Fahamu haki ya likizo ya lazima na malipo yake kwa mwajiriwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 10

  • @salimamseta
    @salimamseta 2 роки тому

    Good

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 2 роки тому

    asanteh kwa Elimu

  • @danielchacha2973
    @danielchacha2973 Місяць тому

    Mada nzuri si mbaya ukawa unatupia vifungu vya sheria vitatusaidia tunapojenga hoja.

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 роки тому

    Lawyers mmekuwa mkitetea uzembe sana. Sheria zenyewe za ajira zinawalakini.

  • @liberathagosbert6851
    @liberathagosbert6851 4 місяці тому

    Vipi kuhusu likizo bila malipo

  • @johnmizunguofficial
    @johnmizunguofficial Рік тому

    Mtumishi baada ya kuajuriwa kama mwl anapaswa kwenda likizo baada ya miezi mingapi?

  • @Claudia-y6h
    @Claudia-y6h Рік тому

    Samahani wakili naomba namba yako kuna jambo nahitaji kuku uliza

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 8 місяців тому

    Hakuna haki hapa tanzania kwa mfanyakazi je nani wakumlinda mfanyakazi wa sekta binafisi?

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 роки тому

    Leave cycle ni miezi 6 au 8?

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 8 місяців тому

    Sheria za ajira sirafiki kwa mfanyakazi kwa sekita binafisi kwakuwa baadhi ya wafanyakazi na waajiri jawajui likizo ya malipo je utawasaidiaje?