FAHAMU HISTORIA FUPI YA REHEMA SIMFUKWE NA MTOTO WAKE DORCAS MWENYE UTINDIO WA UBONGO/HAIKUWA RAHISI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 58

  • @octavina2matimbwi43
    @octavina2matimbwi43 20 днів тому +58

    Wazazi wawili wakikubuliana na kushirikiana kulea mtoto mwenye CP (cerebral palsy) huku wakimuomba Mungu wanainuliwa Sana,yaan Mimi huyu mwanangu awali nilijua nalia tuu baada ya kufunguka mind kwamba Ni assignment kutoka kwa Mungu tulimpea mtoto kwa kumfurahia na kumpenda,Mungu akanipa mume tuliyeshirikiana kwa moyo mmoja na hili ndio lilinitia moyo zaid japo tulikuwa katika Hali duni ya kimaisha LAKINI GOD GOD GOD OOH Jesus😭😭 Mungu Ni mtoshelevu mno ametuinua kimaisha tunaishi maisha ambayo hatukuwah kuwaza tutaishi lakini Mungu wa huruma ametuhurumia.. nikajiuliza Ni zawadi gan nitatoa mbele za Mungu nikagundua hakuna Ila kuyatoa maisha yangu kumtumikia..nakushukuru Mungu NIMEOKOKA and I declare how powerful is his name (YESU)❤

    • @alphakiwelo8532
      @alphakiwelo8532 20 днів тому +5

      ubarikiwe sana kwa ushuhuda huu....nyie ni baraka sana kwaajili ya Utukufu wa jina MUNGU mwenye nguvu

    • @albinajoseph2010
      @albinajoseph2010 20 днів тому +3

      Ulichokisema ni kweli

    • @ikupakijole6560
      @ikupakijole6560 17 днів тому +3

      Hakika ni baraka hawa watoto ❤

    • @winfridamluge9337
      @winfridamluge9337 16 днів тому +3

      Ni kweli kabisa octavian, mimi nina mtoto amezaliwa ana kichwa kikubwa ana miaka nane sasa hawezi chochote akai chini, aongedi waka atembei namlea mimi mwenyewe, namshukuru Mungu Baraka zimefunguka sana kupitia yeye Mungu ameniinuliwa watu wananisaidia na nimeokoka, hawa watoto bila ya kuwa na Mungu ni ngumu mno kuwalea

    • @DIVINEPROMISE-c1n
      @DIVINEPROMISE-c1n 16 днів тому

      Amen 🙏

  • @MaryamImrani-y3h
    @MaryamImrani-y3h 11 годин тому

    Munguawapebarakanamaishmarefu❤

  • @dorcaselisante127
    @dorcaselisante127 6 годин тому

    Neema ya Mungu imfunike dorcas na unyenyekevu wakiungu ukukumbatie rehema huduma yako ni njema sana

  • @ANITHABUKUKU
    @ANITHABUKUKU 19 днів тому +7

    Mungu azidi kukupa upeo ktk Hilo akuongezee maarifa zaid hongera sana mama

  • @gracebuhatwa6359
    @gracebuhatwa6359 10 днів тому

    Mungu aendelee kuwatunza watumishi wa Mungu

  • @alphakiwelo8532
    @alphakiwelo8532 20 днів тому +2

    Mmebarikiwa sana watumishi wa MUNGU🙌🙌🙌....nyie ni ushuhuda sana kwaajili ya Utukufu wa MUNGU mwenye nguvu🙏

  • @evelynemwinuka671
    @evelynemwinuka671 19 днів тому +2

    Hakika Mungu alikupa mume kushinda hiyo changamoto, Mungu awazidishie baraka familia❤❤

  • @GabrianaJankey
    @GabrianaJankey 16 днів тому +2

    Amina sana Mungu azidi kuwatia nguvu sana .hekima ya Kiungu izidi kuwafunika na kuenda pamoja nanyi kwa jina la Yesu.

  • @MarySanga-st5ex
    @MarySanga-st5ex 16 днів тому +1

    Thats why every day Holly spirit directs me to listen to the spiritual song chanzo cha uhai wangu,thank you Jesus for the life or our babies

  • @DeborahBigambo
    @DeborahBigambo 20 днів тому +3

    Pole sana My Sister 💕 kiukweli umepita pazito haikuwa rahisi ni neema ya Mungu

  • @monicandengo4680
    @monicandengo4680 16 днів тому +1

    Ameeeen Ubarikiwe Sasa baba na mama

  • @ZenaFereji
    @ZenaFereji 17 днів тому +1

    Yaani umenitia nguvu sana, Mungu awabariki

  • @Elizabethkinuwa
    @Elizabethkinuwa 17 днів тому +2

    Good is Soo much good ...he always makes me think twice I don't get answers .......Guys Tumshike Yesu

  • @neemamwaiteleke5575
    @neemamwaiteleke5575 16 днів тому +1

    Mungu ni Mungu tu!

  • @nikusekelakajumba7697
    @nikusekelakajumba7697 17 днів тому +6

    Neema endelea kunyenyekea kwa Mungu na mumeo pia tunatamani huu upendo udum

  • @jenivamacha1817
    @jenivamacha1817 17 днів тому +2

    I just cried before the video ended 😢😢

  • @winfridamdaki5699
    @winfridamdaki5699 20 днів тому +3

    Hongereni sana kwa ushuhuda huu hakika Mungu ni mwema. Na kumtegemea Mungu kuna lipa❤

  • @obadiabarakahango602
    @obadiabarakahango602 17 днів тому

    Inawezekana. Nawafurahia na nawaombea Mfaulu kwa kila mfanyalo kutimiza kusudi la Mungu

  • @tabitha.k7532
    @tabitha.k7532 17 днів тому +1

    Very encouranging.

  • @mamabyela18
    @mamabyela18 20 днів тому +1

    Mungu awatie nguvu watumishi, neema ya BWANA inatosha🙏

  • @evalynedenis
    @evalynedenis 17 днів тому

    Dear Sis Rehema Your song carries power and annointing because you not sing from a place of inspiration but rather theu are your declarations too and you sing from the place of being pressed like oil...NIKO IMARA IS MY ALL TIME SONG OF VICTORY❤❤
    MUNGU AMUINUE MUME WAKO FOR SERVING GOD WITH YOU ,FOR ALLOWING YOU TO PEACEFULLY SERVE GOD
    NYIE NI BARAKA

  • @atuswegemposi1668
    @atuswegemposi1668 17 днів тому

    Mungu akuinue zaidi nami ❤❤❤

  • @esteralan5241
    @esteralan5241 16 днів тому +1

    Mung alimpa ayubmtumish wake mwaminifu lakin haikumfanya ayub kukata tamaaa bado alimtukuza mungu katika maisha yake kwaiyo hyu dada ni mfano wa kuigwa she is strong woman sometimes mung anakupitisha sehem ili akupime iman yako je utamtumikia amalaah kwa hal ya kawaida angeacha huduma

  • @nyamisanachiwanyi7823
    @nyamisanachiwanyi7823 16 днів тому +1

    Aisee...MUNGU akawe kiongozi ktk hiyo taasisi

  • @esteralan5241
    @esteralan5241 16 днів тому +1

    Na sasa nina samwel japo nae nilipitia changamoto ngum wakat wa ujauzito wake mpaka ukuaj wake nilikimbizwa na ambulanc ad muhimbil kwa ajil ya mtoto samwel lakin mung alinitia nguv oooh groly to god my lord nandika hii mesej macho yananitoka mung hkupitish sehem ambayo

  • @esteralan5241
    @esteralan5241 16 днів тому +1

    Nakumbuka ooh my god am feel pain in my heart nalia kwa uchungu ndan ya moyo wang kwa changamoto nimepitia lakin still mung ni mwaminifu katika maisha yang nakumbuka nilifanyiwa operation 2020 my first born mtoto alipata birth asphyxia ambay result yake ni CP lakin hakuish alifarik the next day baada yakujifungua nililia sana niliumia sana nilikataa kukubaliana na matokeo lakin daktar akaniambia mshukuru mung kwa kila jambo ana amkusud yake shida aliyopata mtoto ungepata tab kumlea mung atakupa mwengine

  • @rosemwaijande3391
    @rosemwaijande3391 20 днів тому +1

    Mungu amtunze Dorcas na familia yote akubariki saaana

  • @nancydenis.9231
    @nancydenis.9231 20 днів тому

    Oooh God...Glory to God❤❤❤

  • @leahswedy4895
    @leahswedy4895 20 днів тому +1

    Mungu ameniamini ❤😊

  • @ScolaKaganga
    @ScolaKaganga 20 днів тому +8

    Mwanangu anaitwa DOR CAS amepitia changamoto ngumu sana wazazi wangu hawakuniacha
    Namshukuru MUNGU leo yuppo formsix

    • @NeemaMasala-o7c
      @NeemaMasala-o7c 16 днів тому

      Alikua ana shida gani? Pole sana na hongera

  • @beckyajando4312
    @beckyajando4312 19 днів тому +1

    Awwwww Mimi pia. I have a Cp girl too. 7 years old now. God is faithful

    • @syliviakaigarula1250
      @syliviakaigarula1250 19 днів тому

      Kuna platform ipo kila sku jmatatu hadi jmapili asubuhi saa 3 asubuhi ingia youtube channel ya pastor Jerry eze kwa iman muombee Mungu Atamponya
      Unaweza pia angalia testimony za cerebral palsy na amini ukipokea kwa ajili ya mwanao

    • @syliviakaigarula1250
      @syliviakaigarula1250 19 днів тому

      Kuna platform ipo kila sku jmatatu hadi jmapili asubuhi saa 3 asubuhi ingia youtube channel ya pastor Jerry eze kwa iman muombee Mungu Atamponya
      Unaweza pia angalia testimony za cerebral palsy na amini ukipokea kwa ajili ya mwanao

  • @fransiskaazizi9329
    @fransiskaazizi9329 20 днів тому

    Mungu wa neema❤

  • @neemajoshuannko4904
    @neemajoshuannko4904 19 днів тому

    Glory to Jehovah ❤

  • @victoriagondwe5544
    @victoriagondwe5544 20 днів тому

    ❤❤nyie ni zawadi kwa taifa🙌

  • @enicekiondo
    @enicekiondo 20 днів тому +5

    This story shed my tears 😭I have my sis is the same as Dorcus Mungu ni mwema ktk yote🙏

  • @dianenshimirimana6555
    @dianenshimirimana6555 20 днів тому +3

    Sifa,utukufu n'a heshima vimirudiliye MUNGU WA BINGUNI

  • @gladysmwendwaofficial4997
    @gladysmwendwaofficial4997 19 днів тому

    Nimetiwa Nguvu sanasitanung'unika tena

  • @BGHaule
    @BGHaule 20 днів тому +4

    Nimepitia hiyo changamoto, ninamkunbuka mtoto wangu Blessing,tulipitia but still tulimshukuru Mungu hata Kwa hilo. Mungu siku zote huwa ni mwema

  • @yehusonga624
    @yehusonga624 15 днів тому

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @pendosailo1989
    @pendosailo1989 15 днів тому

    Kweli amepata na mume big time

  • @monicandengo4680
    @monicandengo4680 16 днів тому +1

    Hakika nimepata ujasiri mkubwa kupitia hii familiya

  • @marykirigiti203
    @marykirigiti203 16 днів тому

    3:46

  • @ednajohn8205
    @ednajohn8205 20 днів тому +1

    Sisi ni special Moms

    • @syliviakaigarula1250
      @syliviakaigarula1250 19 днів тому

      Kuna platform ipo kila sku jmatatu hadi jmapili asubuhi saa 3 asubuhi ingia youtube channel ya pastor Jerry eze kwa iman muombee Mungu Atamponya
      Unaweza pia angalia testimony za cerebral palsy na amini ukipokea kwa ajili ya mwanao

    • @ikupakijole6560
      @ikupakijole6560 17 днів тому

      Yes

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 15 днів тому

    Sikujua kuna watu wameokoka na bado wanabatiza watoto wadogo. Ama mimj ndio sielewi hapo.

    • @priscambise2660
      @priscambise2660 14 днів тому

      Huyu ni mlutheri cyo Tag so wanabatiza watt wakiwa wadogo

  • @skitermpagama1002
    @skitermpagama1002 20 днів тому +1

    Mmenitia nguvu mnooo

  • @InnocentAutumnTrees-ux1jj
    @InnocentAutumnTrees-ux1jj 17 днів тому +1

    Mungu anakusudi kwa kila jambo ila ni ombi langu kila mtu akamuelewa Mungu kile alichomfanyia kwamba si kibaya bali ni kwa utukufu badae.....Mungu alikawai kutokwenda kumuona lazaro mpaka akapata habari amekufa hivyo si kwamba Mungu hakua na uwezo wa moja kwa moja ila alikusudia ili watu wamwamini kua yy ndio huo ufufuo na uzima na hata leo bado tunaamini alivyofanya kwa lazaro
    Wimbo wa chanzo sikua naijua ila wakati nkiwa kwa ibada ya sara k aliimba nyimbo hii na ikanigusa sana nkatamani kuitafuta nani aliyeimba nkaona ni rehema simfukwe hivyo nlikimbilia youtube nkasubscribe,nkadownload naiskiza kila mara maana imebeba ujumbe mzito kwamba kuna wakati wakudhiliwa na kufanikiwa ..
    Nmebarikiwa sana kwa ushuhuda hapa kenya tunakukaribisha mara nyingine