen 🙏

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 2 місяці тому

    Mungu nipe kazi kipindi hiki kigumu nilichokua nacho

  • @WinifridaMakuliga
    @WinifridaMakuliga 2 місяці тому +1

    Mung kamnyenyue mama kwenye kitanda Cha wagojwa

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 2 місяці тому

    Nipate mtaji kiurahisi na nipate wateja wengi na biashara yangu ikue kiurahisi sana

  • @JacklineSimon-ft9bb
    @JacklineSimon-ft9bb 2 місяці тому

    Amina Amina Amina Amina

  • @PolynSaid
    @PolynSaid 2 місяці тому

    🙏🙏🙌❤

  • @Fatimamarcelino-c7h
    @Fatimamarcelino-c7h 2 місяці тому +1

    Eu sou fatima sou uma negosiante eu tenho 10 anos a vender capulanas mas nao estou aver o resultado entao estou a pedir para que o senhor ori para mim meu deseju era de chegar ai mas nou consigo nao tenho dinhero para chegar ai, eu gosto das suas orasoes sempre escoto sempre as suas orasoes entao peso para que ori para mim

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 2 місяці тому +1

    Nipate kazi za masaa 3 kiurahisi na niitwe Kila nilipoenda kufanya kazi . wanitafute kiurahisi sana

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 2 місяці тому

    Mabosi wote wa kazini kwangu wasitulie walipo . wanitafute kiurahisi sana na mapema.

  • @WinifridaMakuliga
    @WinifridaMakuliga 2 місяці тому

    Napokea uponyaji huu Kwa mama yangu mzazi ameen

  • @RehemaYisega-gq2ed
    @RehemaYisega-gq2ed 2 місяці тому

    Mung anipe mume bola nafamily bola sitaki wanaume wakunilagai two washidwa kupitia jina layesu nafamily yanngu ikombolewe kupitia maomb haya watoto wang wafaulu wote

  • @IbrahimMotors-vl9ii
    @IbrahimMotors-vl9ii 2 місяці тому

    Naomba kujua hiki kipindi muda wake ni saa ngapi

    • @rosejuma2085
      @rosejuma2085 2 місяці тому

      Saa tatu usiku,na saa nane usiku.

    • @asnethgembe2189
      @asnethgembe2189 2 місяці тому

      Saa tatu usiku ya Tanzania 🇹🇿

  • @MpajiRutunda
    @MpajiRutunda 2 місяці тому

    Amen 🙏