BARUA YA WAZI KWA MWANANGU DORCAS | REHEMA SIMFUKWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 154

  • @rehemasimfukwe
    @rehemasimfukwe  День тому +78

    BARUA hii ya Wazi kwa mwanangu Dorcas naitabaruku kwa wazazi na walezi wanaowahudumia watoto wenye ulemavu na changamoto za kiafya za aina yoyote ile. Wasipoteze tumaini Wala kukata tamaa, watambue bado watoto wao ni baraka na zawadi kutoka kwa Mungu.

    • @MwaminiJoseph-c9o
      @MwaminiJoseph-c9o День тому +1

      Dada Rehema wewe ni mwanamke shujaa na ametaka hadithi hiyo iufikie ulimwengu ili wengine wafarijike na kukua imani

    • @wilhelmindaniel7685
      @wilhelmindaniel7685 День тому

      Dah ..nazidi kumwelewa Mungu

    • @AdvelaMyinga
      @AdvelaMyinga День тому +1

      Mungu attends jambo jipya kwenye maisha ya Dorcas

    • @doricasmuhepa620
      @doricasmuhepa620 День тому

      Sawa dada Ukweli Mchungu.Mungu akutunze

    • @nurdinmvellah4032
      @nurdinmvellah4032 День тому

      Tuombeane dada yangu, maana tatizo lako halina tofauti na langu, utofauti wake ni umri tu wa Hawa watoto, jinsia moja. Namwamini mungu wangu, na Nina Imani IPO siku moja nitaona Nuru ktk maisha ya Binti yangu na Binti yako. Mungu anakusudi nasi. Amina🙏

  • @neemajohnson7508
    @neemajohnson7508 18 годин тому +6

    Najikuta nalia😢😢😢
    Am a nurse working in maternity, may God use me to help all mothers and babies

  • @neema37_christmyredeemer
    @neema37_christmyredeemer 15 годин тому +2

    Mungu akubariki sana dada.......YEEEEEEESSSS....ACHA GIZA NALO LITANDE....BADO NITAKWABUDU....YAHWE, ADONAI, ELIROI oooooh He Is and Will be Our Maker, the Great Creator of All and our Great Father.
    My dear, umenipa sababu zaidi ya kumshukuru, kumwabudu na kumuishia huyu Mungu mkuu. He is in control.
    Love you soo much my sis' in Christ.

  • @esthernthenya4690
    @esthernthenya4690 День тому +4

    God allows us to accept suffering that cames from you...May God who allowed Rehema and his husband to accept Dorcas suffering be with us ...We love you Dorcas from Nairobi Kenya

  • @EpifaniaJimmy
    @EpifaniaJimmy День тому +5

    MUNGU anabaki kuwa MUNGU hata kama hakujibu kama ulivyotaka 📌Wewe ni Mwanamke jasiri umeponya wengi uzidi kubarikiwa🙏🏾🥰🔥

  • @ivonamihambo6970
    @ivonamihambo6970 7 годин тому +1

    Mimi nilipitia wakati huu. Mme wangu akaenda kwa mchungaji na watu wengi walioniheshimu kusema kuwa mtoto siyo wake akiwa na picha ya mwanaume aliyemuita ni baba wa mtoto. Ambapo sikuwa nikimjua mwanaume yeyote isipokuwa ni yeye. Mwanangu nilinunua virutubisho, alinisaidia mwanzoni baadae ikawa mzigo wangu. Nilitakiwa kazini lkn nilipokosa binti kuna nyakati hata babake hakuta kunishikia kwa muda tu nikaripoti kazini nirudi nyumbani kwani yeye alikuwa akisimamia biashara za familia ambazo zilikuwa hazimfungi kuhusu kuhudhuria. Nililia mara nyingi lkn Mungu hakuniacha.
    Hadi leo namtukuza Mungu kwani Mungu ni mkuu. Anatukuzwa katika mazingira yote. Mungu ambariki mmeo.

  • @LydiahMachuka
    @LydiahMachuka День тому +9

    You are not alone...my child has been going through convulsion since he was 9months.,God has been there for us ...we won!God has been faithful and He is faithful

  • @WendeUpendo
    @WendeUpendo 15 годин тому +1

    Katika yote wewe BADO NI MUNGU🙌🙌🙏🙏🌹🌹🌹❤️❤️

  • @esthernthenya4690
    @esthernthenya4690 День тому +7

    God knew Dorcas before she was born...may name of God Be praised

  • @liznamnyak2196
    @liznamnyak2196 15 годин тому +1

    Why am I cutting onions😢😢😢😢😢

  • @Purity-Di
    @Purity-Di 17 годин тому +1

    Great inspiration "worshiping Almighty God in the darkness hour"you are a strong woman of God.much love from me❤❤❤

  • @misstee102
    @misstee102 6 годин тому

    NIMELIA SANA 😭 MUNGU ATUSAIDIE HAKIKA MUNGU YEYE NDIYE AJUAYE MWISHO WETU CHANGAMOTO ZISIFANYE TUKAMUACHA MUNGU ILA NI TUJIFUNZE KUSHUKURU KWA KILA KITU😭😭EE MUNGU NISAIDIE 🙏

  • @waretasusan7830
    @waretasusan7830 22 години тому +2

    Nilimpoteza mama yangu mwaka jana,ilikua ngumu sana.Mungu akanipa wimbo unaoitwa NAKUSHUKURU TU. Hata kwa haya mengine Mungu ana sababu. Kwa yote Mungu anatupa yawe mazuri au kinyume na matarajio yetu wacha tumshukuru tu.

  • @MiriamSamuelke
    @MiriamSamuelke День тому +61

    Niliuandika wimbo unaosema "Mungu WA Ishara" maana mungu aliniponya cancer..nakuelewa unaposema kwamba mungu alikusukuma kuandika "Chanzo"
    Dorcas ataishi kuwa WA baraka kwa familia yako

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  День тому +3

      Yesu ameshinda

    • @MiriamSamuelke
      @MiriamSamuelke День тому +1

      @rehemasimfukwe kweli kabisa..unanibariki Sana mungu akujalie neema kuu umtumikie

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 День тому +4

    Kwanza MUNGU akutunze ipo sku atapona kabsa namin hivyo unavyomtumikia MUNGU ipo sku atakupa kicheko dada angu tunza sms yangu atapona kabsa kabsa Amina nakumbuka sku mama angu anafalik tulikuwa tunapiga wimbo wako wa neema yako tu na sana skiliza wimbo wa chukuma kila sku ukicheza na mm nacheza hakika YESU ameskia kilioa chako ❤

  • @nyawiranyaga9614
    @nyawiranyaga9614 10 годин тому

    Wow, what a testimony! Mungu ndiye chanzo cha uhai wa kila mwana.

  • @virginianganga2556
    @virginianganga2556 5 годин тому

    Wow Rehema my sister in Christ you are truely a servant of God being able to praise God geneuenly eventhough you were going through this hardship, God bless

  • @InnocentAutumnTrees-ux1jj
    @InnocentAutumnTrees-ux1jj День тому +4

    Nimejifunza kwamba kila jambo linafanyika wa wema wa Mungu japo wakati mwingine kulipokea mtu huwa na maswali juu ya Mungu ila tunapokubaliana nacho basi Mungu hubadilisha kua furaha,amani isiyo na kikomo...ubarikiwe sana mtumishi Rehema karibu hapa Kenya tena na tena

  • @k.m.8658
    @k.m.8658 День тому +14

    Vulnerability 🥹🥹. Wuuueeeh. When God gives us songs through His servants that bless us, yet they are going through it themselves 🥹😭. For sure, His grace is sufficient for us 🥹, if and when we're found faithful 🥹🧡. May God help me to be found faithful in tough times 🥹🙌🏾🙇🏾‍♀️🧡.
    Thank you WoG 🥹🧡🧡. I value you 🧡 and love my God in you 🥹🧡💯.

  • @peterkanji3830
    @peterkanji3830 День тому +18

    IMAGINE NIMENUNUA PAMPERS FOR 13YRS SASA,
    BUT GOD HAS BEEN ON MY SIDE

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  День тому

      Keep on trust him

    • @NaomiJames-cm9cz
      @NaomiJames-cm9cz День тому

      Endelea kumwamini Mungu wakati usiodhani atatenda

    • @SalomeSalomeRichard
      @SalomeSalomeRichard 16 годин тому

      Asubuhi inakuja iliyojaa furaha Na Shuhuda ,Usizimie moyo endelea kumtumaini Mungu yeremia 17:7

    • @malcelalihawa6034
      @malcelalihawa6034 6 годин тому

      Mungu unapo zulu wengine nakusihi ukaikumbuke hii familia na mtoto wao ukawazidishie nguvu na ujasiri kuwa na imani juu yako ukawavushe salama🙏🏿

  • @timotheotenga1878
    @timotheotenga1878 День тому +5

    "We know that all things work together for the good of those who love God, who are called according to his purpose.”

  • @marthalucas-e7j
    @marthalucas-e7j День тому +4

    I love all Rehema's songs, but this letter has made me cry over the song after interpreting it again based on Dorcas' story. May God's favour always be upon her ❤ and all the other kids

  • @nginazmag2259
    @nginazmag2259 День тому +2

    I relate so well it's being 4yrs of pain and anguish still trusting in the almighty God for a miracle.

  • @christineprosperity6118
    @christineprosperity6118 16 годин тому

    Mungu yupo pamoja nanyi,endeleeni kumuamini tu,Dorcas ni shujaa.

  • @John-pv1xr
    @John-pv1xr День тому +4

    WHAT GOD CAN'T DO, DOESN'T EXIST

  • @SuperJoshuadee
    @SuperJoshuadee День тому +5

    I am lost for words, May God who sees beyond our imagination continue holding you dear sister. Chanzo cha uhai wangu ni kukuabudu bwana. Joshua, Kenya

  • @InspireVoicesGlobal-no8xl
    @InspireVoicesGlobal-no8xl День тому +5

    God has a reason and a purpose for every story. I see a blessed woman of God.

  • @betzchep
    @betzchep 19 годин тому +1

    Mungu akubariki

  • @ezesaxo8764
    @ezesaxo8764 День тому +3

    Chanzo cha uwai wangu, blessed my sister God is good all the time

  • @Joycekwolola7
    @Joycekwolola7 18 годин тому

    Nikiwa Sina hata nimuone tu walau najisia furaha ila nikiomba siku moja Mungu amufungulie mlango na anakuwa huyo mwanae wanae wote anakuwaga nao pale aiseee Mungu amekutia nguvu mpaka hapo utukufu kwa Mungu ila kama mnaweza kumfikia huyo mama mtabarikiwa Sana Mungu ni mwema 💕💕💞

  • @minajose6602
    @minajose6602 День тому +1

    DHI is going to be a blessing to so many parents. May God continue blessing you Rehema and your entire family for coming up with a way to help make easier other parents and children lives. To more grace and more blessings 🙌 From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you.❤

  • @zainabukingwere9521
    @zainabukingwere9521 День тому +1

    Napenda sana nyimbo za simfukwe, Nimepitia meng japo hatufanani na hatutanana Pooleeh san , yes don't forget you can you will you must

  • @SakinaJosephine
    @SakinaJosephine День тому +3

    Nimejikuta nalia kwa Sauti Kubwa Sana,Nikafikia ku waza Mimi Gisi nilivyo Komah
    😭😭😭😭😭,Nimekoma Kuwa mtoto wama jozi siku zote Ila Nilipo Gunduwa kuwa Mungu ni Umoja tu,Sikukata Tama nimejipa moyo na Nikasonga mbele Adi Leo apa nilipo
    Asante Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏
    Nitazidi kukuamini

  • @hildahngoyah4762
    @hildahngoyah4762 18 годин тому

    Katika yote wewe bado ni mungu. May God bless you sister Rehema.

  • @victoriamali5249
    @victoriamali5249 День тому +1

    Dorcus is so beautiful... may God heal her

  • @elestina01
    @elestina01 23 години тому +1

    Learned something through you sister Rehema and your family, God is faithful, he knows the reason why he does everything, and I believe he is going to do something big for you and through you he is lifting up, he has lifted up and he is going to be lifted up.

  • @AgnessAloyce-w5o
    @AgnessAloyce-w5o День тому +1

    Mungu ni mponyaji Dada rehema naamin Dorcas atakua sawa

  • @ZennaFesto-p7u
    @ZennaFesto-p7u 19 годин тому

    Kupitia wewe umeinua Imani watu wengi sana .Mungu alijua utashinda

  • @juddykailemia4353
    @juddykailemia4353 День тому +3

    More grace and strength as we raise our differently abled children.Sometimes it's from our greatest pain that something beautiful is birthed.

  • @fayorganiks-xd7yt
    @fayorganiks-xd7yt День тому +2

    God of miracles, thank you for this family. Let your grace be sufficient

  • @olivertadeo6991
    @olivertadeo6991 17 годин тому

    😢😢 Yesu anayo sababu azidi jumtunza Dorcas

  • @hannahw4769
    @hannahw4769 День тому +4

    Bless Dorcas, every child has a purpose, I am so touched by how you have turned this to help others. God enlarge your territories and add more finances in order this can be done all over Africa and the world. I will definitely buy your album I wanted one or two songs but they seemed to have been in an album. I am greatful that your songs are on iTunes.

  • @debbylaizer
    @debbylaizer День тому +1

    Mungu azidi kuwatia nguvu, mumlee vyema mtoto Dorcas

  • @Joycekwolola7
    @Joycekwolola7 18 годин тому +4

    Nimesikiliza hii nikiwa na watu machozi yamemwagikia moyoni Kuna mama anapitia wakati kama huu huaga anakaa pale maeneo ya mlimani city kuomba msaada mwanae siokubwa Sana akitoka shule anafika pale akae na mama yake wakiomba msaada na badae waende nyumbani chochote wayachopata wanashukru yule ananiumizaga Sana nikiwa nacho Huwa Nampa

  • @EldaNyauly
    @EldaNyauly День тому +1

    Tunaamini mungu nizaidi yatunavyofikiri atatenda kwa dorcas naitakua ushuhuda

  • @SamsonSamson-p1l
    @SamsonSamson-p1l День тому +1

    Mungu akutie nguvu Dada utumishi wako so bule

  • @HappyShirima-k9t
    @HappyShirima-k9t 22 години тому

    Barikiwa sana dada angu mzurii,, shemeji yangu ,,, watoto wako na watu wote wanaokuzunguka Mungu azid kuwatunza 🙏

  • @cynthiawanyonyi5094
    @cynthiawanyonyi5094 День тому +2

    Wow! This is so profound.

  • @Joycekwolola7
    @Joycekwolola7 18 годин тому

    Dorcas tunampenda Sana 🙏

  • @marykariuki6735
    @marykariuki6735 День тому

    Dorcas is adorable and bears the image of God, Thank you for loving her through and through.

  • @janetmuema1955
    @janetmuema1955 12 годин тому

    Everything happens with a reason

  • @lilianmusya6637
    @lilianmusya6637 День тому +2

    He is God and we don't question Him,may His will be done on the life of dorcus and her parent

  • @enocksirya9460
    @enocksirya9460 20 годин тому

    What i also believe is God has a reason for everything..through Dorcas, other children living with the condition may get the refuge and Through that God remembers all.🎉

  • @vidishmbugua7600
    @vidishmbugua7600 День тому +1

    God,s still remains faithful/true dear sister Rehema our God is still by yo side yo baby Dorcas is a precious gift to you/yo husband from Almighty God may God manifest His glory through yo baby Dorcas beyond yo expectations for she has a purpose/destiny ordained for her by God to fulfil on earth in Christ Jesus Mighty name empowered by the HolySpirit of God she will become all God ordained her to become for His glory she is highly favoured/blessed by God through Christ Jesus Shalom

  • @celinapatrick3856
    @celinapatrick3856 16 годин тому

    😢😢😢nimeshika tumbo tu

  • @MiriamIdarus
    @MiriamIdarus День тому +3

    Nakupenda Mtumishi wa Mungu @Rehema Simfukwe ❤❤❤Mungu hajakuacha atakuwa nanyi hadi mwisho wa dahari,usife moyo acha Mungu atukuzwe ndani yako katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth,ninajua unachopitia kwa sababu mimi pia nina msalaba wangu, nakupenda mtumishi wa Mungu ❤❤❤

  • @tegemeareuben7618
    @tegemeareuben7618 21 годину тому

    Dada yangu I'm so proud of you

  • @semukitenge9409
    @semukitenge9409 День тому +1

    Best mother I love you for sure🙌🙌

  • @vinenswilliam3534
    @vinenswilliam3534 День тому +7

    YESU ANATOSHA, YESU ANAPONYA, YESU ATAKUPATIA USHUHUDA, JUST BELIEVE!

  • @shedrackmhehe
    @shedrackmhehe День тому +1

    Wageni by Paul clement
    #Letsgoforward

  • @ruthkihonge854
    @ruthkihonge854 День тому +1

    Mungu azidi kukutia nguvu.

  • @christinesunda8686
    @christinesunda8686 23 години тому

    This has blessed me. Indeed all things work for the good of those who love God. The blessing of Dorcus in your life has given birth to something bigger that will be a blessing to many. More love and grace. 🇰🇪

  • @damianTiba
    @damianTiba День тому +1

    mwenyezi mungu ampe maisha marefu na ampe kila kitu kutoka kwenye hitaji lak la moyoni

  • @BetinaBetina-og7cc
    @BetinaBetina-og7cc День тому

    Mungu akutie nguvu dada yangu usikate tamaa 🙏🙏

  • @pstpenninahmakau3180
    @pstpenninahmakau3180 День тому +1

    So touching,may God grace you up.

  • @edwardnaanita
    @edwardnaanita 22 години тому

    We love you, my sister Rehema ❤. You're a blessing to our generation.
    You're a great WoG...i have learnt a lot through you may God keep you for his own glory.

  • @fabiolaniyonkuru8947
    @fabiolaniyonkuru8947 День тому +1

    Mungu akupe nguvu🙇‍♀️🙇‍♀️

  • @marthaofficial255
    @marthaofficial255 19 годин тому

    Hallelujah😭😭

  • @esthermuthoni4501
    @esthermuthoni4501 День тому +1

    May the Lord be glorified, Dorcus is a door for so many children with physical disability to enjoy life in a special way. Rehema may all that you need to keep this dream alive find way to your hands in Jesus name.
    Esther from Kenya, you bless my heart immensely

  • @MerryAbiadhar
    @MerryAbiadhar День тому

    Mungu wa neema mungu wa upendo mungu unaeweza yote duniani na hata mbinguni tunakujuwa ww naomba umsaidie huyu mtoto wa madame rehema na watoto wote duniani wenye changamoto ya ulemavu lakini pia nakuomba ulinzi na ubaliki uzao wa tumbo langu milele

  • @fodearenos1791
    @fodearenos1791 20 годин тому

    Mwenyez Mungu azid kumpigania

  • @lizzjojoh7280
    @lizzjojoh7280 День тому +1

    I believe dolcas was sent to bring the light,and hope for the children with this condition ❤..

  • @dorinahkhabosa3091
    @dorinahkhabosa3091 День тому +1

    Kazi njema dada,.

  • @kenyayoungjournalists7901
    @kenyayoungjournalists7901 День тому +1

    Mungu apewe sifa na azidi kukutia nguvu.Upendo mwingi kukoka 🇰🇪 ❤

  • @upendomlay9332
    @upendomlay9332 День тому +1

    Mungu ni mwaminifu sana

  • @Joeboe7
    @Joeboe7 23 години тому

    glory to God🥂

  • @janenjeri4951
    @janenjeri4951 День тому +1

    My Dear Rehema ,this can only work out for your good because you love The Lord and are called according to His purpose.
    We pray God performs the supernatural for you in Jesus Matchless Name.

  • @MwaminiJoseph-c9o
    @MwaminiJoseph-c9o День тому

    Mungu azidi kukupa imani Neema yake yakutosha..

  • @YvonneMusyoka-z1d
    @YvonneMusyoka-z1d День тому +1

    I am really blessed by listening to this.....barikiwa sana Mtumishi wa mungu.......haki nimebarikiwa kusikiza hii............you have inspired me 🙏

  • @PromiseJosam
    @PromiseJosam День тому

    Bwana Yesu mkumbuke mtoto Doricas

  • @timotheokapenda
    @timotheokapenda День тому +1

    Mungu ni mkubwa sana Sister Rey

  • @convinemukidanyi864
    @convinemukidanyi864 День тому

    Mungu ni mwema Kwa kila hali 😢

  • @janemangula
    @janemangula День тому

    You're blessed Rehema

  • @graceelkana9246
    @graceelkana9246 23 години тому

    This is a good initiative Rehema it clearly shows Disability is not inability,May God see you through in this initiative and May God keep blessing Dorcas and your family through out this journey, may you recieve well wishers to support the foundation,Mungu akubariki na neema yake izidi kua nawe.

  • @aminambughi9613
    @aminambughi9613 День тому

    Mungu ni jibu wa matatizo yote huku duniani, endelea kumwamini Mungu dada

  • @karistakihaga5992
    @karistakihaga5992 День тому

    MUNGU ndiye JIBU LETU 🙏

  • @RashKhan-qe5fj
    @RashKhan-qe5fj День тому

    MUNGU Asimame nanyie

  • @FatumaHaji-k5j
    @FatumaHaji-k5j День тому

    Mungu ni mwema kwako mtumishi wa Mungu. Aendelee kukufariji❤

  • @lugisjohn
    @lugisjohn 22 години тому

    Be blessed

  • @TheophileG.S.Sworship
    @TheophileG.S.Sworship День тому

    God before your period for family's DORCAS

  • @IsayaMpole
    @IsayaMpole День тому

    Huyu MUNGU mwache aitwe MUNGU tu.🙏

  • @kerubojane7606
    @kerubojane7606 День тому

    Mungu Ni Mwema 🙏

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 23 години тому

    ❤❤❤

  • @GrinerCastory
    @GrinerCastory День тому

    Pole sana Mama Dorcas, Ubarikiwe sana🙏😥

  • @gundelindamushy46
    @gundelindamushy46 День тому

    Mungu amlinde Dorcas

  • @FaustinaMapunda-p4n
    @FaustinaMapunda-p4n День тому

    ❤❤❤❤ Mungu ni mwema

  • @graceamos1109
    @graceamos1109 День тому

    Mungu azidi kuwatunza vyema

  • @danielletafuna2975
    @danielletafuna2975 День тому

    Let God be God🙏🙏😭😭

  • @ZachariaMchele
    @ZachariaMchele День тому

    Mungu awatanguliee sana watumishi wa MUNGU ❤❤

  • @mbanzamwalyo1682
    @mbanzamwalyo1682 День тому

    Ubarikiwe Sana mama dorcas